MTOTO WA MARTHA MWAIPAJA KAIBUA MAZITO MAMA ANALALA NA NYOKA CHUMBA KIMOJA PESA ZAKE NI ZA MASHARITI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 297

  • @esthernzula9202
    @esthernzula9202 21 день назад +7

    Martha mwaipaja usijibu wacha mungu akupiganie ni vita na zitaisha tu nakupeda sana Martha

  • @juliakayesi8589
    @juliakayesi8589 12 дней назад +2

    Siku zote nitakupenda Martha
    From Kenya

  • @NERYJONAS-fw2jc
    @NERYJONAS-fw2jc 11 дней назад +2

    Sisi waimbaji tuko barua kusoma na ulimwengu inabidi tutembea na MUNGU vizuri tusi kane yesu kristo katika maisha yetu nimekufuata kutoka kongo

  • @martinamarugu44
    @martinamarugu44 19 дней назад +2

    Pole sana Matha acha wakati utasema. Mwenyezi Mungu anakupitisha katika kipindi hiki ili uwe dhahabu

  • @OscarFrancis-mx7iy
    @OscarFrancis-mx7iy 25 дней назад +14

    Huyo ndio mtoto wa miaka kumi na moja duuuu unamwonea martha aisee Mungu ampiganie Martha

    • @AishaMaina-w4p
      @AishaMaina-w4p 25 дней назад

      Kweli kabisa wote wanatumika to kumpigia Martha ila mtetezinwake ni mungu atampigania na mwisho yataishanna ukweli kuibuka dadangu Martha endelea kumtumikianuyu mungu na hii ni kipindii unaitaji maombii ya kusali na kutubu ingia mfungo wa kutubu mungu atakutetea

  • @GwesoJuma
    @GwesoJuma 25 дней назад +13

    Acheni kudisi maisha ya matha acheni mungu ashugulike nae kama Kuna mtu hajawahi kufanya dhambi basi awe Wa kwanza kumpiga mawe

  • @josephineobure3420
    @josephineobure3420 6 дней назад

    Ndugu wewe mwenye umekaa kwa mawe ubarikiwe kwa kuongozwa na Mungu kujibu.asante sana

  • @beageay7945
    @beageay7945 21 день назад

    Matha jamn hayo yote mwachie Mungu apambane na wote wanaopambana na wewe , ( Mungu akupiganie) AMINA❤

  • @BarakaMbise-lk1eb
    @BarakaMbise-lk1eb 20 дней назад +1

    Mungu amtie nguvu Martha kwa anayopitia ! anapiganiwa na mungu nyie ongeeni tu

  • @BeatriceMsamba-t7e
    @BeatriceMsamba-t7e 14 дней назад +1

    Martha hao wanakusafishia nji a
    Wao wanasema j, Mungu anaeona sirini anasemaje

  • @ElizabethKinyaga-vi4cj
    @ElizabethKinyaga-vi4cj 21 день назад +1

    Napenda dada uyo maana anaonekana mtu ambae ametii neno na la mungu, upande wangu nilijua ni vita vya shetani kumjaribu ili afe moyo wa kuhumu, lakini what i know God is with her throughout the challenges azidi kua mtu wa msamaha sana na atabarikiwa

  • @AnnaAweda-v3m
    @AnnaAweda-v3m 13 дней назад

    Martha mungu akutie nguvu faraja na uvumilivu kwani una kipindi ila utapita tu

  • @AginethaKiiza
    @AginethaKiiza 17 дней назад

    Martha pole Dada angu wanaozungumza wape mda we endelea kuzungumza na mungu yatapiya

  • @JumaMsangi-y2w
    @JumaMsangi-y2w 24 дня назад +2

    Hakuna mkamilifu ajihesabie haki mbele za mungu,tumejua mwenzetu anapitia wakat mgumu kama huu ni wakati wa sis kama wasafir katika hii dunia kumuombea na si kumhukumu kwa maneno mengi ya kuzidi kumuumiza,tuombea ne jamani na kutakiana mwisho mwema

  • @OdethaEligius
    @OdethaEligius 23 дня назад

    Mungu akupiganie matha kwa changamoto unazopitia naamini utashinda dad yesu akusaidie

  • @AdrianoWambua-f4q
    @AdrianoWambua-f4q 19 дней назад

    Mungu atakutetea Martha, nyie waandishi ni waongo na Mungu mwenye haki atajibu na moto na radi, tunakuombea sana maana tunakupenda.

  • @sarahokango
    @sarahokango 6 дней назад

    Jipe jipe moyo jipe moyo utashinda🎉

  • @NicksonCharles-j7v
    @NicksonCharles-j7v 12 дней назад

    Ukion changamot shida ,taabu,mates etc
    vimekosanga bas jua neem inakaribia
    Mungu akusaidie na akupganie san dada yetu acha wase ukomo wa manen yako unakaribia

  • @AmeraKinya
    @AmeraKinya 25 дней назад +5

    Tum ombe Martha mungu ampe ujasiri avuke haya mapito

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws 16 дней назад

    Good advice 👍

  • @esthernzula9202
    @esthernzula9202 21 день назад +2

    Martha anapitia magumu ata jana alishidwa na kuongea pole sana nashukuru pia shusho kwa kusimama naye

  • @MonicaAgapiti
    @MonicaAgapiti 24 дня назад +2

    Kwan8 habari za uhongo izi zinaroka wapi mbona mnamsemansana uyu dada kama kawainia maisha uenu mnaahindwa kuishi mnamsema sana ata kama amekosea alafu hii mitandao 😮😮😢

  • @gastonlwabira6736
    @gastonlwabira6736 24 дня назад

    ❤❤Mungu musahidiye.mtumishi marta.musihuku musekujukumiwa.

  • @Oscargaudes
    @Oscargaudes 16 дней назад

    Nanyinyi waandishi wa habari ni wasenge sana Ata amuangalii babek zenu

  • @gjlisa
    @gjlisa 20 дней назад

    Warumi 8:28-30
    Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi. Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza.

  • @valentineimali6752
    @valentineimali6752 13 дней назад

    Hapa sasa mmezidi,mambo ya kuskia sipendi, Martha ni role model wangu,mambo ya kudanganya si poa

  • @StevenFungo-g6v
    @StevenFungo-g6v 16 дней назад

    Mungu tusaidiye kwawakati huu

  • @ReminaBayo
    @ReminaBayo 21 день назад +1

    Mungu akutunze pamoja na Afya yak na usiyasikilz maneno ya watu yote hayo ni ya kupita tu many ❤🤫🙏🧡

  • @FouraGilenedesia
    @FouraGilenedesia 9 дней назад

    martha jipe moyo itapita jipe moyo maman

  • @DaynesKileo
    @DaynesKileo 14 дней назад

    Mtoto wa Martha ni mkubwa kuliko Mama yake 😂😂😂😂

  • @ChartielNITUNGA
    @ChartielNITUNGA 19 дней назад +1

    Lakini mimi najiuliza kwa nini serikali isichukue jitihada za kufunga midia hizi zenye umbea.kabisa mtoto wa Martha amekua hivyo kweli?

  • @SipeciozaManyasi
    @SipeciozaManyasi 17 дней назад

    Mtangazaji huo ni unafiki Mungu mwenyewe atamsafisha unatukera

  • @lynnipascal
    @lynnipascal 24 дня назад +1

    Yaani huyu n mtoto wa Martha 😂😂😂😂😂 mungu nisamehe

  • @johson6963
    @johson6963 15 дней назад

    Wacha waseme seme, mungu azidi kukupigania!

  • @gracepittman1985
    @gracepittman1985 21 день назад

    Mimi sikubaliani na huyu sabsbu Mungu habadilishi neno lake. Hawezi kumwambia Martha asimtunslze mama yake never. Laa sivyo atakuwa amekwenda linyume na neno lake. Efeso 6:1-3 hata kitabu cha kutoka mango wa 20. Acheni kuutetea ubaya jamani. Kama ubaya umetendeka msijaribu kuutetea. Aliyemk9sea mama na akubali tu kuungama makosa kwa mama na kutubu pia amwombe Mungu msamaha. Kabla hajamjua Mungu aliyemuumba alimjua Mama na Baba tu kuwa ni mungu wake hadi pale wazazi walipomwelekeza imani yake kwa Mungu muumbaji wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo.
    Kusaidia wazazi ni amri ya Mungu na sio kutokana na kama ni wema hata kama ni wabaya ni lazima kuwasaidia. Fanya upande wako Mungu atawashughulikia ubaya wao. Hii ni amri sio hiari.

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 20 дней назад

    Ni kweli kabisa jamani mungu atampigania hii vita kila siku wanaibua mapya dada usijibu chochote mwombe mungu atakushindia tu

  • @gracejohn9358
    @gracejohn9358 15 часов назад

    Huyu si mtoto wa Martha jmn mhhhh

  • @EvalineKessy
    @EvalineKessy 24 дня назад

    Mungu msaidie mtumishi wako Martha

  • @esthernzula9202
    @esthernzula9202 21 день назад

    Mungu akikuinua wanadamu wanaaza ako kwa freemason kwani mungu awezi kubariki mtu

  • @LinaMsiska
    @LinaMsiska 12 дней назад

    Mungu Gani Uyo anataka wazazi wakonwateseke Ila wati back wasaidiwe uwo unafiki first familia then watubwambari awo

  • @BerthaDaudi-e8d
    @BerthaDaudi-e8d 21 день назад

    Martha Mungu akutetee mtoto wako ndo kakua hivi basi huyo mama ni wa mchongo pia

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 25 дней назад +1

    Wewe mwogope mungu Martha mwenywe hajaongelea na ni mamake mzazi kwani wewe nani

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo 19 дней назад

    Waivo mbona wengi tu mungu amegeuzwa kichaka Cha kijificha

  • @jenifadonongo8235
    @jenifadonongo8235 21 день назад

    Duh martha Mungu akutie nguvu hii imezidi kiukwel

    • @witnesssitta6722
      @witnesssitta6722 21 день назад

      Acheni uongo mashetani makubwa nyie mwogopeni mungu.

    • @HinohiatHidoCo
      @HinohiatHidoCo 19 дней назад

      Na hicho Kichwa cha Habari mbona hakihusiani kabisa na yaliyozungumzwa. Iwe maswali ya mwandishi au majibu ya huyo kijana.
      Ninyi waandishi mnasubiriwa kwa UZUSHI na kumaliza mb bila sababu za msingi.

  • @GarimaAndrew
    @GarimaAndrew 13 дней назад

    Jaman dooh hata aibu huna

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 18 дней назад

    Duu,mwacheni JAMANI Martha wa watu.khaa

  • @LinaMsiska
    @LinaMsiska 12 дней назад

    Mimi mwenyewe nimwshanga kuona mama Ake aishi nyumba ilepare it's not fair at all

  • @henrykarisayaa9013
    @henrykarisayaa9013 18 дней назад

    Kwahivyo anaguswa kusaidia wengine but asisaidie wazazi na ndugu zake. Huyu kijana pia hajielewi dondocha Huyu

  • @AtuganileMbuba-s1r
    @AtuganileMbuba-s1r 13 дней назад

    😢ichukuliwe hatua kali zakisheria

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo 19 дней назад

    Uyo nimtumishi washetani akuna mungu waivo

  • @DAUDILUGUSI-db9vs
    @DAUDILUGUSI-db9vs 21 день назад

    Toto lina sura mbaya kama ngozi ya limao😂😂😂😂

  • @VictorMoshi-n3e
    @VictorMoshi-n3e 13 дней назад

    OYA MZEE UPO KWENYE LIST, TCRA WANAKUTAFUTA

  • @gjlisa
    @gjlisa 20 дней назад

    Sisi ni vigumu kusema fulani ni mtumishi wa Mungu zaidi ya kuangalia tabia na mwenendo wake. Mungu huweka peupe mambo yaliyo sirini ili mtu aweze kujua kwamba mambo hayo si siri tena, ili mlengwa kama amepolomoka, atubu na kupona. Nafsi ina mambo mengi, aijuaye ni Mungu na mtu mwenyewe

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 19 дней назад

    Hiyó nikweli yeye mwenyewe doana njuwa maisha yake watu wengi

  • @JudithNaututu
    @JudithNaututu 20 дней назад

    Nyinyi ni mashetani kweli hii sasa ni wongo sana kuaribia mtu mshindwe sana

  • @esthernzula9202
    @esthernzula9202 21 день назад

    Anguzae mtumishi wa mungu anaguza jicho la mungu kwani mtu akiwa na pesa ni zake achana nao wapakwa mafuta wa mungu maana vita vyao ni mungu anawapigania aki kiboko abayo mtapata amutaamini

  • @mwajumafadhili9268
    @mwajumafadhili9268 23 дня назад +1

    Uso wake tu inaonesha syo mwanae😂

  • @preciouslissahparis1352
    @preciouslissahparis1352 18 дней назад

    Ulikuwa wapi kusema siku zote,

  • @RodahKanini-om7le
    @RodahKanini-om7le 25 дней назад +1

    Mungu awalaani

  • @esthernzula9202
    @esthernzula9202 21 день назад

    Wacheni kusubua martha mwaipaja Bona vitu aziwahusu

  • @witneskimaro
    @witneskimaro 25 дней назад

    Matha utakua the best no matter what

  • @Hkilave
    @Hkilave 26 дней назад +2

    Mtumishi wa Mungu msagaji

    • @martinamarugu44
      @martinamarugu44 19 дней назад

      Tafadhali usimdhihaki Mtumishi wa Mungu. Unaushuhuda wa jambo Hilo?

  • @WillingtonMagbell-bi5py
    @WillingtonMagbell-bi5py 16 дней назад

    Hata mumchafue aje twampenda vivyohivyo(anatubariki saana❤❤❤❤)....hata mkimchafua hamuezi chukua kilicho ndani.......MPO?

    • @WillingtonMagbell-bi5py
      @WillingtonMagbell-bi5py 16 дней назад

      Hakuna watu hawananga shukurani kama watu Wa familia??????utawafanyia Yote Tisa Ila Kumi watakusaliti!!!!!.
      Stand your grounds beloved❤❤❤❤❤ martha..... unapendwa sana mamangu❤❤❤❤

  • @RoseChristopher-t2p
    @RoseChristopher-t2p 18 дней назад

    Muuongo mkubwa ww maritha ameolewa juzi hApa kakuzaaje guzeehe ww nda wachawi wa kuuwa huduma ya maritha na haiwezi vunjika shetani ww na umeshindwa😮😮😮

  • @gusimilemidia731
    @gusimilemidia731 25 дней назад +1

    Kama hujuo kuhoji uichie hiyo fani maana ww ndio unaunekana unajieleza sana kuliko mlengwa

  • @kidukuredstaa5009
    @kidukuredstaa5009 10 дней назад

    Mbona tumesikia mtoto wa Martha mwaipaj ana miaka 10 huyo ndo anamiak 10

  • @robertjuma992
    @robertjuma992 20 дней назад

    Huyu si mtoto wa Martha, watanzania epukeni matapeli,

  • @rachealkazungu5050
    @rachealkazungu5050 24 дня назад

    We muongo sana no maana maneno yako yanakigugumizi ukihujumu mtumishi wa mungu

  • @pendokiula1397
    @pendokiula1397 18 дней назад

    Huyu sio mtoto wa Martha kichokoraa tuu

  • @salometabu100
    @salometabu100 18 дней назад

    Waache kumchafua Dada wa watu, huyo ni mtumishi wa Mungu sidhani kama anaweza telekeza mamake. Jamani ya NGOSWE MWACHIE NGOSWE!!!!

  • @HappyLamceklima-gj7pj
    @HappyLamceklima-gj7pj 10 дней назад

    Eeeh, tuwaache!!

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 26 дней назад +2

    Ukijipodoa sana wengi wanahisi unahela sana.

  • @patriciambuvi8233
    @patriciambuvi8233 23 дня назад

    Huyu ata kaka simjui 100/100 sio mtoto wa Martha mwaipaja wanafiki nyinyi hii chanel ifungwe kabisa

  • @bibleprophetichealingminis8520
    @bibleprophetichealingminis8520 19 дней назад

    Huyo mtoto ndiye anajua seriously xa mashetani

  • @DaynesKileo
    @DaynesKileo 14 дней назад

    Mimi sipiganaji mwenyewe napiganiwa na Baba,Matha endelea kupiganiwa na Baba,usijibu maan mtetezi wako yuu hai

  • @simphrosaclavery4719
    @simphrosaclavery4719 24 дня назад

    Wewe umenunuliwa siku ya mwisho utahukumiwa vibaya sana

  • @bendeterndanu3403
    @bendeterndanu3403 21 день назад

    Huyu sio mtoto wa Martha

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 25 дней назад

    Hii Dunia jameni..ukifaulu kwa hii Dunia unakua Adui kwa kila mtu..nilifanya biashara ikanoga saana..weeh nilisemwa uchawi,madawa...jameni wapi ilikuwa bidiii yangu.mimi naogopa watu sana..Martha anastory mreefu

  • @faithtumaini72
    @faithtumaini72 14 дней назад

    Hela inayosaidia watu Baki Ni ya kanisaa... Sasa ya kwake binafsi hatuijui... Sidhani ka ataweza kuitumia Hela ya watu Kwa familia

  • @NyasatuSamson
    @NyasatuSamson 19 дней назад

    Walisema mtoto wa Martha anamiaka kumi na Moja huyo kijana anamiaka kumi na Moja?muwe mnamuogopa na mungu,marth tunakuomba wewe acha waseme na wauze mtandaoni kama watalipwa mwisho wa mwezi mishaara.

  • @AhaziSichona
    @AhaziSichona 18 дней назад

    Huyu mtoto mbona majibuyake hayajitoshelezi, hakuna mtu anayeweza kumtelekeza mzazi wake kwa kipindi kigumu anachopitia mzazi wako.

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 20 дней назад

    Mbona hujatwambia umenunuliwa na umelipwa sh ngapi kwa kusema huo uongo

  • @jonesnyaungah1122
    @jonesnyaungah1122 21 день назад

    Kwani Martha ni serikali ya kufuatiliwa hivi!

  • @witneskimaro
    @witneskimaro 25 дней назад

    Ee yesu tunaomba usinyamaze katika hili

  • @DavidScolastica
    @DavidScolastica 23 дня назад

    Toto gan hlo zee zma ata Co toto la Matha

  • @mathiasmarwa8999
    @mathiasmarwa8999 26 дней назад +3

    Naomba nikushauri kaka,
    Unapotaka taarifa punguza maneno mengi kutoka kwako

  • @DaudiNasari-o9r
    @DaudiNasari-o9r 24 дня назад

    Akuna MTU anafanikiwa ana sau mzazi iyo aipo

  • @lydiasam5861
    @lydiasam5861 24 дня назад

    Toto jinga hili alina akili😢😢😢😢

  • @MonicaRaila-tn5rb
    @MonicaRaila-tn5rb 26 дней назад

    Huyo kaka ashinduwe Kwa jina
    Yesu wewe katili sana😂😂😂

  • @shukuruMahune
    @shukuruMahune 9 дней назад

    Nyie mnayajuwa?Wenda nikweli au siyo kweli tetea mkono wako😂

  • @FloraNyandwi
    @FloraNyandwi 21 день назад

    Huyo mzee sio mtoto

  • @rosemkeleja7768
    @rosemkeleja7768 22 дня назад

    Waongo nyie, Mungu anawaona

  • @lucymatiga1838
    @lucymatiga1838 22 дня назад

    Mwacheni mtumishi wamungu atumike tafuteni pesazenu

  • @elneokaronga-xp3hu
    @elneokaronga-xp3hu 21 день назад

    Kumbuka ibiilisi huweza kumwinua ndugu wa kumwamini kabisa katika familia ili kumdhoofisha mmoja mwenye haki ili akose mbingu omba kaza buti aibu nyuma yao

  • @195941233
    @195941233 24 дня назад

    Mwandishi umejaa umbeya umbeya tu. Kichwa cha habari na maudhui vitu tofauti

  • @AnnaJoseph-e6d
    @AnnaJoseph-e6d 23 дня назад

    Huyo mtoto wa math hapo porin anafany nini😄😄😄

  • @SwidaJohn
    @SwidaJohn 21 день назад

    Kweli sio mwanae huyo mbona mkubwa sana.mitandao bwana sio yakuiamini sana

  • @HappynessSamwel-g5n
    @HappynessSamwel-g5n 25 дней назад

    So kweli jaman acheni kumzushia dada wa watu maneno mengi tayar ashachafuliwa acheni apumue

  • @GeturudaPoul
    @GeturudaPoul 22 дня назад

    Zee zima hovyooo!!

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 23 дня назад

    😂😂😂 Dunia ngumu sana hii