KIPINDI MAALUM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARRICK GOLD CORPORATION JUNE 17,2017

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 июн 2017
  • KIPINDI MAALUM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARRICK GOLD CORPORATION JUNE 17,2017

Комментарии • 124

  • @adomhagama6902
    @adomhagama6902 7 лет назад +24

    aya mambo kumbe yanawezekana.
    watanzania waoga waliogopa lkn mwisho nao watasimama kama watanzania.
    tusimame pamoja kwa ajili ya tanzania tusimame kwa ajili ya future ya tanzania.
    Mungu ibariki Tanzania

  • @jamesluteli7864
    @jamesluteli7864 Год назад +6

    WHO IS WATCHING THIS WITH ME NOW!!?.............WE NEED TO RISE UP AND TAKE ACTIONS SUCH AS THIS FOR A BETTER AFRICA!

  • @rajaburamadhani6034
    @rajaburamadhani6034 7 лет назад +10

    Rais wangu,Ni ukwel uciopingika moyo wangu unaamani sana,cna chakusema mkuu ila Allah atakulipa

  • @Lex_review
    @Lex_review 7 лет назад +12

    im in UK and i together with my family we are now proud to Tanzanian #my president my coutry

  • @raymondndosi5553
    @raymondndosi5553 7 лет назад +6

    Natamani JPM angempokea Mwl. nyerere , tungekuwa mbali sana leo . ila tusichoke tulimsubiri kwa mika mingi leo Mungu amemleta Rais (kama masiya vile) , tumombee Mungu amtangulie kila anapo pita, hakika maisha yetu yatabadilika tu. potelea mbali tutapata shida kwa kipindi kifupi tu ila tumaini lipo na linaonekana. 'Mungu akulinde baba'

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 Год назад +3

    The best negotiation ever to happen in Tanzania. The beat news ever.
    We are so blessed to witness that. God bless our leader JPM and give more wisdom and courage to our African leaders.
    Africa is not poor but poor mindset and poor vision.
    God help and bless Tanzania and Africa.
    We need hige Transformatio

  • @neozoran244
    @neozoran244 Год назад +7

    Greatest Of All Time (G. O. A. T) ❤️💪

  • @cemdotanzaniacemdo3216
    @cemdotanzaniacemdo3216 7 лет назад +7

    Nitabaki mzalendo kwa nchi yangu Daima---Gerry

  • @7ndasir323
    @7ndasir323 7 лет назад +6

    Magufuli mtumwa wa Mwenyezimungu, ... Afya njema milele rais wangu

  • @benjaminabisemba5331
    @benjaminabisemba5331 2 года назад +8

    RIP mzee wetu JPM 😭😭😭

  • @elisantewawa3047
    @elisantewawa3047 7 лет назад +6

    Ni kweli kuna watu wanachuki na Hawa wazee mungu atawalinda asante MUNGU

  • @paulhando6286
    @paulhando6286 2 года назад +3

    Umeondoka baba wa wanyonge, Mungu atakulipa kwa yale uliyotutendea Watanzania na bara hili. Vigumu kufutika katika nyoyo za wanyonge

  • @mokhimji
    @mokhimji 7 лет назад +6

    The fact that Mr. Thornton said he is looking fwd to "Resolve" the "Problem" with a "Win-Win" situation clearly indicates that they were categorically aware the Mining activities in Tanzania were NOT a "Win-Win" scenario and that the Tanzanians were being looted! This is a big problem with Multinationals since they are only Profit oriented. Thank you JPM for putting the record straight.

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 лет назад

      Mohammed Khimji asalam aleykum!

    • @habiblalji8756
      @habiblalji8756 8 месяцев назад

      Mo khimji well said even if it was six years ago ...May he rest in peace!

  • @azizisalimu3828
    @azizisalimu3828 7 лет назад +2

    Asante Raisi wangu,, Endelea kutupigania Mungu ndiye atakae kulipa inshaallah..

  • @shukuruexperius5035
    @shukuruexperius5035 3 года назад +3

    Sijuwi kwakweli kama atatokea mzalendo wa kweli kama huyu sijuwi kwakweli Jpm hongera sana

  • @tatulalia8211
    @tatulalia8211 Год назад +2

    Kidume cha Africa
    Utakumbukwa daima dad

  • @freudntanama7839
    @freudntanama7839 7 лет назад +2

    Mungu awape uimara na upendo pia uzalendo. penda sana inchi yangu Rais wangu na wasaidizi wake wote. Mungu ibariki Tanzania

  • @oricktunyoni3143
    @oricktunyoni3143 2 года назад +1

    Mpaka kesho nntazidi kukuangaliaa... My prezdent na nmepata chakuwasimulia watoto..... Nataka kua kama wew

  • @francishimangi2695
    @francishimangi2695 Год назад +2

    we remember your forever for every where you're

  • @Olaiserriomunyak1059
    @Olaiserriomunyak1059 День назад

    🔥🔥🔥 yani mpaka wazungu walikunja mikia. .. Lala salama Baba JPM.

  • @shabbyprotus6552
    @shabbyprotus6552 2 года назад +4

    Dah sasa mbona huyu mzee alikua anataka watanzania wote tunufaike ni kwanini walimuua baba wa watu jamani hizi mali tutaziacha jamani utu kwanza et

  • @shalomjoseph4754
    @shalomjoseph4754 3 месяца назад

    Tunakukumbuka sana JPM,

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 Год назад +3

    Ukweli uliipenda nchiyako kwa moyo ote nasi tunaendelea kukupenda japo hat uko nawe tutaendelea kukuenzi na kuheshimu michangoyako sikuzote.
    R I P Baba

  • @kenethfanuel4015
    @kenethfanuel4015 3 года назад +2

    Mungu mlinde rais wetu magufuli.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 Год назад +2

    We love JPM in our heart and we love Tanzania with all our heart

  • @asumanonchari7463
    @asumanonchari7463 2 года назад +2

    BABA kheri ungerudi uangalie taifa lako

  • @rusirimir4238
    @rusirimir4238 7 лет назад +2

    huyo ndio raisi wa wanyonge Mungu akulinde Baba..Barikiwa

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 4 месяца назад

    is same people the kili you father we never know but is fine we always pray God is good always

  • @Almas120
    @Almas120 7 лет назад +2

    change date please 17 june 2017

  • @renatusndyamkama8250
    @renatusndyamkama8250 7 лет назад +5

    well done Mr president

  • @johnmalila1485
    @johnmalila1485 7 лет назад +2

    Vision with action can change the world thanks in advance Dot john pombe magufuli my president aluter continuer

  • @stokiamkuju4907
    @stokiamkuju4907 2 года назад +1

    Yohana umeleta njia tunamgonja Yesu ila hatujui ni lin?

  • @mosesedwardmagembe9657
    @mosesedwardmagembe9657 7 лет назад +2

    Big up my President. Together we will go further.

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 Год назад +1

    Well said
    Well done

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 Год назад +1

    We miss you dad

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 Год назад +2

    Najua kuna kupatwa na simanzi lakin tangu nimezaliwa na sasa mimi ni mtu mzima sukuwahi kupata simanzi niliyo pata kwa kifo cha j,p,m na sinitokaa nipate tena simanzi kama hiyo hapa duniani,R,ip shujaa wa nchi yangu tutaonana baadaye.

  • @MultiHeriel
    @MultiHeriel 7 лет назад

    Pongezi kwa Mh. Raisi na Serikali yake nzima kwa kazi nzuri.

  • @davidcosmas9055
    @davidcosmas9055 7 лет назад +3

    Mungu akutangulie tunakuombea Mkuu wetu.

  • @peterkavishe2226
    @peterkavishe2226 7 лет назад

    mungu akupe maisha marefu baba yetu raisi ukiendelea hivi utawale daima

  • @adilanil2318
    @adilanil2318 Год назад +1

    You are very positive my presdent JPM rest in peace

  • @octavianzubery6266
    @octavianzubery6266 3 года назад +1

    mungu akubaliki sana baba

  • @dollokasuka8131
    @dollokasuka8131 Год назад +1

    Magufuli, ulengosha sana!

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 4 месяца назад

    Ndowalikuja na sumu hao yakum.maliza baba yetukipenzi mabeberu hao washenzi sana nao wata farikitu one day is one day

  • @omarimusa4069
    @omarimusa4069 7 лет назад +2

    asnte sana pongezi kwako mweshimiwa jpm wamezoea kutuibia wakamatwe hao walio saini mikataba na uwafunge Maisha

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 7 лет назад +4

    aibu ya Tundu Lisu kusema tutalipa badala ya kulipwa. yaan sijui kwanini ukiwa upinzani n lazima upinge hata vile ambavyo vinamasrahi kwa taifa

  • @josephsulusi9037
    @josephsulusi9037 Год назад +1

    Upumzike kwa amani mzee wangu JPM

  • @nurdinngwegwe2943
    @nurdinngwegwe2943 Год назад

    Ukweli Ni Kwamba Ninakuombea Kheir Akhera Na Nakukumbuka Kila Wakati Fulani. Na Hunitoka Machozi Kinamna Flani. NIMEKUELEWA BINADAMU HAFUNDISHWI HURUMA. NI UTU MAADILI BUSARA NA KUHESHIMU SHERIA. (ULALE PEMA. MUNGU AKUPUNGUZIE ADHABU ZA KABURI. AMEN

  • @francishimangi2695
    @francishimangi2695 Год назад

    am feeling happy to a citizen of tz God bless me

  • @faidamanoni2285
    @faidamanoni2285 7 лет назад

    You have my vote 2020...ur the only president who can stand for his Nation in Africa. I'm proud being Tanzanian under Magufuli, I hope our father J.K Nyerere is happy & enjoying now in heaven having his substitute.

  • @hamadrajab8042
    @hamadrajab8042 9 месяцев назад

    Prof kabudi, is so keen about the fact that all predecessors and successors president are embracing each other despite of declining democracy and human rights, i don't view that as achievement or something to be proud of.

  • @kimanimain9239
    @kimanimain9239 Год назад

    God bless you tanzania I love so much for tz ❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 7 лет назад

    Rais wetu Mungu akubariki kwa moyo huo kiukweli hata mimi sikutegeme kama utachukua hatua Kali za namna hii kwa kweli ni uthubutu wa hali ya juu

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 Год назад

    SIMBA wa Africa
    Pumzika baba
    Mengi umefanya
    Mungu ailaze Roho yako mahali pema peponi

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 Год назад +1

    Yaani huu wimbo ukiimbwa unapata ujumbe thati kutoka moyoni.

  • @t1910j
    @t1910j 7 лет назад +1

    All the way from California, USA. Congratulations Mr president. I'm proud of you. This is just the start. We are our own worst enemy for going into these bad contracts. But it's time we wake up and our future is in our own hands. Congratulations president Magufuli.

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 лет назад

      t1910j wazawa tutakuwa tunakuja huko kama twaend k/koo 😉😆

    • @t1910j
      @t1910j 7 лет назад

      Karibuni sana. I can't wait for the day that will be possible :-)

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 лет назад

      time is always the best healer!

  • @mbokaandbahatitv8509
    @mbokaandbahatitv8509 7 лет назад

    Mungu akubariki rais wetu mpendwa Mh. Dr. John Pombe Magufuli

  • @muhundaramadhani5057
    @muhundaramadhani5057 Год назад

    Gooood job comrade

  • @KichwaHuru
    @KichwaHuru 7 лет назад +2

    Long live, the long awaited Rightful Ruler!!!

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 года назад +1

    We waited 4 u Magufuli...... now u r our president.... Take us 2 da promice land

  • @josephsjohnmk636
    @josephsjohnmk636 Год назад +1

    Tumepoteza rais wa kweli sioni kama Kuna rais anaweza kuja kuyafanya haya! RIP JPM tunaendeleea kukukumbuka daima!!

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 7 лет назад

    mungu akupe nguvu rais wetu magufuli.

  • @SOMEtimeTV-qw3wq
    @SOMEtimeTV-qw3wq 10 месяцев назад

    Mr President

  • @emanueluhaya3
    @emanueluhaya3 Год назад +1

    Rest in peace baba

  • @petermwanitipowvp9514
    @petermwanitipowvp9514 Год назад

    Mungu naomba uibarik nchi yetu tanzania

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 лет назад

    Well done Mr. Prezzo...

  • @samsonmwijage5301
    @samsonmwijage5301 7 лет назад +1

    Be Titus Maridhia kumbe nawe umemgunfua tundu lisu, yaani anapinga na Kisha anajipinga yeye mwenyewe.

  • @samolamahona2920
    @samolamahona2920 Год назад

    NAIPENDA SANA HII

  • @johnpeter9051
    @johnpeter9051 Год назад +1

    Hatuta kusahau

  • @mathiaskalulu31
    @mathiaskalulu31 7 лет назад +1

    VIVA JPM

  • @philiplenardsylvester6063
    @philiplenardsylvester6063 Год назад +1

    Pumzika kwa amani amri jeshi mkuu JPM 😭😭😭😭

  • @mohamedkhalifa6014
    @mohamedkhalifa6014 10 месяцев назад +1

    Pumzika baba yetu utakumbukwa daima,hii nchi wewe ndo uliiwezea

  • @Oncer-xe1gr
    @Oncer-xe1gr 7 лет назад

    ohoo

  • @geraldmbhosy8043
    @geraldmbhosy8043 7 лет назад +3

    badilisha katiba utawale mpaka muumba atakapo kuiitaji

  • @rajabumaftaha3838
    @rajabumaftaha3838 Год назад

    "The kind people live shortly". I don't think if Tz will get the ruler like JPM once again.

  • @user-fx5re5hu8i
    @user-fx5re5hu8i 11 месяцев назад

    😂😂😂😂 mungu akulinde

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 Год назад +1

    Ndoto za HAYATI JPMAGUFULI zinatoa matunda yaliyojaa haki, na haki tupu. Haki huinua Taifa. Nimejifunza, watanzania tumebarikiwa tutumie baraka hizi kupiga HATUA KUBWA KWA UCHUMI WA NCHI.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Год назад +1

    Kipokea uchumba kimetolewa , kikiongozwa na mwanasheria mkuu wa wakati huo Profesa wa jalalani (KABUDI) (TRAB NA TRACK).Wa Tz tumepigwa kipigo cha usanii wa Albunuwasi. Tume imeundwa na Magu na kuwapa ma V8 haitowataja asiotaka watajwe na kwasababu kapewa kijiti na Kikwete. Mkapa ktk kitabu chake kakiri kuchota mabilion ya pesa za walipa kodi.

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 Год назад

    Saa hii vipi,nani kabadilisha hayo hadi mizigo inaondoka burebure na haitolewi hadharani migawo au mapato yatokanayo na Madini????????

  • @georgegeorge9688
    @georgegeorge9688 Год назад +1

    Wewe ulikuwa mkombozi mkubwa wa watanzania ila nimejifunza kitu, itapofika MUNGU Atakapoinua hasira yake, kupitia maumivu ya mioyo yetu, tutapata mabadiliko, kama awamu ya Tano,

  • @noelmichael9425
    @noelmichael9425 2 года назад

    😭💔

  • @stephensinka5616
    @stephensinka5616 Год назад

    Heaven Father protect this person at Heaven.

  • @Mkrist
    @Mkrist 7 лет назад +1

    Kwa haka ka katoto Katundu Lisu kasichukuliwe hatua na hutwo twote tukina Msigwa, Kubenea, na twingine twingi twingi tujinga na tupotoshaji. Hutwo twote tunaotakia Tanzania na viongozi wake mabaya. Hayo magazeti kwa nini yasifutwe? Dunia nzima ukileta ujinga ujinga unashughulikiwa.
    Please, fanya kitu kwa hutwo tujamaa

  • @rutgardmbombwe3715
    @rutgardmbombwe3715 7 лет назад

    live forever mr.president

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 Год назад

    Kabudi babaa!!!!

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe Год назад

    😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘🤫

  • @amigodossantos4129
    @amigodossantos4129 Год назад

    Daah Magufuli the really leader

  • @emmanuelbonifas2804
    @emmanuelbonifas2804 Год назад

    Pumzika kwa aman baba kazi yake uliitenda vyema mwenye masikio alisikia na mwenye macho aliona leo hii yale yale kila kitu ovyo

  • @johnhaule4759
    @johnhaule4759 7 лет назад

    Jpm ju juu juuzaidi wanafiki wote yamewashuka.wanafiki kwa kofia ya upinzani wamekwisha wanaona haya Asante Jpm mungu akutangulie. sasa mabush lowyer ongeeni na mpost kwenye mitandao mitazamo yenu. JPM mwendo ni huohuo kanyaga twendee kitaeleweka

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 лет назад

      John Haule sasa uchama unaingiaje tena apo!

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 лет назад

      John Haule sasa uchama unaingiaje tena apo!

  • @sirvestartumia1064
    @sirvestartumia1064 Год назад

    Halafu leo mnasema JPM aliisamehe hiyo pesa .kabudi.mwigulu muogopeni mungu laana hii haitowaacha salama watu wanateseka nyingi Wala hamuoni Wala hamjali yaani hamna tofauti na marekani na washilika wake.

  • @yussuftaimu986
    @yussuftaimu986 Год назад

    Baba

  • @rashidamzomoz8180
    @rashidamzomoz8180 7 лет назад

    piga kazi rais wetu achana na hao wapumbavu Wa akil

  • @user-cb9ct4bt4h
    @user-cb9ct4bt4h 8 месяцев назад

    Raisi ambae alishinda ata Mandela, baba wakweli wa taifa la Tanzania.

  • @gibusonsimon458
    @gibusonsimon458 2 года назад

    Bahatibukuku

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 Год назад

    Yote kayamaliza Mzee wetu Kabudi.

  • @andrewmalamsha3042
    @andrewmalamsha3042 4 месяца назад

    MUNGU kaz yako haina makosa wewe ndiye MUNGU wa wote tupe kiongozi mzuri kama huyu

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 Год назад

    Angalia haya maamuzi magumu yaani jamani Magu!!! Halafu tunamsema vibaya jamani!!

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba352 3 года назад

    Tundulissu bhana ,anatujaza ujingaaa ili apate madaraka

  • @shindapapaya9194
    @shindapapaya9194 7 лет назад +1

    😂😂😂😂 wale wote vibaraka mliokua mna tutisha eti tuta shitakiwa mjiandae na kuburuzwa mahakamani na nyie wenye kumiliki magazeti njaa na tv zenu za ajabu ajabu dawa yenu ina chemka shikamoooo JPM pamoja na serikali yote kwa ujumla endeleeni kui nyoosha nchi yetu

  • @geofreymaghali183
    @geofreymaghali183 7 лет назад

    Nashauri, viongozi wa dini wapewe nafasi ya kuombea kikao cha pili na hao 'wavunaji' kwani inatia mashaka namna akili za wasimamizi wa raslimali zetu huko nyuma zilivyoamua pasipo kumfikiria mtoto wa masikini huko kijijini asiye na Huduma Bora ya afya au hata wajukuu baada yao: Akili ya kawaida inagoma kuamini kwamba wasomi wetu walitoa madini yetu bure (asilimia nne!!!!!!) Kwa mgeni pasipo kusikia uchungu.......!!!!!!!

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 11 месяцев назад

    Tumekukoswa magufuli sioni wa kuyafanya naona wengi wezi tu