Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Asanteni nyote kwa matamshi mema kwetu.Mungu atubariki sote
Safi sana namuona Mgidula
Wachache lakini kazi ya watu million
Naipenda sana kwaya yangu ,,nawaombea utume mwema ktk kumsifu mungu
Hongereni kwa uimbaji mzuri na Uinjilishaji. Mungu awatunze na kuwafanikisha.
Wimbo mathubuti,asanteni sana
Hongera sana mmetisha mungu awape nguvu na uvumilivu ktk utume wenu
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume.
Hongereni wimbo umetulia sana
Wimbo mtamu, mpangilio wa sauti uko mfti muno. Hongera sana na mubarikiwe.
Hongereni sana kwa Utume. Kuimba vizuri ni kusali mara mbili. Endeleeni kumsifu Mwenyezi Mungu kikamilifu siku zote za maisha yenu
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu.
Wimbo Bora zaidi. Imependeza kweli. Hakika Yesu Kristu ni mfalme milele
Hongereni saaana saaana mbarikiwe
Amina sana ndugu yetu, Mungu akubariki pia
Yaani huu wimbo ni mzuri sana. Asante mtunzi nanyi waimbaji
Asañte sana ubarikiwe sana na wewe pia
Hongera sana Mungu awabariki katika uinjilishaji wenu kwa njia ya nyimbo..
HONGERENI MNOOO MUNGU AWABARIKI MSTAWI ZAIDI NA ZAIDI
Amina sana ndugu yetu
Mnanikumbusha parokia yetu Mwenyezi awabariki
Asante Sana dada, ubarikiwe pia
Wow wimbo mzuri 🥰🔥🔥
Wajina wetu hongereni sana 👏👏
Mmetisha sana Mungu awabariki kazi nzuri kuanzia Mtunzi Ogeda safi sana
Asante sana
Melody from Heaven 🙏👍
mmeimba vzr sanaaa sauti zoooote zinaskika na sauti yang ya 3 naiskia vzr 😂😂😂hongeren sanaaa
Hongera sana parokia yangu
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Asante Sana tunashukuru
Hongereni sana kwa utume uliotukuka.
Kwakweli hongera sana shem
Hongereni sana Mungu awabariki katika uinjilisti wenu. Awainue katika viwango vingine
AMINA
Hongereni Sana wanakwaya
Ongereni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mlio tuletea yenye kujenga katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
Amina ndugu yetu, tunashukuru Sana kwa baraka zako, Mungu akubariki sana
Amina
Congratulations
Thanks so much bro
Raha iliojee kuimba ni Raha sana
Amina Kaka mkubwa
Hongereni sana
Amen 🙏 🙏 🙏
Hongeren sana wanafamilia wenzangu,
Mambo mazur yametupita eti🤔
Tunashukuru Sana,Karibu Sana
Wimbo mzuri sana Melody nzuri Mungu awabariki
Asante Sana mkuu
Good❤🎉
Asante sa a
Asanteni nyote kwa matamshi mema kwetu.
Mungu atubariki sote
Safi sana namuona Mgidula
Wachache lakini kazi ya watu million
Naipenda sana kwaya yangu ,,nawaombea utume mwema ktk kumsifu mungu
Hongereni kwa uimbaji mzuri na Uinjilishaji.
Mungu awatunze na kuwafanikisha.