Yoyote uatakayesoma hii comment mungu akubalik ww na uzao wawe na tabia nzuri kama loveness na ambao tunaomba tina haachike na kelvin please like tujuane💕💕💕💕💕💕💕
Yesss ❤❤❤ yaaaani umenifurahisha sana kujuwa ukweli kujuwa ulikuwa na watua ambao siyo house girl nidiye mke wakweli na ila tinaa siyoooooo alafu usimsahau dayana na mama yake kumtibia keep it up dayana ❤❤❤❤❤❤
Thanks so much bro kwakutochelewesha episode 🎉🎉🎉 nakwakua leo n Sunday naomba yeyote atakae soma n kulike comment hii Mungu ampe afya, uzima,n tamaniyo la moyo wake 🙏🙏🙏💞💞💞🇰🇪
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV,ninawaombea kwa Mungu awape Afya njema,Riski nyingi,awape pia nguvu,awakinge na kila mabaya, awape Ulinzi siku zote za Maisha yenu napia awape mwisho mwema. Aaaaameeen 🤲
AYA JAMANI LIKE ZIKIFIKA 1000 TUNAACHIA EPISODE YA 26
Yaan Kev utume kil siku ikiwezekn asubui na usiku
Mnachelewa jmn
Zinafika 2000 ila jitaidi uongeze na dkk pia mhn hii ni kiboko ya daktari😂😂😂😊
@@RatifaIssa-oi1zu😂😂😂kwa kweliii bora
Ucjalii wala Mzee
Ambao tunaomba mipango ya mama tina na mumewe ifeli ili wahumbuke pease like hapa tujuane,,,😅😅😅😅😂😂😂😂😂
Naita feli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tayali wameumbuka washenzi sana 😂😂😂
tyr imeaanza kufeli wapuuz hawa tamaa tuu
❤❤❤❤
Sana tuuu mambonimoto 😆😆😆
Tunao muombea Kelvin afike 700k🎉🎉 subscribers huu mwezi tujuane❤❤
Akizingatia tu kutuletea vitu kwa wakati hiyo ni rahis sana
Ila kelvin wamletea matatizo loveness jmn 😢😢team strong hoyeeeeeeeeee team donta family 🤗🤗 nawapenda nikiwa 🇸🇦🇰🇪🥰 Riyadh
Uko riadh sehmu gn
Hoyeee ❤❤
Riyadh 😅😅
Hoyeee
Tujuane Jaman kitu nacheki nipo Dubai ongera Kevin kwani unatupa raaa💯💯🥰🫶❤️
🎉❤🎉 ahsante kaka kelvn kwa saplize ii ❤ wanaokubali gonga like apa please
Mimi wakwanza jamani nimewahi..unaesoma comment hii mungu akubariki sana..ata mkinipa like sio mbaya..😎😎😎😎
Amen
Amen
🙏
Amen 🙏
Mm wa kwanza from kenya 🎉 kama wewe n mkenya gonga like plz
Jaman vipenz vya lovenes na kelvin mje hapa ❤ nawapenda sana donta tv mungu azidi kuwabariki katika kazi zenu❤🎉🎉🎉🎉
Nakupenda dadaa
Like zenu kwa wingi kama mnamkubari loveness kuwa Mrs kevi
Tunao peda kazi ya team ya dnt alafu mm wakwanza naombeni like kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤ tuko pamoja
Nipo hapaa wa kwanza ilaa wacha tuangalie movie kwanza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman me Leo wakanza naomben like❤❤❤❤
🙋
Jamani tangu nianze kuwatch hii kipindi hakuna like niliopata tafadhali team Kevin Anguka na like kama unampenda ❤❤❤❤❤❤❤
Nawatakia jumapili njema nyote mungu awe nanti . ila kama utafurahi kelvin wakiachana na tina gonga hapo
Yoyote uatakayesoma hii comment mungu akubalik ww na uzao wawe na tabia nzuri kama loveness na ambao tunaomba tina haachike na kelvin please like tujuane💕💕💕💕💕💕💕
🎉🎉🎉
😂❤
❤❤❤
Mimi naomba kwanza tina afumaniwe na kevlini
Number one from Burundian tunawapenda Sana nipeni izo like ata mbili zinatosha
Wakwanza fro dr conco naomba ata liké kumi jmn❤❤❤
Duh yaaan dk 1 tu tayar tunakanyagana kwenye coment. Love it na like nyinginyingi
Wakwanza leooooo🎉🎉🎉🎉 ata like ishirini tu🙄🙄🙄 sinema yetu pendwa tuliekuwa tunaisubilia kwa ham
kila mtu wa kwnza wa pil na wa Mwish nani
Nimewahi Leo,,,ebu piga like tukisonga
Nimewahi leo kutoka Kenya 🇰🇪tuliokuwa tukisubiri mtoto wa boss kwa hamu gonga like tukisonga nawapenda sana isei ❤❤❤❤👌
Uko sure wewe ni mkenya😂😂😂😂
Wapi nduruuuuuu kujeni huku ndio kwetu ❤❤❤❤bureee kwa mafunzo mazuri
Yesss ❤❤❤ yaaaani umenifurahisha sana kujuwa ukweli kujuwa ulikuwa na watua ambao siyo house girl nidiye mke wakweli na ila tinaa siyoooooo alafu usimsahau dayana na mama yake kumtibia keep it up dayana ❤❤❤❤❤❤
Wauuuuuu leo babake Kevin makofi kwako naona love naeda kupata mwenye hekima ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks so much bro kwakutochelewesha episode 🎉🎉🎉 nakwakua leo n Sunday naomba yeyote atakae soma n kulike comment hii Mungu ampe afya, uzima,n tamaniyo la moyo wake 🙏🙏🙏💞💞💞🇰🇪
One love nimewah leo❤❤🎉🎉
Angalau na Mimi Leo nimewahi naomba like kamani❤❤❤
jamani leo nimewahi naomba like zangu sikwaubaya lakin❤❤❤❤
Hpo sasa hyu ndio kelvin yule tunajua 😂siku Moja mbili unachia mzigo hongera sana Wana donta Tv 🎉🎉🎉🎉
nimewahi jmn leo asant donta tv week hii nyingi rahaa❤🎉😊
First one from kenya i deserve my likes 🎉
Hha nyie tu ni kuomba liké Mimi Léo siwapi ata moja😂😂 mareshe
Jamani Kevin tunapongeza kazi nzuri mnayoifanya❤❤❤
Iko bomba saana, Nipeni hizo like namimi wlnijisikie nina wadau jaamn kweny hii move kali
Mimi apa wakuanza kutoka mozambique naomba like zangu
Wakwanza Leo nipeni likes za loveness❤
Diana congratulations 👏 you have done ✅ a good job 🎉🎉🎉 much love you siz
Leo sija chelewa naitaji hâta marafiki 5 wenye wako 🇸🇦🇸🇦tujuwane kweli❤❤
❤
@@AshaKomboBakar-ve9bw ❤❤
❤❤here
@@Channah254 ❤❤
@@Renny2080 yes❤
Leo mimi wa kwanza wapi like za loviness😅
Wa kwanza wapi likes zangu kutoka kenya
Jamanii wapili leo namimi naombeni like leo nawapenda nyote ndugu zangu❤️
Nimependa ukalimu wa candy kwa loveness apewe maua yakeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huree tina ameshikwa huku nako diana kafanya ile kitu. Alafu mama kelvin kuumbuka ilhali Kelvin ka win 😂😂😂😂
kelvin can I advice you to break up with your woman and start a relationship loveness may God will forgive you bro
Nimekula wa kwanza kulike nipe like zangu
Watu wamekuwa ni wengi mno. Kelvin nazani ungechukuwa kazi🤝
Leo pia nmewai naomba likes ❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋💋
Wangapi wanatamani family ya tina ifeli kama mm 😂😂😂❤❤❤
Mpaka hap washafeli sanaaa
Me pia nawaomba like
Hay jamani leo nimewahi nipeni hizo like zenu ❤😂🎉
Oyaaaa wa mwisho huyu yuataka like na yeye 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉kazi nzuri sana Kelvin ❤❤❤❤
Npo apa mwamba wa kwanz ad Kelvin mwenyew nmemuwah
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ya Donta TV,ninawaombea kwa Mungu awape Afya njema,Riski nyingi,awape pia nguvu,awakinge na kila mabaya, awape Ulinzi siku zote za Maisha yenu napia awape mwisho mwema. Aaaaameeen 🤲
Hatimaye loveness ni Mrs Kelvin ❤❤❤❤alhamndulillahi
Leo wa Kwanza like wap
Wakwanza jaman like zangu😅😅😅😅
Mnanifurahisha mno,hamcheleweshi siku hizi😊😊😊😊
Imesha fika ,achiya 26
Mkisifiw bas msiw mnachelewesh sas jmn
Ni kheri ukweli umeanza kujulikana kama umependa ukweli kuanza kujulikana gonga like hapa
Hapa naona TALAKA yamuelekea Tina na NDOA ikimuelea LOVENESS❤❤❤ Kama umeliona hilo hebu reply hapa....na usisahau kugonga like💪
Nitafrai sn kelvin kumuoa love ness . Ninswatayarishia bonge la gift🎉
Msha maliza kutazama penye nia pana njia Penye Kheir Hapakosi shariii
Fatuma Mke wa ally na Tina au aisha mke kisi au kizinjaa Mwengine Mmeingiaje humu Jman Aziza na Amina wako Wapi
Mchumia Juani Hulia Kivulini,,, loveness Wangu Neema Kwako Sasa umeteseka sana kwa Kweli Allah anasema alio pendelewa kheir,, Hupewa Mitihan
Wote mnaotamani tina afanikiweee😂😂.......mkuje na like zenu hapa😁😁
Alfu Diana asantee kwa kuwaambia ukweli wa mambo wazazi wke na kelvi afadhali wamekua ss🎉🎉🎉
Nimefurahia sana huyu dada alivyo fanya bila kuchelewesha kwasababu ya mamake
@@MalkaNinik kabisaa, alfu tukute next episode ety alikua ni mawazo au ndoto tuu😂😂😂😂
Jamani leo niko na furaha sana Daina umecheza vizuri sana wote wamefurai kama mimi koga like tukizonga
Thank you baba Kelvin una ni furahisha sana tena n'a huyo malaya Tina awo ndoke arudi nyumbani kwa woo siyo mwanamuke kabisa
Daah wenye watafulahi Kevin akimuowa Lavi gongeni like hapa from Burundi ❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂Mimi naona nikiandika haitoshi nimerekodi voice note👇
▶︎•|၊|။||||။၊|။|||။|||။ 03:53
Umenishinda tabia😅😅😅
Nimechelewa wapi mimi hapa kutoka south kusin like zen mungu akubaliki
Secretary anajua kunifuraish kiukwel yupo vzr, next pleaz
Jamni Leo hata kama mm ni wa mwisho naomba like kwa kazi nzuri ya wana donta TV
Thank tulikuwa twaa suburbia sana kumuona loveness
Jamani tamaa nimbaya na usaliti pia nimbaya ❤❤❤❤❤❤❤❤
Uhu demu na mukubali sana❤❤❤more love ❤️ 🇿🇦🇿🇦
Nilichojua Leo ni kwamba hii movie inawadau wengi sanaaa .
Aloooooo weeeeeeeeeee
DONTA TV burudani kwa woteeee😂❤❤
Wa 6 from Burundi 🇧🇮 mnipe like zangu😂
Waaah Leo umetuweza kka Kelvin ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza leo naomba like zangu hamjawai kunipa ata Moja ata jamani ❤❤❤❤
wooow kazi nzuri,,kweli shetani hana mamlaka yoyote na mipango ya nwenyezi Mungu,,lazima mama tina na babaake wakule kivumbi🎉🎉🎉
Jamani wenye tunaomba Tina apatikane araka mama ya kelvin ajue tabia zake navile anapenda kutetea sana
Film zenyu donta Kwa kweli ni tamu na zenye mafunzo sana hongereni wasani wote WA donta❤❤🎉
Wa kwanza leo naomben likes my loves❤❤❤❤
Nilikwambia 25 inatoka leo like zangu jaman 🤲
Jmn namm nimewahi Leo naombeni like❤️
Wale watakao soma iyi comment mungu abariki kazi zao, baba Kevin amegudua km wanataka kuiba mali yake kazi nzuri sn kbs .❤❤❤🎉🎉🎉
Wa kwanza kucomment +254❤❤
Wow hongera baba kelvin,waliomkubali Diana kwa alichokifanya kufikisha taarifa kwa baba kelvin kuhusu familia ya akina Tina msipite tujuane
finally mmefikia kwenye tulikuwa tunahitaji tunaona sasa mambo yanaenda vigood
Afadhali Leo duu baba Kev bigup
Wakwanza leo like zangu kutoka kwnya
Wakwanza Leo ila sijawahi kupata hata likes10😢😢😢
Wanasapoti hii drama ya @DONTA TV Isihishe iwe mwendelezo like zenu hapa tuwatambue
Waoooo!! Huy ndiy Kevi sasa kazi on time
Walio na rahaa km mm kwa mipango ya familia ya Tina kujulikana tijuane kwa like
Wa kwanza Leo jaman like zangu
Congrats❤❤kazi nzuri👌👌big up👏👏👏
Kazi nzuri❤❤❤
Daaaaah Hy movie 😢🔥
Wakwanza from kenya🇰🇪🇰🇪 wapi likes za wakenya
Leo wa kwanz mimi jamn like zangu wap😮😢❤❤
Wakwanza like zangu jamani😂😂😂
Ambaooo wamemuunga mkono dayana kutoboa siri tujuwanee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo nimewahiii jamn like zangu
Nimekuwa wakwanza jamani 😢 naomba like zenu