Hongera Mtumishi wa Mungu,Mungu azidi kukuinua ili tuendelee kumjua zaidi.Umekuwa mwalimu Bora,Hakika Yesu Kristo alikuwa Mungu kweli na mwanadamu kweli
Kama wewe unapatikana Dar es salaama ,Ibada za Huyu Mtumishi sio za Kukosa kabisa,nilifanikiwa kuhudhuria Ibada zake na maisha yangu yalianza kubadilika hapo hapo Nashauri Tu ,Tenga Muda fika Ibadani kabisa Lipo Barabara ya kwenda Makongo Juu baada ya chuo cha ardhi na Office za Dawasa utaona kibao upande Wa Kulia cha kanisa la Huyu Mtumishi.
UMEANZA KUDANGANYA SASA YESU HATARUDI TENA KAMA YESU ATARUDI HUYO ULIE NAE NI NANI ? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 UMEONGEA UONGO WA HALI YA JUU MAMA YANGU WEEEEEEEE NIKIKWEKA MAANDIKO HAPA UTAOGOPA YESU ALISHARUDI NA NDIO MAANA UNAHUBIRI INJILI BROTHER STOP HUO UONGO SIKIA YESU ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE HAWATAMWONA TENA KWA JINSI YA MWILI NINYI MNAMNGOJA YESU HUYO MLIE NAE NI NANI ? 😂😂😂😭😭😭😭 Kweli mmlewa kwa mvinyo aloooooo Nilijua utasema uongo wa baba ako ibilisi tu yeye alikua mwogo toka zamani Nimeshakuona sasa leo mwisho kucoment hapa endelea kusema uongo ili ukweli uwe na uzuri zaidi
Hongera Mtumishi wa Mungu,Mungu azidi kukuinua ili tuendelee kumjua zaidi.Umekuwa mwalimu Bora,Hakika Yesu Kristo alikuwa Mungu kweli na mwanadamu kweli
Napenda sana sana mafundisho ya huyu mtumishi naona wazi ni nabii wa kweli si wa uongo.MUNGI AMBARIKI sana sana.
Tumish wa Bw, Mungu akutunz usihalibiw na wahongo.
This msg is GOLD,thank you man of GOD👌🏼👌🏼❤️❤️🎉🎉
Amen Glory to Jesus
Amina Amina Amina brother apostle nimeelewa zaidi b blessed brother i love you
Amen 🙏
Amen 🙏🙏 merry Christmas 🎄🎄🎄 and happy new year in advance
Merry Christmas 🎄🎄🎁
Amen Hallelujah
Hakika Mungu ni mwema sana
Ameeen ♥️♥️♥️
Apostle Kwa kweli tunakuhitaji uishi miaka 200
amen
🎉🎉🎉
Amina
Unaweza kuta unamsema mtumishi ...kumbe wewe ndo ibilisi sema ujui tu....jifunze maana ya lawama ndo umuoseme mtumishi
Hakika Chief Apostle unajua fundisha mpk mtu aelewe vzr neno.🙏
Mimi nimepambana na somo nibaba wangu WA chiloho
Kama wewe unapatikana Dar es salaama ,Ibada za Huyu Mtumishi sio za Kukosa kabisa,nilifanikiwa kuhudhuria Ibada zake na maisha yangu yalianza kubadilika hapo hapo
Nashauri Tu ,Tenga Muda fika Ibadani kabisa Lipo Barabara ya kwenda Makongo Juu baada ya chuo cha ardhi na Office za Dawasa utaona kibao upande Wa Kulia cha kanisa la Huyu Mtumishi.
NIPO HAPA KUKUJARIBU
KAMA UNASEMA MAMBO YA MWILI (IBILISI) au MAMBO YA ROHO (MUNGU)
UMEANZA KUDANGANYA SASA YESU HATARUDI TENA KAMA YESU ATARUDI HUYO ULIE NAE NI NANI ?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
UMEONGEA UONGO WA HALI YA JUU
MAMA YANGU WEEEEEEEE NIKIKWEKA MAANDIKO HAPA UTAOGOPA
YESU ALISHARUDI NA NDIO MAANA UNAHUBIRI INJILI BROTHER
STOP HUO UONGO
SIKIA YESU ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE HAWATAMWONA TENA KWA JINSI YA MWILI
NINYI MNAMNGOJA YESU HUYO MLIE NAE NI NANI ?
😂😂😂😭😭😭😭
Kweli mmlewa kwa mvinyo aloooooo
Nilijua utasema uongo wa baba ako ibilisi tu yeye alikua mwogo toka zamani
Nimeshakuona sasa leo mwisho kucoment hapa endelea kusema uongo ili ukweli uwe na uzuri zaidi
HAPO KWENYE MAMBO YOTE PASIPO LAWAMA HATA UKILALA NA MKE WA MTU PASIPO LAWAMA BADO UNAKUA HUJATENDA DHAMBI SI NDIO 😂😂😂😂😂😂
UKIELEWA KRISTO NI RAHA SANA
Alijifanya,alijifanya,alijifanya....kujifanya means PRETENDING...
Was Jesus pretending?
Au basi!
Amina