Nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi wa Mungu Abihudi, Mungu aendelee kukutia nguvu tuendelee kubarikiwa na kipaji chako na Mungu aliye kila mahali jina lake liendelee kutukuzwa. 😭😭
Hakika Mungu awezaye yote,ametenda juu ya Abiud maana mahali ametoka ni mbali sana kuna haja ya kujifunza juu ya kumheshimu kila mtu,na kuheshimu Ndoto za kila mtu. MUNGU WETU AWEZAYE YOTE AKUINUE SANA SANA MTUMISHI WA MUNGU ABIUDI.🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Abiudi Onesmo nina neno la tumaini kwako,Mungu aliyekujua kabla ya kuzaliwa kwako ana kusudi njema na maisha yako,endelea kumtumainia yeye,inuliwa katika huduma wako.
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi, Mungu hutoa kwa wakati, Onesmo Abiud, Mungu alishapanda mbegu ya utumishi katika uimbaji, hakika Mungu akubariki na awe nawe. Tunabarikiwa Sana na nyimbo zako, tunawiwa kuchangia chochote sijajua kama kuna namna ya kuchangia tunachangiaje
Nimeanza kumjua kwa kumuona brothers mkoani kigoma akibiga kita la mdomo watu waki mzunguka kumshangaa nikiwa darasa la 7, ilikuwa 2002 Leo ndio anaonekana na jamii Hii ndio maana halisi ya usikate tamaa Mungu aendelee kukubaliki sana
Thank you Almighty God. Although I fall several times in sin, I won't leave your feet Lord Jesus. You're my creator, God, nobody else owns me. Although sins overwhelm me, I will forever never give up in seeking you. Thank you God for your abounding grace and love.
Mdogo wake ROJASI unatisha kipindi tupo shule wote nilikuchukulia vingine saiv nakupa big up, mwambie Kaka yako Nampa hai sana kitambo cjaonana nae tangu 2008
Acheni maneno mengi mlitaka abakie vilevile . Hii pia ni hatua acheni ujuaji wkt hamna mlichochangia toeni pongezi kwa waliojitoa kumsaidia kifikia hapo huo ndio uungwana na Kisha mtambue pia kutembea ni hatua na hii ndio hatua yake ya kwanza
Kenya tunakupenda.. Mungu ni mkuu.. barikiwa zaidi ndugu
This cover song is more sweet than the original song
God's time is the best❤💯
Nabarikiwa na nyimbo zako mtumishi wa Mungu Abihudi, Mungu aendelee kukutia nguvu tuendelee kubarikiwa na kipaji chako na Mungu aliye kila mahali jina lake liendelee kutukuzwa. 😭😭
Uimbaji wako na sauti yako hunigusa sana, wakati mwingine nimechoka nikikutazama imani yangu inarudi,sending love from Kenya❤,God bless you 🙏
Hakika Mungu awezaye yote,ametenda juu ya Abiud maana mahali ametoka ni mbali sana kuna haja ya kujifunza juu ya kumheshimu kila mtu,na kuheshimu Ndoto za kila mtu. MUNGU WETU AWEZAYE YOTE AKUINUE SANA SANA MTUMISHI WA MUNGU ABIUDI.🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Abiudi Onesmo nina neno la tumaini kwako,Mungu aliyekujua kabla ya kuzaliwa kwako ana kusudi njema na maisha yako,endelea kumtumainia yeye,inuliwa katika huduma wako.
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi, Mungu hutoa kwa wakati, Onesmo Abiud, Mungu alishapanda mbegu ya utumishi katika uimbaji, hakika Mungu akubariki na awe nawe.
Tunabarikiwa Sana na nyimbo zako, tunawiwa kuchangia chochote sijajua kama kuna namna ya kuchangia tunachangiaje
Nimeanza kumjua kwa kumuona brothers mkoani kigoma akibiga kita la mdomo watu waki mzunguka kumshangaa nikiwa darasa la 7, ilikuwa 2002
Leo ndio anaonekana na jamii
Hii ndio maana halisi ya usikate tamaa
Mungu aendelee kukubaliki sana
Who else as bn seen a dimension of Theophilus Sunday in this Man @Abiud you're a dimension
Tujiunge wandugu kwakusema tuzidi barikiwa na Abiud Onesmo kumu support aendelee mbele. kama unakubaliana nami gonga like au comment hapo chini🙏
Hii talent ilikua chini ya meza kwa mda mrefu Sai iko juu ya meza hawezi zimika tena🎉
@@PhaniceMuyoka-t7q Amen amen, ila inaitaji pesa ili aendeleye kwaku record naku shoot video.
Hii studio niwapi hii??
Nahitaji kureco
@@PhaniceMuyoka-t7qRoma Mkatoliki ametumika kumuinua Abiud Onesmo kupitia Wimbo wake wa NIPENI MAUA YANGU.
Mimi Leo siangalii bando.ntaangalia mara 5 hivi. Dah nakosa la kusema kingine zaidi ya kusema Mungu ainuliwe juu juu sana
Bro ni munoma sana wewe keep it up mzeeee
Ubarikiwe sana baba🙏🙏🔐💪🏽🥰🥰
We thank you God.
You are really a faithful God.
You've lifted him from Grass to Grace.
May your Name be glorified Lord Jesus. 🎉🎉❤❤
Mungu ushajua haja za mioyo yetu hata kabla hatujatoa sauti...❤😢
Am crying😢😢😢the emotions of this song...and expression its more than exact song....ooh my lord 😢😢😢I give you thanks...
Barikiwa mtumishi huduma njema ❤❤
This guy . Thank you for giving him the platform. This was a hidden treasure.
Hakika mungu ni mkuu Kenya we love you may God bless all your songs
ebwana hakika mungu nimwema hutenda jambo kwamuda wake
Hakuna jambo gumu mbele za Bwana...Barikiwa Mtumishi wa Bwana.
Kenya 🇰🇪 tunakutambua kaka.
Shukuruni zangu ni kwako 🎉❤
saafi abiud mungu abariki kazi yako
When I listen to this song I can't even pray I cry the whole session 😭😭😭
Nashukuru Mungu kwa neema yakunikomboa kwenye dhambi kali nilizo fanya nausaliti mkubwa
Kali sana worshiper huyu...🙏🙏
God's for the sake of coming generations lift this grace more heights 💪......God of all ...🙏
🙏 🙏 🙏 🙏 Mungu mahali umenitoa 😢 umenifuta machozi , shukran zangu ni kwako 🙏 🙏
One thing I love from this man he sings in truth and spirit,,,,,may God continue using you my brother ❤❤
Tulikuwa tunamuona kama kipofu wa Imani,kumbe Mungu alikuwa anawaza mbali juu yake
Kwa kweli
Ameen
Yani ata jina Aibud ina malengo ya wokovu dani yake you're soo talented I like you soo much when I listen at you huwa na jazwa na roho mtakatifu😢
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Pokea shifa Bwanawa majeshi,hakika ahadi zako ni Amina na Amina Umetenda nimeona.
Waoooh🙌🙌🙌 amazing vocal amazing sound💪
Thank you Almighty God.
Although I fall several times in sin, I won't leave your feet Lord Jesus. You're my creator, God, nobody else owns me. Although sins overwhelm me, I will forever never give up in seeking you.
Thank you God for your abounding grace and love.
This is my prayer as well,, thank you Jehovah for you have assured never to leave me 🙌
@mercywanjirukariuki6272 Amen
Mungu ni mwaminifu kweli. 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana abiudi
Mungu ni mwema sana🙏🙏
Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi, na Jina lake Yesu litukuzwe
Amen barikiwa sana mutumishi wa mungu 🙏🙏❤❤🎉🎉🎉
Mdogo wake ROJASI unatisha kipindi tupo shule wote nilikuchukulia vingine saiv nakupa big up, mwambie Kaka yako Nampa hai sana kitambo cjaonana nae tangu 2008
Mambo ya mungu hayazuiliki
Ubarikiwe baba kabisa Mungu aendeleye kukuinuwa kwa kazi zake 🙌👐🙌
Hongera kaka🔥🔥🔥🔥
Uchaguzi wa studio uzingatiwe, abiudi sauti yake tu inatosha sana.na inafanya vizuri sana sana
yeap.... inaonesh kabisa manjonjo yamekuiwa mengi aisee
Alafu abiud ana nyimbo zake
Auto tune imepoteza ujalisia wa ile sauti yake.
Acheni maneno mengi mlitaka abakie vilevile . Hii pia ni hatua acheni ujuaji wkt hamna mlichochangia toeni pongezi kwa waliojitoa kumsaidia kifikia hapo huo ndio uungwana na Kisha mtambue pia kutembea ni hatua na hii ndio hatua yake ya kwanza
@@andrewmagwila1602ameen mtumishi kila kitu ni hatua hii niliyonayo Sasa namshukuru Mungu kwangu ni hatua kubwa sana
The lords doing..more blessings to you. I thank God for you
Anaimba huu wimbo kutoka moyoni kweli 💪💪🙏🙏
❤❤❤❤❤ more than gooooooood
Asante sana kwa kazi nzuri Ila studio isikazie sauti sana hiyo sauti yako tuu inatosha
Blessed sana mtumishi i remember. Sehemu mungu amenitoa😢😭😭😭😭
Yesu azid kukubariki kwa kazi nzuri
Hallelujah 🎉🎉🎉🎉 shukrani zote ni kwako.......Thank you lord🙏🙏🙏
UBARIKIWE na kutunzwa ZAIDI hata na uzao wako baada yako 1 WAKORINTO 1:9🙏💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🙌🙌🙌🙌🙌
Asante Abiud kutuweka karibu na Mungu. Ubarikkiwe sana katika utumishi huu
Nyimbo zako huwa zina ni guza moyo
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Roho mtakatifu akusaidiye uendelee na utumishi wa kweli, kibaya katika yote ni kujitakia sifa, kuliko kufanya kwa ajili ya Mungu.
Point
Wakati wa mungu ni wakati sahibi kutoka mwibaba bweranka kigoma adi mwanza sio rahsi🎉
😢😢😢 😭 nashukuru ee mungu I really lack words to say to you because you've been always there for me andy family I can't thank you enough 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Unaniuzi kuimba kava unatalent kubwa sana tunataka tukuone Abiud kama Abiud kaka unatuuzi
Mungu ni mwaminifu kwa wale wamtegemeao hawezi kuacha waaibike❤❤
Barikiwa sana❤❤
This one is very powerful my brother... You're going internationally
This song is an inspiration in heart ,,the words are true in my life ,,God does
Duh!,cna la kusema mbele za Mungu kwakweli
Abiud Muda na Majira ya Bwana yakifika hakuna wa kuzuia,Shukrani kwa Bwana
Hakika mungu ni mwaminifu saan🙌🙌🙌
Uuh
Shukrani zangu ni kwako Mungu😊
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi,Mungu azidi kukuinua juu
Nashukuru mungu kwa uhai ulonipa🎉
Mungu azidi kukuonekania katika huduma yako
Hongera sana abiudi yote ni mapenzi ya mwenyezi Mungu nenda mbali zaidi na zaidi ila usisahau wana mwanza
Umeimba kuliko mwenye nyimbo
Kabisa. Ubunifu wake ni wa hali ya juu sana
Barikiwe sana famiia yangu unatupenda sana
Barikiwa sana ❤
Wooow Abiud Mungu azidi kukuinua tu kwa utukufu wake.
Mungu hazidi kukutunza kijana umejitoa sana kwa mumbaji wako😻
Mungu akubariki Sana❤❤❤
Hongera sana ,Nabarikiwa sana Na Abiud
@NjeruEk
Just seen this song, blessed and prescription pap❤
May God continue lifting you to greater heights..indeed you've a reason to appreciate him for the far he's brought you .
Hongera sana,Mungu azidi kuinuliwa kwa huduma yako
Mungu azidi kukubaliki🙏🙏
Fanya michakato ukutane na producer Mixing doctor mfanye jambo
Mungu azidi kukuinua kaka yangu
Mungu amefanya🙏🙏
Utunzwe na yesu abiudi
Welcome to Kenya 🎉 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪s🇰🇪
Hata mie shukran zote nikwa Mungu wetu juu mbinguni.
Amina kubwa Mungu ni mwema kbs
Be blessed ndugu
Amazing bro, keep it up
Go go go my brother sky is the limit....IPO siku
Amen may God bless you brother
Amen balikiwa sana ❤🙌🙏
Neema ikupeleke mbali kaka❤❤❤❤
Safi sana barikiwa sana nimerudia mara kumi
For sure.....you are going very far....you are a blessing to many mostly to me 🙏🙏🙏🙏
Bwana Shukrani zetu Amen
Barikiwa sana❤🙏