Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nakukubari sana mntu ya Congo, simba nguvu moja 👏👏🇹🇿
❤Usajili huu ndio utawatesa wapinzani msimu ujao. Hongera MO
Welcome new simba player's
Ila kusema kwel wenye moyo tuendelee kusapoti simba yetu, yajayo yanafuraisha.
Ninachoamini hivi vyuma vita crick mapema sana.
❤❤❤🎉🎉
Try Again na Boss k.Mo: Mgunda: Ahmad Alii Tunaomba tuongezewe Azzi k na Fei toto na Mayele hapo mtakuwa mumeua:Ushindi ujao huoooo❤❤❤🎉🎉
Big up wekundu wa Mzimbazi
Usajiri wa safari hii nakua na matumaini nao hata kabla ya uwanjani
Wachezaji wanaonekana kweli Hawa ndo wachezaji
Ahamady ALLy Usajiri wako uko vizuri,ila utuongezee Azizi k au Pacome Zouzou
WAACHWE HUKOHUKO TUWAFANYE VIBAYA HAO VIBABU
Kuonyesha na mkujigamba
Huyu anafaa kuwa semaji kwenye timu yetu
Chama miaka 45
Unatufaa
kuwa kataa ni swala la muda
Nimucongomani
Petiti napenda rafudhi yako kinoma.
Mwaka huu ni mchakamchaka tu
😂😂😂😂 kiswahili cha mkongo ni kitamu sana
Kiswahili ya Kongo iko zuri masta nangai😅😅😅😅😅
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Aya mambo ya Mangungu tafadhali tusiafuate😢
Mucongo unatisha