Nawatakia ndoa iliojaa neema na baraka tene, Allah awajalie kheri,muishi miaka yote ya uhai wenu kwenye ndoa hii,msitengane hata kidogo,maana ndoa za wasanii wa bongo uwa hazieleweki lakini nyinyi waonesheni mfano kua sio Kila kitu ni maingizo Kuna na maisha ya kawaida pia, NAWATAKIA IJUMAA MUBARAK
Hongereni Sanaa Kwani Kwenye mapenzi sio umri mana hata mtume Mohammad SAW alioa mke aliyekua amemzidi umri hivyo basi kila la kheri Dogo Janja,,,,,mtunzane ili muwafunge midomo wanao wasema
Hongera sana dogo janja mungu aiwakinge na mabaya ya duniani mimi sina la zaidi ya kukupongeza sasa kazi kwako ulimbadilisha mwenzako dini umfundishe post a kuswali na maadili yote ya kislamu inshaallah muwe na waist mwema wabaya wapotezee hata wakisema hawakuzidishii lolote penda sana mke wako maisha ya songe mbele wewe big up men
MashaAllah habibty sheila a.k.a uwoya n janja Allah awaongozr katika kila jambo in sha Allah shikaneni jmn watu saii watasema nilisema hyo movie to msiachane mkawapa waja faida luv u bby uwoya
Nakupongeza sana dogo janja we ni mwanaume wa kweli kwanza umetimiza sunna ya mtume pili unamuweza ndo mana kakubali kuolewa na wewe ungekua humtimizii mambo flan asingekubali big up kwenu wewe na mkeo
hayo maswala ya kuachana hayatuhusu tunacho angalia kwa sasa ni ndoa ya mtoto wetu abdulaziz chende...allah awadh sheilah na abdul aziz..mmependeza sana...nawapenda wote..ndoa yenu idumu...wenye maroho ya kichawi tuache umbea ..kazi kuwaombea wenzenu mabaya tu..acheni ushamba.
Dogo Janja hongera sanaaa kwelii sikuu hazigandii aseeee juzijuziii tuuu ulikuwa young leo umevuta jikoo paaaap hongeta sanasanaaaa #Japoo Mingi Poyoyo Kibao But dini yakoo inaruhusu ...pongezi toka #theMcMTv_Team
Hadi raha jmn mmenikumbusha yangu aisee,,mungu akawadumishe kwa maelewano ndoa ni nzur kama mnaelewana/kuvumiliana mtadumu karibuni kwenye ulimwengu wa mawaddah😍
KILA LA HERI. Wanaoiponda ndoa hii ni wale wazinifu na washirikina nazani mmewaona na mmewasikia.DOGO NA IERINI MAISHA MEMA MWENYEZI MUNGU ANATOSHA KWENU.
hayo maswala ya kuachana hayatuhusu tunacho angalia kwa sasa ni ndoa ya mtoto wetu abdulaziz chende...allah awadh sheilah na abdul aziz..mmependeza sana...nawapenda wote..ndoa yenu idumu...wenye maroho ya kichawi tuache umbea ..
Umetsha sana achana na mboyoyo za hawo maboya umefanya ktu bola sana hata kwa mungu ktu ndoa nijambo zuli wangap wana zini tu nawapenz wao bila ndoa Mungu asimamie ndoa hii.
safi sana najua kuna watakaonuna na watakao kung'ong'a nimefurahi sana mbona wao wanawaacha kaka zetu na kuolewa na baba zetu hatusemi tunapotezea waache wachonge wewe umeoa na kutimiza nusu ya dini saluti kwako kwa ujasiri uliouonesha kama ni kweli MWENYEZI MUNGU awalinde kama sio kweli Mlaaniwe kwa kutudanganya #NIMEPENDASANA
Ndiomana ht ndoa haikudumu yaani km mnamchezea Mungu, hii ilikuwa ndoa km ya mapepo b harusi yupo uchi mibega wazi masheghee nao wanaenda km makondoo tuu pesa mwanaharam wallah
Ndoa ya dogo janja inaleta heshima kwake sio wasanii wengine wanawatoto wa zinaa kila kona ya Tanzania kisa anajulikana sio ustaarabu kufanya mapenzi na kila mwanamke kwa wasanii kwao imekuwa fasheni ila dogo usionje maisha ya ndoa fanya kweli alivyoamrisha Mungu pia Mungu awalinde ktk maisha ya ndoa yenu
Wangapi wanaotamani hii couple ijirudie kama mimi gonga like twende sawa 2020
Dogo atakiwa anabAkw 😂😂
Tulioangalia hii2024 gonga like hapa
Nawatakia ndoa iliojaa neema na baraka tene, Allah awajalie kheri,muishi miaka yote ya uhai wenu kwenye ndoa hii,msitengane hata kidogo,maana ndoa za wasanii wa bongo uwa hazieleweki lakini nyinyi waonesheni mfano kua sio Kila kitu ni maingizo Kuna na maisha ya kawaida pia, NAWATAKIA IJUMAA MUBARAK
Hongereni Sanaa Kwani Kwenye mapenzi sio umri mana hata mtume Mohammad SAW alioa mke aliyekua amemzidi umri hivyo basi kila la kheri Dogo Janja,,,,,mtunzane ili muwafunge midomo wanao wasema
Baada ya miezi 3😂😂😂😂😂
Hongera sana dogo janja mungu aiwakinge na mabaya ya duniani mimi sina la zaidi ya kukupongeza sasa kazi kwako ulimbadilisha mwenzako dini umfundishe post a kuswali na maadili yote ya kislamu inshaallah muwe na waist mwema wabaya wapotezee hata wakisema hawakuzidishii lolote penda sana mke wako maisha ya songe mbele wewe big up men
MashaAllah habibty sheila a.k.a uwoya n janja Allah awaongozr katika kila jambo in sha Allah shikaneni jmn watu saii watasema nilisema hyo movie to msiachane mkawapa waja faida luv u bby uwoya
hongera sana kwa kufata sunna ya mtume (s.w) mung akuzidishieni barka na mpate watoto wema
asante sana DOGO......Umefanya la maana,,,,,kikubwa isiwe ndoa ya kisyar siku mbili tu ......mshamwagana.
Real Salute Janjaroo. This song special 4 Irene Uwoya, Mungu awe pamoja nanyi all da time ktk Maisha yenu.
safisana dogo janja
sana dg janj
Daaaaa Sitaki kuamini lakini ndo jinsi ilivyo..... Hongera sana Dogo Janja
Karibuni woote Top Ten Kali bonyeza picha io asante
safiiiiiii dogo janjarooo arusha mojaiyo hongera mdogowangu. mungu awabariki ktk ndoayenu??
Mashallah walley harusi ni jambo LA kheri sana.....mapenzi hayachugui umri all the best
Tatu Amil
Nakupongeza sana dogo janja we ni mwanaume wa kweli kwanza umetimiza sunna ya mtume pili unamuweza ndo mana kakubali kuolewa na wewe ungekua humtimizii mambo flan asingekubali big up kwenu wewe na mkeo
anamtimizia kweli abalikiwe d janjalo
Hahaha patamu apo!!
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا k
kasuka somanda m,
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا
Hongera Irene na Mumeo MUNGU anadhamini ndoa. MUNGU awape maisha yenye furaha na amani ndio jambo kubwa kuliko yote.Ameen
yade
hayo maswala ya kuachana hayatuhusu tunacho angalia kwa sasa ni ndoa ya mtoto wetu abdulaziz chende...allah awadh sheilah na abdul aziz..mmependeza sana...nawapenda wote..ndoa yenu idumu...wenye maroho ya kichawi tuache umbea ..kazi kuwaombea wenzenu mabaya tu..acheni ushamba.
Dogo Janja hongera sanaaa kwelii sikuu hazigandii aseeee juzijuziii tuuu ulikuwa young leo umevuta jikoo paaaap hongeta sanasanaaaa #Japoo Mingi Poyoyo Kibao But dini yakoo inaruhusu ...pongezi toka #theMcMTv_Team
Mi sion ajabu kwan umri kitu gan wat matters love,I wish them al the bests on their marriage,WAACHE WAOANE kwel ww n DOGOJANJA
Hadi raha jmn mmenikumbusha yangu aisee,,mungu akawadumishe kwa maelewano ndoa ni nzur kama mnaelewana/kuvumiliana mtadumu karibuni kwenye ulimwengu wa mawaddah😍
Kila atendae la heri mwenyezimungu humpa heri. HONGERENI MAHARUSI. Mungu atailinda ndoa yenu. Ninawaasa wasani kufuata njia ya DOGO naIERINI
KILA LA HERI. Wanaoiponda ndoa hii ni wale wazinifu na washirikina nazani mmewaona na mmewasikia.DOGO NA IERINI MAISHA MEMA MWENYEZI MUNGU ANATOSHA KWENU.
@@dadysamsungalaxt8289Kiko wapi?
Hongera sanaaa dogo wanaekuponda usiwasikilize bora kuoa kuliko kuzin
This wedding was way better than diamond's one
100% Dogo Janja and Uwoya
Team Uwoya
dah janjaro mbona kama vle unanishawishi na mimi nivute jiko aise, hongera sana
congradulation janjaro hii kitu inawashinda weng we sio dogo tens👏👏👏👏👏😘😘😘😘😘be blessed
hongera sana Dada kwa kufunga pingu za maisha na dogo janjalo
Wifi karibu ngarenaro tunakusubiri kwa hamu!hongera mdogo wangu,we are so proud of u
Congratulation bro, don't care what people says it's your life Rashid from Nairobi
Rashid Wekoye zawl
dah hii si filamu
pongezi San dog janja
ebwaaaneee dogo janja umetisha ile mbaya bonge la harous iko poa sana
IBRAHIM ABDALLAH
kumavp
Hongera sn Mungu hawabaliki Maisha ya furaha na yamaerewano"Fanya mpango Umpe haki ya Ndoa Watu waache kukudharau watakapo Ona Unaitwa baba.
Wemadai P cabdi
Uuui
Baraka Allah laka wabaraka aleina wajamaa bainakuma fi kher fi kher....mabrooq inshaAllah
Good kijana uamuzi sahihi kabis Acha waseme age is number aseeee
Jkzu osp
2020 it end in tears
hayo maswala ya kuachana hayatuhusu tunacho angalia kwa sasa ni ndoa ya mtoto wetu abdulaziz chende...allah awadh sheilah na abdul aziz..mmependeza sana...nawapenda wote..ndoa yenu idumu...wenye maroho ya kichawi tuache umbea ..
Congratulations you guys ,I'm so glad for you,
Mashaallah. Allah awape masikilizano na furaha ktk ndoa yenu in sha Allah. Allah awape na watoto wenye kheri amin
Wamesha achanagaa😂😂😂😂
wallah nimewapenda bure,,,Allah awaongoze katika maisha yenu
Upo hpo
Janja mkali,,mfano ata kwa wakubwa wake kuiga .salute Dogo✊
Mabrouk.
More life and more Blessings in Your Marriage.
nice
Hongera sn dogo,bora we umechukua ki halali kuliko kuiba
Sawa sawa, vizuri, ndoa ni maelewano
nafurahi kweli iyi nyimbo imenifurahisha sana Allah awawekeye wepes
ongera mnyamwezii full baraka
umetisha kaka mungu akuogezee kufikilia zaidi
dogo j Mimba yko ya kwanzaaaaaaaaaaa kwa uwoya naona Ni mapacha ndo atazaa
safiii dogo
hongera sana, umefanya jambo jema.
hongera xn awabariki mudumu na ndoa yenu
Congratulations dogo
🎉💐💯Tumeshaamini muitunze ndoa yenu kwa moyo wote. Amiin👋
Hongereni sana mungu awape kizazi cha heri innshallah na awaepushe na husda za waja amiin wabillah taufiq
Allah awape unyumba WA heri na maelewano inshallah... Maburook
Amazing realy. Dogo na Uwoya big up kwa sana na kila la kheri katika ndoa yenu.
nice videos big man
good music on this ink
nice mr dogo janja
Yaani napenda Sana kutazama hii ndoa yaani imegusa kabisa Dogo Janja na Sheilla 😍😍😍😘
Maashaallah Allah barik...awazidishie mapenzi daima dawamu awape vizazi vya kheri na vyenye akili
Huwaga narudi kuangalia hii video kila maraaa naipenda sanaaaa waache waoaneeee!
VICTORIA DAVID CHANNEL rudi tena kuihangalia maana 😃😃😃😃
Wow Janja ww ndo mjanja wao aminia kila la kheri ishallah bora maelewano
Hongera dogojana
MAASHAALLAH MWENYEZI.MUNGU AWALINDIY NDOA YENU JAMANI KUNAWATU WANAJIFANYA MATAJIRI WA DUNIANI ILA NDOA KWAO MWIKO ZINA KWENDA MBELE ONGERA SANAAAA
Hongera sana kijana Allah awasimamie ktkbndoa yako in sha Allah
Kikubwa ni upendo umri cyo sabsbu mana siyo Wa kwanza wewe hongereni sana mungu awajalie muache akili ya kisuper staar wala msipende kiki Amina
Hatari mmetisha jiji kimya watasemea wapi tena good bless.
Mashaallah m.mungu awafanyie ndoa yenu iwe ya kheri👏
Mungu awape watoto wema inshaalah....nawapenda sana😘❤ kutoka Stockholm
Mashallah Mungu ailinde ndoa yenu
Asha Ally mungu yupi atakaewapa wepesi wazinaa? huyo huyo shetani wao
Sophia Jumah Ameen
jeny yusuph Si ndiyo ndoa tena washafunga ndugu yangu au hujaona wamerusha video wakifungishwa ndoa?
Asha Ally hiyo kwangu sio ndoa furaha yazinaa ndoa inasheria zake siyo tupendavyo
umetisha mzeeee
Hongereni kwauwamuz mzur ivondoinavyo takiwa
mabroock dda&kka janjaro Allah abarik ndoa yenu amiin
Hongereni sana asee
MABROUQ Janja imeweza hioooo😍😍😍😍😍
Mungu awape masikizano inshallah ameen ameen..umefanya jambo lamsingi .
watu wanaongea ila hii movie ikitoka its just a surprise!!!! niulize mimi
Umetsha sana achana na mboyoyo za hawo maboya umefanya ktu bola sana hata kwa mungu ktu ndoa nijambo zuli wangap wana zini tu nawapenz wao bila ndoa Mungu asimamie ndoa hii.
hongera sana umependeza
Mashaa Allah dogo janja n Irene Allah awape masikilizano mema
MashaAllah kumbe Kweli mungu awape kher na baraka kwenye ndoa yenu InshaAllah
Hongera uwoya hongera dogo janja stay strong in your married
ingera sana Dada Irine na kaka janjaro nice sanaaaaaa
Congratulations... Happy life forever
Asee nimeipenda sana hii, hongeren sana sana nimefurah kuwaona
safi sana najua kuna watakaonuna na watakao kung'ong'a nimefurahi sana mbona wao wanawaacha kaka zetu na kuolewa na baba zetu hatusemi tunapotezea waache wachonge wewe umeoa na kutimiza nusu ya dini saluti kwako kwa ujasiri uliouonesha kama ni kweli MWENYEZI MUNGU awalinde kama sio kweli Mlaaniwe kwa kutudanganya #NIMEPENDASANA
bwana harusi akicheka anatisha....Irene uwoya u look beautiful dear
Sheikha Abbass 😂😂😂😂😂😂
Hongera sana wla haikuwa ya kimya kimya watu NA kula walikula nice
wanao angalia hii mwaka 2019 imekula kwaoo kwanza nataka niwajue chap kwa harakaa nikiweno na mm
Into the bad land kiswahili
Poa
DVJ skinny official dvj
ringo
Lllllllllllllllllllllllllppppppppp00pp000000
Hongera wa nyumban mlete wifi ngaranaro
This is so lovely... Mabrook... Wish u two Happiness
Mmependeza sana mungu abariki hii ndoa
Maasha'Allah u luk so beautiful with ur dress and make up ..Love BIG from Canada
Ndiomana ht ndoa haikudumu yaani km mnamchezea Mungu, hii ilikuwa ndoa km ya mapepo b harusi yupo uchi mibega wazi masheghee nao wanaenda km makondoo tuu pesa mwanaharam wallah
wooow! mabrouk ndoa ya kiislamu.
Wanaoangalia 2021 pita na like yako hapa 😂
I remember this time
Nipe like
hongera thaana dogojanja,nuru iangazie ndoa yenu
Weee n kazi hiyo
Ndoa ya dogo janja inaleta heshima kwake sio wasanii wengine wanawatoto wa zinaa kila kona ya Tanzania kisa anajulikana sio ustaarabu kufanya mapenzi na kila mwanamke kwa wasanii kwao imekuwa fasheni ila dogo usionje maisha ya ndoa fanya kweli alivyoamrisha Mungu pia Mungu awalinde ktk maisha ya ndoa yenu
Congratullation Janjaro
Wow!!! Congrats to you both
hongereni sana
hongera... Love doent ask why ? Love is feeling frome bottom of hert 🙋😂
Mungu awee nanyii vipenzii vyanguu #uwoyaa $ #janjaro
Wow very good
May this couple stay blessed in the name of LOVE...amen
Raha sana asee asante Dogo janja kwa janbo LA heri nakutuongezea waislam duniani co uwoya tena be sheila
Haaaa!!!! Kweli naona dua yako imefika.....mbona wameachana sasa?