ISHA MASHAUZI AMUONYA MUME WAKE / SITAKI ANIPIGIE SIMU TUMEACHANA TAYARI / NATAFUTA MUME MWINGINE

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 8

  • @SarahJaffer-q4y
    @SarahJaffer-q4y 2 месяца назад

    Wanaume acheni ujinga mkipendwa mpendeke tamaa mbaya, keep it up Isha never give up mashallah you deserve better❤

  • @AliNgao-r3j
    @AliNgao-r3j 2 месяца назад

    Dadangu isha mashauzi sisi ni binadamu simalaika wala si mitume,Hata Allah umkosee kinamna gani ukirudi kutubia kikweki kweli Allah atakusamehe Mabango king dom anaadhirika ana fanya kila inteview anakumba msamaha dadangu rudisha roho nyuma mpe next chance na Allah atawapokea as long munaenda kufunga ndoa jambo la kheir sana...

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 месяца назад

    Hili papa zuriii❤

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq 2 месяца назад

    Usikubali kumlea mwanaume akafanye kaxi

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 2 месяца назад

    Na ndio kosa uliloko sea kuweka wazi mahusiano yako hilo ndio kosa mam bo mengi yanatokea kwakuweka mahusi ano yako wazi acha kabisa kuweka mah usiano yako mengi ne wazi

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 месяца назад

    Kulelewa ni shida

  • @khadijayusuph5815
    @khadijayusuph5815 2 месяца назад

    Umemroga mtoto wa watu siyo kweli mbona wanawake wazuti wengi sana nae kijana mdogo kwa nini anajizalilisha vyoo