Hii ni ya Zamani Sana na sioni umuhimu wowote kuipost Leo, ,Ata ijapokuwa Abuu fauzan alikuwa katika haqq,,,lkn kuileta Tena na Hali jambo lishaisha, Hakuna maana yoyote
Wewe ndio unafeli wapi? Unadhani baada ya watu kuuchukuwa ufahamu wake mbovu watapata vp wasawa bila ya kuzungumzwa? Kwanini nyinyi mnaona kurudiwa kwa mtu katika dini sio jambo la sawa ? Vp itatambulika haqqi na baatwil? Hebu tafakari kwanza Dah mtihani sanaa huu Allāh awape nguvu na thabata na awachunge wote wenye kutetea haqqi. Haqqi inanguvu vovote vile نسأل الله السلامة والعافية
Hhhhhhhh hhhh nacheka unajua kwanini? wewe hufuatilii mambo alafu unakuja kuzungumza mtuu hhh Rudi kwa Al akhy Abul abbass Muhammad Rashid ametoa majibu mda mrefu sana mpaka Muhammad bachu Allāh amuongoze kasema mmeambiwa na wazee nisimjibu hhh nilicheka sana!!! Nikasema kwani hazungumzi kwa ajili ya dini mbona anazuilika na wazee? Kaka inshort katafute izo rududi utafaidika sana ikiwa huna kiburi. Allāh akupe taufiki
@@gammamohammed6601 hakuna slichojibu bwana Ni urongo kazungusha zungusha tuu! Hata huyo Abdallah humeid wa Kenya hamjajibu kitu nae hata mafuta hawajatoa jibbu linaloeleweka kuna mmoja alijitahidi kusema et hapa shekhe aliwakusudia sallaffiya jihadia swali Lina kuja shekhe ibn utheimeeny kasema kimeibuka kikundi ndani ya ahlsuna kinajiita sallaffiyu kipo karibu na haki lakini hawana tofauti na hizbu nuingine katoa dalili kibao za waangukia ninyi mnaojiita salafifiya Sasa yule alojibu anasema et wamekusudiwa sallaffiya jihadi so kweli salafiyya jihadi Hawa wabadii watu, arafu wao wako mbali na hakki vilevile wale ni makhawariji wenyewe wanatumia kauli moja wenye kwenda kinyume Chao kafiri munafiki wakatwe kichwa salafiya jihadi hawawatoi watu kwenye sunnah, wao Ni kuuwa so kuwabadii watu arafu, kuifanya mahaji salafi Ni kama chama cha kupendana wao kwa wao asokuwa wao husema huyu so mtu wa sunnah.kingine wanang'ang'ania Rai ya shekhe wanaomtaka wao ukienda tofauti nae we so salafi, madamu umeona Rai ya shekhe fulani unaweza ikafaa wao ushika Rai ya shekhe wanao mtaka wao kinyume na hapo we so salafi, kingine shekhe alichosema sisi atupingi kuwaita watu wa bidaa na khawariji lakini wanawaambia watu wasostahili kuambiwa Fulani khawariji lakini so khawariji fulani so mtu wa sunna Fulani hivi Fulani vile shekhe kasema kufanya hivyo so usalafi kitu.ni ninyi hapo hakuna alotetea hiyo hoja wote wanaruka ruka Mara salafia jihadia Mara hivi hakuna hata huyo mafuta mwenyew na usomi wake ameshindwa kupangua dalili zile zaidi propaganda tuuh!!
Eti shekh mkubwa😂😂 nyie mnawaza ukubwa kwahiyo ukiwa mkubwa ndo haq au halafu kakimbia hakujibu hdi leo mtafute huyo hizb mwenzio muulizie kwnn hukujibu hoja na halia aliahidi kama alivyo fanya hizb mwezi Islam aliuzwa maswal na SHEKH kasim mafuta waulize kwann hawajibu?
Someni dini wacheni ushabiki ndugu Kila mwenye yuwafuata Quran na Sunna za mtume kw ufaham w wakale wema huyo ni salafy Wala c lazima Ajite Alafu wachen ujahili hi ni dini sio mpira hakuna ushabiki katika dini
Hhhhhhhhh naacheka unajuwa kwanini? Hata maana ya kunia hujui ila jazba umekupanda hhh fauzani sio jina lake yeye Allāh akupetaufiki ya kujua haqqi usifuate mkumbo!!
Allāh akuhifadhi na akuchunge hakika umemurika kwenye hicho kigiza Māshā Allāh
MashaAllah Allah akuhifadhi ustadh Abuu fauzaan umeeleweka kabisa
Husda tu za masalafiya jadidah
Mashallah tandika kisawa swa mpaka warudi swa
Acha ushabiki na wewe.
@@dawud6065 ya nn
NYINYI NI MAYAHUDI NA MASALAFI
Hii ni ya Zamani Sana na sioni umuhimu wowote kuipost Leo, ,Ata ijapokuwa Abuu fauzan alikuwa katika haqq,,,lkn kuileta Tena na Hali jambo lishaisha, Hakuna maana yoyote
Sasa hivi ilibidi utukumbushie vijana walioenda kumpiga chabo shekh wao,
Usipost ruduud za Zamani bila sababu yoyote ,,,utaacha daawatu salafiya ionekane haina kazi ya kufanya ,,
😂
Mtakulana nyiny Kwa nyiny mufsidiin nyiny
Nishekh Abuuhashim au ni Dhaallun au Mudhillu Huyu ni mufsid bas kama huyu nishekh bas nyiny mshapotezw
HII REKODI YA ZAMAN BANA
Hahahhaha nibal ww abuu fauzan
Midude hii haina maana kabisa
Nyiny tatizo lenu mtalijua lini hamujui isipokuw Uthaimin na Ibn Baaz mpk rejeeni Kwa wanchuoni wa Hanabila mufsidiin nyiny msitupotezee watu wetu
Sasa hapa mnatafuta faida gani mashekh wetu?
Allah jalla wãlaa amisema { وَفَوۡقَ كُلِّ ذِی عِلۡمٍ عَلِیمࣱ }
[Sura Yūsuf: 76]
Mna feli wapi masheik?
Wewe ndio unafeli wapi? Unadhani baada ya watu kuuchukuwa ufahamu wake mbovu watapata vp wasawa bila ya kuzungumzwa? Kwanini nyinyi mnaona kurudiwa kwa mtu katika dini sio jambo la sawa ? Vp itatambulika haqqi na baatwil? Hebu tafakari kwanza Dah mtihani sanaa huu
Allāh awape nguvu na thabata na awachunge wote wenye kutetea haqqi. Haqqi inanguvu vovote vile
نسأل الله السلامة والعافية
Nyinyi majadida amumuwezi bachu kiboko yenu kumbe nyundo zzake zinawanyima usingizi duuuh, bachu kawwpa miaka 10 kajibuni hoja ya hizbu salafi kauli ya shekhe utheeminy ni raddi kubwa kwenu jibuni kauli ile shekhe bachu kawapa miaka 10 mje mjibu
Hhhhhhhh hhhh nacheka unajua kwanini? wewe hufuatilii mambo alafu unakuja kuzungumza mtuu hhh Rudi kwa Al akhy Abul abbass Muhammad Rashid ametoa majibu mda mrefu sana mpaka Muhammad bachu Allāh amuongoze kasema mmeambiwa na wazee nisimjibu hhh nilicheka sana!!! Nikasema kwani hazungumzi kwa ajili ya dini mbona anazuilika na wazee? Kaka inshort katafute izo rududi utafaidika sana ikiwa huna kiburi. Allāh akupe taufiki
@@gammamohammed6601 hakuna slichojibu bwana Ni urongo kazungusha zungusha tuu! Hata huyo Abdallah humeid wa Kenya hamjajibu kitu nae hata mafuta hawajatoa jibbu linaloeleweka kuna mmoja alijitahidi kusema et hapa shekhe aliwakusudia sallaffiya jihadia swali Lina kuja shekhe ibn utheimeeny kasema kimeibuka kikundi ndani ya ahlsuna kinajiita sallaffiyu kipo karibu na haki lakini hawana tofauti na hizbu nuingine katoa dalili kibao za waangukia ninyi mnaojiita salafifiya Sasa yule alojibu anasema et wamekusudiwa sallaffiya jihadi so kweli salafiyya jihadi Hawa wabadii watu, arafu wao wako mbali na hakki vilevile wale ni makhawariji wenyewe wanatumia kauli moja wenye kwenda kinyume Chao kafiri munafiki wakatwe kichwa salafiya jihadi hawawatoi watu kwenye sunnah, wao Ni kuuwa so kuwabadii watu arafu, kuifanya mahaji salafi Ni kama chama cha kupendana wao kwa wao asokuwa wao husema huyu so mtu wa sunnah.kingine wanang'ang'ania Rai ya shekhe wanaomtaka wao ukienda tofauti nae we so salafi, madamu umeona Rai ya shekhe fulani unaweza ikafaa wao ushika Rai ya shekhe wanao mtaka wao kinyume na hapo we so salafi, kingine shekhe alichosema sisi atupingi kuwaita watu wa bidaa na khawariji lakini wanawaambia watu wasostahili kuambiwa Fulani khawariji lakini so khawariji fulani so mtu wa sunna Fulani hivi Fulani vile shekhe kasema kufanya hivyo so usalafi kitu.ni ninyi hapo hakuna alotetea hiyo hoja wote wanaruka ruka Mara salafia jihadia Mara hivi hakuna hata huyo mafuta mwenyew na usomi wake ameshindwa kupangua dalili zile zaidi propaganda tuuh!!
@@gammamohammed6601 hakuna hoja ilojibiwa propaganda tuu kama masufi wanapo tetea maulidi hawakupi hoja yenye dalili Bali kutapa tapa tuuh!!
Hii inaitwa wahabi vs wahabi😅😅
Ww ungekua Shekh usingemuongelea Shekh mkubwa km huyo Wacha husdaaaa jadida ww
Eti shekh mkubwa😂😂 nyie mnawaza ukubwa kwahiyo ukiwa mkubwa ndo haq au halafu kakimbia hakujibu hdi leo mtafute huyo hizb mwenzio muulizie kwnn hukujibu hoja na halia aliahidi kama alivyo fanya hizb mwezi Islam aliuzwa maswal na SHEKH kasim mafuta waulize kwann hawajibu?
Someni dini wacheni ushabiki ndugu Kila mwenye yuwafuata Quran na Sunna za mtume kw ufaham w wakale wema huyo ni salafy Wala c lazima Ajite Alafu wachen ujahili hi ni dini sio mpira hakuna ushabiki katika dini
@@BinmuhamadSuwaydManeno yako mazur mashallah maana skuiz wamekua yanga na simba
@@IssaSimbilla-hw9evmbona Kassim mafuta akiparaganya hamsemi? Ikiwa ninyi ni wakweli?
weye ni fauzan wa mchongo tu, acheni husda nyie majadida
Nakajua labda unakosoa alipo kosea umtetee kijana wa kihizb unaenda bila hoja 😂😂😂
Abuu Fawzaan ni mwiba wa koo kwa vijihizbi vidogo vidogo kama Muhammad Bachu...
@@abubakarshaban6118basi ingia peponi