Thank you very much apostle, Chief wa watu, 10G+...nimeshiriki ibada hii , biashara yangu, huduma yangu, kazi yangu, uchumi wangu, afya yangu haitazaa mapooza Tena in Jesus mighty name. Nimetapika ishara ya kwamba sumu ( mapooza ) yameondoka ndani ya mwili wangu kwa jina la Yesu. May God increase you, bless you and keep you may His face shine upon you and be gracious to you Amen.
I connect in prayer and receive in Jesus mighty name!!! Chief uzidishwe pande zote,utazamwe na dunia yote,tv channels kubwa kubwa watafute kurusha vipindi vyako kwa hela zao,mataifa mengi yakombolewe kwa maombi ufanyayo,vizazi vijavyo vijivunie neema yako,utukufu na mng'ao wa Kristo ukuangazie wakati wote🙏
Hakuna mapooza tena mimi na family yangu yote AmenAmen napokea kutoka kenya
Amina
Asandi sana mtu waMungu napenda sana njinsi una elezea kiundani akika unafanya nielewe kwauraisi, BWANA Yesu ukupanue zaidi Mtumishi.
Pastor me na barikiwa sana na maubiri yako barikiwa sana daddy MUNGU akutunze sana na akutumie zaidi jins. Apendavyo mwenyewe🛐🛐🙏🙏🙏
AMEEN
Ameeen,,sema kuwa mwepesi katika jina la Yesu
Mungu akubariki Sana Sana nimejiungamanisha nikiwa nyumbani . Najisikia mwepesi Sana . Nasikia upya ndani yangu .
Tunafuta mapooza kwenye familia yetu ktk jina la Yesu
ireceived in JESUS name mungu asante kwa kumtumia mtumishi wako kutufundisha hakika nabarikiwa sana
Hallelujah
Aisee huyu mtumishi nimechelewa kumfahamu! Nashukuru Mungu
Amen too powerful God bless u mightly
Aminaaa 🙏🙏🙏Nakataa mapooza KWENYE FAMILIA YANGU na kwenye kazi yangu , Asante Sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa Sana nikisikiliza mafundisho yako
Ooooh yeeees
Ameen no more mapohoza in my life in Jesus name
Thank you very much apostle, Chief wa watu, 10G+...nimeshiriki ibada hii , biashara yangu, huduma yangu, kazi yangu, uchumi wangu, afya yangu haitazaa mapooza Tena in Jesus mighty name. Nimetapika ishara ya kwamba sumu ( mapooza ) yameondoka ndani ya mwili wangu kwa jina la Yesu. May God increase you, bless you and keep you may His face shine upon you and be gracious to you Amen.
Nakataa Roho ya mapooza na kifo kwa jina la Yesu
I connect in prayer and receive in Jesus mighty name!!! Chief uzidishwe pande zote,utazamwe na dunia yote,tv channels kubwa kubwa watafute kurusha vipindi vyako kwa hela zao,mataifa mengi yakombolewe kwa maombi ufanyayo,vizazi vijavyo vijivunie neema yako,utukufu na mng'ao wa Kristo ukuangazie wakati wote🙏
amen
Mafundisho mazuri MUNGU akutunze tuzidi kupata maarifa ya MUNGU
Amen
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu Apostle Asante sn kwa mafundisho ambayo yananivusha sehemu moja kwenda nyungine.
Nipo huru kwa jina la yesuuu!!
Thank you Jesus, am free
Napokeya Neno kwa Jina la Bwana wetu YESU Kristo Mungu wa Joshua wa Eliya wa Mtalemwa na mpenda sana mimi na jamaa langu ❤️👏💯
Be blessed in the name of Jesus. I receive
Barikiwa mtumishi kwa neno zuri
I receive in Jesus name
Lord thank you for your deliverance in my life . . May my life bring forth light and life in Jesus name . Amen
Thank you Lord for delivering my life and my family in Jesus name .
Amen
Amen
Asante sana mtumishi wa mungu
Ninainiliwa sana...
Amen i receive
🔥🔥🔥🔥🔥
Kila Mara naskiza nabarikiwa, napata dawa ya magonjwa zangu! Baraka kuu apostle.
Asante Aprl chief nimeconnect from LEBANON .IBELIVE KILA KITU KIME YEYUKA KWA JINA LA YESU .
Napokea.nimefunguliwa kwa jina la Yesu
Can someone help me where to find this church
hili neno nalipenda huwa siwezi kukosa kuangalia lazima.hili ndo yafate mengine nalipenda sana
Masomo yako yanifanya niwe na misimamo kuendelea kumjuwa muumba na kukufatilia
Amen
Amen
Amen
Amen