Ukweli ni kwamba kilimo Cha mahindi hakilipi kwa kulinganisha na mazao mengine km nyanya,vitunguu,maharage na hata Alizeti. Mahindi pekee yenye faida kidogo ni mahindi mabichi Chapo changamoto yake kubwa ni kupata maeneo yenye maji ya kutosha. Pia mahindi mabichi yanachangamoto ya wezi na ndege. Binafsi siwezi kumshauri kijana alime mahindi km Kuna option mbadala ya kulima mazao mengine hasa nyanya au vitunguu.

Hvi kwa kawaid me nayetamani kutumia ulimaji wa umwagiliaji haf maji Hadi nchimbe chin na ninatamani niwe naeneo kubwa nafanyej
Kilimo Cha mahindi kinalipa acha kudanganya watu mi nalima hekari Moja Natoa gunia 30- 35
@@Juvenali-xu5vd naomba msaada kiongozi