Mtoto Wa RAIS NYERERE Aliyepigana VITA Bila Baba Yake Kujua Mpaka Kushinda Vita

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 33

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Год назад +3

    Mmmm MUNGU Mwema Ubarikiwe hear you Have The Best fureture it touches

  • @aliathuman2078
    @aliathuman2078 3 года назад +4

    Hio sauti ya kicheko chake kama ya babake tu🤣🤣

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 4 года назад +4

    FAMILIA YENYE HOFU YA MUNGU WALIWAPENDA WATANZANIA WENZAO KAMA MARAFIKI ZAO,HAWAKUJIONA KAMA WATOTO WA IKULU MUNGU AENDELEE KUWATUNZA,AMEN

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +4

    "Lakini kweli Mungu yupo"

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +7

    Mwl angekuwa na roha ya korosho ya tamaa angemkabidhi mwanae Uganda kuitawala lakini hakufanya hivyo. Upendo ulioje.

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 месяца назад

    Pamoja na yote Makongoro anafaa kuwa Rais wa nchi siyo hawa wa sasa wanatuibia mpaka nchi imekuwa na vijana maskini wa kutupwa

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 5 лет назад +4

    Interview iko funny sana haichoshi💪

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Год назад +2

    Good hearted person

  • @MolelMoran
    @MolelMoran Год назад +1

    Kama sikosei huyu Mhe alikuwa kwenye kikosi cha mizinga chini ya Col Tumbi ( RIP ) au Col Mongi.
    Baba wa Taifa Mwl JK Nyerere hakupendela Watoto wake.

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 года назад +2

    Tufikie wakati tumuenzi Baba wetu wa Taifa kwa vitendo tuwakumbuke wanae...Makongoro apewe urais

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 года назад +2

    Duuu
    Usimwage kuku wengi,
    Kwenye mtama kidogo.

  • @justinaninga2679
    @justinaninga2679 5 лет назад +3

    Hadi kicheko cha fanana na nyerere daa atakumbukwa kwa mengi nyerere

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 3 года назад +1

    Mashallah kama babake anajielewa

  • @sundayjonas6869
    @sundayjonas6869 5 лет назад +3

    Selekali yetu inawajali kweli watoto wa wasisi wanchi yetu ya tz

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 месяца назад

    Unae mponda makongoro tupe isitolia yako amekuudhi nini mtu wa watu kama sio umaskini wa roho au wewe ni mchawi yeye ni mtu wa kicheko wewe inakukela yeye mungu akimchukua atabaki kwenye istoria wewe nani anakujua ata ukoo wako awana isitoria yako unakufa kama kibaka jieshimu mjinga sana

  • @StephenFungo-w6g
    @StephenFungo-w6g 2 месяца назад +1

    Tutulizie kamera wewe

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Год назад +1

    makongoro mchumia tumbo njaa inamsumbua kweli

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 3 месяца назад

      Si kweli na haitatokea MAKONGORO kuwa mchumia TUMBO

  • @raheebraheeb-vd7qv
    @raheebraheeb-vd7qv 10 месяцев назад +1

    Ssut ya babba wa taifa kabisa

  • @ramadhanibrahim7619
    @ramadhanibrahim7619 5 лет назад +3

    Makongoro mchangamfu sn

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Год назад

    Unatukumbusha mbali

  • @gamechanger9646
    @gamechanger9646 5 лет назад +5

    A rich man's joke is always funny

  • @lululivingstone8298
    @lululivingstone8298 5 лет назад +1

    mtu wa watU

  • @lazarosule7761
    @lazarosule7761 2 года назад

    Duu

  • @kahawathungu
    @kahawathungu 5 лет назад +2

    Mwalimu mtupu mpaka anavyojikuna kichwa. The apole does not fall far from the tree

  • @yeasrmsafi7152
    @yeasrmsafi7152 5 лет назад +2

    Huyo ndio anaitwa nani?

  • @januarimagobe59
    @januarimagobe59 4 года назад

    O