Mwanzo Mwisho Wakili Madeleka Afanya Uchambuzi wa Mkataba wa Bandari na DP World

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 216

  • @robertmisako
    @robertmisako Год назад +9

    Eeee mwenyezi mungu wasaidie hawa wana sheria wazalendo wa inchi yangu kwa kazi nzuri ya kutetea rasilimali za inchi,Ameeen

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 Год назад +8

    Umeeleza Vizuri sana Petter Madereka.Mungu akulinde na Wenzako wote pia.

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Год назад +24

    Maneno mazito haya. Rais wangu mama yangu Samia yatilie maanani haya maneno, hawa watu wanatumiwa kama ni vyombo Tu, lakini huu ni ujumbe kutoka kwa Mungu.

    • @davidfanuel1241
      @davidfanuel1241 Год назад +2

      P

    • @marijanimohamed8875
      @marijanimohamed8875 Год назад +1

      nondo ziko vizuri maongo na manyang'au mpaka yarudi nyuma

    • @marijanimohamed8875
      @marijanimohamed8875 Год назад +1

      kitu haramu ni haramu tu hawa ni mafisadi ya humuhumu 😅😅 ndio maana ni makosa mengi

    • @ahmadikauru6592
      @ahmadikauru6592 Год назад

      Nikwelimkuu alafu awa wamezowea awanisawa nawezimkuu nandomana wamewapeleka wabunge wakatembee dubai nawabunge ao awaijuwi vizulibandali walewote wezituu apanikuwachambatu

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 Год назад +9

    Asante Yesu kumbe bado tuna uzalendo hapa TANZANIA.

  • @rahalee5479
    @rahalee5479 Год назад +6

    Duh Allah akupe maisha marefu, umeongea vitu vinaeleweka endelea kutuamsha ni hatari nchi inapoelekea.

  • @sylivestermchafu2891
    @sylivestermchafu2891 Год назад +3

    Nakukubali Sana huna unafki, umeongea point tangu mwanzo mpaka mwisho! Unajua sana

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Год назад +17

    Mawakili wana akili kubwa ya sheria hawa ccm wamekalia kuti kavu

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Год назад +10

    NAKUPONGEZENI SANA, SANA KWA UJASIRI HUU...
    -PONGEZI SANA NA TUPO PAMOJA NANYI

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 Год назад +3

    Mungu akubariki kwa busara zako mtetezi wa Taifa.

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 Год назад +6

    Daah aise Umechambua Vizuri sana sana Madereka.Kumbe bado tuna nafasi ya kuukataa Mkataba huu.Yani umefanya reference za Kutosha sana.Serikali isishupaze Shingo ...yani Umeua kabsa.

  • @aloycemahanga2290
    @aloycemahanga2290 Год назад +4

    Fact fact fact ever!!!

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 Год назад +4

    Huyu jamaa kaongea vizuri sana sio wale wengine kazi yao kukashifu wengine hongera wakili

  • @mussabalola3692
    @mussabalola3692 Год назад +5

    Apo wamekanyaga mavi ya Kenge...😂😂😂😂 Spika wa bunge ajiuzulu na aondoka Nchi!! Rais Samia Suluhu aondoke tu kimya kimya.. aibu kubwa. Mnauza Nchi na mnajikausha? Polisi watauwa mpaka mtanzania wa mwisho..

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Год назад +5

    Ongera

  • @godfreyerasto4298
    @godfreyerasto4298 Год назад +3

    so geneous lawyer

  • @ZenaBakari-fz4jp
    @ZenaBakari-fz4jp Год назад

    Asante tumekuelewa sana Sasa tumejua hatuna wabunge Wala spika.

  • @majii5591
    @majii5591 Год назад +11

    Kwann tuendelee na serikali iliyo tayari kudanganya wananchi?

    • @florangido202
      @florangido202 Год назад +3

      Hapo sasa Inabidi tuingie barabaran, KAMA Kenya tu
      Watuue ndiyo wajue Tumechoka.
      Kukimbia kimbia kila mara kukopa hela!! wakati magu alishatuambia mmeliwa vya kutosha Nchi hii ni TAJIRI WEWE MAMA KAA PEMBENI NCHI HUWEZI KUIONGOZA.....!!!

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Год назад +2

    Mamaaaaaaaaaaaa kiiiiiruuuuuuuuu Samia na Serikali yako jiuzulu haraka

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Год назад +3

    Safi

  • @masakakasiri-xq6ce
    @masakakasiri-xq6ce Год назад

    Mkuu umeelewèķa vizuri sana kutuelimisha. Ubarikiwe

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 месяцев назад

    Nzanzibar ni mazuzu mungu atawasaidia muchanga uchambuliwe

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 Год назад

    Mungu ambariki sana Wakili Madeleka.

  • @franciskulwa2322
    @franciskulwa2322 Год назад +5

    Kwani Hawa wanasheria waserikali wao wamesoma wapi si shule zile zile walizosoma mawakili duh cjapata jibu

    • @mlandasymon1980
      @mlandasymon1980 Год назад

      Pumbavu kbs, unakua msomi alaf unakua mjinga tena

  • @mwajumashaibuomary7363
    @mwajumashaibuomary7363 Год назад +3

    Ni vituko vya Karne ,mungu aliyeumba serikali duniani ,atatusimamia ,

    • @omaryhabibu2746
      @omaryhabibu2746 Год назад +2

      Tuko tayari kunavingozi wanatakuwa kufa kabra huu upumbavu hajapita

    • @daudifrank5886
      @daudifrank5886 Год назад +1

      Nchi hii anaiua kikwete

    • @daudifrank5886
      @daudifrank5886 Год назад +1

      Ila dhamana ya kuiongoza nchi hii atujampa SS watz kampa mungu as tulimpa magufuli, labbda ndo maana anaamua kuuza nchi, tunamuomba mungu aliempa dhamana aingilie kati kuiokoa hii nchi...

    • @daudifrank5886
      @daudifrank5886 Год назад +1

      Wazanzbar wanatuuzia hii Tanganyika yetu jaman

  • @Ashangaipaulo-yn1hq
    @Ashangaipaulo-yn1hq Год назад +2

    Tuna shukuru mungu sana Siri hii mbaya afichuka wa ccm wame jaribu sanakuweka nji pabaya

  • @herbertlevery1077
    @herbertlevery1077 Год назад +1

    Tunamshukulu Mungu kwa kuwa kunawasomi waojielewa

  • @JacksonMahende-ho2wb
    @JacksonMahende-ho2wb Год назад +5

    Labda ndo yaliyosababisha kifo cha makufuli ili wauze nchi sasa aibu imewakuta hao majambazi ya ccm

  • @mwajumashaibuomary7363
    @mwajumashaibuomary7363 Год назад +8

    Hii nchi inaumiza sana

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 месяцев назад

    Hatuna Imani tena na bunge na wizara ya sheliya tujiunge tukomboe nchi

  • @PascalBujimu-lw5io
    @PascalBujimu-lw5io Год назад +2

    Mungu akubariki.

  • @mogelasaileni4685
    @mogelasaileni4685 Год назад +3

    Mungu anaukumu maovunimengi wamemsahaumungu wamefanyamengi mungu kaamua sasabas wanafanyavitu kamahawasoma

  • @mathewpaul629
    @mathewpaul629 Год назад +2

    Daaaaaaaaaaaaaaa.... nakosa cha kusema zaidi ya kuwaombea heri kwa elimu kubwa sana uliyoitoa. Hakika tunahitaji ukombozi wa fikra

  • @justinwangi4912
    @justinwangi4912 Год назад +8

    Hii serikali yote imeoza niyakuondoa yote ikafie mbali uko

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 3 месяца назад

    Hadi nimeishiwa nguvu na hii maelezo mikataba mibovu mungu amulinde huyu mwanasheria

  • @frankrobert9706
    @frankrobert9706 Год назад +2

    Yaani umeitendea haki taaluma yako.Mungu akulinde wasije wakakuuwa hao wezi wa Taifa hili

  • @wilbertmanjonda5835
    @wilbertmanjonda5835 Год назад +8

    Ila CCM, ni janga kamili!!!

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Год назад +1

    Hawa ndio watetezizi wawa tanganyika mungu awabaliki

  • @evansmtalo8924
    @evansmtalo8924 Год назад +6

    Hivi serikali hawezi kukubali TU kwamba imekosea?Ili iangalie namna nyingine ya kuweka jambo hili sawa? Ina maana wasomi HAWA wa Tz hawajui wanachokisema?minashangaa sana!!

    • @florangido202
      @florangido202 Год назад +4

      Wanajua sana
      Hilo ni Dili, Ingekuwa sio Dili kwanini asihingize na Bandari ya Zanzibar

    • @AmbakweteMwakalugirao
      @AmbakweteMwakalugirao Год назад +3

      SERIKALI HII WANA DHARAU SAAANA! SI WANAJUA HAMNA CHA KUWAFANYA!! AFU UKIANGALIA MWENENDO WA HILI JAMBO NA WATU WANAVYOCOMMENT KWENYE MITANDAO, UTAKUTA KUNA CHEMBE ZA KIDINI SAANA, WALA SIYO BIASHARA NA MANUFAA YA KITAIFA. Hii ni Hatari sana, tujifunze chaguzi zijazo.

  • @lovechadali3923
    @lovechadali3923 Год назад +2

    Wakili yuko vizuri

  • @ezamnzava8555
    @ezamnzava8555 Год назад

    Safi sana...

  • @emmanuelkayavugwa8049
    @emmanuelkayavugwa8049 Год назад +5

    Aibu yao wanao beza msimamo huu

  • @gerraldchristian2001
    @gerraldchristian2001 Год назад +3

    CCM haijawahi kupenda watanzania tuwe na maisha mazuri wanafurahi kuona watu tunaishi maisha haya mabovu tuliyo nayo

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Год назад +6

    Aibu jamani

  • @walterkisaro-9168
    @walterkisaro-9168 Год назад +3

    Mi nashauri nchi nzima tuungane kumuomba mungu siku tatu kwa mazehebu yote then aliyehusika kutuingiza chaka apite ivi

    • @mkude
      @mkude Год назад

      Hakuna shida na sisi tunaounga mkono huu uwekezaji tunaswali na kuomba mungu

  • @uzimameditv8148
    @uzimameditv8148 Год назад +5

    na mbaya zaidi hakuna mtawala anayejibu hoja hizi kwa ufasaha.

  • @Poltechie
    @Poltechie Год назад

    Mungu ambariki sana wakili madeleka, haongei lugha za matusi ila kaongea ukwel

  • @leonardZacharia-jg8no
    @leonardZacharia-jg8no Год назад

    Mungu liangalie sasa taifa hili

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 Год назад

    🙏🙏🙏🙏Ameen tuna muani Allah tu hatuamini matapeli waongo na walagai

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 Год назад +2

    Serikali gani hi aisikilizi wananchii wakes inajifanyia mambo kwajili yaoo 2 na c kwajili ya watazania MUNGU wangamize awaaa araka sana atuwataki kwenye nchii yetu

  • @AmbakweteMwakalugirao
    @AmbakweteMwakalugirao Год назад +4

    HII SASA NDO ELIMU KWA UMMA. TUNASHUKURU SAANA!!! TUMEBAKIZA VITENDO TU. Hawa jamaa wana dharau sana, WAKISHACHAGULIWA wanadhani wana AKILI kuliko watu wote. Hivi kweli hata hii TUSEME NI SIASA???

  • @solomoneglesias9752
    @solomoneglesias9752 Год назад +2

    Utakuta limutu limetumwa na gubunduki guzito hadi gubega gumeshuka at limetumwa na gumutu kwenda kuuwa au kuumiza watu kama hawa na yalaaniwe yote mawili uzao wao uwe na ukoma mkali

  • @SaidAbubakari-m8k
    @SaidAbubakari-m8k Год назад

    Tunashukulu sana zaidi sana kwa hekima uliyotumia ALHAA awape nguvu zaidi.

    • @mkude
      @mkude Год назад

      ALHAA NDO NANI.nyinyi mmepotoshwa sanaa Kwa chuki tu,mkataba hauna shida

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 Год назад +3

    WAKILI PETER MADELEKA HUWA TUNAKUKUBALI SANA WATANZANIA. UNAJUA KUFAFANUA NA KUSAIDIA WANANCHI

  • @emanuelshula6030
    @emanuelshula6030 Год назад

    Umefikisha ujumbe kwa namna ya kipekee Sana hongera sana

  • @ernesttomas85
    @ernesttomas85 Год назад +6

    Katika jambo Baya Kwa serikali ni kushindana na mawakili

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 Год назад +3

    MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI WAZALENDO WETU WA TANZANIA....ENYI MAMILIONI YA WANA CCM MSIOKUBALIANA NA MH. RAIS NA VIONGOZI WAKE JIUNGENI NA NGUVU YA UMMA KUWANG'OA MADARAKANI.

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 Год назад +1

    Ahsante Mungu kwa kuwa sasa tumeamka!

  • @rightvision3092
    @rightvision3092 Год назад +3

    Sitisheni huo mkataba mpaka tufike muafaka wa Kitaifa juu ya mambo ambayo hatukubaliani

  • @MeshackMollely-s3v
    @MeshackMollely-s3v Год назад +4

    Wambien hao wazee wa ndio mzee waamke hizo zama kale zimeshapitwa na wakati watu washakuwa waelewa hawawezi kukubali kila kitu.

  • @EmmanuelPaul-n5f
    @EmmanuelPaul-n5f Год назад

    Excellence ❤❤❤❤

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 Год назад +3

    TUMESHA WAAMBIA SHETANI WA NCHI HII NA MAENDELEO YAKE NI CCM

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 Год назад +3

    Kama mawakal wote Tanzania watapasa saut Kama hiz bas Tanzania na serikali watajua now watu wameamka upigajji utapungua

  • @HassanKangwa-sz4gn
    @HassanKangwa-sz4gn Год назад

    Fact

  • @mwakilulelefrancis280
    @mwakilulelefrancis280 Год назад +3

    BIG UP NDUNGU ZETU WASOMI

  • @jamessoke4454
    @jamessoke4454 Год назад +1

    Hivi kumbe Tanzania Ina watu wasomi wazuri kiasi hiki hongereni sana

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 Год назад

    Good

  • @fredymahinda4024
    @fredymahinda4024 Год назад

    Wow! Tunahitaj watu wa namna hii. Nchi yetu karibu 70% watanzania tulio weng hatujui sheria na ufahamu wakujua vilivyondani ya sheria zilizotungwa na ndani ya nchi yetu. Ndio maana tunapigwa. Hivyo mkiwa km wanasheria piganieni nchi yetu ilikuiokoa coz tumeshatawaliwa na viongozi wa walio na uchu wa pesa na sio viongoz bora.

  • @PascalBujimu-lw5io
    @PascalBujimu-lw5io Год назад +3

    Hakika mnaacha alama katika nchi yetu.

    • @mkude
      @mkude Год назад

      Wanaacha alama za nini au alama za kupotosha,mkataba hauna shida yoyote

  • @mwajumashaibuomary7363
    @mwajumashaibuomary7363 Год назад +2

    Nawapongeza sana tusaidie

  • @fahmiabdulla7690
    @fahmiabdulla7690 Год назад

    KUMBE KWELI,SIASA ZA TZ ,ZINAFURAHISHA,NA HAWA ATA ,MWENYEENZI MUNGU SUBHANNA WATTAALLA AMREHEMU MAALIM SEIF ,AMEEN

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 Год назад

      Leo wanaitaja kanganyika nao wanasema TANGANYIKA nchi et

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 3 месяца назад

    Mungu awe pamoja nanyi watetezi wa ichi yetu jamani

  • @fredmabundagilo6954
    @fredmabundagilo6954 Год назад +2

    Ee mwenyezi Mungu uwatie nguvu Hawa Wana Sheria wapate ushindi zidi ya mafisadi wa inchi yetu...

  • @johnpeterson9333
    @johnpeterson9333 Год назад +1

    Duh ata Dubai wanashangaaa wameingia mkataba na vichaaaaaa🤭🤭🤭

  • @Ambwene
    @Ambwene Год назад

    DAAAH 😔

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 Год назад +2

    MH. RAIS SAMIA....UKO 'UCHI'....WATANZANIA WANAKUONA UKO 'UCHI'....MAMA 'CHUCHUMAA'!

  • @rebeccamsami4580
    @rebeccamsami4580 Год назад +1

    Sasa kichwa kizuri km hiki,kijana mbichi kwa nini msimtumie vizuri na kwa manufaa kwa Tanganyika?kwa nin msituuwe sisi tuliokwisha kula chumvi nyingi na mishavu imetulegea km yote na kichwa mmh dementia tupu.Tuwalinde vijana wetu.

  • @JacksonHenjewele-dl6rc
    @JacksonHenjewele-dl6rc Год назад +2

    Hapo ndo selikali ijue Kua watu wakicgukia nizaid yachui au Simba imewachezea watanzani Sasa imefika mwisho angalieni hisia zatu wako tayari kufa hao niwanashelia sio chadema Sasa mkubali yaishe CCM moto unakuja

  • @alfrediaugustino1026
    @alfrediaugustino1026 Год назад

    Mungu awape mafanikio mema

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 Год назад +1

    Huu Moto wasipostuka ccm , ndio unaamsha katiba na haupoi mpaka NEC 2025 ambapo mama atapumzishwa...

  • @assahalex356
    @assahalex356 Год назад +2

    Mchawi alieiloga Tanzania ameshakufa

  • @BeatriceHenry-t3i
    @BeatriceHenry-t3i Год назад

    Chezeyaa wasomi ongereni sana kwa kutufundisha

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 Год назад +1

    wafungulieni kesi dubai kwa kosa la utapeli

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Год назад

    Poleni Watanganyika 😂😂😂😂

  • @Bizzyyoyo-nw8dp
    @Bizzyyoyo-nw8dp Год назад

    Munakaa kupotosha watu kwa maslahi yenu,
    Mm nilidhan mutatuambia faida tuliyoipata tangu bandari imekua chini yetu na hasara tutayoipata endapo tutawapa wawekezaji,
    Munakalia unafki tu, mbona mumeshindwa kutetea wafanyakazi wa bandari ambao kesi zao zipo mahakamani na mpaka leo hawajalipwa,
    Wanasheria nyinyi ni wanafki sana siku zote munasimamia maslahi yenu tu,
    madudu mangapi yanafanyika bandari mbona hamjawahi kukenua mijino yenu ya njano, alafu leo swala la uwekezaji ndo munaanza kutunukisha harufu ya midomo yenu,
    Munaroho mbaya sana, ukiwasikiliza ni kama watu lkn ni washenzi hakuna mfano,
    Magufuri alipambana na mafisadi, samia anapambana na vyanzo vya ufisadi,
    Na kawaambieni wanaowatuma safari hii watanyooka tu,
    Mama samia MITANO TENA.

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 Год назад +1

    Ni yanasikitisha sanaa hap ndo ninapo kuja kuona mazaifu ya mwanamke maana ana mamuzi kabisaa yani inaumaaa ila MUNGU atawanyosha tu kwakuwa mnatenda aya kwa makusudii bila kujali wanyonge

  • @wakatinisasa
    @wakatinisasa Год назад +1

    Amakweli wanaupigamwingi ngrawa woyee hii ndo tanganyika walisi hawana uchungu na nchi hii

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 Год назад

    Mayowe ya mwiz hodarii humficha na kumuhifadhi mwizi. Mwenye kusikia hilo yowe, huipaza zaidi sauti ya mwizi kumbe ndiyo kuzidi kumuhifadhi. Hapa mpiga mayowe, na wafuasi wake wamekazana kweli, kelele zao hazina tija hata kidogo..

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 Год назад +1

    kinacho niumiza ni kuona hamna ata mwana ccm anae upinga huu mkataba uko juu

  • @saidimadunda4576
    @saidimadunda4576 Год назад +1

    Inna linlhah raajun. Kwa haya, naamini Samia amesikia na kukuellea. Vinginevyo itakuwa sikio la kifa?

  • @MusyangiMatoti
    @MusyangiMatoti 6 месяцев назад

    Mh. Soma katiba ya Zanzibar, inaseme ni nchi.

  • @kiatu
    @kiatu Год назад +3

    Serkali ikubali tu. Ijiuzulu tufanye uchaguzi mapema kabisa

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 Год назад +1

    Wewe chifu hangaya hakunavitu vitamu kana kuishi naamani namaishamalefu wewe unaweza kuonakamaukosawa kwakuwa unadola elewa maimbi ya watanzania yatakuja yakuasili usifikilie unaakili kuluko wsnanchi wote kwanza hatujakuchagua

  • @nitumesokoni3164
    @nitumesokoni3164 Год назад

    Huyu mwamba anajua sana

  • @ibrahimrobart38
    @ibrahimrobart38 Год назад

    Serikali ya awam 6 ni ya hovyoo sanaa

  • @paitomsuva3817
    @paitomsuva3817 Год назад +1

    Kiukweli watu kama hawa ni hazina ya Taifa letu. Maana wanatuelimisha tusiojua. Inatakiwa waingwe mkono kbs. Kwanini serikali isiwatumie hawa pindi wanapotaka kuingia mikataba ya kibiashara kama hii ya DP world?

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 Год назад

    Ccm lini itatoka madarakani😫😫😢😭

  • @sixmakochogilbert3331
    @sixmakochogilbert3331 Год назад

    Tumepgwa 🤣🤣🤣🤣😂😂😟🤣

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga Год назад +2

    Linalotiliwa shaka, hilo ni shaka; viongozi serikalini tafadhari rudisheni mioyo yenu nyuma!

    • @mussandoipo6551
      @mussandoipo6551 Год назад

      Jamani mkataba hii upitiwe upia na utolewe elimu Ili watanzania warizike na kile kinacho endeshwa na serikali

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 месяцев назад

    Peter acha bunge liko mochwari siyo SS wanaichi COVID 19 hawajaitafisili hiyo ndio itaweza spika wa kimataifa amen mungu wee tuonyeshe nguvu yako juu ya wa polaji wa nchi yetu

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Год назад

    Mama umeingia chooo Cha kiumeeeeeee!!!!