Vunja bei nakuomba mtoto wangu anzisha na pharmacy uvunje bei dawa ni ghali sana. Utaokoa vifo vya watu wengi wasio na uwezo wa kununua dawa bei kubwa. Anzia Kahama hiyo hiyo
Hapo kwenye kuvua mashati huko wanakokwendaga😂 naona vunjabei kambonyeza dotto magari maana alikuwa anaelekea kuharibu interview 😂😂😂 hongera sana vunjabei kwa hekima na busara😂
Watanzania wanapenda kelele nyingi ii! Sasa duka ndogo kama hili watu wote wamekuja tu kutazama na kuskiza huyu mrasta? Hapa Kenya hili ni duka ndogo sana na haliitaji kujulisha watu.
Doto ana jua kuonge kwawakat gan na sehem gan nanni chakuongelea
Doto yupo vizuri
Wachawa wako china mwijaku na babalevo😂😂😂😂😂
Good job Vunja bei nakubali sana bila Kumsahau Doto magari na hapa ipo😂🔥
Dotto magari mtoto wa mama kizi mkazi wewe kweli MZARAMO
Nakukubali saana doto
Ushawahi kusimama jirani na mkuu wa wilaya? Hongera doto magari, MUNGU akuinue
mganga wako upo vizuri
Vunja bei e Harmonize juntos irão longe
😮huyu vunja bei yupo vizuri.
The influencer
Huyo nae anatapika kuongeoa kama anahara magari mdomo wa mbweha
😂
Wamekwenda kubeba box za vibiriti 😂😂
❤ mm kuku wanne ? Mmm Dito magari
Vunja bei nakuomba mtoto wangu anzisha na pharmacy uvunje bei dawa ni ghali sana. Utaokoa vifo vya watu wengi wasio na uwezo wa kununua dawa bei kubwa. Anzia Kahama hiyo hiyo
Pale kariakooo anazophamacy
Mbona anayo muda mrefu Kariakoo
Someshen wtt wasiombe pesa
Kwa sasa huyu jamaa anapiga hela tumuache tu😂😂
Iforensa brother 😂😂
Afai maisha bn daah nakubal dotto
Brother fafanua jamaa gani Dotto mweu au fredy manguo???
@@edwinamos9734 yeyote utae mfikiria
Hapo kwenye kuvua mashati huko wanakokwendaga😂 naona vunjabei kambonyeza dotto magari maana alikuwa anaelekea kuharibu interview 😂😂😂 hongera sana vunjabei kwa hekima na busara😂
Na hapa ipo
kuku wangapi anakula kamanda
Doto hakuna km ww km juz umenitemea cheche
Oya una baya brooohh🎉🎉
Dotto hio ni Kahama Municipal Council
Dotto kauwa Machawa wa Kigoma amewapuliza washakua Machizi kule China wanabeba mabox 😂
Huyu mama nilithn ni wolp nlivyosikia sauth yke kmb sie...
Kaka vuja bei Mimi naomba kazi uniajili dukani piya ninauzoefu wakuza duka
Mzaram ana nini Dunia hi?😂😂😂😂😂😂
Vunja bei awez bila chawa
Kahama sio mkoa ni wilaya
Kaka doto safi sana
🔥🍁✌️
NJOO TARIME UONE UTAKAVYO UNZA NGUO NDUGU YANGU
#mamakizimkazi
Dotto ❤🎉
Dotto anajua huyu jamaa afai dah maisha bhn
B 3 au b4
Mmmm kweli we ndoto magari unakuja kama gari
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Naapa ipo
ahahaha aaaa b4 mala b3
Unapeperushabendeadotoo
Watanzania wanapenda kelele nyingi ii! Sasa duka ndogo kama hili watu wote wamekuja tu kutazama na kuskiza huyu mrasta? Hapa Kenya hili ni duka ndogo sana na haliitaji kujulisha watu.
Hovyo
Tuonesheeeeee lakwakoooo tulioneeee wachaaaa roho mbaya
@@energeticmbn4596la kwako likowapi, bakini na kiingereza chenu, na ukabila wenu unanuka chakula kinatoka huku, wajinga nyingi
Wakata wako sai dotto magari wakuache bana 😂😂😂😂
nchi ya watu wa hovyo😂😂
Hajui kuongea kahama sio mkoa bwana
Kuongea anajua huyu hajui kusoma wala kuandika kwaiyo haelewi mkoa wala wilaya