Sijawahi comment ila hii series ni Moja ya series za kibongo za kizazi hiki ambayo nimetokea kuipenda...."" Hello clam and ur crew...keep the good work and God bless Y'all
WA 970 kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 I wish to have at least all Burundian and Tanzanian and Kenyan all East Africa country your like please from season 1 I'm with you please like the comments please ,@snake boy on top🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kazi lime waishwa kama tulivyo taka kwa mda hu Ni burudani na burudani Ila zinga Ni Hatari bwana weeeeeeh mganga aliye mfundisha utchawi kamu weka kwenye tchupa Ina Tisha saaana 🙄 Mimi na taka tu mtanzi arudishiwe nguvu zake hongera sana Team VEVO🇨🇩 ❤️ from Dubaï 🇦🇪
DIRECTOR @KAKOSO KUNA SOUND MOJA HUWA UNAITOA HUMU UNAKOSESHA SANAA UONDOOO UJUE SOUND YENYEWE NI ILEEEE INAYOANZIAA NA ( SAAAAABAAAAAAABEEEEE×4 ) NAFIKIRI APO UTAKUWA UMENIELEWA MTAALAMU KAZI NZURI ILA HICHO TUNAOMBA UWE UNAWEKA
Kwa heshima wabunifu idea qaliiii movie qaliii aiseee thank sanaaa nilikuwa nazarau movie za nyumban lakini kwa hiii huwa naumia zaidi kuchelewa mwendelezo kutoka pls maoni yangu mimi 2 kiukwel filamu bora kwangu
Clam ulifanya vizuri kuongeza madakika safi sana tuna enjoy vyakutosha asante kwakutuskiaa sisi mashabiki
Aisee aminia kweli hapo ndo ni vizuri
CLAM VEVO na team yako nawapeni hongera ya kuishi kwenye vichwa vyetu.
KONGOLE
Mimi wakwanza leo depuis Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🚨🚨🚨🚨 nous sommes ensembles frère na ngai❣️❣️🥰 like basi apo frère
Daaaah ya 20 🔥🔥🔥🔥🔥mmejua kucheza familia ya clam na kakoso mpo vizuri mnooo💯gonga like kam umeielewa episode ya 20 kam mm
Mafanikio huja kwa jitihada dhahiri na makini hongereni CLAM na kundi lako lote kwa kweli mnatufanya tuipende tasnia ya filamu Tanzania... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
mtukufu naachakula chawatoto kakilamba hhhhhhhhhhha 😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
Hongera sana tena sana kwa kuinusuru Bongo movie, maana waliigiza mambo safi hadi wakaishiwa. Hizi ndizo filam za kiafrica zinavyotakiwa kuwa.
Waooo yaan nmefunguaa tuuu maraa paaaaa snake boy waooooo hatarii sanaaa hongereni kwa Kaz nzurii
Dogo siku hizi uko vizuri, hucheleweshi mzigo. Like nyingi kama mmemkubali
Na pia wameongeza dakika unyama sana
ruclips.net/user/shortsbj7toAFm-Ls?si=O3gXiEsFlDzu-aed
Respect❤❤❤❤wa Bujumbura tunawapenda sana ♥️ lakini tuonyeshe upendo🎉🎉 na nyie jameni tupe likes nkingi watanzania wenzetu❤❤❤❤❤❤❤
Kimbao mbao mwiko WA pilao😂😂😂😂😂jembe lakazi
Kazi nzuli sana
Wakwanza mimi kutokea usa🇺🇸🇺🇸🇺🇸 naomba liks zangu 🙌🙌🙌🥰
Umetokea Usa😂😂
Mmmh ww n wakwanza wa pili lakin wakwanza namba one n huyo apo juuu
Mmh
USA Ya tweneke 😂
mimi uku sijawai pata likes hata moja na nko uku tangu mwanzo episode one hadi kwa sasa
Nahc umelizika maana like muda
Safi sana kqkoso hongereni team clqm vevo pigeni kazi tupo pamoja nanyi
Kimbaumbau mwiko wapilau mwakatobe bwana😂😂😂😂😂from kenya but in damam saudi team strong nipeni like tujuane
Kumbe uko Nairobi madaam?
@@GeorgeAkasha-zx2rj niko gulf
Much love from Zambia,,, we love u VEVO............ keeps on giving us the best.........
God bless you and your management...
Nitarauka liny ili npate likes 100 kma nynyi 😢kila nikiltewa notification mumecomment tayary naomb tno bc
Utapata tu
Wakwanza Leo nimimi napatikana Congo nipeni like zangu clam vevo
jamani anamatar nzing😅😅😅
Good luck my dear friend Clam-vevo I really like your videos from In Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰🎉🎉🎉💯💯💯
Team snake boy team strong hoyeeeeeeeeee 😂🇸🇦🇰🇪 love from Kenyan Riyadh km wafuatilia Ii kitu like please nawapenda nyote
Team bladi tupo p1 kupenz
Twakupenda pia dear❤❤❤🎉🎉mm pia niko Riyadh😂🇸🇦🇰🇪
Wale wa UAE tukae wapi😂❤
Twakupenda pia mimi nipo Riyadh pia❤❤❤
Hoyeeeeee 🇸🇦 🇰🇪
Huyu haji manara nae ana vituko japo anatoa msaada mashallah ♥️
Eti Haji manaraa😅😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 nimecheka km madhuli
😂😂😂mume wa zaylissa
Nimewapiku leo maan mnakuaga na michezo sana kila siku nyie tuu kuoga ahaaaa
Hii kazi ya moto tunakubali na tunategemea itaisha vizuri kabisa bila ya kutuweka bumbuazi aisee😂🎉
Timu ya simaga tabia ya umbea umbea tu juane apa🎉🎉🎉
Siyo michongo yangu nilishaachaga😂😂😂😂
@@keiazizi5746😂😂😂😂😂😂😂
Nsha achaga 😂😂😂😂😂
We inanijua sinaga tabia za umbea umbea
😂😂😂
Makofii kwa malkia mpya kimbaumbau mwiko wa pilauuu😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Aloooooooh🙏🙏🙏🙏✅✅✅Mm wa ngapiii leo.... Naombenii likee jamoon
Mwenye hajafurahia vile Tete kabadilika nipee likes 👍👍👍hii tunaifuata ata ikifika episode 50 😂😂😂
Ila sikupenda kwake zinga ndio alimfanyia mazingaombwe
Wakwaza Leo Burundi oyeeee intwari kids acrobatics gymnastics 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Asee hii filam ni nzur sana Yani Haina kasoro sijaona kasoro Kwa 100% asee nzur sanaa
Saiv clam unaweka dakika zakutosha ,,,,,,,,,hîi nimeipenda asante saaaaana mkuu,,,,,,endelea hivyoo hivyoo
Umiongeya pwety sana
Kabisa yn❤🎉
Bila kuchoka nimependa mlivyo ongeza dakika❤ Tim vevo🎉🎉 tuishi hum
Wakwanza from Kenya🇰🇪 Tunakukubali Clam 🎉 Zije likes zngu leo
👍🎉
wakwanza pande za kigoma ,naomba mu like jamani👍👍❤️❤️, team SNAKE BOY ,like zenu jamani
Acheni usengee yaan tuache kulike video tulike comments zenu!! Kwn mnalipwa?? Acheni ushangaz huo
@@ekyociesengana1657tatizo umejificha
Sijawahi comment ila hii series ni Moja ya series za kibongo za kizazi hiki ambayo nimetokea kuipenda...."" Hello clam and ur crew...keep the good work and God bless Y'all
Léo wa kwanza naomba liké yangu djamani
Clam hakuna msanii wa bongo movie anaemfikia kwasasa tuseme2 ukweli from bongo land🇹🇿
Jmn natafuta fundi anishonee nguo km ya mwasi nimeipenda sanaa 😂😂
Kamuulize clam VEVO aliposhonyesha mwasi
😂😂😂
😂😂😂😂hii naona n bed cover aliitoboa shingo
@@nyamokizainabu205 Umewaza kama mm😂😂😂
@@nyamokizainabu205Umewaza kama mm😂😂
Mbona huwa hamnipi likes😢😢😢😢😢😂😂nipeeni tu Leo ..toka kenya❤❤❤❤
clam. ni zaidi ya kanumba.. mwamba anajuwa... anastaili tuzoo
Acha zalau bhana usi mfaninishe KANUMBA na Clam
kanumba hiyo habari nyingine kabisa usimfananishe na vitu vya ajabu
@@agahmsweden5812hahahah
Umefika mbali aisee
malkia kimbau mbau mwiko wa pilau mpooooo😅😅😅😅😅
Wangapi wanampenda chaupele
I'm here 🎉
mm apa
Toutes mes félicitations
Kama unaukubal ujasir wa KAKOSO a.k.a Mwasi gonga like tukiendelea mbele 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂kakaoso ataliwa yule na kidume mwwnziwe😂😂
Uwakika
@aminaabdalla-o9zq sidhani
@@aminaabdalla-uo9zqumewaza kama mm😂😂😂😂😂😂😀
@@aminaabdalla-uo9zqoa 😂😂😂😂
❤😂😂😂😂kimbaumbau mwiko wa pilau😂😂😂😂😂hii hatari
Watu wa Burundi tupeni like hapa kama munamkubali clam VEVO💪🇧🇮
Haya nimeshakupa laki kwani mnapata pesa kwahizi like
Yah
Napenda Uyu Taira mweupe anajua jaman❤❤❤
Japo kuwa nimecelewa kidogo na mimi naombeni like ili tuende sambamba na moto huu wa snake boy Big up vevo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂oyaaaaa mtukufuuuu umeuwa umejua kuzuga kwenye kibegi kutoa dawa
wa kwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤🇹🇿 naomba like kumi
This is good play.you can watch with children and elderly. you don't use bad language. continue the good work guys.
huyo Albino nimemkubali sana anavowasaidia kina mwasi
WA 970 kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 I wish to have at least all Burundian and Tanzanian and Kenyan all East Africa country your like please from season 1 I'm with you please like the comments please ,@snake boy on top🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Hii ni moya ya series yako bora Big up clam criss
kipala acha umbea da mwanangu wewe Ni mmbea sana
Kazi lime waishwa kama tulivyo taka kwa mda hu Ni burudani na burudani Ila zinga Ni Hatari bwana weeeeeeh mganga aliye mfundisha utchawi kamu weka kwenye tchupa Ina Tisha saaana 🙄 Mimi na taka tu mtanzi arudishiwe nguvu zake hongera sana Team VEVO🇨🇩 ❤️ from Dubaï 🇦🇪
Yaan ni hatariiiii
Kimbaombao Kama mwiko wa pilau🥴🥴🥴☺️
Wa kwanza toka South Africa
After this ep ur the no. 1 in Tanzania 🫡
Kazi nzuri sana na mmetoa kwa wakati heko kwenu🎉
Good job clam groupe.
Hatakama mimi SIO wakwanza lakini nipeni hata like mbili JAMANI 😭
Nishukuru clam kwa kushirikisha ma star wote wa bongo movies pia ma comendian katika movie Iyi
Wakwanza alikua mimi, naombeni like zangu toka Lubumbashi-Rdcongo
🎉pongezi kwa nyote .. ila mdada kashabadiliswa nia ajui ata kakaake
/07/2024🎉🎉 tujuane apa🎉🎉
Mimi ni COMEDIAN nahomba munisahidiye ku SUBSCRIBE tu 🎉🎉🎉❤❤
@@DIRECTORJOHN435 munisaidie bad typing 😢😢
Like hupeleke wapi
Hiiii movie inatia simanzi sana aiseee
🎉
Safi kwa kutusikiliza maoni yetu ya kuwaomba muongeze dakika kwenye vipande safi sana🙏🇿🇦🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
Mi wakwanja nipeni like zangu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
Kazi nzuri ila hiii ya sahivi sijui kama itawahi kuishaaaaaaaa na ndiooo poaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤
wakwaza leo nipeni like zangu apa... sonrichard
tete ashachange jamani daah ee Mungu wasaidie wanahimaya
Tumshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo
DIRECTOR @KAKOSO KUNA SOUND MOJA HUWA UNAITOA HUMU UNAKOSESHA SANAA UONDOOO UJUE SOUND YENYEWE NI ILEEEE INAYOANZIAA NA ( SAAAAABAAAAAAABEEEEE×4 ) NAFIKIRI APO UTAKUWA UMENIELEWA MTAALAMU KAZI NZURI ILA HICHO TUNAOMBA UWE UNAWEKA
Uko sahihi movie hainogi bila Ile saundi
aondoe ile ambayo inalia kama ya habari
Maraba mi njo wa kwanza kwa kweli naomba like zangu
Kwa heshima wabunifu idea qaliiii movie qaliii aiseee thank sanaaa nilikuwa nazarau movie za nyumban lakini kwa hiii huwa naumia zaidi kuchelewa mwendelezo kutoka pls maoni yangu mimi 2 kiukwel filamu bora kwangu
Nondo juu ya nondo mpaka nondo inajikuta kwenye nondo
Nice work team vevo❤❤from Kenya
Acheni kuomba likes jamani 😂 😢tushukuru vevo kwa kazi nzuri ❤ ameongeza dakika pia analeta kazi kwa wakati ❤
Mbwela nakupenda San jaman kama utojal chukua namb zng tuwasiliane pleas kilafik tu mi naitwa amina
Fupi anapenda wali maharage kishenzi🤣🤣🤣
Ila cheupe mm nmempnda kwakweli😊
Mkaliii vevo tupo hapa mapema saanaaaaaa tyu
Clam yuko vizuri sana watching from USA Illinois Chicago
We mwasi umejisaau wew ni mwanaume😂😂😂 unazagamuliwa sasa😂😂😂😂😂😂
Clam ni kanumba wa kizazi kipya
Wakwanza mm Leo nipen like zang zot apa
Napenda kazi zako Clam, Mashaallah mungu azidi kukufungulia njia, AMEEN
Kazi nzuri bby Leo nimekua wa 511 love ❤❤🎉
Imenoka sana hadi mumeongeza muda hongera kwa kazi nzuri
Another one mwamba kutoka burundi again kama wewe unamkubari VEVO CLAM Tupia like yako hapa let's do we going now🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰❤️🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mwenye umbea ako na ujasiri Kupita😮😮😮😮
like zangu love From burindi watanu leo
A vossa Snek boy me Deixa mall gostei❤ directamente 🇲🇿🇲🇿
Oooe team vevo kwn umu ndo machimbo yenu mn 35sec kuna 65 comment mko mbio sana family,ama vp si mfanye ile kitu leo mnipe izo 10 likes tuu
Haikai vizuli hiii movie haieleweki ni mbumbumbu, vevo ebu fanya iishe ucheze vingine
Ila huyo mtukufu mpya kwa kupenda ubwabwa na maharage kazidi jaman 😂😂
Kamshind clam😂😂
Hatari 😂😂😂😂😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Clam you are the best 👌 👍 yaan hucheleweshi alafu unatoa ndefu❤❤❤❤
Wa kwanza like kwangu ata kumi tu Kwa mara ya kwanza
Vevo unatisha grand frère 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Je suis le 10ième from East Congo.
Les congolais vous êtes où?malgré nous souffrons ici à l'est de nôtres pay.
Poleni sana wakongo
Kwenye tu hapo umeua sana mwamba 💪💪 Clam
wa kwanza toka Congo 🇨🇩
Jamani mbona amjaniita team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi nawapenda mno 🔥🔥🔥🔥 big up clam vevo kazi mzuri sana