Waziri Ulega alivyoamsha Shangwe akimjibu Mpina na wabunge wengine; Bunge lazizima kwa MAKOFI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 май 2023
  • Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdala Ulega akihitimisha hoja yake bungeni jijini Dodoma leo.

Комментарии • 9

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 Год назад

    Waziri uko vizuri sana, big up sana

  • @japhari2117
    @japhari2117 Год назад

    Hakuna Waziri hapa

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 Год назад +1

    kwahiyo ulikuwa mnafiki kwaviongozi wako

  • @evaristshija3082
    @evaristshija3082 Год назад

    Cabinet collective responsibility must be obseverved here, vinginevyo.....

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Год назад

    Waziri unaonekana ni mzuri kwa nadharia (theory) lakini kumbuka wananchi tunataka vitendo(practical) ili tuone huo uzalishaji.
    Hivyo basi hayo yote uliyoongea tunataka at least baada ya miezi sita kuanzia leo tuone matokeo.

  • @mussalimbe6673
    @mussalimbe6673 Год назад +1

    JAMANI Kuna waziri au mfurahisha genge?

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 Год назад

    Kwa hili pendekezo la kufunga uvuvi kwa miezi mitatu wizara ndiyo ingesimamishwa kwa ufinyu wa mawazo. Tanzania tuna maji mengi ambayo yanafaa kwa ufugaji wa samaki kiasi ambacho hii ingekuwa ajira kubwa. Waziri awe na upana wa mawazo wa kutosha vinginevyo watupishe.

  • @japhari2117
    @japhari2117 Год назад

    Huyu jamaaaa Kwahio Amezikana Sheria za wizara Kwa maana ya kwamba utaendeshaje wizara Kwa kutumia Busara Nini Maana ya kuwekeana sheria .. pili huyu Atenguliwe inamaana aliapa Nini na Ameeenda kinyume na alivyoapa Tanzania tunaviongozi WA Ajabu sana
    Tatu huyu mbona kama kalewa .. Waziri umelewa pombe duuu

  • @JohnMalambo-hk5hk
    @JohnMalambo-hk5hk Год назад

    Kwani huko nyuma Nani alizuia