Your teachings and preaching are of another level be blessed apostle, may the spirit of the LORD keep on using is own chosen servant, nakupata kutoka kenya
Umeongea ukweli na kina tuko wakati mmbaya na mtego mmbaya Alie kuelewa amelewa.tumewekewa mtego kufika 2030 tutaona dini moja selikari moja wachungaji ili mbanwe
Ahsante MUNGU ataniwezesha kwenda kinyume na sheria za wachawi na kishirikina na kuzifuta kabisaaa.
Hilo neno linaponya mungu asidi kukutuza pamoja na nyumba yako apostle
Ameeen from Oman Muscat, God bless you Apostle
Ameeen baba Mungu akubark asante kwa maombi nimepona
Tuna misi jamani hayo mambo tunapata wapi hembago na tuko omani 😭😭😭maombi ni🔥🔥🔥🔥🔥
Ameen mtumishi naendelea kujifunza
Asante sana mutumishi wa Mungu kwaneno laMungu na miminaenda kinyume nasheriya yauovu kwajina la yesu kristo
Mungu akutunze na azidi kukupigania. Damu ya Yesu izidi kunena kwa sauti kuu juu yako na nyumba yako.
Nakwenda kinyume na shelia zakichawi zoote azina mamulaka kwa jina la YESU🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amen, I receive the prophesy that men of God will reign some day in our country!
Your teachings and preaching are of another level be blessed apostle, may the spirit of the LORD keep on using is own chosen servant, nakupata kutoka kenya
Amina sana apostle
Blessings in the name of Jesus
Najiunganisha na haya maubiri ya mtumishi wako Mungu wangu
Amen amen
Amen it is done in Jesus name.
Mimi naenda kinyume na sheria za kichwa na kuzifuta zote kwa jina la yesu kristo
Naenda kinyume ya Sheria ya wachawi kwa jina la yesu napokea neno kutoka kenya
Aleluyaaaaa
Naenda kinyume na sheria za wachawi
NAENDA KINYUME Cha Sheria ambazo zinakinzana na NENO LA MUNGU
Navunja kila sheria za kichawi
Ameen❤️❤️❤️🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
🙏🙏
Me nakwenda kinyume na nguvu za kichawi zote na zishindwe kwa jina la YESU KIRITO wanazareth
Umeongea ukweli na kina tuko wakati mmbaya na mtego mmbaya Alie kuelewa amelewa.tumewekewa mtego kufika 2030 tutaona dini moja selikari moja wachungaji ili mbanwe
Amen amen