Ohh My GOD 🙌🏾🙌🏾 APOSTLE ASANTEE SANA MUNGU AKULINDE NA KUKUBARIKI ZAIDI NASHUKURU SANA SOMO LIMENIGUSA MNOO NIMEJINGUNDUA NA WANYAMA WA KUTOSHA NDANI OHH BWANA YESU ANIFUNGUE AM DELIVERED IN JESUS MIGHTY NAME 🙌🏾🙏🏾 APOSTLE SAMAHAN KATIKA HAYA MAKABILA YETU YA KI AFRICA KWA HAPA TANZANIA NIMEGUNDUA HII MIZIMU INAYOPIGANA NI WANYAMA MFANO WACHAGA MZIMU WA NYOKA,WAPARE MZIMU WA MAMBA LAKINI MAKABILA MENGINE SIFAHAMU VZR APOSTLE NAOMBA UTUSAIDIE KUWEZA KUJUA SIRI ZA NDANI ZA MIZIMU NA MAUMBO YAO NA MIFUMO YAO WANAYOTUMIA KATIKA MAKABILA YETU YA KI TANZANIA ILI TUWEZE KUZIPAMBANUA NA KUJUA NAMNA YA KUPIGANA 🙏🏾ASANTE APOSTLE
Mungu akubariki sana apostle nimejifunza sana, hivo vitu vya kutembea mwilini hua vinanitokea kwenye tumbo la uzazi sjui hata nisimamie mstari upi hua nasimamia Yeremia 1:10 na Luka 10:19 naamini ipo siku vitaisha tu
Hizi roho nilianza KUELEWA TOKA pale nilioporudi kusoma kitabu cha mwanzo 1:26 ambapo Mungu anasema tumfanye mtu Kwa mfano wetu na Kwa sura yetu wakatawale SAMAKI, Ndege, wanyama.na Kila kitambaacho juu ya USO wa nchi.. So usipovitawala hivyo viumbe vinakutawala aisee Maana shetani anapoona haviko chini ya Mamlaka ya Mungu anavitumia kukuzuru.
Ohh My GOD 🙌🏾🙌🏾 APOSTLE ASANTEE SANA MUNGU AKULINDE NA KUKUBARIKI ZAIDI NASHUKURU SANA SOMO LIMENIGUSA MNOO NIMEJINGUNDUA NA WANYAMA WA KUTOSHA NDANI OHH BWANA YESU ANIFUNGUE AM DELIVERED IN JESUS MIGHTY NAME 🙌🏾🙏🏾
APOSTLE SAMAHAN KATIKA HAYA MAKABILA YETU YA KI AFRICA KWA HAPA TANZANIA NIMEGUNDUA HII MIZIMU INAYOPIGANA NI WANYAMA MFANO WACHAGA MZIMU WA NYOKA,WAPARE MZIMU WA MAMBA LAKINI MAKABILA MENGINE SIFAHAMU VZR APOSTLE NAOMBA UTUSAIDIE KUWEZA KUJUA SIRI ZA NDANI ZA MIZIMU NA MAUMBO YAO NA MIFUMO YAO WANAYOTUMIA KATIKA MAKABILA YETU YA KI TANZANIA ILI TUWEZE KUZIPAMBANUA NA KUJUA NAMNA YA KUPIGANA 🙏🏾ASANTE APOSTLE
Powerful teaching
Nakukubali sana mtalemwa you are the man of God indeed
Mungu akubariki Muchungaji kwa ujumbe huu
Mungu akubariki sana apostle nimejifunza sana, hivo vitu vya kutembea mwilini hua vinanitokea kwenye tumbo la uzazi sjui hata nisimamie mstari upi hua nasimamia Yeremia 1:10 na Luka 10:19 naamini ipo siku vitaisha tu
Amen...naomba namba ya mtumishi
Ameeen and ameeen.🙏🙏
Ameen chief
Amen chief, teach us Apostle 🙏 God bless you 🙏
Cool
ameen
Much love from Kenya my Apostle,God bless you abundantly. You always bless me with your teaching. Glory to God.
Amen Apostle
amen
Asanteni sana sana kwa somo hili zuri la mnyama.naomba msicheleweshe sana par B ya mnyama pls pls .Mungu awabariki.
Ameeeeen
Hizi roho nilianza KUELEWA TOKA pale nilioporudi kusoma kitabu cha mwanzo 1:26 ambapo Mungu anasema tumfanye mtu Kwa mfano wetu na Kwa sura yetu wakatawale SAMAKI, Ndege, wanyama.na Kila kitambaacho juu ya USO wa nchi.. So usipovitawala hivyo viumbe vinakutawala aisee Maana shetani anapoona haviko chini ya Mamlaka ya Mungu anavitumia kukuzuru.
Aminaa, thank God for this revelation
Tusaidie Chief
❤❤❤Amen umenifunguwa macho daddy sikuwa najua uyu mnyama 😢
Amen
❤❤❤❤❤
Mim nateseka na hio roho ya wanyama aki
100%
TUSAIDIE MTUME
ameen
100%