"BWANA KWAKO KUNA KILA JIBU LA KILA SWALI LA MOYONI.AKILI YANGU IFIKAPO MWISHO ,WEWE NDIPO UNAANZIA "😭😭😭😭😭😭😭 THIS PART IS ON REPLAY FOR THE 10TH TIME . IM BLESSED
I will rejoice in the Lord always.... Hii ndio ushuhuda wangu leo 6 na 7 April 2021... Mungu amejibu haja ya moyo wangu... Baba Mzazi amepata uponyaji katika Jina la Yesu Kristo.! Nimenakili kwa sababu ningependa kukumbuka hii siku.. Mungu ndiye mwanzo na mwisho wangu.. Asante 🇰🇪
Mungu amenileta hapa baada ya miezi mienne nashangilia Mungu kwa shangwe na nderemo... The walls of Jericho are coming down in the mighty name of Jesus
"Nashangilia" by Paul Clement Lyrics *Chorus* Nashangilia sababu Mungu, Amejibu haja ya moyo Wangu *Verse* Kwa Imani yangu Amenijibu, Maswali Magumu Ya Moyo wangu, Ameniambia Amerejesha, kilichopotea aah Nami sina budi kushangilia, Japo sijaona Kwa Macho, Ila naamini neno Lako... Bwana Ni kweli, *Bridge* Solo:Amenijibu Maombi AMejibu kwa wakati... All:Heiyee Heiyee Amejibu kwa Wakati. [3X] Solo: Kwa Kushangilia,Kuta za Yeriko zimeanguka,Amefanya Njia mbele Yangu.. All:Amejibu kwa wakati [2X] Bwana Kwako Kuna Kila jibu la kila swali la moyoni Akili yangu ifikapo mwisho Wewe ndipo Unaanzia
Indeed nina shangilia what the Lord has done for me...i have been jobless for 8 years this year 2019 God has been so faithful amejibu haja ya moyo wangu .....FAITHFUL GOD HAS ANSWERED IN HIS OWN TIME
Wache Nikuambie Paul Clement Kwamba Umenibariki na Huu Wimbo Wako "Nimeshangilia" na Nasema Hiyo Wimbo "Nimeshangilia" ni Wimbo Ukona Upako Wa Mungu, Roho Mtakatifu, na Uwepo Wa Mungu na Nasema Mungu Akubariki Bariki Sana Paul Clement na Mungu Awe Nawe Milele.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
OMG 😮 it just clicked you’re the same brother who sang “umenifanya ibada” and “amenifanyia amani” Ndugu yangu unakipako kikubwa sana sana! Whatever you do, NEVER forsake your secret place!! May the oil of worship never cease!! I celebrate 🥳🎉 🙌🏾👏🏾 God in your life!! Much love ❤️ from #kenyaindiaspora 🇰🇪
Waoow this song is so powerful so powerful Ukiimba huu wimbo kwa kumaanisha hakika unaona uwepo wa Bwana unashuka,wimbo huu umejaa upako wa roho mtakatifu. Barikiwa mnoo kwa wimbo huu mzuri Mungu azidi kukuinua.
Amejibu mengi amejibu maswali mazito ambayo mwanadamu wa kawaida asingeweza kujibu nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya moyo wangu. Shukrani apokee Bwanaaa
Daah! naandika nafuta,naandika tena nafuta,,, nashindwa niandike nini ila kaka paul unanibariki sana,,God bless you more,,,, Amejibu haja ya moyo wangu,,,,,thank you JESUS 🙏
nashangiliaa sababu MUNGU amejibu haja ya moyo wangu amejibu kwa wakati kwa kushangilia,Kuta za yeriko zimeanguka amefanya njia mbele yangu .Bwana kwako kuna kila jibu na kila swali la moyoni ,akili yangu ifikapo mwisho wewe ndipo unaanzisha.ELIAKUNDA loves you GOD
Am glad and thankful this song is out! Should walk down the altar with this song Psalms 37:5 I delight in the lord for he answers the desires of my heart. Who is like our Father in heaven
This song is heart touching ❤ I have happened to fall in love with your songs brother!!! Mungu aku bariki for I can hear God speaking to me through your songs
Phil 4:4 Rejoice in the Lord ALWAYS and again i say Rejoice. In EVERYTHING gives thanks, for this is the Will of God in Christ Jesus Concerning You...1thess 5:18
Nmeuckiliza wimbo Wakat muafaka,,,,, the time ambapo the situation really needs God's support,,,, u are there to bless people Paul,,,,,,, God on ur side forever.
Broo your blessed your anointed too much Grace in you namtukuza Mungu kwajili yako sana kaka nimepokea majibu yangu kupitia wimbo huu leo Mungu akutumie vile apendavyo kila iitwapo leo🙏
Amen a good song to me ple unapoomba kwa imani kwa mungu mara unaingia u tube unakutana na wimbo huu jmani mungu mkuu sana wimbo unatoa majibu barikiwa kaka paul clement
God is taking you to places where one day you will look back to where you were before and compare to where you are now na unajikuta unamshangilia Mungu kwa kujibu haja ya moyo wako. Our Lord in heaven has a big smile on his face right now for what he has accomplished in your life. Keep it up with the good work for he is preparing bigger plans for your future. Mungu Akubariki sana Minister Paul Clement.
God has indeed given me back what I lost❤ He has given me the desires of my heart. Thank you Lord for ministering to me through this lovely man of God❤
SO TOUCHNG MAN OF GOD.....NAKUOMBEA PAUL UFIKE MBALI KWA UTUKUFU WAMUNGU...KILA NAPOUIMBA WIMBO HUU NAONA HAKUNA OMBI AMBALO MUNGU AJANIJIBU HATA KAMA SIJAPOKEA NAJUA SI KITAMBO,HIVYO NINATUMAINI.......NAKUPENDA BURE MWANA WA MUNGU
I celebrate by faith. God has answered my prayers. I believe, I receive in Jesus Name. Amen! Watching from Nairobi, Kenya. You are a blessing to the body of Christ.
amenijibuu maombi amejibu kwa wakati....hallelujah hallelujah hallelujah.....glory to the most high God....NIKO AMBAYE NIKO....Jehovah kama unajua jina Jehovah lilitokana na nn utakua umeelewa...
Mungu awabariki sana, nami nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya moyo wangu. Hakiki ww ni Mungu wa kweli haufananishi na kitu chichote, ukisema ndio hakuna wa kupinga, amen.
Namshukuru sana Mungu, na asubuhi ya leo nimeamka nikiimba wimbo huu, nashangalia kwa sababu, Mungu amekuwa mwaminifu kwangu katika maeneo yote, amenipa nilichokuwa nahitaji miaka zaidi ya 13 iliyopita. #Nov2022
My Best Gospel artist in Kenya... Paul Clement is the gospel artist in Kenya whom we shld all support n listen to if we want true gospel.. Sio aty nakashifu mtu bt naona kaa some Kenyan artist want to confuse us with their hypocritical songs soo called gospel.. hapa naexpect views zifike 10million plus.
@@nadinedonnah8772 ooow Nadine sorry 4 the ignorance aki i thought this guy is from Kenya coz He is well knw in Kenya soo mch.. Anyway thanks 4 the correction
nabarikiwa na ww every moment nnaposikiliza nyimbo zako my God lead you always in your service hakika umefanyika baraka kwangu,nashangilia sababu amejibu haja ya moyo wangu.
brother poul Mungu akubarik na akuinue ufikie pale atakapo yeye na si wanadam.
MUNGU akubariki brother nahudumiwa na nyimbo zako na unyenyekevu wako
I love you voice broo
Nabarikiwa sanaaa na Huduma yako
Same to me sis always made me cry with believe that he is faithful everyday and everytime when we need
❤
"BWANA KWAKO KUNA KILA JIBU LA KILA SWALI LA MOYONI.AKILI YANGU IFIKAPO MWISHO ,WEWE NDIPO UNAANZIA "😭😭😭😭😭😭😭
THIS PART IS ON REPLAY FOR THE 10TH TIME .
IM BLESSED
Huu wimbo umenivusha hatua kubwa sana uinuliwe mungu wangu
This song always made me cry,,,, Huyu MUNGU anajibu pale ambapo hukutegemea,,,, Bless you man of God.
2023......wimbo wa kinabii hata baada ya miaka kadhaa mbele....Thank you Jesus Lord...I rejoice your name.
I will rejoice in the Lord always.... Hii ndio ushuhuda wangu leo 6 na 7 April 2021... Mungu amejibu haja ya moyo wangu... Baba Mzazi amepata uponyaji katika Jina la Yesu Kristo.! Nimenakili kwa sababu ningependa kukumbuka hii siku.. Mungu ndiye mwanzo na mwisho wangu.. Asante 🇰🇪
Mungu amenileta hapa baada ya miezi mienne nashangilia Mungu kwa shangwe na nderemo... The walls of Jericho are coming down in the mighty name of Jesus
@Nikangima tumpenda sana nyimbo zake zinatubariki sana
"Nashangilia" by Paul Clement Lyrics
*Chorus*
Nashangilia sababu Mungu,
Amejibu haja ya moyo Wangu
*Verse*
Kwa Imani yangu Amenijibu,
Maswali Magumu Ya Moyo wangu,
Ameniambia Amerejesha, kilichopotea aah
Nami sina budi kushangilia,
Japo sijaona Kwa Macho,
Ila naamini neno Lako... Bwana Ni kweli,
*Bridge*
Solo:Amenijibu Maombi AMejibu kwa wakati...
All:Heiyee Heiyee Amejibu kwa Wakati. [3X]
Solo: Kwa Kushangilia,Kuta za Yeriko zimeanguka,Amefanya Njia mbele Yangu..
All:Amejibu kwa wakati [2X]
Bwana Kwako Kuna Kila jibu la kila swali la moyoni
Akili yangu ifikapo mwisho Wewe ndipo Unaanzia
Thanks for the sweet lyrics
@@marrysaitot1640 You're welcome
Kweli bwana amejibu haja ya moyo wangu good song
Jackie Mbeya Tabasamu r
Amena sana dada
Indeed nina shangilia what the Lord has done for me...i have been jobless for 8 years this year 2019 God has been so faithful amejibu haja ya moyo wangu .....FAITHFUL GOD HAS ANSWERED IN HIS OWN TIME
Wache Nikuambie Paul Clement Kwamba Umenibariki na Huu Wimbo Wako "Nimeshangilia" na Nasema Hiyo Wimbo "Nimeshangilia" ni Wimbo Ukona Upako Wa Mungu, Roho Mtakatifu, na Uwepo Wa Mungu na Nasema Mungu Akubariki Bariki Sana Paul Clement na Mungu Awe Nawe Milele.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
God bless you kaka!! Its so wonderful song!
Wow
My faith declaration in 2022 Amen….nashangilia Bwana amenijibu sitalia tena
niliahid kuuimba huu wimbo siku moja! Na leo imetimia NASHANGILIA SABABU MUNGU AMEJIBU HAJA YA MOYO WANGU!
No matter how tough it is to live in this planet earth najua Mungu amejibu na anajibu haja za moyo wangu.
Here in 2021
OMG 😮 it just clicked you’re the same brother who sang “umenifanya ibada” and “amenifanyia amani” Ndugu yangu unakipako kikubwa sana sana! Whatever you do, NEVER forsake your secret place!! May the oil of worship never cease!! I celebrate 🥳🎉 🙌🏾👏🏾 God in your life!! Much love ❤️ from #kenyaindiaspora 🇰🇪
Waoow this song is so powerful so powerful
Ukiimba huu wimbo kwa kumaanisha hakika unaona uwepo wa Bwana unashuka,wimbo huu umejaa upako wa roho mtakatifu.
Barikiwa mnoo kwa wimbo huu mzuri Mungu azidi kukuinua.
Amejibu mengi amejibu maswali mazito ambayo mwanadamu wa kawaida asingeweza kujibu nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya moyo wangu. Shukrani apokee Bwanaaa
Amejibu kwa wakati. Bwana kwako Kuna jibu. Nashangilia!!! Am blessed Paul. We thank God for you.
Asante Yesu
Kwaajili ya Afya njema katika familia Yangu
Asante kwa zawadi ya uhai Baba😭😭😭😭🙏🏿🙏🏿🙏🏿
The starting keyboard beats are heavenly, God bless you.
Kuna ane Endelea kushangilia na huku 2020 Kama Mimi?? Hii nyimbo Ni ya Karne 🧡🤗
Mungu akubarik mtaan tupo na matarent ya kuimba ila shetan anatuzuia mutuombee tunataka kumimbia Mungu wa mbingu na nchi hallelujah
Daah! naandika nafuta,naandika tena nafuta,,, nashindwa niandike nini ila kaka paul unanibariki sana,,God bless you more,,,, Amejibu haja ya moyo wangu,,,,,thank you JESUS 🙏
nashangiliaa sababu MUNGU amejibu haja ya moyo wangu amejibu kwa wakati kwa kushangilia,Kuta za yeriko zimeanguka amefanya njia mbele yangu .Bwana kwako kuna kila jibu na kila swali la moyoni ,akili yangu ifikapo mwisho wewe ndipo unaanzisha.ELIAKUNDA loves you GOD
Am glad and thankful this song is out! Should walk down the altar with this song Psalms 37:5 I delight in the lord for he answers the desires of my heart. Who is like our Father in heaven
Amen to that.
Waiting is over ....duu
All most a year waiting for this video
NASHANGILIA SABABU MUNGU AMEJIBU HAJA YA MOYO WANGU
#Myfavourite
#thankful
me too. Finally
Amejibu haja ya moyo wangu
This song is heart touching ❤ I have happened to fall in love with your songs brother!!! Mungu aku bariki for I can hear God speaking to me through your songs
Phil 4:4
Rejoice in the Lord ALWAYS and again i say Rejoice. In EVERYTHING gives thanks, for this is the Will of God in Christ Jesus Concerning You...1thess 5:18
Amen
Amen
Amen
It's my faith you're going to answer my prayers 🙌🙌🙌🙌 you're my everything Lord Jesus Christ I love you and depend on your help always 😭😭🙌🙌🙌🙌
Bwana kwako kuna kila jibu la kila swali la moyoni😭😭😭😭😭🙌
Nmeuckiliza wimbo Wakat muafaka,,,,, the time ambapo the situation really needs God's support,,,, u are there to bless people Paul,,,,,,, God on ur side forever.
Broo your blessed your anointed too much Grace in you namtukuza Mungu kwajili yako sana kaka nimepokea majibu yangu kupitia wimbo huu leo Mungu akutumie vile apendavyo kila iitwapo leo🙏
Da noma
Kaka unaweza nasikiliza wimbo huu hadi nalia mungu akubariki
Ameeen. He has not withholden the desire of my heart and the request of my lips.
Nashangilia, natabasamu; umejibu haja zangu zote. 🙌🙌🙌. Sina la kusema! Thank you Lord.
Nashangilia! Mungu amejibu haja mayo wangu! Japo sijaona kwa macho! Amenijibu maombi! Na tena kwa wakati! You Are a blessing
Ninahudumiwa sana ninaposikiliza nyimbo zako,Mungu aendelee kukutumia kwa utukufu wake..amen
Umebeba majibu ya wengi brother Paul Usiishie njiani
Mungu akutie nguvu... Shika sana ulichonacho
Usiruhusu mtuaichukue taji yako
Nashangilia sababu mungu amejibu haja ya moyo wangu.. Amen Amen nakupa sifa yesu... Thank you Lord for exceeding my expectations hallelujah Amen
Mungu ni mkuu sana anajibu maombi na anajibu kwa wakati baraka tele kwako man of God paul.
Nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya moyo wangu......Verry powerful I'm blessed 🙌🙌🙌
Amejibu haja ya kila chenye uhai ..... mchana na usiku anatoa haki kwa kila alichokiumba
Amen a good song to me ple unapoomba kwa imani kwa mungu mara unaingia u tube unakutana na wimbo huu jmani mungu mkuu sana wimbo unatoa majibu barikiwa kaka paul clement
Amen Amen. I'm really blessed and encouraged each time I listen to this song. Can't stop singing it whenever I recall it.
Amin Mungu anafanya hata xx nimda wa kushangiria kwa Mungu wet ili upate haja ya moyo wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏📲
May God bless you Paul.... Nyimbo hii imenibariki sana.. Nami nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya Moyo wangu
nashangalia sababu mungu amejibu aja ya moyo wangu... Barikiwa.
Beatiful song paul came across it a few days ago at the right time mungu akuzidishie kwa mwito wako..nyimbo zako hunibariki..
Ninashangilia 2021 kwa kuwa amenivusha mwaka salama. Amina!!
Kaka nabarikiwa Sana na nyimbo zako....naamin Mungu ataendelea kukutumia kwa viwango vya juu Sana..
paul...unajua na unajua kuwa unajua....sooo..weka juhudi sana kumtafuta mungu kwenye huduma yako...uko vizur broo....seee you on the next level
Mungu
God is taking you to places where one day you will look back to where you were before and compare to where you are now na unajikuta unamshangilia Mungu kwa kujibu haja ya moyo wako. Our Lord in heaven has a big smile on his face right now for what he has accomplished in your life. Keep it up with the good work for he is preparing bigger plans for your future. Mungu Akubariki sana Minister Paul Clement.
There is something special and common between Clement and Joel Lwaga....❤❤❤❤
Mungu azidi kukuinua bro. you are doing good.
God has indeed given me back what I lost❤
He has given me the desires of my heart.
Thank you Lord for ministering to me through this lovely man of God❤
I first heard this song during your wedding and I could only imagine how heaven was celebrating.Praise is one powerful gift we can give God
Uganda much love bro nashangaliya sababu mungu amejibu haja ya moyo wangu 🙏🙏🙏
Nashangilia pia,,kanilejeshea vyote vilivyopotea,amejibu kwa wakati,kafanya njia mbele yangu
Nabarikiwa na wimbo huu jaman mungu no mwema
SO TOUCHNG MAN OF GOD.....NAKUOMBEA PAUL UFIKE MBALI KWA UTUKUFU WAMUNGU...KILA NAPOUIMBA WIMBO HUU NAONA HAKUNA OMBI AMBALO MUNGU AJANIJIBU HATA KAMA SIJAPOKEA NAJUA SI KITAMBO,HIVYO NINATUMAINI.......NAKUPENDA BURE MWANA WA MUNGU
Mungu akuinue kupitia huduma yako ili kila mtu aelewe kile Mungu ameweka ndani yako . Mungu akubariki Sana
I celebrate by faith. God has answered my prayers. I believe, I receive in Jesus Name. Amen! Watching from Nairobi, Kenya. You are a blessing to the body of Christ.
Amejibu
Napenda jinsi vocals zilivyoongezwa humu. Naisikia sauti ya Calvin ikiitikia...
God bless these vocalists 👏🏿👏🏿👏🏿
amenijibuu maombi amejibu kwa wakati....hallelujah hallelujah hallelujah.....glory to the most high God....NIKO AMBAYE NIKO....Jehovah kama unajua jina Jehovah lilitokana na nn utakua umeelewa...
MUNGU azidi kukuinua zaidi Na zaidi
Hakika nashangilia kwa sababau Mungu unaenda kujibu haja ya moyo wangu.Amen
Very inspirational, we give thanks even before we receive. Halleluiah!
Amejinu haja ya moyo wangu i manifest allll in Jesus mighty name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Asante Mungu kwa kujibu haja ya moyo wangu, kwa kujibu maswali magumu ya roho yangu, kwa kurejesha kilichopotea.
Oh Baba, asante sana
nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya Moyo wangu... amen milele uwa una nibariki sana brother.... Mungu aendelee kuinua juu zaidi
Mungu awabariki sana, nami nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya moyo wangu. Hakiki ww ni Mungu wa kweli haufananishi na kitu chichote, ukisema ndio hakuna wa kupinga, amen.
I will never get enough of this song😊 May God bless you brother❤💕
The first part is everything..that candid talk just before the song begins
Namshukuru sana Mungu, na asubuhi ya leo nimeamka nikiimba wimbo huu, nashangalia kwa sababu, Mungu amekuwa mwaminifu kwangu katika maeneo yote, amenipa nilichokuwa nahitaji miaka zaidi ya 13 iliyopita. #Nov2022
Nashangilia kwasababu umenijibu MUNGU wangu. I love you GOD
Paul Unanibariki sana.. Sana. Nashangilia Hakika. Barikiwa Mtumishi
umenibariki mpka baraka zinazidii na ninampango nikuachiee zotee..._ Ubarkiwe sana wimbo mzuri huu
Amen brother be blessed a lot. Nashangilia sababu Mungu amejibu haja ya moyo wangu.
Hallelujah hallelujah nakushangilia Bwana sababu umejibu haja za moyo wangu
Huu wimbo hunibariki kila wakati kabla kulala lazima niuskie,nikiamka sharti niuskie,,Mungu Akuzidie kipawa Cha kumwimbia Minister Paul💖❤️
Ooooh yes acha nishangilie sbb Mungu amejibu haja ya moyo wangu this song is a prophetic to me in this morning,God bless u Poul🙏🏽
Nashangalia sababu Huyu Yesu he has done it
my all time favourite song haswa pale ninapotoka kwenye majaribu na kuwa mshindi 🙌
This song give me goosebumps , hakika Mungu mkuu
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu Paul kwa kazi njema ya kumtumikia mungu.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu na akupandishe viwango vya juu
Hii nyimbo ni ushuuda nilikua ndani niisikie ukawa ukili wangu na Yesu akanipa kazi
Nilikuwa nasubiria siku uachie full Minister Paul Clement barikiwa sana
Mungu azidi kukubariki mtumishi wake usiache kumtumikia daima
Tiktok brought me here....such a powerful song
Wimbo mzuri sana,,,ila mavazi ya crew hasa wadada hayampi utukufu MUNGU...
Nabarikiwa mno na nyimbo zako mungu akubariki mnoo akutuze 🙏
My Best Gospel artist in Kenya... Paul Clement is the gospel artist in Kenya whom we shld all support n listen to if we want true gospel.. Sio aty nakashifu mtu bt naona kaa some Kenyan artist want to confuse us with their hypocritical songs soo called gospel.. hapa naexpect views zifike 10million plus.
This song is a blessing to my soul Bro,My the Almighty bless you Paul.
Gathunga Collins he's Tanzanian
@@nadinedonnah8772 ooow Nadine sorry 4 the ignorance aki i thought this guy is from Kenya coz He is well knw in Kenya soo mch.. Anyway thanks 4 the correction
Amejibu haja ya moyo wangu😭💛. Sitalia tena💛
Powerful song anyone from +254 2019 listening I don't get tired of this song soo uplifting God answers prayers
Wimbo huu umenibariki Sana na kunijaza imani
You're a blessing! Keep serving and following after Christ.
nabarikiwa na ww every moment nnaposikiliza nyimbo zako my God lead you always in your service hakika umefanyika baraka kwangu,nashangilia sababu amejibu haja ya moyo wangu.
Hakika mm NASHANGILIA NAAMINI MUNGU AMEJIBU MAOMBI YANGU
2024 prophetic song of all time
Nashangilia Mungu amejibu kwa wakati🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yani sichoki kuusikiliza...kweli Mungu amenijibu kwa haja
AMEN ASANTE MUNGU YOTE UNAYONIFANYIA HATA KABLA SIJAONA YOTE
Naxhangalia xababuu umenijib haja ya moy wang n.a. amenijib kwa wakatiii
Hakika naamini Mumgu Ameiibu haja ya Moyo wangu japo sijaona kwa macho🙏🙏