Hello! Asante kwa maarifa haya. Naomba niulize, hapo unaposema namba ya Hisa alizo-issue kwenye soko, m.f. umesema CRDB ameissue share trillion 2.16, mbona hatuioni hiyo figure au unaionea wapi?
Habari Tusajigwe. Tunaomba uwasiliane nasi kupitia 0764 269090 au kwa barua pepe solomonstockbrokers@solomon.co.tz na kutupatia majina yako kamili pamoja na CSD account namba yako tuweze kufuatilia oda yako.
Unafanya vizuri sana,endelea kutupa maarifa Solomon
Nafurahia huduma zenu
Tunashukuru sana
Where is issued shares
Hello!
Asante kwa maarifa haya.
Naomba niulize, hapo unaposema namba ya Hisa alizo-issue kwenye soko, m.f. umesema CRDB ameissue share trillion 2.16, mbona hatuioni hiyo figure au unaionea wapi?
Mimi zangu niliomba ziuzike toka mwaka juzi lakini hadi Leo sijapata mrejesho wowote
Habari Tusajigwe. Tunaomba uwasiliane nasi kupitia 0764 269090 au kwa barua pepe solomonstockbrokers@solomon.co.tz na kutupatia majina yako kamili pamoja na CSD account namba yako tuweze kufuatilia oda yako.
Jinsi gani ntaweza kununua hisa za nje mfano Tesla,alphabet,Nio nk
Habari Vanlizer. Soko letu la hisa hapa nchini haziuzi hisa hizo.
Nataka kujifunza kununua hisa
ruclips.net/video/kkaxZAP23Qo/видео.html
Vp natak nibadilishe brocker
Za crdb