1:Godzilla nomaaa sanaa 2:nahisi kati ya Scoda au Bibo 3:Incredible 4:wengne wasenge tu tu.... Kumbe mastaa hawawez dakika 10,,nimeamin aseee..labda kumtoa Godzilla is th king
1) Hidary scoda_kafreestyle sana alaf zimeeleweka 2) Climax bibo_kafreestyle sana alafu hajategea 3) Selementally_katisha sana kwenye ile Sele Anakosea na kuRequest ngoma pia freestyle 4) King zillah_tushamzoea kwenye freestyle katishaaa 5) wengine mizinguo tu has a young tuso amefanya wiki hii tuione ndefu
1. climax 2. scoda 3. selementary 4. one the incredible 5. chemical scoda kapumzika mahali kidogo baada ya kusema yeaaa yeaaaa asante sana sama, but huyu climax mwanzo mwisho kaflow mbaya bila kukata pumzi, huyu ni best sana
Dah ebana, bibo uko vizurii mpka unaboa 👏👏👏 hamna kawa wewe mpka sasa,,,,Hidary was my first lakini wewe dah 👏👏☝☝☝👆 MoKo itakufaa mzee baba, big up sana bwoY. Nategemea kuona vitu vingine mzee,Big up mkali wangu #sign out
wee huyu ndio no. 1 kwa wote waliowahi kuchana dk.10 mwanzo hajategea ht chembe kila sekunde na vina ...mpk 10 zmetimia ......climax bibo......We hatar sn
ila climax bibo alipania daaah mpuuzi hajahema kwa dakika 11 na sekunde kadhaa kubababae hakuna cha yo yo yo wala nini ni punch after punch WAACHE KUTULETEA MC'S AMBAO HAWAKO SERIOUS MBELE YA MIC TUNATAKA HASIRA KA HIZI JEMBE KANYOOOSHA
kwa tyunao fahamu misingi ya hiphop ,, huyu mxhikaji BIBO anaweza
1:Godzilla nomaaa sanaa
2:nahisi kati ya Scoda au Bibo
3:Incredible
4:wengne wasenge tu tu....
Kumbe mastaa hawawez dakika 10,,nimeamin aseee..labda kumtoa Godzilla is th king
moja kati ya rapper anaejua kutambaa na biti pia mbaya wa freestyle
Biboooooo rastaaa
1) Hidary scoda_kafreestyle sana alaf zimeeleweka
2) Climax bibo_kafreestyle sana alafu hajategea
3) Selementally_katisha sana kwenye ile Sele Anakosea na kuRequest ngoma pia freestyle
4) King zillah_tushamzoea kwenye freestyle katishaaa
5) wengine mizinguo tu has a young tuso amefanya wiki hii tuione ndefu
unapoongelea 10 za maangamiz tunamaanisha vtu kama ivi..Bibo katisha sana...nmeona kweli mexicana klkuwa na vpaji asee...Ila Baghdad ubonge ulipotea na mistar nayo ikaisha
daa kweel bagdad kbonge n noma
yeah asee..ila hidary scoda alifunika mbaya..afu naona superstars wanazngua..awa jamaa wapo chini chini Ila wana madin kinouma
+ABACY GIDION ebhana watyu wanajua co wengne wanaforce vipaji,kwann uckae utulie uwaache wanaojua watucue???
Jack Jose hawa Nouma thanaa big up climax
pamoja Abbas gidion..tuko pamoja,,embu tusubl jtatu tuone watamleta nani..
climax bibo ni noma sana, jamaa full mizuka full pumzi. Hao wengne wajipange coz kazi bado nzito
Big up mwamba unajua kinyamaa
1.climax bibo
2.scoda
umetisha mbaya
ilike dat ..mzuka mwingi biboo...gud umechangamsha sana
huyu jamaaa ni nomaa tunataka watu kama hawa co mastaaa yoyoo nyingiiiiiiii
ebwana eheeee anaweza tena sana tu naameonesha mauwezoooo
nashukulu kwa kubaliana na ombi langu...gud aisee
Bibo ndugu yangu @uje ufuturu kwanza @Dullah pyee pyeee kwa Summer kamuweza kijana wetu....Tishaa sana Bro.
Umetisha sanaa bro
safi sana nakubal umefunika matoz kibao yan walkuja apo kuuza sura
Daaanh mamamaamamammamamaaaaaeeeee shikamooo sio shka mb#0 Climax umetisha san mzaz
toka nianze kuangali 10 za maangamizi hapa mwisho umefanya nione nakumis vitu vyenu mixcana lakavela ooooooooi
Jamaa amesahau kupumua huyo duuuuu amaaaa sio mtu huyu.....
Mzee baba umetisha Sana. salute BIBOO
Yuko vizuri sio kitoto.... Big up kwake
scoda
boshoo
climax noma sana bro..#Overdoz_Kenya
yessssssssss nimekubali man
1. climax
2. scoda
3. selementary
4. one the incredible
5. chemical scoda kapumzika mahali kidogo baada ya kusema yeaaa yeaaaa asante sana sama, but huyu climax mwanzo mwisho kaflow mbaya bila kukata pumzi, huyu ni best sana
Dah ebana, bibo uko vizurii mpka unaboa 👏👏👏 hamna kawa wewe mpka sasa,,,,Hidary was my first lakini wewe dah 👏👏☝☝☝👆 MoKo itakufaa mzee baba, big up sana bwoY. Nategemea kuona vitu vingine mzee,Big up mkali wangu #sign out
Moto sana huyu jmaa bibooo
Leo mmeskia ombi langu
Shukran
Duuh! Mexicana kumbe iliku na vichwa hatar sana. Salute sana Bibo nakuelewa kitambo kwa freestyle toka ulipompoteza Bhagdad pale Clouds...
duuuh....kali sanaa biboo
mamaee mother fanta asante kaka climax bibo
Climax ni shida
1. Scoda 2.bibo 3.Chemical 4.Selementary 5. incredible kabak b boy stereo
Mwanangu wewe kipengele Hatarii sana Dingi
wee huyu ndio no. 1 kwa wote waliowahi kuchana dk.10 mwanzo hajategea ht chembe kila sekunde na vina ...mpk 10 zmetimia ......climax bibo......We hatar sn
Tisha sana mzee, kweli ulikuja kwa ajili ya kazi
jamaa katisha duh utasema hapumui @respect kwa @bibo
BIBO katsha xana mzeeee,, ananpenda haambiliki😁😁😁💯🆙
wiki hii mleten fundi ANAITWA NCHAMA THE BEST
hawa washkaji wa mexcanal cavela wanajambo cbureeeeee climax bibo na hidary scoda wako vizuri Ku freestyle
climax bibo ndo namba moja huyu jamaa katumia dk 10 perfectly
Climax Bbo 100%
Huyu msenge kumamae anajua Sana hadi anaboa kudadeki zake nampa asilimia 200
Bibo konzi ganzi la michano #KICHEFUCHEFU michano bila yooh yoooohh
Ebana e3e3ee umetisha sana bibo
#Dullah *Lete watu kama hawa bhn* dah uyu jamaaaa
salute Ma brother nakubar
bibo Umetisha kama Chidi Benz Mwana
hapana...bado sijaona wa kumpita huyu jamaa..bibooo
ohy ohy ohy mzuka mwingi mwana
climax bibo kichefuchefu tena umeuwa mzeebaba
Climax bibo bibo la michano naweza chana flo flo naweza chana slow slow 👐👐👐
Salute biboooo
climax Bibo a.k.a mapafu ya mbwa. noma mzee, yani hizo flow zako pumzi naishiwa mimi 😀😀😀
katsha sana jamaa.. #1 inamuhusu
Climax bibooo mzee wa karata
moto wa jehanamu. tisha sana
Climax bibo katisha mnoooooo this is real hip hop
1.haidary scoda 2.bibo 3.selementally 4.Godzilla mexicana lacavela ni hatarious nyngne
hiyo list nimeielewa saaaana
Heeeeh climax kameza kamusi nn umetisha mzee
Hakuna cha killer wala incrnble kuludia mistali Co Inxhu freestyle kali itabak kw zillah
Aaaaa, climax umeua sana umo ndani... Hamna yo yo yo
far kiukwel nime enjoy xnaa ahaha Bibo unajua bro hzo ndo 10 za maangamizi
Godzilla ameoga kwa uyu jamaa. Bibo anaweza bila kubaguwa, i think he is da Freestyle king in Tz
mleten Nchama the best
Brother katishaaaaa
1.Haidary scoda
2.selementary
3.climax bibo
4.one the incredible
5.Godzila
mleteniSTEREO tuone moto
yep hupoo xahii ,, huyu jamaa kachukuwa nafaci ya young killa,, caca tyunapo kwenda god zilla ataondoka 5 bola,, maana nick mbixh kaixha,, ondoka
Elifazi mtwale nakubaliana nawe,
Wamlete pia Stereo au Cliff mitindo tuone ufundi mpya
ila climax bibo alipania daaah mpuuzi hajahema kwa dakika 11 na sekunde kadhaa kubababae hakuna cha yo yo yo wala nini ni punch after punch WAACHE KUTULETEA MC'S AMBAO HAWAKO SERIOUS MBELE YA MIC TUNATAKA HASIRA KA HIZI JEMBE KANYOOOSHA
Gyseven George umenena
1 scoda
2 bibo
3sele
ila bibo huu msiba ulio ufanya leo ni noumaa mzee baba
Boi mwenye uwezo ulokosekana mfano
1.one the incredible
2.Hidary scoda
3.God zilla
4.young killar
5.Bibo climax
its just my ghetto point of view
am in canada and I cnt speak swahili but uyu jamaaa kakamua kinoma kavunja ya kaharibu ni mdudu asee....biboo umeumizaaaa...u knw dat so
moja moja hiyo ila umepozaaa kinoumaaa
wenye majina makubwa wanazingu iki kichwa ni 🔥🔥🔥🔥
scoda fundi🙌
noma sana mkali
Bibo htr foko foko flow
bibo umekalisha watoto wa mama%%
Aaa uyu jamaa jinii
Mkalisana kwa promo wanatamba wao kwa uwezo wamezidiwa
1.scoda
2.selementaly
3.climax bibo
4.Elisha
5.nchama the best
Climax bibo mwamba.....👏👏👏👏
Duuuuh dula asee uyo jamaa arudie show kisha mumpe dakika 20 plz anavitu ving hatujaviskia
Yaan hapa kwa bibo sio tabu kumaliza mb ila Kuna marapa wengne ukiwaangalia unajutia
1.Scoda
2.Selementary
3.Bibo
4.Kingzillah
5.Nikk mbishi
6.Youngkiller
Jamaa mkali, nilichogundua mamc wengi wasiojua kufreestyle dakika 10 kwao ni mtihani mgumu
video hii sikuiona aisee lakini hii ndo bora zaidi ya zote za maangamizi ,ukweli ndo huo
bibo lamizuka hakuna bibo htaliiiiiii msijaribu
nxt level
noumaaaah aseee
Climax Bibo respect bro
huyu ndie star alieifanya Poa 10 za maangamizi vyema kabisaaa
Nimegundua mastaa kichefu chefu tuleteeni watu kama hawa,1Scoda ,2Bibo,3Sele
bibo ahaaaa xaf xana nimekubal
nakubali
ametsha sanaaa
dullah eeh hawa jamaa maxcanal wameuwa namuomba stereo mzee kwa maangamizi tuone kama ataumiza hizo biti za sama
bibo on fire like Cr7
1.Biboo
2.Haidary Scoda
3.Selementaly
kwahyo ndugu yetu chemical mnamuwekakundi gan?
Chemical?? Haaa
1)biboo
2)scoda
3)selementaliiiiii
Ata G-nako alitisha sana kwenye 10 za maangamizi
huyu Bibo wa Ujuzi ??? ongera sana Bibo!!
nakupa 100%
watu Kama hawa ndo wanaleta radha za kumi za maangamizi
umetisha bibo 100%
Sana alex
huyu jamaa ni hatariii
dyuuu atariiii