BABA AFARIKI KWENYE MAZISHI YA MTOTO WAKE | MWANANGU NISAMEHE SANA NAKUFATA HUKO HUKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 июн 2024
  • Ikiwa leo ndio siku ya mazishi ya Mtangazaji wa Kujitengemea nchini Kenya Nyamby Koikai ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita, taarifa zilizotoka sasa hivi ni kwamba baba mzazi wa Mtangazaji huyo, Daniel koikai nae amefariki dunia muda huu, alipata mshtuko wa ghafla na kushindwa kushiriki mazishi ya binti yake huyo hadi sasa hivi ambapo familia imetangaza kuwa umauti umemfika.
    Akiwa kwenye moja ya harakati za kuuaga mwili wa binti yake huyo, Baba huyo ambaye alionyesha kuumizwa na kifo cha binti yake juzi alishindwa kuzungumza kwa urefu ambapo alizungumza maneno machache na kumalizia kwa maneno haya mazito.
    "Nisamehe mimi mwanangu!! nisamehe, nisamehe sana, Mungu akulaze mahali pema peponi, nina imani tutaonana tena! Kwaheri"- Aliaga hivyo huku akitetemeka na kuongea kwa tabu.
    Pole nyingi ziende kwa Familia ya Koikai na Mungu awaitie nguvu, Amina
    #koikai #koikaifather

Комментарии •