NI USIKU WA MANANE - KWAYA YA BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI (IMMAKULATA ) MBUYUNI DODOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 35

  • @tasianathomas8546
    @tasianathomas8546 6 дней назад

    Jaman wimbo huu umenikumbusha mbàli sana bado tuko mabint tunaimba❤❤❤❤

  • @linnahsteve7774
    @linnahsteve7774 Месяц назад

    Mungu awabariki sana nyie nyote mlioshiriki kuimba wimbo huu kiukweli niusikilize mda wote ahsanten sana❤

  • @emmanunyayo6280
    @emmanunyayo6280 3 года назад +2

    Sounding poa . Dancing style nayo 😁😁😄🥰

  • @LuchiusMushumbus
    @LuchiusMushumbus 27 минут назад

    Barikiwa sana wote mlioshiriki kuimba wimbo huu

  • @florahngonyani9514
    @florahngonyani9514 Год назад +2

    Wimbo Mzuri Sana huu, Nimekumbuka mbali Sana na watu wengi barikiwa sana

    • @reginamanyasi2329
      @reginamanyasi2329 6 дней назад

      Karibu mtoto Yesu, barikiwa mkristo nilkuw na miaka mitano

  • @rosemichael5268
    @rosemichael5268 7 дней назад

    🎉🎉❤❤❤❤wawoooo

  • @teachergodfreypeter9052
    @teachergodfreypeter9052 4 года назад +3

    Nice song
    Nice Melody
    Nice vocal
    Nice video
    Nice location
    Everything is nice congratulations kazi imetulia sana.

  • @DennisderrickMesembi
    @DennisderrickMesembi 59 минут назад

    Congratulations

  • @isayayohana2820
    @isayayohana2820 4 года назад +1

    nyimbo nzuri mmeimba vizur sauti nzuri mmevaa vizur mmetabasam vizur kiukwel mpo vizur sana

  • @gastojerome5218
    @gastojerome5218 4 года назад +1

    Wanakwaya mejaliwa sauti nzuri sana Mungu awabariki sanaa

  • @bigspoz7107
    @bigspoz7107 5 лет назад +2

    Kazi nzuri nic Video

  • @tigerchristmas5491
    @tigerchristmas5491 4 года назад

    Griiriiiiiiriiiiiii🔥🔥🔥😍😍😍nmekumbuka mbali sana mbarikiwe

  • @oddondunguru2817
    @oddondunguru2817 5 лет назад +1

    Big up sana, kinanda mule muleee, sauti ya I, II, III & IV zimeona balaaaa. Kwakweli hongereni sana sana. Nimebarimiwa sana na hii kazi

  • @AnnamaryMasawe-vg2hy
    @AnnamaryMasawe-vg2hy Год назад

    Hongereni sana kwa kila kitu mmeitendea haki Catholic

  • @wyncliffchief2473
    @wyncliffchief2473 5 лет назад +2

    Kazi nzuri sana,
    Mwenyezi Mungu awabariki na kuwainua.
    Hatimae mng'ae kama nyota ya Asubuhi.

  • @norahcosmas2187
    @norahcosmas2187 4 года назад

    Safi ndugu wanakwaya lkn studio baikuonesha picha vzr.

  • @yustamnyagala4441
    @yustamnyagala4441 4 года назад

    Pongezi barikiweni sana

  • @stellajoel7932
    @stellajoel7932 3 года назад

    Naupenda xana wimbo huu

  • @chazkoillah2652
    @chazkoillah2652 Год назад +1

    Christmas mkesha pale kanisani adi raha

  • @gmlkimara9598
    @gmlkimara9598 3 года назад

    safi

  • @dominickmsangi4389
    @dominickmsangi4389 4 года назад

    Nimependa kinanda cha jamaaangu victor mwafrika!!

  • @shaibuemmanuel191
    @shaibuemmanuel191 4 года назад

    Daaaaah! Ngoma imetulia
    Nchi zilikaa Kimya Kutafakari Utukufu wa Bwana hakika ni Yeye.
    Tanzania Yu Nasi Mwokozi.

  • @ayubuallen2543
    @ayubuallen2543 5 лет назад

    Nice

  • @charlesmafumiko6027
    @charlesmafumiko6027 4 года назад

    Hakika nchi zilikaa kimya sababu ukuu wa kipekee wa mfalme aliyezaliwa

  • @sambayametikana8682
    @sambayametikana8682 5 лет назад

    👏👏👏👏

    • @roccodavis4775
      @roccodavis4775 3 года назад

      I know I'm pretty off topic but do anybody know of a good website to watch newly released movies online?

    • @alejandroxzavier5154
      @alejandroxzavier5154 3 года назад

      @Rocco Davis ehh atm i have been using flixportal. You can find it if you google:P -alejandro

    • @roccodavis4775
      @roccodavis4775 3 года назад

      @Alejandro Xzavier Thanks, I signed up and it seems to work :D I appreciate it !!

    • @alejandroxzavier5154
      @alejandroxzavier5154 3 года назад

      @Rocco Davis happy to help :)