Pia unaenda kwa haraka kwenye kuelezea wengine ndio tunaanza kwahiyo tunahitaji kuelezewa zaid au tunahitaji kuona hatua kwa hatua jinsi ya kuipima nguo na kuishona pia had kumaliza sante na hongera pia kwa kujitoa kuelimisha wengine mungu abarik kaz yako
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri lakin pia kama ndio unaanza kabisa ukimpata fundi ukawa nae karibu utawahi kuelewa zaidi kwasababu pia utapata nafasi ya kuuliza maswali mengi na kujibiwa hapo hapo

nimeikubali
Karibu sana
Mamboooo saf
Asante kipenz
Jamani unafundisha well naomba utufundishe kukata sketi ya shule rinda box na kawaida
Asante tutaandaa kipindi
Mungu akubariki sana❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Aminaa
Mungu akubariki
Amina
Unafundishwa vizuri sana,
Karibu, SUBSCRIBE tujifunze zaid
Asante mwalim,naomba mwendokas ya lastik shingo,tumbo Na mikono
Nitafute hapo kwenye namba ya simu tuone tunafanya vipi
Nimekuelewa vzur ila mkono ujatufundisha
Mkono wake ni kama wa shati la kawaida
Upo vizur ila by unaenda hapana sana
Unafundisha vzur San dad, naomba ufundshe jinsi ya kukata guberi
Fuatilia hapa kama haitaelewa vizuri tuwasiliane whatsapp namba iko kwenye video
ruclips.net/video/2P3_Q2OlCxA/видео.html
Asteee sana dad nime kulew sn
Karibu tuendelee kujifunza
Dada unajua mpaka unajua tena
Mnaenda haraka sana jamani
Angalia video zetu nyingine zipo zisizoenda haraka
Sauti ndogo halafu inamawimbi mawimbi
Mko mkoa gani
Hafu umeiku njaje
Fundi fundi
Mh
Ahaf umekunja kitambaa mara ngap