MCHIZI ANADHARAULIKA UKWENI KISA HANA PESA | KILICHOTOKEA KITAKUSHANGAZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 364

  • @MISSAGOLDARTS
    @MISSAGOLDARTS 2 месяца назад +15

    Mamamkwe katoka Zanzibar 😂😂 Naomba like 1 tu

  • @jovinmahende
    @jovinmahende 2 месяца назад +35

    skia mwanang tulia to sidhan kama tutaipata leo tutaipata sku nyingne nakuahd naomba utuliee😂😂😂😂mzee konka unakiwashaa mbayaaa🙌🙌

  • @OfficialHappy-zo6zq
    @OfficialHappy-zo6zq 2 месяца назад +8

    Babeeee❤
    Here again umefanya kama hufanyi tena😊
    Nakupentaaa😘

  • @mudrickmohd
    @mudrickmohd 2 месяца назад +7

    Dah mwanangu una jua sana ila ombi langu km ungetuletea ile money hest ya kizungu dai ingenog sana good job broo

  • @Katuni862
    @Katuni862 2 месяца назад +16

    Wazanzibar tumefikwa😅❤❤❤❤

    • @AzizaSaidy-m6e
      @AzizaSaidy-m6e 2 месяца назад

      Nakwambia 😅

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Месяц назад

      Mimi mwenyew nimecheka tumefikiwa balaa wazanzibar😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @joeljr30
    @joeljr30 2 месяца назад +32

    Sheeesh 🔥🔥 tuma namba utumiwe ya soda ndugu yang Izkonka

    • @VitalessGalus
      @VitalessGalus 2 месяца назад +3

      konka ni mtu na nusu Hana story frani amengiz Tisha sana saluti kwake hongera pia kwa kazi nzur

  • @taladyver48
    @taladyver48 2 месяца назад +24

    E 7bits 🙌🙌 Akuna Recap Yako Ambayo Sijaangalia zote ni atari kk 👍

    • @lulupius62
      @lulupius62 2 месяца назад +2

      Kama Mimi anii memalizaa zotee❤🎉

    • @taladyver48
      @taladyver48 2 месяца назад

      @@lulupius62 Ni Atar Recap za Akili sana 🤩

  • @Habiba_q4x
    @Habiba_q4x 2 месяца назад +8

    Leo nimewah kwa mara ya kwnz❤

  • @WitnessOchora-dd1gm
    @WitnessOchora-dd1gm 2 месяца назад +6

    Jmn cjawai ila ngoma kali bro yan tunataka ngoma juu y ngoma hatutaki kuema tupe vituu kali ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AbdallahMchia
    @AbdallahMchia 2 месяца назад +5

    Mwamba unamuvi mzuri sana E7bit unajua mwamba

  • @FATMASULTAN-j2p
    @FATMASULTAN-j2p 2 месяца назад +4

    Big up broo unyama mwing nimeilike san tupe mzigo mwengineee❤

  • @MuhammadRamadhan-kz7ow
    @MuhammadRamadhan-kz7ow 2 месяца назад +4

    Waaaaah kazi nzuri sanaa...mungu akubariki napenda unavyoelezea uko fresh bro

  • @Cherrykizzy
    @Cherrykizzy 2 месяца назад +8

    Jamn sijawah kuwah kama leo❤

  • @angelkavishe5240
    @angelkavishe5240 2 месяца назад +6

    Mama alikua Zanzibar 😂😂😂😂

  • @MariamMkamba
    @MariamMkamba 2 месяца назад +12

    Mm wakwanza naomba like

  • @SadahRajabu-hj5gu
    @SadahRajabu-hj5gu 2 месяца назад +9

    Nakupenda sana kam mnampend kam mm gonga like ap

  • @deeh7322
    @deeh7322 2 месяца назад +2

    Ngoma inaanzia mjini sebuleni 🔥🔥

  • @MarthaelicElicmartha
    @MarthaelicElicmartha 2 месяца назад +2

    Hongera sana kaka kwa kaz zuri🔥🔥🔥🔥

  • @the.black.smart_255
    @the.black.smart_255 2 месяца назад +3

    Izkonka é um dos melhores do recap from🇲🇿 Mz

  • @AnnaMusse-rr9zh
    @AnnaMusse-rr9zh 2 месяца назад

    Nimeipenda ❤❤❤ sanaaa awe anatangaza huyu shoutsss kwa KONKAAAA👏👏👏👏👏👏

  • @BaturyNurdini-o3g
    @BaturyNurdini-o3g 2 месяца назад +6

    Me wa kwanza leo jamn like zangu😂

  • @mbarakaramadhani9124
    @mbarakaramadhani9124 2 месяца назад +1

    Nakubali sana. Tunakuomba utupigie recap ya LET IT SHINE

    • @ahmednahad
      @ahmednahad Месяц назад +1

      Uhakika kaka atupigie iyoo movie

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 2 месяца назад +1

    Unyama kama wote 🙏💪🏻💪🏻🙏🙏

  • @abdullatifkhamis3787
    @abdullatifkhamis3787 2 месяца назад +1

    😂😂ngoma ndani ya zanzibar 😂😂😂😂❤ umetisha in Konka zanzibar n yetu

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 2 месяца назад +1

    Huna baya kijana kazi nzuri keep it up

  • @linzah7563
    @linzah7563 2 месяца назад +5

    Sekunde 21 nimefika 🔥🔥🔥

  • @calvinmathiace9512
    @calvinmathiace9512 2 месяца назад

    Unyama sana kaka,hii ilikuwa tamu kinoma noma aisee! 💪🙌

  • @atuganileMwaisanila
    @atuganileMwaisanila 2 месяца назад +1

    Uko vzrii na kazi zako big up snaaaa

  • @CarooPato
    @CarooPato 2 месяца назад

    Tulia sidhan kaa leo tutaipa😂😂😂❤napapenda sana hapo😂😂

  • @KhamisRashid-t7q
    @KhamisRashid-t7q 2 месяца назад

    Kazi Kali bro umeuwaaaaaaaa unajua hadi kerooooo akyi embeeee

  • @noegeorge6654
    @noegeorge6654 2 месяца назад +1

    Leo nimekuwa wa kwanza🥰...

  • @JUDITHKILLO
    @JUDITHKILLO 2 месяца назад +1

    Kali sana kaka endelea kutupa vitu❤❤❤❤

  • @rithanaftal8616
    @rithanaftal8616 2 месяца назад

    Uyo mama yupo vizuri adi raha

  • @ambrose_vevo137
    @ambrose_vevo137 2 месяца назад

    Kiufupi jamaa Unajua sana ,nikipande kidg sana lkn ,ulivokisimulia n kama Muv yote umeimalizaaa Big up sana

  • @SalumKazumari
    @SalumKazumari 2 месяца назад +1

    Unajua sana bro ila jitahidi ufanye recap na movie za viwanda vingine vya filamu kama Hollywood na bollywood usifanye za nollywood peke yake 💥💥💥

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  2 месяца назад

      Hata hivo sifanyi NOLLYWOOD pekee, ila nasikitika kusema kwamba sifikirii kufanya HOLLYWOOD sasa hivi….

    • @SalumKazumari
      @SalumKazumari 2 месяца назад

      @@e7bits_tz 👍👍👍

  • @ZanufaKihelo
    @ZanufaKihelo 2 месяца назад +3

    Mm najua anaongea nann😂😃😄😅njoeni niwaambie😅

  • @HerbertFrancis-tr8gh
    @HerbertFrancis-tr8gh 2 месяца назад +1

    Duuuuuu ni unyamaaaaa ileee mbayaaaa🎉🎉🎉🎉izkonkaa nakubaliiiiii

  • @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
    @FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 2 месяца назад

    Yaani Huu mkanda ni nzuri sana. Mama Yangu anawaka vibaya Kwa mwanaume wangu😂 🔥 moto kabisa

  • @MohammedSeif-w1z
    @MohammedSeif-w1z 2 месяца назад

    Kutoka zanzibar 🎉 nimeipenda iyo

  • @dullyninja4705
    @dullyninja4705 2 месяца назад +9

    Tunaokaa zanzibar like hapa😅

  • @TwahaMdaki-ym4nj
    @TwahaMdaki-ym4nj 2 месяца назад +2

    Miezi miwili
    Wiki mbili
    Na siku tatu 😂😂🙌🏾🙌🏾

  • @JailosSiasa
    @JailosSiasa 2 месяца назад +3

    Baba Noma sana
    Izkonkaaaa 🙌🙌

  • @shivokenya8761
    @shivokenya8761 2 месяца назад +2

    Safii brooh❤❤

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 2 месяца назад +2

    Muongooo Unajua Anachongea nacho wewe 😂😂😂😂

  • @Tito_mbugi
    @Tito_mbugi 2 месяца назад

    kazi niyamoto sana. chukua maua yako.🎉🎉🎉🎉

  • @rijokejo
    @rijokejo 2 месяца назад

    Unyama sana konka🎉🎉💯🔥💯🔥🔥💯

  • @LeillaNdayizeye
    @LeillaNdayizeye Месяц назад

    Napenda sauti yako kaka❤

  • @fayzadaud
    @fayzadaud 2 месяца назад

    Izkonkaa mzee wa kukiwashaaa haun baya 🎉

  • @ZainabuOmary-h4d
    @ZainabuOmary-h4d 2 месяца назад

    Hii recape nmeirudia mara mbili mbili 😊😊konka wee ni hatarii

  • @annamenard4454
    @annamenard4454 2 месяца назад

    Upendo wa kwel unanguvu❤

  • @kidmozjkm7965
    @kidmozjkm7965 2 месяца назад +4

    WA Kwanza Leo

  • @SalomeLonje
    @SalomeLonje 2 месяца назад

    kazi zako ni za 💥💥💥sanaaa

  • @MaryamRashid-fv1gd
    @MaryamRashid-fv1gd 2 месяца назад +2

    Nzr san 🎉

  • @officialkingj_tz
    @officialkingj_tz 2 месяца назад +10

    😅wakwanza leo kama unamkubali konka gonga like apa

  • @FlavianBaraka
    @FlavianBaraka 2 месяца назад

    Uyo mshikaji wa breaded life namuelewa kinoma kwenye kazi zake umetisha KONKA

  • @richardjohn-km6kd
    @richardjohn-km6kd 2 месяца назад

    Nakubali sana kazizako kijana hongela

  • @VeratiMgeni
    @VeratiMgeni 2 месяца назад

    Kwa kazi aujawai kuniangusha bro

  • @abdullahswedy7857
    @abdullahswedy7857 2 месяца назад

    Huko vizuri sana kijana hakuna unachoalibu ktk harakati zako

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 2 месяца назад

    ❤❤❤❤ kaz nzuri

  • @IamThomas-n5x
    @IamThomas-n5x 2 месяца назад +4

    Izkonka hii umepga kisogon.
    Hi mabilionea wapenda movie

  • @NordeenGharib
    @NordeenGharib 2 месяца назад

    😂😂😂 dah ila konka umetisha sana hukujua anaongea na nn lao🤣🤣🤣

  • @isackobadiah484
    @isackobadiah484 2 месяца назад

    Movie Kalii Mnoo Kak👏👏

  • @Pidemontana
    @Pidemontana 2 месяца назад

    😂😂😂 eti alikua vakeshen Zanzibar 😂😂😂💪 umetisha sana conca

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 2 месяца назад

    Movie nzuri jmni 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @CrissFrance
    @CrissFrance 19 дней назад

    Sizani kama tutaipata leo😁🙌

  • @fatmamati5246
    @fatmamati5246 2 месяца назад

    Kazi nzuri sana na inamafunzi

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 месяца назад

    Noma sanaaaaa🔥🔥🔥

  • @LilianJoseph-nw3hq
    @LilianJoseph-nw3hq 2 месяца назад +57

    Wakwanza kucomment plz naombeni like zenu😢😢

  • @dyngoog
    @dyngoog 2 месяца назад +2

    Mzee wa story Times . Nimewahi😂

  • @Vacchannel-tq3je
    @Vacchannel-tq3je 2 месяца назад +2

    ITAKUWA KAUPAKA😅😅😅😂 SIO KWAKUANGALIA VILE🎉🎉
    LIKE KWA UPENDO❤

  • @JerryMpex
    @JerryMpex 2 месяца назад

    Kazi kali mzazi🔥🔥

  • @khairatmohamed-q1f
    @khairatmohamed-q1f 2 месяца назад

    Mambo zanzibar🎉🎉🎉

  • @Akbar4Ardan
    @Akbar4Ardan 2 месяца назад

    E7BITS hajawahi kosea makofi kwake❤

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 2 месяца назад

    Hahaha etii hawez nialika mimi😅 umejiongeza tuu

  • @drakedrakeest
    @drakedrakeest 2 месяца назад +7

    manina😢😢😢😅

  • @JacobJackob-mp9pq
    @JacobJackob-mp9pq 2 месяца назад

    Umetishaaaaaa

  • @TwahaMdaki-ym4nj
    @TwahaMdaki-ym4nj 2 месяца назад

    Walete kati ✊🏾🔥

  • @SilajiJulius
    @SilajiJulius 2 месяца назад

    Kazi ipo goog sana

  • @abdulwahidmsellem1998
    @abdulwahidmsellem1998 2 месяца назад

    Kazi nzuri 👊💪

  • @HamadTalisman
    @HamadTalisman 2 месяца назад

    Kaka unajuwa sana🎉

  • @NadhifaJuma-x1q
    @NadhifaJuma-x1q Месяц назад

    Ni nzuri lkn malizis stori vzr❤🎉

  • @Redstarreally
    @Redstarreally 2 месяца назад +1

    Zanzibar hakuna matata❤

  • @iMartine
    @iMartine 2 месяца назад +2

    1st Person today 😂😂

  • @SalimNasoro-pi6nq
    @SalimNasoro-pi6nq 2 месяца назад

    hikopowa sana nimependa

  • @tomafrank1161
    @tomafrank1161 2 месяца назад

    Nzuri sana ❤❤❤❤

  • @JDBENJAMIN
    @JDBENJAMIN 2 месяца назад +4

    Leo nimewahi jamani 😂 kwa wale mnaomkubali konka dondosha likes apa

  • @Redstarreally
    @Redstarreally 2 месяца назад

    Zanzibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaar❤❤❤❤❤❤

  • @ErickLwena
    @ErickLwena 2 месяца назад

    ni unyama mnoo bro unamwez sana

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 месяца назад +2

    Sijachelewa japo tunamsiba wa dida lakini inabidi tuu niingie humu YOU TUBE 😢😢😢😢😢

  • @swalehsalim5576
    @swalehsalim5576 2 месяца назад

    Kawaida ya wanaume kudharauliwa ‼️

  • @kidmozjkm7965
    @kidmozjkm7965 2 месяца назад +7

    Kutoka Moçambique tujuane Kwa like APA 🇲🇿❤

  • @MalaikaSeba
    @MalaikaSeba 21 день назад

    Kaz nzur

  • @Zanura-t5e
    @Zanura-t5e 2 месяца назад

    Ni tamu ila ni fupo😢😢😢🎉🎉❤❤

  • @DullyMakungu
    @DullyMakungu 2 месяца назад

    Big up....Zanzibar tumefikiwa

  • @kautharomy
    @kautharomy 2 месяца назад +3

    ILA KONKA ZANZIBAR TENA 😅 WANAOWAKUBAKI WAZANZIBARI NGOKA LIKE APA❤❤

  • @irealyxchamdori596
    @irealyxchamdori596 2 месяца назад

    Lau km lau 👌😌 konkaaaa❤

  • @youseifmohd6179
    @youseifmohd6179 2 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥. You're the best broh

  • @esseesse2348
    @esseesse2348 2 месяца назад

    Jamaa unajua sana kk

  • @honestgroup2116
    @honestgroup2116 2 месяца назад

    Kaka umetishaaaa

  • @ibraaahmwanyello6233
    @ibraaahmwanyello6233 2 месяца назад

    Unyamaaa brooo❤