Padre Dkt Kamugisha:"Asiyeweza anadharau"/Kisasi muachie Mungu/Ukitukanwa potezea" Dhamiri inalelewa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 23

  • @philiponjalika5769
    @philiponjalika5769 2 года назад +3

    Nabarikiwa sana kwa mahubiri yanayoufanya moyo wangu uyawaze yaliyo yakimungu

  • @leontinaaugustine4337
    @leontinaaugustine4337 2 года назад

    Amina nimebarikiwa naneno

  • @amanmallya8149
    @amanmallya8149 2 года назад +2

    Mungu akupe umri mrefu father uzidi kuinjilisha

  • @africabosco5407
    @africabosco5407 2 года назад +1

    Baba mungu aendee kukubariki sana mafundisho yako yaninigusa sana

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 года назад

    Tumsifu yesu kristor milele amina

  • @kamazimamgara5760
    @kamazimamgara5760 2 года назад +4

    Mafunzo yako baba Ni dila ya maisha yangu Mungu akuzidishie nguvu uzidi kunifunza🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @TitusNiwemugizi
    @TitusNiwemugizi 2 года назад +3

    Asante kwa tafakari

    • @nicolaussilayo8873
      @nicolaussilayo8873 2 года назад

      Baba mafundisho yako yanatia nguvu ninapoingia katika magumu ya kukata tamaa naimarishwa na mafundisho yako

    • @nicolaussilayo8873
      @nicolaussilayo8873 2 года назад

      Karibu jimbo la Moshi parokia ya Lowerere

  • @veronikadurangw9597
    @veronikadurangw9597 2 года назад

    Baba mungu akupe maisha marefu ila matusi mengine yanaumiza hasa mtu akutukanie wazazi wako inauma sana hasa ukiangalia hayupo katika ulimwengu huu

  • @dominicblass4319
    @dominicblass4319 2 года назад

    Tyk baba,nabarikiwa Sana na mafundisho yako, mungu azidi kukupa maisha marefu na afya njema.dom wa dsm

  • @lilycheruiyot1427
    @lilycheruiyot1427 2 года назад

    God bless you father 🙏 lhave learn something

  • @Irene-qt5zq
    @Irene-qt5zq 2 года назад

    Amina

  • @edwinerdwardsway3339
    @edwinerdwardsway3339 2 года назад

    Amina padre

  • @jacquelineshirima4017
    @jacquelineshirima4017 2 года назад

    Oooh Mungu akubariki padri ninapata faraja kwa mafundisho yako, Damu ya Yesu ikufunike baba!!

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 года назад

    Mtumishi tusi linaumiza sijui kams mtu atapotezea na hasa Wanaumia

  • @prossynakaganda5039
    @prossynakaganda5039 2 года назад

    Proscovia Patrick nipo napotezea

  • @vitusmrosso8643
    @vitusmrosso8643 2 года назад

    Dominka ya 21

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 года назад

    Kanisa zuri ila watu bado wako mitaani hawataki kusali kama wazungu wa Marekani na canada

  • @yuliasamwel9967
    @yuliasamwel9967 Год назад

    Amina

  • @MonicaEliud-iy4lu
    @MonicaEliud-iy4lu Год назад

    Amin

  • @MonicaEliud-iy4lu
    @MonicaEliud-iy4lu Год назад

    Amina

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Год назад

    Amina