KIMENUKA DIAMOND AMJIBU ZUCHU AFUNGUKA SABABU YA KUACHANA KWAO AMEZIDI GUBU MNIO MBEE TU SIPO SAWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 53

  • @halimamohamed-n1p
    @halimamohamed-n1p 6 месяцев назад

    Tatizo zuchu hajiamin utagombana na wangapi wew kwako kila mtu anamtanga mond

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 месяцев назад

    Home boy chapa kazi.Mapenzi baadaye🎉

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 6 месяцев назад +2

    Waongoo, kesho apo tutaonaa watu viwanja wanakumbatiana Kama wapo kitamdan, Wazinifuu tuu kuzini wamekufanya n starehe had mitandaoni

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 6 месяцев назад +2

    Anakiona kila siku unamdhalilisha diamond akuombe msamahaa .ahaaa siyo powa kabisa mama dagote uwe makini hapo hajaolewa akiolewa itakuaje .jamani tooo much

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 6 месяцев назад

    Mbona ameludi: Zuchu jari mxik ndio cha msingi na sekondari. Achana na habari ya mapenzi na Mond. Anakupotozea muda.

  • @DianaAlistides-d8j
    @DianaAlistides-d8j 6 месяцев назад

    Never giver up great things take time by me😢

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 6 месяцев назад +2

    Mwambino akikuchoka. Anakupiga matukio. Xuchu sanuka mmaa😅😅

  • @edithgaturi9735
    @edithgaturi9735 6 месяцев назад +4

    Akwende kabisa mshamba tuu

  • @KhadijaMzuri
    @KhadijaMzuri 6 месяцев назад +1

    Diamond asiombe msamaha ni kujizalilisha na unampa jeur zuchu anajiona anapendwa sana yy akuna mwengine kama yy 😊😊😊

  • @jaylazorschannel5681
    @jaylazorschannel5681 6 месяцев назад

    Mtangazaji unaongea sanaa! Nenda direct Kwa point!

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 6 месяцев назад +1

    Diamond ni mnafiki wanawake wote ni wabaya kwake laa yy ndio ana tabia mbaya

  • @jaylazorschannel5681
    @jaylazorschannel5681 6 месяцев назад +1

    Nasibu hatari aisee! Yani Tanzania nzima imesimama kwaajili ya mahusiano yake daaah!! Kweli Ni SIMBA!!!

  • @lesmashembilu
    @lesmashembilu 6 месяцев назад +1

    Tumewachoka nendeni bna

  • @AmidaArkadya
    @AmidaArkadya 4 месяца назад

    😂😂😂

  • @Najma-z2h
    @Najma-z2h 6 месяцев назад

    Niliipenda xana xana couple ya diamond na zuchu Ila bc tena a chana nae tena bc

  • @marciabrown1172
    @marciabrown1172 6 месяцев назад +6

    Siamini kama ni kiki au la Zuchu usiwe mjinga kiasi hicho utakuja ujutia ulitakiwa ukae Diamond kwa ajili ya kazi na sasa utakuja ujute usiwe na hasira za haraka kiasi hicho kaa chini ujifikiria unaweza fikiri umefika popote la hasha bado unasafari ndefu na usipende kugombana na watu wote kwa sababu ya Mondi huo ni ujinga pia unaonekana wewe maisha uyajui na hao wanakushauri watakucheka ujinga

    • @rahmaabdallah4514
      @rahmaabdallah4514 6 месяцев назад +1

      Kweli sio wote wanapenda uhusiano wenu wengine wanasubiria utoke wajiweke kwa dai

    • @neemajames5137
      @neemajames5137 6 месяцев назад

      Zuchu hizo hasir hazifai ach kukasirika kupita kiasi hao wanaokudanganya watakucheka badae na hao hao wtambeba Dai.

    • @ZuwenaSalehe-sg2yb
      @ZuwenaSalehe-sg2yb 6 месяцев назад

      Dada zuu, acha kuwa na hasr kwsbabu, unawap watu faida

  • @zainabhussein5542
    @zainabhussein5542 6 месяцев назад

    Hapo zuchu harudi akirudi atasema ukitaka nirudi unioe ndio nitarudi na mutasikia manake anatamani sana kuolewa na bwana diamond

  • @munirhassan1559
    @munirhassan1559 6 месяцев назад +1

    Wewe Mzee wa Kukasilika jifunze kuongea au acha hio kazi hujui kuzungumza sio kukasilika KUKASIRIKA

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  6 месяцев назад +1

      Nikiacha hii kazi nije kula kwenu 😂

  • @MarrySamson-i6f
    @MarrySamson-i6f 6 месяцев назад

    Duh

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 6 месяцев назад

    Kutembea na boss si kosa lakn badae linaweza kuwa kosa 😢😢

  • @ZahariaKassimu
    @ZahariaKassimu 6 месяцев назад +1

    Ww mzanibar unazni huogopi

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 6 месяцев назад +1

    Bwana mtangazaji " "kukasilika" ndio nini?😊

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 6 месяцев назад +1

    Simba kuna warembo wengi wanakutamani tena wanawake wenye mashepu yao zuchu anakuzarau sana wewe ni mwanaume lazima uwe na maamuzi .sijaona kosa lako kwani ulikuwa kazini.pale.tunachoka na story za zuchu kila siku

    • @angelmauja1846
      @angelmauja1846 6 месяцев назад

      Kwakweli mtu mmekutana ukubwani,isitoshe ni msanii mkubwa kwa hyo akubali hali

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 6 месяцев назад +1

    DIAMOND HUNA ADABU HIVI ULIVYOFANYA AKIFANYA ZUCHU SI UNGEMTUNGIA WIMBO ACHA HIZO

  • @user-qk4gt3dw6m
    @user-qk4gt3dw6m 6 месяцев назад +1

    Diamond ni mdhalilishaji

    • @Kwazulu1
      @Kwazulu1 6 месяцев назад

      Zuchu ondokaaaa sura bayaaaaaa na zito. Sangoma ime expire ya Zuchu.

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 6 месяцев назад

      ​@@Kwazulu1Mungu akuhurumie

  • @AsyaJumaSuleiman
    @AsyaJumaSuleiman 6 месяцев назад +1

    Akwendere uko mtoto wa kiislam mzima wakutulia akapata mume akolewa akastrika anakuwa kama hakutoka kwenye mifupa ya kiislamu hakuna dini inoruhusu zinaaa akwendere uko ajistri asihadaike na dunia kujishusha hadhi bure mtoto wa kiislam duniani ni mapito ukumbusho ndugu pengine umehafilika

  • @atupakisyemapuli8637
    @atupakisyemapuli8637 6 месяцев назад

    Ila Diamond kakutana na kiboko yake na haamini macho yake

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 6 месяцев назад +1

    Kila mtu ashike zake.Kwa nini kiwekana roho juu?

  • @aziza9093
    @aziza9093 6 месяцев назад

    Huyo nimsanitu hanamapezi utazaliswsan

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 6 месяцев назад

    Huyu diamond itakuwa ni mdhaifu kitandani mwanaume wa wanawake wengi si kwasababu anajua kufanyana huwa ni mdhaifu kitandani

  • @sylviemokosery8701
    @sylviemokosery8701 6 месяцев назад

    Diamond a expliqué qu'il ya eu une dispute entre zuchu et lui ,qu'elle est partie en dans sa famille,,c'est pas une histoire de sarah !!!

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 6 месяцев назад +1

    Diamond asioe Zuchu! Hiyo tabia ya Zuchu ni ya Kuogopa!

    • @agbordorothy4901
      @agbordorothy4901 6 месяцев назад

      There is no scary attitude here .This girl is just protecting her love,which is very normal with most women.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 6 месяцев назад +4

    Kwani Zuchu ni nani! hakuona warembo waliyomzidi wakiachwa? Mondi yupo kazini hana muda na demu yeye anatengeneza pesa.

    • @Lizawansima
      @Lizawansima 6 месяцев назад

      Mupu muzishe zuchu sasa ana choka maneno❤❤❤❤❤

  • @IsiahMosl
    @IsiahMosl 6 месяцев назад

    Mchukue huyo sara uliyempandisha pengne utatulia .

  • @AshuraBodi-sq7fm
    @AshuraBodi-sq7fm 6 месяцев назад

    Mbona diamond hajafanya kibaya jukwaani 🤔🤔🤔 japo sio shabiki yake

  • @halimashaban3858
    @halimashaban3858 6 месяцев назад

    Mpuuzi uyo alipelek mabegi kwa aliolewa

  • @HassinaAlharthi
    @HassinaAlharthi 6 месяцев назад

    Mungu awasaidie wote wawili yote hayo Nima penzi tuu na simba anapo Ona patrol atie maji siyo moto.

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq 6 месяцев назад +1

    😂😂yan nikaujinga kakubwa sana kufatilia maisha yasio tuhusu kuachana kila leo na kurudi sisi inatuhusu nini we mtu ajaolewa kutwa upo kwa bwana loh aibu naona mimi kwaiyo Ramadan ndo iliwatendanisha?😂😂😂😂

  • @AbdiRahmanIsmail-t3s
    @AbdiRahmanIsmail-t3s 6 месяцев назад +1

    Kiki zakijinga tuu hapo