MCHIZI ANAPOTEZA DILI LA DOLLAR MILLION 1 KIZEMBE SANA | BLOOM BOYS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 354

  • @lakasid3860
    @lakasid3860 7 месяцев назад +6

    Lile demu lililomgonga litakuwa limemuibia 😂😂 konkaa 🔥

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 7 месяцев назад +8

    All the way from Zenji#Marashi ya Karafuu...🔥🔥❤❤🙌🙌

  • @adsonadriano9347
    @adsonadriano9347 7 месяцев назад +5

    Iko Sawa kabisa hiyo hongerani kwa kazi nizuri mnayo fanya

  • @dullyninja4705
    @dullyninja4705 7 месяцев назад +42

    WakwAnza mm naomba like

  • @joyceelisante
    @joyceelisante 5 месяцев назад +3

    Huyu anajuaa kusumuliaa vizuri tena kwa haraka hadi rahaaaaaaa.

  • @nicksonchesco233
    @nicksonchesco233 7 месяцев назад +6

    Huuu unyama ni noma nakukubal mwwnang unajua 🙌🏻🙌🏻

  • @Verenacharles-r9w
    @Verenacharles-r9w 7 месяцев назад +6

    jamani nzuri sanaa hongera tupo pamoja bro ❤❤❤

  • @monicarichard8802
    @monicarichard8802 7 месяцев назад +5

    unyama upo vizuri na umejua kutuelezea vizuriii.. kazi nzuri

  • @SalhiyyaJassam-fg1sw
    @SalhiyyaJassam-fg1sw 7 месяцев назад +67

    konka anataka mumuandikie maon yenu ,,,maon yenu ndo yatamfanya alete vitu kali kila siku nyie mmekazana wakwanza wakwanza nipeni like zangu mnakeraAaaa,,,,hata ck akikosea jamb mtakAzana na like

    • @hassnakhamis3489
      @hassnakhamis3489 7 месяцев назад +3

      Wana kera😢

    • @RahabuJunior
      @RahabuJunior 7 месяцев назад +2

      Ni Ukweli kabisa wanakela

    • @MukabBaruani
      @MukabBaruani 6 месяцев назад

      sana wana kela

    • @rehemasalama8168
      @rehemasalama8168 4 месяца назад

      Ata sijui wakoje...wanaudhi

    • @erickAfricatz
      @erickAfricatz 4 месяца назад

      @@SalhiyyaJassam-fg1sw wanaboa sana wanaotaka like...japo na Mimi mnipe tyu like zangu

  • @shukran26love1
    @shukran26love1 7 месяцев назад +6

    Mimi kama young bee nakupenda sana mshikaji wangu unaua soko la muvi kwa wanaotafusiri full movi kwaiyo kaa makini 🙏✅

  • @massawetv5109
    @massawetv5109 7 месяцев назад +9

    Kwanzaa ngoma inaanziaa chumbanii😂😂😂

  • @CesarMrmoney
    @CesarMrmoney 7 месяцев назад +5

    Iko sawa iyi broh unyama uko fresh 👏💪

  • @FananiGrosper
    @FananiGrosper 7 месяцев назад +8

    Konka mzee wa unyamaa🤝🤝

  • @BeamzMartha
    @BeamzMartha 7 месяцев назад +4

    Konka Mzee wa kukinukisha big up saan unyama umekaa poa

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 7 месяцев назад +31

    @konkaaaa mzeee wa mizigo ya hatari sana🎉gonga like kama unamkubali weka like

  • @NomaNoma-nb9sl
    @NomaNoma-nb9sl 7 месяцев назад +4

    Mzigo hatar sana nakubali sana kazi zako

  • @MaroFredson
    @MaroFredson 7 месяцев назад +12

    Duuuuh ni dakika 27 tu watu kibaoooo duuuh kweliii kama unamkubalii Konka gonga like hapa ❤

  • @bienvenunijembazi5218
    @bienvenunijembazi5218 7 месяцев назад +3

    Konkaa mzee tunakupenda sana form🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SaddamuKambona
    @SaddamuKambona 7 месяцев назад +3

    konka nakubali kazi zako xema movie za Nigeria ume achia nying xan kwaiy kam inawezekan achia na Indian movie😅😅😅

  • @SalmaAthuman-rg4nv
    @SalmaAthuman-rg4nv 7 месяцев назад +12

    Me naomba uwe unatoa kila Ciku jmn una Tukataaa sana

  • @Ramazo_OG
    @Ramazo_OG 7 месяцев назад +4

    Heeeeeh umeuzaa kiwanja changuu 😂😂😂

  • @MissBeauty-fb1pt
    @MissBeauty-fb1pt 7 месяцев назад +2

    Wakati mwengine kujitoafaham kwawatu tunaowapenda😂😂😂

  • @JamesDeus-dk5bu
    @JamesDeus-dk5bu 7 месяцев назад +1

    Unyama uko vyema sanaaaaaaaa🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷

  • @RhoidaKhwele
    @RhoidaKhwele 7 месяцев назад +3

    Aahhh jmn huwa utuangushiii kaka angu blessed sn

  • @EstherKwilabya
    @EstherKwilabya 7 месяцев назад +5

    Nimependa ety akaanza kumkuna ila we jamaa 😂😂

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany5902 7 месяцев назад +3

    Nikupe tu mauaa yako kilasiku unazidi kuwa bora hongera sana 🎉❤🎉

  • @ingabireshakira9631
    @ingabireshakira9631 7 месяцев назад +4

    Akamlaza chini akaanza Kumküna😅 iyo kuna sasa😅😅

  • @PascarSaimoni
    @PascarSaimoni 7 месяцев назад +1

    Umetisha Sana mzgo.wa kwenda kabisa

  • @oscarjohnson9013
    @oscarjohnson9013 7 месяцев назад +2

    Maraaa eeeeeeeh. yaanii konka unajua mpk unaa keraa 🙌🙌

  • @warstones0666
    @warstones0666 7 месяцев назад +5

    Awa wanawakee Awaaaaa

  • @ahiyaasherinchako5142
    @ahiyaasherinchako5142 7 месяцев назад +6

    Mpo fasta mno ila big up

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 7 месяцев назад +1

    15:41-42 mala heeeeeee::(akaifyatua kwa baatimbaya) 😂 usipokua makinikupunguza sauti ya bufa.. utahisi umevamiwa nyumbani kwako

  • @blackgoldbuja880
    @blackgoldbuja880 7 месяцев назад +2

    Niunyama sana nakukubali kwakutupa andisi kali sana

  • @erickAfricatz
    @erickAfricatz 7 месяцев назад +3

    konka kama konka... haya sasa twende sambamba ....mi nasoma comment tu..... like zangu mnipe

  • @Shadia544
    @Shadia544 7 месяцев назад +35

    Nimekuwa wa 3 LIKE 10 jamaniii tunainjoi tuuu asante mwamba ✌️✌️✌️✌️✌️

  • @mohdsuleiman8458
    @mohdsuleiman8458 7 месяцев назад +2

    Jikaze kaka kuna jamaaa naupiga mwingi huku jikaze sana

  • @BmtTower
    @BmtTower 7 месяцев назад +9

    sijawahi kuwa wa kwanza 😢. naomba like 10

  • @zainabuiddy
    @zainabuiddy 7 месяцев назад +1

    Unajua na unajua tena🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Felister-jh1zb
    @Felister-jh1zb 4 месяца назад

    Nzuri sana yaani huna kazi mbovu kwa kweli

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 7 месяцев назад +3

    Wewe naye umetuchanganya dozii si amekufa na huyo ni dozii au tosini

  • @edwinmedia2678
    @edwinmedia2678 7 месяцев назад +7

    Mwanangu upo vizuri sana kwenye hii kazi. Lakini ushauri wangu usituletee movies za Nigeria nyingi. Fanya kutuletea na movies from Hollywood mzee zipo kibao tu mbona watu tunataka tusikie mzee

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  7 месяцев назад +3

      Movie za HOLLYWOOD zinachangamoto sana

    • @abdallahally3659
      @abdallahally3659 7 месяцев назад

      ​@@e7bits_tz changamoto gn kk

  • @CollinceGerald
    @CollinceGerald 7 месяцев назад +1

    Unyama ni mwing🔥🔥 cjawahi kukupinga Kaka

  • @rahabuhebron2841
    @rahabuhebron2841 7 месяцев назад +1

    mama yao ndo mshenzi kamuharibia maisha binti yake

  • @DaudiRajab-v9x
    @DaudiRajab-v9x 4 месяца назад +1

    Achia vyuma konka mbona kimya sana

  • @vidothedonny
    @vidothedonny 7 месяцев назад

    Aaaaah uko vizuri kaka toa nyingine nying

  • @FatumaMombo
    @FatumaMombo 7 месяцев назад +4

    Yaani mtu hata hajaangalia anawaza kuwa wakwanza

  • @JamalDikolaga
    @JamalDikolaga 7 месяцев назад +1

    Kaka naona umepania mzeee mawe kila siku... 🫡💪💪

  • @massawetv5109
    @massawetv5109 7 месяцев назад +6

    Oya🔥🔥

  • @monicambarikiwa9532
    @monicambarikiwa9532 7 месяцев назад +1

    😹😹😹….. imenibidi nicheke ety “eeh nenda kaitoe hiyo mimba”….

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 7 месяцев назад +3

    Wakwanza nimewai from 🇦🇪

  • @upako4598
    @upako4598 4 месяца назад

    Konka lete move ndefu bwana za kinaigeria ile ya neria na ya groria

  • @IssaHamisi-tf1bf
    @IssaHamisi-tf1bf 7 месяцев назад

    ❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas e7biiiiiiiiiiitiiiiiiiisßsssss

  • @annamathias4794
    @annamathias4794 7 месяцев назад +7

    Nimewahi leo naombeni like zen wapendwa pls❤❤❤❤

  • @jerryroy1769
    @jerryroy1769 5 месяцев назад

    Konka sio powa unajua 🎉🎉🎉🎉😊😊😊

  • @tumaxaad
    @tumaxaad 7 месяцев назад +2

    Naomb kujua usahihi wa kumimina wine plz nifahamisheni 😂❤😂

  • @AllrightSaid
    @AllrightSaid 7 месяцев назад +1

    Hiii hatariiii kaka umetishaaaaaaaa

  • @AlexChristopherMuhanuka-wm2jk
    @AlexChristopherMuhanuka-wm2jk 7 месяцев назад

    Mzeee unatisha sanaaaaaaaa❤❤

  • @FanuelMhonjwa-fm1oe
    @FanuelMhonjwa-fm1oe 7 месяцев назад

    Unyama Sana sana sana saaaaanaaa ..👍👍

  • @TUMAINIKAPELA-rz8yn
    @TUMAINIKAPELA-rz8yn 7 месяцев назад +1

    Movies zako nzuri sana

  • @samwelimyinga6361
    @samwelimyinga6361 7 месяцев назад

    Arooo me nakupa mauwa Yako ankle man siy kaz nyepesi kuandaa unyama gud san

  • @AmaniSwai
    @AmaniSwai 4 месяца назад +1

    Unyama bro

  • @annamenard4454
    @annamenard4454 7 месяцев назад

    uyu dada ni kichaaa sana kupenda gani uko

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 6 месяцев назад

    Konkaaa unajua ❤❤❤

  • @AsiaMkwawa
    @AsiaMkwawa Месяц назад

    Big up sana zee la kutune

  • @priscumushi9083
    @priscumushi9083 7 месяцев назад

    Noma sana mzeee 👍👍

  • @CrisantoconstancioConstancio
    @CrisantoconstancioConstancio 4 месяца назад +1

    Lakini matatizo Aya sababu ya mamayake 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @MABANTUTZ
    @MABANTUTZ 7 месяцев назад +1

    Hili la leo Bovu sana 🔥

  • @consolatawerongo4411
    @consolatawerongo4411 17 дней назад +1

    Usiwe unaweka movie za vijana banaa😅😅

  • @MuhammadAbdullah-ml1jy
    @MuhammadAbdullah-ml1jy 29 дней назад

    Nakukubali sana mwamba

  • @ivanbiswalo
    @ivanbiswalo 6 месяцев назад

    Umetisha mzee 🔥🔥🔥

  • @JohariJuma-uw6vf
    @JohariJuma-uw6vf 6 месяцев назад

    Iko powah bro....😊

  • @AshuraOscar-og9ed
    @AshuraOscar-og9ed 7 месяцев назад

    Iko poa Sana hii umetisha Sana konka chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉

  • @KamikaziEdouige
    @KamikaziEdouige 4 месяца назад +1

    Bro Mi Napnda Sana Kazi Zako❤❤

  • @hamismbura2544
    @hamismbura2544 7 месяцев назад +6

    kwanzaaaaaaa

  • @Vailethkiango2002
    @Vailethkiango2002 7 месяцев назад +1

    Wakwanza mimi jmn😂😂aya naomba mlike

  • @abdallahathuman5046
    @abdallahathuman5046 6 месяцев назад

    Nawakubali sana sarut kwenu tuna enjoy sana

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 7 месяцев назад

    Pamona sana. Tunaomba na Horror movies za kizungu pia

  • @jerryroy1769
    @jerryroy1769 5 месяцев назад

    Kaka achia madini🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bongosimulizi6050
    @bongosimulizi6050 7 месяцев назад +1

    Oy konka unachelewesha mizigo sawa ulisha tuambia sababu ila kama utaweza zisivuke siku mbili basi au tukupe likizo ya mwezi mzima we jichimbie andaa mizigo full then iweke sikejo babu utuwaishie utamu.au tujue kabisa ratiba yako ya kuachia mizigo Sio ivi mzee

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  7 месяцев назад

      Nimeweka kazi mbili mpya kwenye channel yangu ndo ya E7max

  • @MalabejaTumaini
    @MalabejaTumaini 4 месяца назад

    Napenda sana move zakoo

  • @hildabuya2438
    @hildabuya2438 7 месяцев назад

    Unyamaaaaa mwingiii❤❤❤

  • @Rukiarukyruky-zj8nk
    @Rukiarukyruky-zj8nk 2 месяца назад

    Tosin handsome boy jmn 😍

  • @MalimaJosephat
    @MalimaJosephat 5 месяцев назад

    % kaka nakukubali sana kwa movie zako unatish unyama mno tiktok sifaid kama ninavyo faidi huk

  • @HomeBoy-i4w
    @HomeBoy-i4w 5 месяцев назад

    umetisha sana

  • @FadhilaFadhila-wi5wh
    @FadhilaFadhila-wi5wh 7 месяцев назад +1

    Mikuno is typing 😂😂

  • @shivokenya8761
    @shivokenya8761 7 месяцев назад +1

    I love your recps broo

  • @EstherBauma-ro5in
    @EstherBauma-ro5in 6 месяцев назад

    Nao mbeni liké jamani vizuri sana mwamba

  • @BAD5IVE
    @BAD5IVE 7 месяцев назад

    Unyama KONKAAAA🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @LuckyTemu
    @LuckyTemu 7 месяцев назад

    Ao soko huru jomba 😂😂😂😂 🙌

  • @bedaboih5689
    @bedaboih5689 7 месяцев назад +1

    Dozie alikufaa so aliendaa part

  • @GERALDZACHARIA
    @GERALDZACHARIA 7 месяцев назад +1

    Eeeeee eeee owaaa mbona mnaniwai Kila sikuu aseee dahhh

  • @rashidismail6593
    @rashidismail6593 6 месяцев назад

    Izkonka wanaman🎉

  • @AthumanRajabu
    @AthumanRajabu 7 месяцев назад

    zee lakutune zee latown🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @BahatiNzai
    @BahatiNzai 7 месяцев назад

    Kali nzuri konka

  • @MasanyikaAlhajji
    @MasanyikaAlhajji 7 месяцев назад

    Konka .....chuma n ya Moto sna

  • @blacqdenataly6799
    @blacqdenataly6799 7 месяцев назад

    Dude lipoa kaka 🙌🏾🔥🔥

  • @kingabala1933
    @kingabala1933 7 месяцев назад

    Hahaaaaa ....
    🍺 Kanunua Restaurant nzima🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MussaMoe
    @MussaMoe 7 месяцев назад

    Makin sana kaka

  • @OmanIbra-d6u
    @OmanIbra-d6u 7 месяцев назад +1

    Ndiyo maana Kuna bahadhi ya wadada wanasemaga wanaume wabaya kupitia hii move tusiwaamini wanaume

  • @HekimaMwananjela
    @HekimaMwananjela 6 месяцев назад

    Nakubali sana 7