08/03/2024 I was walking towards Kencom to catch my matatu as I was heading home. Time is almost 8pm and I could hear a group of youths performing the best worship experience. They were singing this song. Quite a good crowd was all over singing and crying. Youths turning to Christ. Lord praise be your name. This song nourished my spirit and I am filled. God you reign forever
Miaka mitano baadae bado naona wimbo katika upya wake ukihudumia maisha yangu. Kama Mungu aishivyo nanyi mnaishi na nyimbo zenu zitaishi hata baada yenu.
Mauti nayo ulishinda Unaitwa simba tena wa yuda Kushindwa hujui hiyo ajenda Ndio maana mimi nakuimba Unaponya bila sindano kudungwa Na nguvu za giza bwana wewe hunilinda Kwenye magonjwa bwana wewe huniponya Nikiwa na wewe sina budi kuringa Weeewe haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Wewe ni wa pekee ×5 Weewe haulinganishwi kamwe na kitu chochote chochote kile wewe ni wa pekeee Ni weweeeeee Usiyeshindwa
Kaka Paul Unajua Una Moyo wa Ajabu sana......Ndo maana Mungu amekuamini sana kaka......Huo moyo wa Kutamani wenzako wafike mbali......na kufufua vipaji vilivyojificha ndani ya jamii unaufurahisha sana moyo wa Mungu. I love you brother Mungu atanue Mipaka yako.....Calvin John ni kifaa kingine cha ufalme wa Mungu nawapenda guys
Joel Masingisa ila kikubwa jmn tulio okoka nikioo cha jamii ebu tuwe injili iliyo bola tusivutwe na fasheni ya dunia twende na yesu injili ni ya matendo
Wewe Haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile Nampenda Yesu milele hashindwi napokea baraka hizi kwa uweza wa roho mtakatifu ni wewe niweewe usiyeshindwaaa usiye shindwaaa ni wewe Bwana nakujua
Whoever reading this, Mungu ashindwi na chochote, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Paul clement una upako sana. Roho mtakatifu anakutumia sana ongeza bidii ya kujiachilia kwa roho mtakatifu utafika mbali sana kama utazidi kumwimbia Mungu katika roho na kweli
Bwana yesu asifiwe kabisa huyu Paul Clement ninampenda nimunyenyekevu na ni mutuelle anapenda wengine waendeley nanitamani Mungu anikutanishe nae kwa sababu nikikutana nae tutafanya vikubwa sana
Jitahidi sana anza na Kanisani Kwenu ..ukiwabariki hao Mungu Atakupeleka zaidi njee ukawalete wengine katika ufalme na watumishii wengine wakutambue wengi kama calvin sasa.
wow GLORY TO GOD Senior Paul Clemente hakika umenibariki sanaa maombi yangu kwako MUNGU azidi kukutetea na kukupigania katika huduma yako hii na ROHO MT akazidi kuwa na wewe ktk huduma yakoo kaka kwa kweli alinganishwi kamwe NAKUPENDA SANAAA BARIKIWA MNOOO.....
Kaka nyimbo zako zinaujumbe mkali anaye mjua kirsto kweli kwa uhai na utashi atasadiki haya na utakuwa mwimbaj mkubwa Sana kwa ujumbe wako wa ajabu nakupend Mana nyimb zako huniweka karibu na uwepo wa Mungu
Nilisema na ntasema tena NI WEWEEEE,USIYESHINDWAA Napita hapa mara kwa mara kukiri kua HAKUNA KAMA WEWE YAWEH 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌😥😥 Nabarikiwa sana na uimbaji wako Clement toka ile nyimbo ya UMENIFANYA IBADA 🙏🙏🙏
Dah yani sijui hata nisemaje maana nimeshikwa na kukamatwa sana na wimbo huu najikuta natokwa na machozi tu napofikiri Mungu ananavyonishindia najua kabisa wimbo huu ni wimbo wangu najua Mungu wangu hashindwi kamwe.Paul yani wewe ni kifaa cha Mungu. Naipenda sana huduma yako.
Ni vizuri kuona waimbaji wa Tanzania wakifanya vizuri kwenye hizi Live recordings! Ni ishara muziki wetu unakuwa. Lakini kwa mtazamo wangu kuna vitu bado havijaeleweka sana kwa Watanzania kama vile staili za mavazi! Tunavutwa sana kuwapendeza watazamaji na kusahau upande wa kumpendeza Mungu! Wenzetu kama South Africa kwao inaeleweka kwasababu makundi kama Joyous Celebration yako kibiashara sana, hauhitaji kuwa mlutheri au Pentecostal kuimba pale! Kipaji chako tu hata kama unanyoa viduku. Ila hapa kwetu huwezi kufanya hivyo. Ni vizuri kuzuia kadri iwezekanavyo kasoro ndogo ndogo kama hizi! Lazima tuhakikishe waimbaji wetu wanapata mialiako ndani ya Makanisa yetu kama wanavyoalikwa kwenye kumbi bila wasi wasi juu ya tabia zinazoleta aibu! Mungu awabariki sana.
Waooh, amazing,,, kuna mahali MUNGU anaipeleka Tanzania kupitia wewe mtumishi Paul, barikiwa Sana sana na MUNGU azidi kukuongoza katika kuitenda kazi yake pamoja na kulitimiza kusudi
08/03/2024
I was walking towards Kencom to catch my matatu as I was heading home. Time is almost 8pm and I could hear a group of youths performing the best worship experience. They were singing this song. Quite a good crowd was all over singing and crying. Youths turning to Christ. Lord praise be your name. This song nourished my spirit and I am filled. God you reign forever
Kama umerewind sehemu ya Calvin John mara nne kama mimi gonga like tubarikiwe sote
Mistah Nic v
Nabarikiwa sanaa na wimbo huu Mungu akutinze kaka yangu
@@ndenzakomarango @@11
😅😅😅an umeona eeeee
Miaka mitano baadae bado naona wimbo katika upya wake ukihudumia maisha yangu. Kama Mungu aishivyo nanyi mnaishi na nyimbo zenu zitaishi hata baada yenu.
Mauti nayo ulishinda
Unaitwa simba tena wa yuda
Kushindwa hujui hiyo ajenda
Ndio maana mimi nakuimba
Unaponya bila sindano kudungwa
Na nguvu za giza bwana wewe hunilinda
Kwenye magonjwa bwana wewe huniponya
Nikiwa na wewe sina budi kuringa
Weeewe haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
×5
Weewe haulinganishwi kamwe na kitu chochote chochote kile wewe ni wa pekeee
Ni weweeeeee
Usiyeshindwa
The oil on this song is still fresh like if you're 😊😊here in 2023 🎉
Mungu Usiyeshindwa🙌🥺
Kaka Paul Unajua Una Moyo wa Ajabu sana......Ndo maana Mungu amekuamini sana kaka......Huo moyo wa Kutamani wenzako wafike mbali......na kufufua vipaji vilivyojificha ndani ya jamii unaufurahisha sana moyo wa Mungu.
I love you brother Mungu atanue Mipaka yako.....Calvin John ni kifaa kingine cha ufalme wa Mungu nawapenda guys
Joel Masingisa ila kikubwa jmn tulio okoka nikioo cha jamii ebu tuwe injili iliyo bola tusivutwe na fasheni ya dunia twende na yesu injili ni ya matendo
hiyo sauti sasa paul may god bless u
Wewe Haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile
Nampenda Yesu milele hashindwi napokea baraka hizi kwa uweza wa roho mtakatifu ni wewe niweewe usiyeshindwaaa usiye shindwaaa ni wewe Bwana nakujua
@@paulclement_ awesome brother
Hujawahi kamwe kushindwa mungu wangu nakupena mungu wangu
LuganoEdom GospelMinister sio poa jaman umu ndani
Mungu haulinganishwi tenaa na kitu chchtee kile ww n wa pekee
jamani kev Mungu akuinueeee 🙏💯
Whoever reading this, Mungu ashindwi na chochote, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Paul Clement sijui vile naeza kuambia,ur just a blessing to me
Tanzania has amazing Gospel music 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kama Una Amin na wew hauwez shindwa na shetan like ,Ni wew usiye shindwa pamoja sana Paul Clement nakubali sana brother
Ndege Boy amen
Ubarikiwe saana
Huu ndio muziki wa injili tunaoutaka......
Paul ni Travis Greene wa Bongo big up bro!
Exactly
@@estherjuma9834 NAH
Sema anasogea ...ni gharama ya maombi na bidii na Paul atafika huko ila kwasasa bado
Very true
Mungu wa mbinguni amuinue mpaka ashangae
Maana ni MUNGU ASIYESHINDWA 🙏🙏🙌🏼🙌🏼
Paul clement una upako sana. Roho mtakatifu anakutumia sana ongeza bidii ya kujiachilia kwa roho mtakatifu utafika mbali sana kama utazidi kumwimbia Mungu katika roho na kweli
Bwana yesu asifiwe kabisa huyu Paul Clement ninampenda nimunyenyekevu na ni mutuelle anapenda wengine waendeley nanitamani Mungu anikutanishe nae kwa sababu nikikutana nae tutafanya vikubwa sana
Huyu Calvin atafika mbali sana.Aendelee kukaa vizuri na MUNGU tu,ipo siku atakuja kufika pasipofikika kirahisi
Jitahidi sana anza na Kanisani Kwenu ..ukiwabariki hao Mungu Atakupeleka zaidi njee ukawalete wengine katika ufalme na watumishii wengine wakutambue wengi kama calvin sasa.
Very true
Fasho!💯
Morris Daxx jaman me namtafuta sana huyyo Calvin
Saana
This is my miracle song...I got healed from Corona virus
wow GLORY TO GOD Senior Paul Clemente hakika umenibariki sanaa maombi yangu kwako MUNGU azidi kukutetea na kukupigania katika huduma yako hii na ROHO MT akazidi kuwa na wewe ktk huduma yakoo kaka kwa kweli alinganishwi kamwe NAKUPENDA SANAAA BARIKIWA MNOOO.....
Kaka nyimbo zako zinaujumbe mkali anaye mjua kirsto kweli kwa uhai na utashi atasadiki haya na utakuwa mwimbaj mkubwa Sana kwa ujumbe wako wa ajabu nakupend Mana nyimb zako huniweka karibu na uwepo wa Mungu
Khasante Mungu kwa ajili ya watumishi wako
Wimbo mzuri sana
Calvin John Mungu akuinue zaidi
Ni wewe usiyeshindwa,,Mungu sina mashaka na wewe mfalme
Can't stop listening...Jesus come soon we go enjoy worship in heaven
❤❤
Kwenye mavazi naomba mumweshimu mungu na namna ya kunyoa nywele msiimbe kama mnamwimbia shetani kuzimu
Ni wewe usiyeshindwa 🙌❤️ MUNGU wangu 🙏
Aisee hii nyimbo 🙌🏾🙌🏾😩😩😩
USIYESHINDWA ni wewe MAULANA. 🙏🙏🙏
Ni wewe usieshindwa,na hutakaa ushindwe,amen
Sauti ya vyombo na za waimbaji inasikika vema sana...muhandisi wa sauti na timu yake wamefanya kazi nzuri sana...asanteni sana...
Kabisaa ni wewe bwana wa mabwana usie shindwa blessed song unaponya mioyoo iliyovunjika amen usiyee shindwa
Content ✔️.
Harmonies ✔️
Lead singers ✔️
BGVs ✔️
Band ✔️
Holy Spirit ☑️☑️
Now this is gospel music 👌🙌
True
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Just can't stop listening to this song. Guess its the 20th time now since it was released. 💪
Nce song,, Be blessed Mungu azid kukuinua
Ila tatizo visuruali vimebana sana jamani
@@georgegodfrey814 atleast wako karbu na wokovu c mbaya sio kule wanakosifia wanawake 2
Amen Paul mungu akubariki sana uzidi kumutumikia bwana mungu wetu wengi wanatafuta kibali hawakipati ila ww umepata
Huu wimbo sijawahi uchoka kabisa kila siku nimpya moyon mwangu zidi kubarikiwa sn Amiiiiiina 🤝🙏🙏💐
Gloooory! Bwana haufananishwi na kitu chochote! Wewe ni mwema! Ndiwe usiyeshindwa! Haleluuuuya! Pokea sifa na utukufu na shukrani Bwana!
WEWE HAULINGASHWI KAMWE,,,,WEWE NI WAPEKEEE,,, BWANA YESU,,,,
Ameen mtumishi wa Mungu , naomba ufanye tena mara nyingine nyimbo ya TUMECHAGULIWA NA MUNGU ...ni nzuri sana ila huwa haisikiki vizuri.amen
Ni kweli hashindwi Yeye ndiye mshindi milele barikiweni sana
Hulinganishwi na chochote kile God bless you you really touch my heart
Nakupenda xn paul mungu akubariki
Halinganishwi kamwe na kitu chochote kile,ni YESU
Nilisema na ntasema tena
NI WEWEEEE,USIYESHINDWAA
Napita hapa mara kwa mara kukiri kua HAKUNA KAMA WEWE YAWEH 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌😥😥
Nabarikiwa sana na uimbaji wako Clement toka ile nyimbo ya UMENIFANYA IBADA 🙏🙏🙏
Big up bro umenibaraki sana kupitia kazi yako hi
Barikiwa mtumishi Wa Mungu
nabarikiwa kila nisikililizapo wimbo huu
Cjawah kujua kuwa
Wameimba wawil huu wimbo saut znafanana mno
Who is also listening this year ??
Gonga like
Dah yani sijui hata nisemaje maana nimeshikwa na kukamatwa sana na wimbo huu najikuta natokwa na machozi tu napofikiri Mungu ananavyonishindia najua kabisa wimbo huu ni wimbo wangu najua Mungu wangu hashindwi kamwe.Paul yani wewe ni kifaa cha Mungu. Naipenda sana huduma yako.
Barikiwa sana ndugu paul gift ya kuimba usiizime baraka yako iko pale.
Macho yangu yote kwa Calvin john na DERICK marton
Umepewa kipaji Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juuu
Hii nyimbo kwanza ukianza kuisikilza uwepo wa mungo unashuka haraka na malaika wambinguni wanashuka bila kupenda
Just on rewind, Indeed God you compare to none, wewe ni wa pekee!
Aise!Mungu kaibariki Tanzania, hivyo vipaji vimenifurahisha sana!
Paul is trully a worshipper he's raising the altar in another level I'm trully blessed
Ni wewe usiyeshindwa Mungu,.Nina ushuhuda huu mwaka .
Napendaga tu nyimbo zako hakika umepakwa mafuta baba
Ni wewe usiye shindwa!!We really enjoyed singing this song last month when you visited EAST ASSEMBLY NAIROBI.Karibu tena Paul Clement
99
Here in October 2024! The anointing that this song carries, it will go for years.
Dar kwa maisha haya sasa hakika ni yeye tu
hii wimbo imeniponya mungu akubariki mara dufu
Ni wewe usiyeshindwa,nyimbo huu ni ombi la shukrani na kumwabudu Yeye aliyetuumba na kutupa kila kitu tukichi nacho. Asante Bwana kwa wokovu
Hakika ninapopitia shida matatizo na magumu naamini yupo mmoja asiyeshindwa aliyebeba madhaifu yangu,,, Yesu Kristo. Uinuliwe zaidi kaka
Ni vizuri kuona waimbaji wa Tanzania wakifanya vizuri kwenye hizi Live recordings! Ni ishara muziki wetu unakuwa. Lakini kwa mtazamo wangu kuna vitu bado havijaeleweka sana kwa Watanzania kama vile staili za mavazi! Tunavutwa sana kuwapendeza watazamaji na kusahau upande wa kumpendeza Mungu! Wenzetu kama South Africa kwao inaeleweka kwasababu makundi kama Joyous Celebration yako kibiashara sana, hauhitaji kuwa mlutheri au Pentecostal kuimba pale! Kipaji chako tu hata kama unanyoa viduku. Ila hapa kwetu huwezi kufanya hivyo. Ni vizuri kuzuia kadri iwezekanavyo kasoro ndogo ndogo kama hizi! Lazima tuhakikishe waimbaji wetu wanapata mialiako ndani ya Makanisa yetu kama wanavyoalikwa kwenye kumbi bila wasi wasi juu ya tabia zinazoleta aibu! Mungu awabariki sana.
ukiangalia vizuri huu wimbo ndo utagundua siku hizi waimbaji wanatukuza sauti zao naa madoido kuliko MUNGU
GREAT PAUL MUNGU AKUBARIKI, AKULINDE UPAKO UDUMU KWENYE HUDUMA YAKO
This song should be in the Aflewo 2019 playlist! Dope 💯🙌
Much love from 🇰🇪
We need such live experience here too.
I feel you gal💓
Prayers answered it's there
It was there led by Sister Joyce Omondi
It was!!
#usiyeshindwa
Waooh, amazing,,, kuna mahali MUNGU anaipeleka Tanzania kupitia wewe mtumishi Paul, barikiwa Sana sana na MUNGU azidi kukuongoza katika kuitenda kazi yake pamoja na kulitimiza kusudi
4:04 ~ 5:50 Bab Hapo umefanya Kitu kubwa Sana 🙌🙌💥💥 Sisi 🇹🇿🇹🇿 Tume pokea Bab
Viburi visiinuke juu yenu vijana wenye hofu ya Mungu,tunawaona wanaojiinua baada ya kuwa stars,good song
2023 bado twasema ni Mungu usiyeshindwa na lolote❤❤❤❤Barikiwa mtumishi😢
2024❤
Mungu awabariki, uwa napata faraja sana ninaposikiliza huu wimbo
Bro huwa unanifariji sana hakika mungu kakupa kipaji cha kipekeeeee
Niwewe usiyeshindwa Jehova
Nabarikiwa sana na wimbo huu unanitia moyo sana barikiwa paul
Ni Wewe mungu usiyeshindwa ameeni kubwaa
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri Mlio imba unao nibariki sana
Mungu afanyike Baraka sana katika kazi zako na hasa katika huduma yako umeubariki sana moyo wangu na huu wimbo
#Paul Clement wewe ni mtunzi mzuri
Jamani natamani ni click like button hata mara mia
Mungu amekuleta ulimwenguni ili ubariki watu wake... Nakutakia maisha marefu kaka
Ooooh...!!Mbarikiweee√
Nahisi Kitu Ndani Yangu Very Powerful Song..!!
Niwewe usieshindwaaa
Amaizing worship ila huyu Calvin John anavocal ya hatari sana big up God bless u
Utabaki milele na milele ni wewe usiyeshindwa bwana oooh love you jesus
Wew ni Mungu usieshidwa siku zote
Kwenye arrangements hapo Shkamoo 🙌🙌 Kaka Umebarikiwa sana sana yan... Mungu akuzidishe.
Asante nyimbo nzuri
Nampenda saana Paul na huyo bwana
Mungu akutumie kwa viwango vya juu sana unanibariki
One of my best worship ministers, Paul Clement. A very humble man. Since 'Umenifanya Ibada', I never miss your songs. From Kenya 🇰🇪 with love.
Nani nipo nae 2021 kuisikiliza #USIYESHINDWA 😊
Haulinganishwi kamwe na kitu chochote kile wewe ni wa pekee barikiwaaa mnoooooo
Wow. I love you so much brother Paul ,may God bless you. Napendezua sana na nyimbo unayo zi imba,ina nipa imani
Nabarikiwa sana na nyimbo za huyu jamaaaa
Ni wewe Bwana usieshindwa🙏🏽
Even with the Lockdown... Yeye Halinganishwi.. 🔥🔥🔥💯
It’s the wife @-7:10 for me 🤗🤗🤗🙏🏿Anna mwenye Madaha yake
Wewe
Haulinganishwi Kamwe
Na kitu chochote kile
Wewe ni wa pekee
Ni Wewe eeeeh...Usiyeshindwa...
Hakika yeye halinganishwi Maana matendo yake yanatisha sana
GREAT PAUL. UKO JUU. NAKUOMBEA MPENDWA SANA
Clement 😍😍
Now we're talking
About the next level
Now you are, it's fantastic
Anyway I give you YES with no count 🤙🏽🤙🏽🆗🆗
Mungu akubariki sana bro
The first part😩😊🙌♥️