Nampenda sana huyu kungwi. Natamani nikae nae kitako niendelee kusikia busara zake. Huyu ni zawadi kubwa sana kwa vijana wetu na hata marika mengine. Shes smart strong and sincere.
Mashaallah baraka Allahufiqum mama Allah akupe maskizano muzini kupendana mapenzi moto moto taam kolea Allah awashinde kila wenye sharri na wewe kila jambo apaghalo ni Allah sibina damu wanaye susema vibaya wana wivu coz bahati nikutoka kwa Allah so wasikujalishe coz ur steel so cute mashaallah Allah akulindie ndoa yako wawache wakuseme ishandikwa rizki yako kutoka mbinguni ata wakikusema hakushiki Allah atazidi kukuhifadhi na ur hubby muishi maisha marefu kila la kheir nakuombea my mama l love u 😘 so much❤😘 naomba ur number mama
Hongera Sana Sana Sana Kila Jambo na wakati wake kuungu nae binadamu kuongoza ni chaguo la mungu popote pale bwana enjoy tu daaah raha tupu mapenzi ni dawa ya moyo na utulivu cheka furahi yaaaaaaapuu
Hiii yarabi dola elf 3mia 5 afadhali ni sawa na milion ngapi mm hizo sijuwi najuwa rial ndiyo nizitafuta bass kuwa oman dada mimi nakusikiliza kwa makini nimesikiya mengi kutoka kwako yanifunza hayo nitayafanyia kazi ishaalah😅❤
Hovyoo jifunze kasome dini mjinga STARA SIYO KUVAA TU KUJISITIRI BALI STARA NYINGINE NI KUOLEWA KUSITIRIWA KWA MAANA NDOA NI KUSITIRIWA TENA STARA YA NDOA NI KUBWA KABISA KWA MOLA WAKO. HUWEZI KUSEMA STARA NI MAPENZI MAANA MAPENZI KWEYE ZINAA HAIFAI
Nampenda sana huyu kungwi. Natamani nikae nae kitako niendelee kusikia busara zake. Huyu ni zawadi kubwa sana kwa vijana wetu na hata marika mengine. Shes smart strong and sincere.
Hongera Malkia kwa kupata mume❤❤❤ kila la heri
This woman is Frank I just like how open and wise she is,,,, congratulations
Mashaallah baraka Allahufiqum mama Allah akupe maskizano muzini kupendana mapenzi moto moto taam kolea Allah awashinde kila wenye sharri na wewe kila jambo apaghalo ni Allah sibina damu wanaye susema vibaya wana wivu coz bahati nikutoka kwa Allah so wasikujalishe coz ur steel so cute mashaallah Allah akulindie ndoa yako wawache wakuseme ishandikwa rizki yako kutoka mbinguni ata wakikusema hakushiki Allah atazidi kukuhifadhi na ur hubby muishi maisha marefu kila la kheir nakuombea my mama l love u 😘 so much❤😘 naomba ur number mama
MashaaAllah 👌 Myaka 54 bado Mbichiii ❤😊
MashaAllah hongera MAMA kwa kupata mwenza❤..Allah awajaalie mdumu ktk Ndoa yenu.
Jaman huwonekan kama mkubwa ,, Bado unalipa Sanaa ❤❤❤❤❤❤❤
I love you mama love.... congratulations Allahmdullilah i wish you all the best
Mwenyezimungu adumishe ndoa yako mamaetu mrembo🤲😍
namba za cm basimama
nina shida
Dada upo vizuri sana,ni wazi umelelewa ukaleleka.Hongera sana
Hatuangalii umri,Mungu awalinde sana❤❤❤
Mashallah mama❤Allah aidumishe ndoa yako mpenzi ❤❤
somo zuri mama,long life and happy marriage ❤❤❤❤. watching from Kenya,nimependa saana.
Ahsante bi dada mashallah ALLAH aibariki ndoa yako
BarakaAllah mama Allah akupe la kheri na akuepushe na la shari
Mabrook mama love❤Allah aidumishe ndoa yako
Swadacta mamaangu Allah awape maisha marefu adumishe ndoa yenu almdulillah wallah nimefurahia maneno yako
Amiin Yarrabb
Allahabudulillah mashallah unapendeza bibi
Mashallah hivi ndivyo ninavyokuoenda mama kungwi love ❤
Nime kupenda bure mama 😍😍😍😍 hadi nimetamani awe mama mkwe wangu🤭🥰
Asante mjukuu wangu. Huyo shemegi akija mlete znz nimuona na yeye anione.
Hongera sana mlemb wet tunainjoy san wanao ❤❤❤❤❤
Assalaam aleykum mam yang hongera san
❤❤❤ sante🎉 kipendh😂 nakupend bure maneno yako swadakta
Mimi napenda ulivo mzuri😊
MashaAllah,twakupenda pia mama.
Hongera Sana Sana Sana Kila Jambo na wakati wake kuungu nae binadamu kuongoza ni chaguo la mungu popote pale bwana enjoy tu daaah raha tupu mapenzi ni dawa ya moyo na utulivu cheka furahi yaaaaaaapuu
Mashaallah tabarakallah mabrouq alfu mabrouq mngu awape maskizano
Huyu mama anaongea ukweli mtupu, from Kenya
Asallamalequ Maashalla Maashalla Allah helpe you Ishaalla Allahmdulillah ❤❤❤❤🎉🎉
❤😂😂😂umenikosha san mamayangu, asante san❤
Mungu analipa huku huku dunian heko mama
Mashallah mama mungu adumishe ndoa yenu muelewane daima
Shukran my mama penda sn kwa ajil y allh dah😅😅😅😅❤❤❤❤❤
Kweli kabisaa nimekupenda bureeeeee 💖💖💖💖
❤❤❤ nakupenda sana mama
Naomba namba zako mama
Jambo la kheri mama angu mungu akulinde🙏🙏
Mashaallah me nampenda saana aunt Salma mama love kungwi🥰🥰🥰😍
You look stunning❤, mashallah
Hongera mjukuu wangu nakupenda sana. Hao wanao bora waniowe mie.
Udumu kwenye ndoa yako dada inshaallah
Assalam Aleykum, ww ndie mke wakuoa , mume atapata utulivu na mawadaa
Mwenyez mungu abaliki ndoa yako mrembo❤
Nakupenda mama yng unasema vizuri sana
Manenohayo yamewagusa watuwengisana Allah akulipe kheri
Mama love kungwi unanifurahisha kwel kwel😂😂😂nakuelewa nakufaham😂😂
😂😂😂😂😂
Mwanaume wangu anataka nivae shanga jaman na hatuna ndoa je nisahihi?
Eti ya kaonja cha kwangu na mm nimeonja cha kwake😂😂
Jamani me naomba namba yake aunt Salma
Mama twakupenda kwa mashauri mema yako. Basi hapo Tanzania mahari inafika kwa pesa ngapi?
Hongera zake🎉
Mola aitunze ndoa ni kitu cha kheri ❤
Mungu awabbariki wewe na mumeo na familia zenu zote za pande zote mbili❤❤❤❤
Mama unapendeza Tena nimependa ukweli yako❤❤❤❤😂
Kungwi nakupenda sana unajuwa kudili😊😊😊🎉🎉🎉❤❤
Hiii yarabi dola elf 3mia 5 afadhali ni sawa na milion ngapi mm hizo sijuwi najuwa rial ndiyo nizitafuta bass kuwa oman dada mimi nakusikiliza kwa makini nimesikiya mengi kutoka kwako yanifunza hayo nitayafanyia kazi ishaalah😅❤
😅😅😅😅😅😅eti ntazaa chura khaaaaa
KUNGWI. MWENYEZI MUNGU AKUWEZESHE
Jamani natamani sana
Tukutane tena na Salma
Mie Zuhura mdogo wake
Kassim....naomba upate ujumbe huu
Sina shaka utanikumbuka
Nimekumiss dada wii jmn
Yaan we nizaidi ya msaada kwa wana ndoa❤❤
Mabruk aunty salma
😂😂😂😂😂😂kungwi sura simekomaa kama mawe ya kiama😊😊
Sister unaongea fact
Hongera my
Huyo mama nimempenda kweri nawapata vzr ktk burundi
Mungu akujalieni mpate mapacha
Usijali hata mimi nim ezaa nikiwa na umri m kubwa nani bint wa m iaka 19 kwahiyo usija li zaa tu mungu ni mw ema sana
Mawe ya kiyaama dah😊
Mashaallah nakupa hongera mama love ❤️
Kungwi Una hashuo nakupendaje❤❤
Mungu akubariki kapitia ndoa ngumu sana mwacheni
Allah hatakabal dua zako,mama love.Ameen thuma Ameen
Hongera dadangu
Hovyoo jifunze kasome dini mjinga STARA SIYO KUVAA TU KUJISITIRI BALI STARA NYINGINE NI KUOLEWA KUSITIRIWA KWA MAANA NDOA NI KUSITIRIWA TENA STARA YA NDOA NI KUBWA KABISA KWA MOLA WAKO. HUWEZI KUSEMA STARA NI MAPENZI MAANA MAPENZI KWEYE ZINAA HAIFAI
Mama anafurahisha kwer kwer
Nipe namba zako mwenzangu
Mansha ALLAH napenda
Nakupenda sana mama❤
insha'Allah mom ntakutfaa
Mawe ya kiama😮😊
Kweli mama na mm nataman ndoa kama ww mamaangu 😘😘🙏🙏
Maashaallah. Huyu. Mama nampenda
Safi kabisa🎉
ulifanya vzur san❤
Safi sana mama love mungu ailinde ndoa yako
Mungu abaliki iyo ndoa
Nice ❤
Somo zuri sana, thanks mom❤
Nampendaga sana huyu mama..
Huna baya mamangu,,,mashallah
Mungu awazidishie mapenzi dada yangu
Ume mufariji mama yangu nafurahi sana kupitiya usha uri Wako
Nagupenda mama bakuwace awo banagusema vibaya
Are you serious??
😂😂😂😂😂mama asante sura km ukuta wa polic😅😅😅
Hongera mama love 👍👍
Nakupenda sana unasemaga ukweli mtupu
Mashalla mm
Waah
Ur very goo😮 looking
Allah awajaalie mkae salama. Utazaa mtoto wa kheti na wala usijali uzae nae tu.