Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Asante fundi Mungu akulinde na maarifa yaongezeke na wengine tupate
Amina dear 🥰🙏🙏🙏
Kazi nzuri fundi nahuliziya swali.sijaelewa kuhusu hicho kitenge unacho kata umegawa kitenge mara ngapi?
Tunakuelewa sana dada Mungu akutangulie ktk kazi zako
Dada nakupenda bure kwakunifundisha kushona bustier blause
Mungu akubariki mamy maana nimeluelewa sana asante kwa kutufundisha
🥰🙏🙏🙏
Asante Kwa mafundisho
Mambo
Niunganishe kwenye group dada nimekwelewa sana
Asante mwalimu nataka uuganishe sasa niione itakua smart sna
Asante mwalim uko vizuri ila tuoneshe Na ushonaji pia tuzidi kufahamu wanafunzi
Na kuelewa sana mdg wangu
Kiukweli ktk wote wanatufundisha huku kwa network,wewe ndiye ninayekuelewa .maana nilijifunzaga 3month tuu nikawa mjamzito"shule kwishaa" 😍😍
Tena sio kdg Sanaa tyuu mung akuongezeee
Kiukweli nimekuelewa fundi mungu akubariki sijawahi kuelewa kwa wengine lakini kwako nimeelewa
Asnt sana Dada naomba hiyo vidio
Asante fundi mungu akubariki
Asante dada mungu akuongezee maarifa zaid
Asantee sana fundi nimeelewa kwa kweliii
Mungu akuzidishie ujuzi mpendwa
Dada nimeelewa sana maana data zilinichanganya sana🙏
Dad ety iyo 8 ya dart tumeipataje
Ahsante kwa somo
Nimekuerewa unafundisha vizur
nawewe inabidi uendelee kujifunza zaid bado Kuna kanuni hujazijua bado
Hv mbona hajakata nusu nchi hapo katkat ya kwapa na dats upande wa tumbo hilo nyonyo litajichonga kweli
jinsi ya kushona serialization kitenge
Nimeikubali hyo sista balikiwa sana🎉🎉🎉🎉🎉
Asante Sana mwalim nimekuelewa mno kumbe dats nyuma inatakiwa kufanywa hvo ili zipu ikae saw🙏🙏🙏🙏
i know Im kinda off topic but does anyone know a good site to stream new movies online?
@Lewis Frank Lately I have been using flixzone. You can find it by googling :)
@Lewis Frank I use FlixZone. You can find it by googling =)
@Lewis Frank try Flixzone. You can find it by googling :)
Hongera natamani kuwa Kam wew
Mungu akubariki sana dada, ila naomba uni add kwa lile group la whtsp plzz
Una kipaji cha kufundisha hongera
Nimekuelewa. Sana
Naomba kujiunga kwenye gruop
Yn nakuelewa sana umebariki
Asante Sana nimekuelewa vizur sanaa
Uko vizuri dada me sijui chochote ila nakuelewa vizuri natamani kuja kushona.
Me naomba kujifunza chelehani jamani napenda ufundi
Dada unajtahd kuelekeza mungu akutangulie
Kazi nzuri sana lakini usibane sauti inaboa
Mbona unacholea nje??
napenda unavyo fundisha dada🎉
Naomba uniadd group la watsap
Asante mekuelewa
Mungu akutunze dada nakuelewa san
Dada km ni kubust nyonyo kipande Cha nyum ni lazima kuweka dart km za mbele
Asante kwasomo je iyo nch 10 kushuka kwenye ziwa hata mtu mnene mwembamb wanatumia hiyo
Asante sana Mwalimu unaeleweka vinzuri sana
ntumie link ya wtsp
Naomba niunge kwenye group lako 👈🙏
Ubarkiwe dada
Naomba kujua jinsi ya kukata mikono ya shati
Madam hauna group?
Safi lakini umenda haraka sana plz natamani kujua
Upo vzr sana mwalim
Dear na mm naomba uniunge
Mungu akutunze mpendwa
Dada nitumie namba zako zawatsap kipenzi
💋💃🙏🙏🙏Mungua azidi kukukuza ,Ahsantee saana dada
Asante fundi nakuelewa ubarikiwe sana.
Samahani naomba unuadi kwa group mamy
Asante sana ubarikiwe
Mbona mwenzenu nashindwa kudowloaud
Asante sana dada unafundish vizuri sana
Nifundishe off shoulder dada angu
Ahsante mwalimu endelea kutupatia elimu
Dada tufundishe kukata na juba yashule
Yaani unaelekeza vizyri adiraha nitumie namba zako kipenzi zawatsap
Jaman upana wa nyonyo unapimaje au unampima mteja mwenyewe
Nakuelewa
Ndo kwanza nimeanza kujifunza fundi
Unapatikana wapi fundi nimependa unavo fundisha
Asante dada kwa kutuelimisha
Ahsant sana mwalimu
Asante sana mwl
So nice and Thank you
Ubarikiwe sana
Asante
Ilahyo kwapa ulefu wanane ni mnene hyo mtu
Na je kukatia lain wakatiaje
Mm nataka wsp
Wao
Umeniongezea ujuz mno ubarikiwe Yan unaeleweka
Hivi hiyo 4 ya ziwa moja hadi nyingine unampima mteja au ni kukariri tu pia hiyo 10 chini ya ziwa unampima??
Ndio mpendwa unampima mteja
Naomba kujua wapi nakosea mana nikishona hizo dats nguo inatuna kwenye kwapa kwa mbele
Baada ya kuunga punguza nusu nchi ama nchi kutegemea na mwili wa mteja kwa vipande vya mblele vya kwapa
@@milcastylish asante sana.mana inanisumbua kweli ht Leo imenisumbua sana ckujua nirekebishe wapi n.a. nimekosea wap
@@milcastylish Ana kifua 42
@@bhonyadamson5678 oooh kama ni 42 punguza nusu nchi lakin pia Kama nguo itakuwa bado inatuna Basi bega pia utakuwa umeweka kubwa sana
@@milcastylish asante.mungu akubariki nifanyia kazi nitakupa mrejesho
jinsya kushona suruali ya kitenge
Unafundisha vizur
Naomba kujua jinsi ya kumpima mteja hiyo nyonyo
Chukua tape measure pima kutoka chuchu Moja kwenda Nyingine
Natakaiend kwenye mafair
Ni kwanini umechorea kwa nje vipimo?
unafundisha vizur dear
Balikiwa Mwalimu wangu 😘😘
Asante dada yangu hauna namba ya whatsap nashida
Asante lakini naomba uishikanishe kwa machine
Naitaj iende kweyemafair
Mwalim ukopoa nimeelewa Ila naomb nijue jobs yakushon mwendokas ya kola mdogo mwalim
🤝🤝🤝
@@milcastylish jamn
Ahsant naomba uniunge
Naomba niunge namm
Uko vzr
Mimi sijaelewa ilo kwapa unapimaje
Kazi nzuri
Kwanini umesem upana kati ya ziwa na ziwa ni nchi 8?
Dada unajua kuelekeza kweli ww ni mwalm
Nice
Naomba vdio ya dats zakawaida dada ang
Katuni
Daaaa hesabu nyingi Hadi nataka kutoka , afadhali ya darasani
Woow
Nmekuelewa jamen fund