NUSU ATOKWE NA MACHOZI MUME WA ISHA MASHAUZI WAKATI AKISIMULIA SABABU YA KUACHWA NA ISHA / KANIBLOCK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 39

  • @Sakina-j2b
    @Sakina-j2b 22 дня назад

    Mabango wew rijalii wa kweli Mashallah ❤❤❤

  • @AliNgao-r3j
    @AliNgao-r3j 2 месяца назад

    Katika swala zako muombe Allah amlainishe arudishe roho yake muregeleane tena na Allah atawaganyia wepesi...

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 2 месяца назад

    Pambana mwanaume,tafuta zigo jingine tia ndani maisha yaendelee,

  • @ShufaRamadhani
    @ShufaRamadhani 2 месяца назад

    Pole Kaka yatakwisha

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 2 месяца назад

    Ila Jmn tuache I masihara maba go mashaalahaa yuko vizuri

  • @HappyAsajile
    @HappyAsajile 3 месяца назад +2

    Manar toa uyu mtangazaj wako ayupo serious kabisa mwenzake anauzun ye anachekacheka Hana facial expression at kidg

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 3 месяца назад +3

    Huyu kaka bora angekaa tu kimya huku ni kujichoresha ss

  • @faidalupogo4306
    @faidalupogo4306 2 месяца назад +1

    Hizo iteviw. Hachananzo we mabango zatosha. Unajichoersaha achanao hao watangazaji kwani wezako wanapata Elaa

  • @twalibumohamedi
    @twalibumohamedi 3 месяца назад +4

    Sasa kama wajua ana upendo kilichokufanya uhangaike na wanawake wengine kitu gani? Ifike wakati wanaume tujali namna wanawake wanavyojitoa kwa ajili yetu, UAMINIFU ni NGAO kuu katika mahusiano yoyote yale sio ya kimapenzi tu hata ya kikazi, kibiashara na urafiki wa kawaida

  • @SabraAbdallah-y7y
    @SabraAbdallah-y7y 3 месяца назад

    Msameh maaaa tunakuomba anaumia pls tunaomba na tunapenda muwe pamoja❤

  • @hiki242
    @hiki242 3 месяца назад

    Pole sana ww kaka unaakili sana pia unamoyo ila usichoke

  • @salimakuyela7813
    @salimakuyela7813 3 месяца назад +1

    Huyu kijana sio kwamba anateseka na mapenzi bali aliona mbali Kuwa moyo wa isha anaweza akampa hata mtaji kinine kunavitu isha aliviona ni mzigo kwake ndio maana hamtaki kabisa😅😅

  • @Zainabsaid-ob2lk
    @Zainabsaid-ob2lk 2 месяца назад

    Mungu atawasaidia km nirizki yako kuwanawewe starudisha moyowake mtakuwa pamoja namujifunze kuwa mwanamke mmoja anaekujari uaminifu kk ndio kilakitu

  • @hawaa341
    @hawaa341 3 месяца назад +1

    Inauma

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 3 месяца назад

    Pole sana

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 3 месяца назад +2

    Isha sio mkubwa sana ni mwili tu

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc 3 месяца назад +2

      Na kuwahi kuzaa pia

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 3 месяца назад +1

    Huyu mtangazaj aachane na hicho kinge bwana, she will bring back ndio nn ss😂

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 месяца назад +2

    Kwani ndoa ilipita nasikia mume waliwahi kuoana😮😮

  • @waltermboya8088
    @waltermboya8088 2 месяца назад

    Neno ningejua huja mwisho wa safari ila broo pole kama bado unamuitaji nitafute

  • @ZawadMussa-sd1od
    @ZawadMussa-sd1od 3 месяца назад +2

    Baba naomba funga kuojiwa utanishukur badae

    • @thegreat6626
      @thegreat6626 3 месяца назад

      Afunge kuhojiwa izo akili anazo, mtoto wa kiume unalia lia penzi mitandaoni

  • @MagretiJoseph
    @MagretiJoseph Месяц назад

    Unaonekana una mbolo kubwa sana

  • @aishabory9649
    @aishabory9649 2 месяца назад

    Mume alimuoa SEMA aliekua hawara yake

  • @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz
    @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz 2 месяца назад

    Ki benteni vs Marioo

  • @HadijaKileo
    @HadijaKileo 2 месяца назад

    yataisha tu mabango jitahidi kumuomba Allah km ridhiki ni yako atarudi tyu

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 3 месяца назад

    Duuu changamotooo mzeee baba katafute pesaaa asee achana na wanawake maaarufu utakufa na pleshaaa

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 3 месяца назад

    Mtangazaji mbea achana na isha

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 3 месяца назад

    Isha msaheme mshikaji

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w 3 месяца назад

    T-shirt gani kibayaaaaa

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 3 месяца назад

    Kaka Mongo sana Isha mkubwa sana kwako

  • @Naju645
    @Naju645 2 месяца назад

    Kiki hiii

  • @shamiraabdallah3158
    @shamiraabdallah3158 3 месяца назад

    Msamehe anaekuomba msamaha

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 2 месяца назад

    Kiki ipo sokoni

  • @dullah-f7p
    @dullah-f7p 3 месяца назад

    isha ni jike la simba wewe ni mbwa koko humuezi bro

  • @LeilaSadik-o1w
    @LeilaSadik-o1w 3 месяца назад

    Wote nyie amjui kohoji namtaka mchaga wa WCB yule mie ndio namkubari kuhoji umbea km juma lokole na Dida

  • @SamsunGalaxy-e5k
    @SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад

    Mshamba wa k tu huyu

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 3 месяца назад +1

    Huyo mwanamke kaishapata mwingine wewe tafuta wako