Sjaaanza kufanya da'wa mwaka 2019 kama wanavyosema baadhi ya watu.nlianza kitambo sana nikishirikiana na ikhwa wengine kama sheikh Qassim mafuta, Sheikh Mijaahid na wengineo.
Mbona Sheikh kazungumza waz hapo au hujamuelewa yeye kasema wao walikuja kufanya Daawa rasm sio kuwa wengne walikuwa hawafanyi yaan Daawa ile ya kupita kijiji kimoja had kimoja Msikiti mmoja had mmoja kulingania Daawa na kuandika makala hii ndio ilifanya Daawa isambae kwa watu ima wengne wapo waliokuwa wanafanya lakin kwa njia tofaut labda ya kuwa na darsa kwake au Msikiti wake kufundisha tu hausafir wala kuandika wala kusambaza saut na tena Sheikh Abuu Zakaria baadae na yeye akawa nao wakina Abul Fadwil ktk hilo
Ni kweli Abu Zakaria tangu namfahamu tanga alikuw salafi tayar na nilikuw nae karibu sana,hata kasim alivyorudi kutoka damaj Bado alikuw na answar hata alitahadharishwa,na kabla kasim hakurudi akifanya mihadhara wa iltizaam Al ajwaf,answar hawakupendezwa inasemekana Ile kaset ilipotezwa, na wengine Abu suhayl wa vitabu kabla ya kasim nilishamjua kuw ni salafi,abuzakaria kukakaa kwake jaizan mji wa shk rabee Al swamita na kuw karibu na kina shk Ahmed najmi,zaid madkhali,Ali Nasir faqihi,na mashk wa yemen kama kina alwaswabi,Al imaam pasi na kusahau Abu Zakaria ana kakaake shk Hasan Nur Al marwai ni shk kabisa na mwalim dammaj alikuw na ana muallafaat zake
Mbona moja kwa moja una mtaja mtu halafu bado hauna hakika? Haukutakiwa kuuliza hivyo haki yaan kama wauliza huku jibu unalo. Ila Sheikh hapo amayemkusudia ni Khamis Ame ambaye walisoma wote madina mwaka mmoja na kina Sheikh Abul Fadhwil Qassim Mafuta na Sheikh Dr Hamis na hao aliowataja kuwa wao wanafunzi walikaa wakajichanga kuja kufanya Daawa sasa hivi Khamis Ame ni Hajawira ama Sheikh Abuu Zakaria yeye hakusoma madina
Ductur KHAMIS wakina mnape wote mmetanguliwa na sheikh Abu zakariyya katika dagh'wah tatizo masalafi WA Tanzania mnapenda ukubwa
Mbona Sheikh kazungumza waz hapo au hujamuelewa yeye kasema wao walikuja kufanya Daawa rasm sio kuwa wengne walikuwa hawafanyi yaan Daawa ile ya kupita kijiji kimoja had kimoja Msikiti mmoja had mmoja kulingania Daawa na kuandika makala hii ndio ilifanya Daawa isambae kwa watu ima wengne wapo waliokuwa wanafanya lakin kwa njia tofaut labda ya kuwa na darsa kwake au Msikiti wake kufundisha tu hausafir wala kuandika wala kusambaza saut na tena Sheikh Abuu Zakaria baadae na yeye akawa nao wakina Abul Fadwil ktk hilo
Ni kweli Abu Zakaria tangu namfahamu tanga alikuw salafi tayar na nilikuw nae karibu sana,hata kasim alivyorudi kutoka damaj Bado alikuw na answar hata alitahadharishwa,na kabla kasim hakurudi akifanya mihadhara wa iltizaam Al ajwaf,answar hawakupendezwa inasemekana Ile kaset ilipotezwa, na wengine Abu suhayl wa vitabu kabla ya kasim nilishamjua kuw ni salafi,abuzakaria kukakaa kwake jaizan mji wa shk rabee Al swamita na kuw karibu na kina shk Ahmed najmi,zaid madkhali,Ali Nasir faqihi,na mashk wa yemen kama kina alwaswabi,Al imaam pasi na kusahau Abu Zakaria ana kakaake shk Hasan Nur Al marwai ni shk kabisa na mwalim dammaj alikuw na ana muallafaat zake
Mashekhemnachekesha,storizenu
Maashallaah
Baaraqqallaah fiiiq
Duktuur Uchwara, Elim ya makaratas
Akhui Mvungi tunashukuru mno kaka
Assuming alaykum warahmatullah wabarakatuh. Doctor tumia cheo chako kuwaeka kitako maduati wakisalafi wote uwaweke chini wawexe kuungana
Ikhlaswi hakuna katika dagh'wah zenu
Yanimiminasoma,kipindifurukani,mikononimwaaakidu
Huyo ambae hayupo kwny safu saa hii tukijimjua itakuwa vyema zaidi ikiwa ni Abuu Zakharia. Watu tutahadhirike nae
Mbona moja kwa moja una mtaja mtu halafu bado hauna hakika? Haukutakiwa kuuliza hivyo haki yaan kama wauliza huku jibu unalo. Ila Sheikh hapo amayemkusudia ni Khamis Ame ambaye walisoma wote madina mwaka mmoja na kina Sheikh Abul Fadhwil Qassim Mafuta na Sheikh Dr Hamis na hao aliowataja kuwa wao wanafunzi walikaa wakajichanga kuja kufanya Daawa sasa hivi Khamis Ame ni Hajawira ama Sheikh Abuu Zakaria yeye hakusoma madina
Hatari
Amna ikhlas msituletee mambo ya kina diamond na ally kiba nyinyi mnaongea kwa majivuno hiii dini sio dili
acha husda majivuno yako wapi sasa hapo
af unahukumu hamna ikhlaasw km ww ndo Allah vile unayajua yaliyojificha kweny vifua vya watu
Wewe mfatilia miziki mambo ya dini haya kuhusu wewe endelea na wakina daimond huko
Kwani ikhalaasi waigawa ww kwenye vifua vya watu
Halafu hakuna ikh’laswi kivipi yaan…?? Mcheni mola wko ndugu
Baaraqqallaah fiiiq