"SIRUDI KWA DIAMOND NG'O NIMEBEBA NA MABEGI YANGU" Zuchu Agoma Kurudi NYUMBANI KWA DIAMOND

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 апр 2024
  • East African number one RUclips channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
    KANUNI NA MUONGOZO
    Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
    NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
    WeAreEverywhere
    #entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 144

  • @sheilanampenya1833
    @sheilanampenya1833 Месяц назад +29

    the reason diamond Yuko na zuchu ni kipaji chake hataki ampoteze anamuingizia pesa.

  • @jahsjjsj583
    @jahsjjsj583 Месяц назад +19

    Huyokijana hanaeshima . Hajatulia , zuuuu , tulia nyumbani utakujapatamme mwema inshaAllah . Acana nauyokijana , asijekupa presha mwanangu❤

    • @aminaabdalla-uo9zq
      @aminaabdalla-uo9zq Месяц назад

      Hata kidg ni mshenz t diamond hajiheshim

    • @zazalareinebosslady
      @zazalareinebosslady Месяц назад

      Kwani diamond kafanya nini haswaa man me sielewi??

    • @user-iz2dw8rp2i
      @user-iz2dw8rp2i Месяц назад

      Huyu zuchu hapendwi yy ajitahidi kutunga nyimbo aingize hela watoto na wanawake wanaopendwa waenjoy...

  • @user-xg7eu3vk2p
    @user-xg7eu3vk2p Месяц назад +13

    Ww fanya kazi mwanaume humwezi yule mhuni sana yule diamond

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 Месяц назад +9

    Uliona wapi mapenzi ya MTU na boss wake yakadumu kama sikuchezewa tu

  • @thamani5842
    @thamani5842 Месяц назад +16

    Ya ALLAH jaalia uyo Zuchu asirudi kwenye UCHAFU uo

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Месяц назад +13

    Zuchu ww fanya kazi achana na diamond maana heshima ya mapenzi hana hata mwache aende tulia utapata mwanaume mnayeendana kitabia na mtapendana kidhati

  • @thamani5842
    @thamani5842 Месяц назад +8

    ZUCHU wakikuita kwenye iterview yao usiende wote wanafik tu ao

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 Месяц назад +8

    Atarudi tu huyu maana amekufa ameoza kwa diamond maana anajua diamond jinsi anavyojua kumdekeza. Ngoja tuone

  • @BintialiBintali
    @BintialiBintali Месяц назад +2

    Mabegi ju juu wifi huyo jmn😂

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 Месяц назад +1

    Yarrabi subhana Allah muweza wa yote utajaariwa 🤲

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt Месяц назад +2

    Zuchu mabegi juu juu zanzibari ndo jina lake

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo Месяц назад +4

    don't force love ma girl ebu we pia ringa kidogo aky

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Месяц назад +2

    Waongo wanafiki kama kweli mngefanya siri mtangaza mtandaoni mngefanya siri wala sio wakutangaza mnajifanyisha

  • @tuyisengesamuel4161
    @tuyisengesamuel4161 Месяц назад +1

    Mabegi juu😂😂

  • @ashurajuma2024
    @ashurajuma2024 Месяц назад +1

    Mmhh pole zuchu wangu,binafsi mwanaume kama huyo bwana simba hapana kwakweli mda wote roho juu khaa.

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Месяц назад +1

    Zuchu shida nn jamani kipaji kixuri hivyo kwann ateseke mapenzi ,wasafi msipoteze zuu yupo vizuri

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад

    Dida na wewe❤❤❤

  • @zazalareinebosslady
    @zazalareinebosslady Месяц назад +1

    Nasibu hana kosa wallh pia ni star simba anatamaniwa nawana wake wengi san sas kupendan naye inabidi subra kama anampenda simba atuliye afunge macho na masikiyo plz zuu msame simbaa❤❤❤

  • @BabraWati
    @BabraWati Месяц назад +1

    Wasafi niwachochesi 😊😊laminitis diamond kuna siku utalipwa kwa yale unoyo 2 wwe name uko n watoi u will cry my friend we will see

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Месяц назад +5

    Wasafi mnachochea ugomvi. Wee Esma mbona na wewe unabadili waume kama chupi?

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n Месяц назад +4

    Jamani mnamwonea kweli maskini.kwani kwao hana wakubwa wa kumweka chini.mtoto mzuri anachezelewa hivihivi maskini.wanaume wako wengi wastaraabu
    .Jina unalo tayari,.shida nn?

  • @FadhilFadhil-zr1xs
    @FadhilFadhil-zr1xs Месяц назад +1

    We nzuri kixha bado mtoto

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Месяц назад +1

    Kwanini daimon na zuchu mnaweka ugovi wenu public watu wanafurahiya mnaweka leo kesho meridians mnachekwa mnakaa kama watoto mfanye kweli mukiweka public mjue ndo forever hiyo hairudi sio kila saa mnaweka ujinga

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Месяц назад +1

    Nyie ni wambea san mnashadidia zinaa kweli wallah myihan

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Месяц назад +1

    Yana mwisho

  • @user-qv4zk6hd9k
    @user-qv4zk6hd9k Месяц назад +1

    Huyo awekwa kama kitega ushumi

  • @user-zk8jy4zz4f
    @user-zk8jy4zz4f Месяц назад +1

    Mpaka wapewa jn la mabegi juu

  • @PendoEnock-cr3vu
    @PendoEnock-cr3vu Месяц назад +1

    Diamond ajiheshimu akae kama mwanaume.

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 Месяц назад

    Mtakalia hayo2

  • @HusinaKarama-ti9jm
    @HusinaKarama-ti9jm Месяц назад

    💙💙💙💙💙💪🔥

  • @bettynjoki-kk9sm
    @bettynjoki-kk9sm Месяц назад

    Hata nashagaa sana

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Месяц назад +3

    Zuchu mwanaume akufukuze mara ngapi, bora ule dagaa na furaha, kuliko nyama na majonzi 😅

  • @rehemaomary1739
    @rehemaomary1739 Месяц назад +4

    Aende tu kwan kaolewa Sarah yupo

    • @salomesakson2996
      @salomesakson2996 Месяц назад

      Uyo Sara nayo ataachwa atakuja mwingine mwanaume sio baba yako mzaz ambayohuz kumcha kutafuta baba mwingine

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Месяц назад

    Mabegi juuu duu😂😂

  • @salmakashau-ib9fq
    @salmakashau-ib9fq Месяц назад +1

    Mackini wanamsema hku wanacheka zuchu utpta maraz kwa hyu mwanamme

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 Месяц назад

    Aelewe tu Diamond ni cha wote😅😅

  • @yusrakahera7589
    @yusrakahera7589 Месяц назад

    Zuchu huachiii teee aaa hebu mie inahuuu

  • @ckevents3593
    @ckevents3593 Месяц назад +1

    Chuchu mpuuzi anadhani kwamba mondi atakuwa wake tu. huyo ni super star bhn. kila mtu anamtamani yy abaki kwenye nafasi yake.asitafute mambo mengi.

    • @DM.2200
      @DM.2200 Месяц назад

      Wivu wa zuchu ni mbaya mno dah

  • @Frolianagabito3000
    @Frolianagabito3000 Месяц назад +1

    Diamond kaishiwa kiasi hicho mpaka nyimbo muitengenezee kiki kiasi hicho?

  • @neemajames5137
    @neemajames5137 Месяц назад

    Esma una ushauri mzuri sana

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo Месяц назад

    aky zuchu

  • @Dj7Nix
    @Dj7Nix Месяц назад +1

    Hii moma

  • @MichaelSikazwe-bf3xb
    @MichaelSikazwe-bf3xb Месяц назад +1

    Usiyende zuchu has siyo unafiki tu

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Месяц назад

    Mapenzi ya kitoto raha saanana.zuchu anadeka saana lakini ajue sio penzi anatumiwa tu.friend in advantage

  • @user-wi4nb7fg8v
    @user-wi4nb7fg8v 28 дней назад +1

    Wewe tumbili ukirudi utakuwa mjinga Diamond anampenda Zari shepu kama yote Tanisha wewe wa kutumiwa tu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +1

    Lakini zuchu kiundani ajatoka kwa sababu ya salaha'kuna jambo nyuma ya panzia.

  • @JamalKhan-le9ud
    @JamalKhan-le9ud Месяц назад +1

    Huyu Esma ni mmbea yakwakwe matakaoni yawenzie midomoni
    Wewe Esma umeondoka
    Kwenye ndoa ngapi?

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Месяц назад +1

    huyu zuchu hana jeuri ya kukosa kurudi kwa mond alishaambiwa mond mtu mbadi hakutaka kusikia anachanganya kazi na mapenzi, anamjua vzr mond avumilie tu

  • @CatherineSakinayemba-tv2cc
    @CatherineSakinayemba-tv2cc Месяц назад +1

    Sasa watu. Wana msema rajabu ana chezeya wanawake sasa bosi wangu hachezeyi? Hum uyu naye sijuwi zuhura sijuwi zuchu jamais Léo ana jifanya anauzika kwanza hajaolewa ata kuji tambulisha bado kinginevalikuwa anasema yule bosi wake kulikoni sasa?

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j Месяц назад +2

    Atarudi huyo. Hajiwezi hata kidogo kwa Diamond.

    • @neemamwijage
      @neemamwijage Месяц назад

      Kabisa hana ubavu wa kumuacha Mond

  • @user-tv8dp8yr7x
    @user-tv8dp8yr7x Месяц назад +1

    Esma ni mnafiki saaana tena saaaana na amefurai kuona zuchu ameondoka , na kingine walimdharau saaaana zuchu kweri

  • @pyzzocatto1829
    @pyzzocatto1829 Месяц назад

    Eti mabegi juujuu😅😅😅

  • @Frolianagabito3000
    @Frolianagabito3000 Месяц назад +1

    Uyo dida na Esma mmeachika mara ngapi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Месяц назад

    Mwapaliliya zinaa au Kwakuwa yuwawaleteya pesa

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania Месяц назад +1

    Mnashije na mwanaume hajakuowa

  • @ShirfaDigubike
    @ShirfaDigubike Месяц назад +1

    Anatikisa kibeliti araldite tuuuuuu

  • @AbisinaRashidi-wg5jt
    @AbisinaRashidi-wg5jt Месяц назад

    Wazanzibari wa hovyo kumbe

  • @user-xg7eu3vk2p
    @user-xg7eu3vk2p Месяц назад +3

    Uyo zuchu hajielewi kwa akili zake uyo mondi atamwowa yy anajisumbuwa tu

    • @aminaabdalla-uo9zq
      @aminaabdalla-uo9zq Месяц назад

      Akili z mapenzi shog moyoo dada

    • @user-fo5my5pe3b
      @user-fo5my5pe3b Месяц назад

      ndoa hupangwa mbinguni ajuae ni allah pekee yke ila pia haitakiwi kuishi nae bila ndoa

  • @user-ix3ue6tm1y
    @user-ix3ue6tm1y Месяц назад +1

    Wacheni ujinga huo kwani uyo ni mke au Hawara?

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Месяц назад +1

    Vitu vingine viwe faragha si ustaarabu

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h Месяц назад +3

    Une personne qui ne tourne qu'autour de ces EX hé non ma QUEEN quitte ce gars maintenant et si possible change de label c'est mieux au lieu de resté au milieu des vautours et des loups.....!

    • @louloubika8603
      @louloubika8603 Месяц назад +2

      Zuchu met toi en valeur.Diamond est un perdant et il finira mal sa vie. Wait and see. ❤❤❤❤❤❤❤

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 Месяц назад

    Hahahahaha mabegi juuuuuuu

  • @amanimargaret.1576
    @amanimargaret.1576 Месяц назад +5

    Zuchu kapendwa eeeeish mbona Donna hakufuatwa na familia Zuchu ringaaa.😂

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Месяц назад

    Zuchu mmbeba mabegi 😂😂😂

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo Месяц назад +8

    usitafute mtu zuchu ww ndio utafutwe

  • @LeilaAbdull-jg6ho
    @LeilaAbdull-jg6ho Месяц назад +1

    Mbona nyie mumeachana nawatu kibao hatusemi pungunzen ujinga watuwazima hovyo

  • @jinasimai3569
    @jinasimai3569 Месяц назад +1

    Jamani Zuchu akikataa kurudi njooni munichukuwe mie,😂 mm ningekuwa zuchu ningenyamaza kama moja. Wala nisingejihusisha na mitandao mapenz hayataki fujoo, mazali moyo wa zuchu unampenda nasibu, na sio diamond rudi ukaishi na nasibu, hayo mambo ya diamond waachie walimwengu.

    • @NasraSaidi-mg7nq
      @NasraSaidi-mg7nq 17 дней назад

      Hayajakufika wewe ,ingekuwa amemuowa sawa lakini ,mwisho atamletea marazii

    • @NasraSaidi-mg7nq
      @NasraSaidi-mg7nq 17 дней назад

      Huyoesma mwenyewe anasema tuuu kwenyekuvumilia ,yeye mwenyewe ndowa yatano huyoesma mbonahajaziba masikio

  • @janeonchiri2396
    @janeonchiri2396 Месяц назад +1

    Kwani ilikuwa unaishi kwake? Aje? na hiyo ni boss dada. Kwani wewe utakuwa special aje ne ujasoma na hao wa mbele? Soma lebo ya diamond na utoroke kabisa bila kurudi. Kama ni Kazi iwe KAZI. Lakini kama ni.vyuno basi ufunge mdomo.

  • @DM.2200
    @DM.2200 Месяц назад +1

    zuu tafta mme asiye msanii kwa wasanii utazidi tu kuumia songa mbele ata ukirudi mambo ni yaleyale anapendwa na wengi labda ujifunze uvumiliv la sivyo mulemule utarudi

  • @maryinyas9320
    @maryinyas9320 Месяц назад

    Hivi lini kukawa na ndoa maama naona ni uchafu tu halafu mnamkufuru Mungu tu

  • @lydi791
    @lydi791 Месяц назад

    😂😂😂Zuchu ni mabegi chuu chuu😂😂😂

  • @Maryc2G
    @Maryc2G Месяц назад

    Wapambe nuksi.

  • @user-mz1xw8my8f
    @user-mz1xw8my8f Месяц назад

    Wewe zuchu wanakuita mabegi juu wazanzibr ukirudi si mzanzibar

  • @gracemwailima1780
    @gracemwailima1780 Месяц назад +2

    Hahahhahaha lakin tuseme tu ukweli diamond hakufanya poa hata uwe wewe una mwanaume alafu anamtambulisha ex wake hadharan ina maana bado anampenda japo ukweli ni bado anampenda Sara Sara nae kafunguka vila chenga hahhahahaaha

    • @zazalareinebosslady
      @zazalareinebosslady Месяц назад

      Ila me naona zuchu kajipa presh bure wallh kwasabb yule ni ex nahawez kumrudia kamwe kumtambulish sio shidaa kachukiy to bure wallh😢

  • @user-fo5my5pe3b
    @user-fo5my5pe3b Месяц назад +1

    wazanzibar hatupendi kusalitiwa wala kushea na pia tunajitambua jitu ata liwe na hela vp hatulinganganii tuna kitu kujiona so nyie mnaokaa mukipigwa mukipasuliwa bado mupo ndani mnasubiri urithi

  • @xhampoza_25
    @xhampoza_25 Месяц назад +1

    Huyo dida yake yanamshindwa ila mwenza azaraulize kwa kuwa yy diamond nani kwa zuchu ebu muacheni😂mtoto wa watu mnajijali nyie tu huo ni unafki

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Месяц назад

    ATARUDI HUYOO HAJIWEZI KWA DIAMOND

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n Месяц назад

    Ungekuwa na ndoa mwanaume hakuchezei.Hasingesubutu .

  • @msindimalugendo8252
    @msindimalugendo8252 Месяц назад

    Watangazaji pigeni kelele Zuchu na Dai hawaachani

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Месяц назад +1

    Ngoma imebuma sasa wanatafuta kiki

  • @MamtaAnthony
    @MamtaAnthony Месяц назад

    Zuchu tulia utampata mume bora , huyo atakusababishia presha yakushuka.

  • @fatumamahoiga3978
    @fatumamahoiga3978 Месяц назад +2

    Esma Unaongea Saana je? Kama ungelikuwa wewe?

    • @user-pw2dv9fr6r
      @user-pw2dv9fr6r Месяц назад

      Hakika kila mwanamke avae viatu vya zuchu atajiskia rahaa

  • @kingkakamwasungo5023
    @kingkakamwasungo5023 Месяц назад

    Ila hiii midia ya wasafi daaa Yani kweli ni ya familia ainaga jipya zaidi ya diamond na familia yake😂😂😂

  • @zawadigrace3519
    @zawadigrace3519 Месяц назад

    Kwani zuch alikuwa amesha anza ikala kwa diamond

  • @user-yh6mq4ds1m
    @user-yh6mq4ds1m Месяц назад

    Atarud tu

  • @gracengunga348
    @gracengunga348 Месяц назад

    Esma mnafiki tu

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 Месяц назад

    Unaishi na mwanaume kama mume na kuolewa hujaolewa unapigwa matukio kwa kwenda mbele mwe! Karma karma dada karma

  • @lydi791
    @lydi791 Месяц назад

    😂😂😂😂😂ma shemej wanafik yani kama esma kafurayi kuona zuchu kwenda gisi anavyo muzarahu eti tuwatuu twembamba😂😂

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo Месяц назад

    aky zuchu ananibwaga bwana

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Месяц назад

    Wewe ulikuwa ujui kama daimond malaya umeyataka mwenyewe kwani waume watulivu ujawaona umemuona huyo

  • @bettynjoki-kk9sm
    @bettynjoki-kk9sm Месяц назад

    Mimi nauliza zuch mwanaume uliona Ni diamond

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Месяц назад

    KWANI ZUCHU KAOLEWA AU NDO WANAFANYA UZIZI

  • @isamony58
    @isamony58 Месяц назад

    Kiny, any, a niziiii upomondi maliza hao pesa ndokilakitu uyu mpemba atajijuuuu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 Месяц назад

    Ila daimondi nae kazidi mbona wenzake hawapo ivo daimondi anapenda sifa san na hajui maumivu ya mtu mwingine anajijali yeye km yeye tu mwanaume gani

  • @user-eo2tl9qw5d
    @user-eo2tl9qw5d Месяц назад

    Msituseme wazanzibari kuwa tuna hasira Ila Ni haki yake sisi tunayajuwa mapenzi kuliko kitu chochote

  • @aminrashid991
    @aminrashid991 Месяц назад

    😂😂😂😂

  • @user-js6kf9rg5i
    @user-js6kf9rg5i Месяц назад

    Wewe dida ndiomàna Wana ume Wana kutomba nakuondoka fata Yako kum wew

  • @shamlimah5682
    @shamlimah5682 Месяц назад +1

    Sometimes if u don't use ur head to understand then use ur bum. Zuchu when she fell in love with diamond did she think she was going to be forever woman? A man who has already met women u expect the best for u .

  • @ckevents3593
    @ckevents3593 Месяц назад

    Sara abaonekana ni mwenye hekma sana

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Месяц назад

    Dida yako yanakush inda unayashadadia ya wenzio loooooh huachi