Wanaotuhumiwa kumuua mtoto Greyson wapandishwa kizimbani, wengi waenda kwenye Instagram ya mmoja wao

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 88

  • @DobroHenry3442
    @DobroHenry3442 2 дня назад +12

    Uzur Mungu anaona 😢dam itamvuta aliyehuska

  • @Iam_fadheel
    @Iam_fadheel 2 дня назад +19

    Ila unaweza kuta hata huyo boda hajahusika ila ndio ivyo siku mbaya ikiwa upande wako

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 дня назад +18

    Kwa ulaya mtuhumiwa namba 1 ni mama na boyfriend wake na kisha huyo bodaboda

    • @marymayeye7947
      @marymayeye7947 2 дня назад +1

      Kwa Africa alieuwa Mtoto nibaba yake Mtoto.

    • @TheRadaprince
      @TheRadaprince День назад

      Nakubaliana na ww @sonnyr1899

  • @MKOLOSAIZENGO
    @MKOLOSAIZENGO 2 дня назад +18

    Mungu fanya jambo ukwel uonekane ila mimi naona boda hana kosa awezi ua mtoto na abaki tu uraian hapo alie uwa ajulikan ko police endeleen na upelelezi msikalie tu mlio wakamata muuaji bado yuko nje anakula mawazo tu ya kuomba asikamatwe

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 2 дня назад +9

    Ila vijana jamani kwanini munabeba laana za Dunia munyongwetu

  • @AngelinaSaga
    @AngelinaSaga 2 дня назад +5

    Mh mungu yupo kazini watasema tu

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 дня назад +6

    Wana muonea huyo bodaboda hana kesi bwana 😢yani amuue mtoto alaf akae hapo hapo kwenye tukio😮

  • @JosephManyahi
    @JosephManyahi 2 дня назад +12

    Kuna Suraa ya mtoto 😢naonaa kwenye watuhumia hapoo ,

  • @WazyKilima-z3v
    @WazyKilima-z3v 2 дня назад +6

    Kiualisia ya maisha ya bongo hawa sio bodaboda,, wamepewa kazi tu ya kutekeleza hilo dili.

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 2 дня назад +11

    Huwez kuachiwa mtoto af umuee na ubak tu uraiani

    • @salamaslaim6678
      @salamaslaim6678 2 дня назад +1

      Ndio apo eti uwepo tu uyo boda boda si zani kama ata alikua anajua kama kafaliki uyo mtt😢😢

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 2 дня назад +9

    Hapo ametafutwa wa kubebeshwa kafala subilini matokeo hapo polisi wamenawa kupisha upepo upite kwa akili ya kawaida swali rahisi mama mzazi aliwezaje kumuamini bodaboda na kumuachia mtoto usiku wa saa sita?

    • @imanimohammed8048
      @imanimohammed8048 2 дня назад +1

      Hao baadae watalipwa nipo na wewe isee hii kafara isee ni kuzuga tu

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 2 дня назад +2

    Wasimtete Tumaini moyo wa mwanadam aujuaye ni Mungu

  • @raiderking4637
    @raiderking4637 2 дня назад +1

    Au wazee chief wamechukua cha mwaka

  • @MariamuMtinda-i8q
    @MariamuMtinda-i8q 2 дня назад +4

    Ahsante SNS sio media zingine wameandika havieleweki

  • @gregorybakuza5796
    @gregorybakuza5796 2 дня назад +3

    Boda katolewa kafala tu, muuaji ni Mama na Baba wa kambo. Mama anahusika kwa uzembe ila Baba wa kambo (mchepuko wa mama) anahusika moja kwa moja. Boda kaingizwa mtegoni na katolewa kafara

  • @wadantz123
    @wadantz123 2 дня назад +6

    Bado swali langu alijajibiwa kwann mama umuache mtt na boda boda hali ya kuwa kila cku mitandaoni tunasikia matukio ya kubakwa na kulawitiwa we mama ww kwann lkn nakosa chakusema wallah ila we mama

    • @didadisminder5559
      @didadisminder5559 2 дня назад

      Hata mimi swali langu ni hilo na nahisi huyo kaka mwingine ni baba

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 дня назад +2

      Hamna Boda Boda hapo, jamaa anaendesha pikipiki yake mwenyewe pia ni mshikaji wao so walimuomba amchukue mtoto amrudishe nyumbani sasa kilichomkuta au kilichotokea ndo Mungu anajua .......inaumiza sana

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 2 дня назад

      ​@@MsAggie5Kwahyo 2hc walvamiwa au n vp Maana mthan WALLAH

    • @MvuviJuma
      @MvuviJuma День назад

      One day the truth will be out

  • @vintz338
    @vintz338 2 дня назад +3

    Huyo jamaa mbna kafanana na mtoto,af huyo mama wanemwachaje maana yy ndo wakwanz hapo, ni mzembe,tena ni mzembe Sana Sana ,wamam wa sikuhiz wanafany watoto kama mapambo

  • @MARRYKUNGULUCHE
    @MARRYKUNGULUCHE 20 часов назад

    Mhuu hatari

  • @emilianamvungi7513
    @emilianamvungi7513 10 часов назад

    ifike mahali watu watambue kuwa hizi mali wanazopata kwa ajili ya kuua wengine pia zinapita yaan wataziacha hapa duniani.huwez kuu mtoto mdogo namna hii bila sababu.Mungu awalaani mtaishi kwa taabu mpaka kifo chenu .

  • @AmourJaphali
    @AmourJaphali День назад +1

    Kwah hawo ndowahusika

  • @GabrielAmuko
    @GabrielAmuko 2 дня назад +1

    DUNIA HII ETI HAPO MTU ATAJITOKEZA KUWATETEA BILA HATA AIBU!! SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE TUMECHOKA KUSIKIA MAUAJI HAPA TZ.

  • @Valencechachalyrics
    @Valencechachalyrics 21 час назад

    Mwisho ukweli utajiteng tu

  • @beckamuziki2785
    @beckamuziki2785 2 дня назад +6

    Sky Bro Mungu Akuweke Sana Huwa Tunapenda Na Tunakuelewa Zaidi Taarifa Ukituwekea Wewe

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 День назад +1

    Hii kupeleka watu mahakamani bado ni sifuri jambo muhimu ni kujua wamemuua kama ni kweli ni wao maana hata mama mzazi sijaona kama kweli na hausiki kwa maelezo ya awali

    • @MaryFabian-pi5tt
      @MaryFabian-pi5tt Час назад

      Ila mungu mwacheni aitwe mungu kijana kwa kuwa ni boda ndo ameua kweli samaki moja akioza ni wote msemo huu nimeuamini ila mungu wewe wajua Siri yote wape police jibu iliyo sahihi ili haki itendeke ikiwezekana apatikane kabisa aliyefanya tukio mbaya kiasi kwamba tunaishi kwa hofu jamani.

    • @MaryFabian-pi5tt
      @MaryFabian-pi5tt Час назад

      Nchi ni yetu wenyewe hatuna amani kwanini lakini mungu ukawape njia tiifu waweze patikana kwa wakati

  • @adrianobariye8096
    @adrianobariye8096 День назад

    Maji yatajitenga na mafuta kwa hao watuhumiwa

  • @JohariMwanda
    @JohariMwanda 2 дня назад +8

    Mbona naona kama mmojawapo kati ya hao anafanana na mtoto,au ni macho yangu

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 2 дня назад

      Nahisi kaona mtt ni wake kagaiwa mtu mwengine akaona aondoshe utata 😂😂

    • @DanielabdulAmido-u8c
      @DanielabdulAmido-u8c 2 дня назад

      Hata mm naona hivyo

    • @Siasia209
      @Siasia209 День назад

      Hata mie nimeona hivyo

  • @MvuviJuma
    @MvuviJuma День назад

    Mama amejisahau mtoto n mal kulko chochote anathamn mahusiano kulko mtt wake ukizingatia n mda wa uck? Mahusiano c k2 jmn mtt wako kwanza coz hawez kukusalt na mda wt atakucklza na maisha yt atakusaidia lkn wanaume wanataka starehe2 kwe2 2we makn wanawake wenzang

  • @MwashamKhery
    @MwashamKhery 2 дня назад +1

    Tukumbuke tubWote tutakufa na kila haki italipwa

  • @marundimahugija8168
    @marundimahugija8168 2 дня назад

    Kwa hili MUNGU usinyamaze😢😢😢

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 2 дня назад +1

    kwani huyo mtoto alikuwa hana baba yake kabisa?

  • @blackyoungmaestro
    @blackyoungmaestro 2 дня назад +3

    Mungu ailaze roho ya huyu malaika mahali pema peponi

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 2 дня назад

    Mama wa mtoto ako wapi ne pia ashikwe

  • @marionkassaila99
    @marionkassaila99 2 дня назад

    Daah

  • @djbestseries5634
    @djbestseries5634 2 дня назад

    Kwani baba wa mtoto ni nan?

  • @fredymwanzi4448
    @fredymwanzi4448 День назад

    Yani watu waende matembezi halafu wamuachie mtoto bodaboda,kwa nini hawakwenda na huyo mtoto kwenye hayo matembezi???
    Chukua huyo kijana afisa mufugo na huyo dada wa mtoto wawekwe ndani

  • @YasserSuleiman-s5y
    @YasserSuleiman-s5y День назад

    Kusema ukweli hizo sura zinafanana na uyo chifu wenu anaetambaga mitandaon kuwamtoto mdogo mwenye ela nyingi

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 2 дня назад

    Swali lang huyu tumaini ni nani kwa huyu mtoto au kausk vip kwenye hii kesi au ndo baba wa Gresoyn sielei utata tu

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 2 дня назад +1

    Mimi naamini hawa hawajahusika, ila tusubiri tusikie watasema nini mahakamani

  • @GraceAntony-q4f
    @GraceAntony-q4f 2 дня назад

    Kukua wote siyo sababu kikubwa ni ukweli anaujua alipewa mtoto yupo hai, kwa nini kwa nini akutwe na mtoto amekufa?

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 дня назад

    Account ya insta ya huyo jamaa anatumia jina gan insta??

  • @Enilyangolile
    @Enilyangolile 2 дня назад

    MUNGU WATETEE KWA HUYU DEREVA HAPANA ME NAKATAA BUT MUNGU YUPO ASEME NA AINGILIE KATI

  • @RaymonDbertha
    @RaymonDbertha 2 дня назад

    Nahis aliyefanya tukio ni huyu mwenye mandevu huyu mwingine hapana

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 дня назад

    duh

  • @ActiveMedia-j9y
    @ActiveMedia-j9y 2 дня назад

    KILA MTU ANAFIKIRIA JAMAA NI BODA BODA ILA UKWELI NI KWAMBA JAMAA ANAPENDA KUTEMBELEA PIKIPIKI LAKINI SIO BODA BODA

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 дня назад

    Boda anaweza akawa hajaua ila tu nivile limemkuta.

  • @OmanOman-m8y
    @OmanOman-m8y 2 дня назад

    Km nikweli nawao wauwawe wasikae kula ugali wabure huko mageleza

  • @RehemaRamadhani-e5y
    @RehemaRamadhani-e5y 2 дня назад

    Bora kama wame kamatwa

  • @Chazitembo
    @Chazitembo 2 дня назад

    Wampe adhabu kali

  • @dullah-f7p
    @dullah-f7p 2 дня назад

    mauaji ya ali kibao mpaka leo hakuna alie kamatwa

  • @FranceFelician
    @FranceFelician 2 дня назад

    linadhamana au halinadhamana

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 дня назад

      Amna dhamana wananyongwa araka sana kabla mtoto ajalala vizuri

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 дня назад

      ​@@rogerabdallah439mmmh si wanasema ni watuhumiwa tu mpaka mahakama iwatie hatiani au 😢

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz 2 дня назад +3

    Wa kwanza

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi 2 дня назад

    Wanasingiziwa huyu dada atafakar

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 дня назад

    KWANINI WASICHIJWE HADHARANI? MAHAKAMA YANN? WACHINJWE ON CAMERA, PUMBAVU

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 дня назад

    Tumaini msangi kama ni kweli amefanya ivyo anafaa Kufungwa maisha

  • @mamy8220
    @mamy8220 2 дня назад +1

    Damu sio maji watalipa kama wanahusika😢😢

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 День назад

    Baba wa mtoto ni nani? Mwanamke hana uwezo wa kumiliki mtoto