JINSI YA KUCHOCHEA KARAMA YAKO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025

Комментарии • 48

  • @santistlucy160
    @santistlucy160 2 года назад +1

    Ameni

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 2 года назад +1

    Ooooo Yes na Isaya 43:4 imeniambia Mimi ni wathamani💪
    Ubarikiwe Apostle Mungu azidi kukutunza na kukutumia kwa utukufu wake🙏

  • @eliaslusingo5220
    @eliaslusingo5220 Год назад

    Ahsante sana kwa ujumbe mzuri

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 2 года назад +3

    Nipo arabuni mama wa boss wangu kunasiku alikuja jikoni akaniambia usiwe unapakua chakula huku unaimba nikamwambia ninacho kiimba si nyimbo za ki duniani ni maabudu eti usiimbe tena chakula kitaingiliwa na majini nikamwambia ukiiweka Imani itakuwa ila pia hii ni passion yangu siwezi kuiacha ndicho kilichopo ndani yangu huwezi kuninyamazisha siku hiyo nilishanda naongea na Mungu jikoni nikasema Mungu kinacho mtumia kishindwe asitokee mtu wa kuni nyamazisha maana ukini nyamazisha sasaivi dakika hiyo hiyo naanza tena nini iyo si mimi nikitu kilicho ndani yangu asante Mungu kwa mahubili ukiwa na woga utanyamazishwa ukiwa na ujasiri huta ogopa sauti yako ikalishwe kimya paza sauti mwambie sito nyamaza asante Mungu aliniongelesha mjibu huyo aliye ndani maana siyo mwanadamu bali giza ndio lipo hapo ndani

  • @innocentcareen818
    @innocentcareen818 2 года назад

    Nakuelewa sana mtumishi barikiwa

  • @denisekatungukarambika2431
    @denisekatungukarambika2431 2 года назад +1

    I'm a reach person💃💃💓

  • @palepale7768
    @palepale7768 2 года назад +1

    Amen Apostle

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 2 года назад +1

    Amen amen,, uku sihami ju najifunza neno la mungu

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango 2 года назад

    Amen barikiwa

  • @alphonceshija-cb3yp
    @alphonceshija-cb3yp 9 месяцев назад

    Napokea kwa jina la yesu barikiwa mtumshi wa mungu kwa mafundisho mazur yameufungua ufahamu wangu kwa namna ya juu sana

  • @elvinawakio
    @elvinawakio 2 года назад +1

    Watching frm Saudi am blessed

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +2

    Woga niachie achia kwa jina la Yesuuuu

  • @elvinawakio
    @elvinawakio 2 года назад +2

    Amen! am walking in prosperity!. God is goodoow

  • @shabvanmsalangi7412
    @shabvanmsalangi7412 2 года назад

    Kazi njema

  • @faustinriziki6787
    @faustinriziki6787 2 года назад +1

    AMEN 🙏 Barikiwa Sana Apostle Mungu azidi kukuinua ,kumbe Mimi ni wathamani 🙏🙏 Asante Sana

  • @hhholeoole5329
    @hhholeoole5329 2 года назад +1

    Kweli mimi ni shujaaa Leo woga towekaa kwa Jina la Yesu.🔥🔥🔥Asante baba Mungu azidi kukuinua.

  • @dottomkuchu5890
    @dottomkuchu5890 2 года назад

    Asante sn Apostle nmejielewa

  • @elvinawakio
    @elvinawakio 2 года назад +2

    Amen am a peculiar person

  • @bridgetphiri5663
    @bridgetphiri5663 2 года назад +1

    Amen 🙏

  • @beatricedawson9540
    @beatricedawson9540 2 года назад

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri ya kuimarisha.

  • @leamukamusoni6239
    @leamukamusoni6239 2 года назад +2

    Amenaaa

  • @josephkhaulebaraka1305
    @josephkhaulebaraka1305 2 года назад +1

    you are a blessing to me.

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +1

    Mimi ni mshindi Mimi ni Wa thamani sana

  • @innocentnsengimana1600
    @innocentnsengimana1600 2 года назад

    May our almightyGod strenghten your Teaching in Jesus name.Amen

  • @esthercharles2210
    @esthercharles2210 2 года назад

    AMEN, AMEN, AMEN!!! MUNGU aendelee kukuweka ECG kwaajili ya Utukufu wake AMEN!!!

  • @emmanuelwith1812
    @emmanuelwith1812 2 года назад +1

    Amen...

  • @shukurusanga5644
    @shukurusanga5644 2 года назад

    🔥🔥🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️

  • @careenallyally3668
    @careenallyally3668 2 года назад

    Mungu niokoe

  • @halolasemmy8560
    @halolasemmy8560 2 года назад +1

    Thank you Jesus for the wonderful teaching

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +1

    Yeahhhhh!!!!!!;

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 2 года назад +1

    I receive

  • @enriqueganywamulume570
    @enriqueganywamulume570 2 года назад

    Que le bon Dieu te comble de sa grâce Chief . Tume faidika tenaaaaaaaaaa

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +1

    Chochea ,chochea karama yangu apostle nakuelewa mtumishi Wa Mungu ,sitakata tamaa ,sitaogopa tena, sitajidharau hata siku moja mimi

  • @Mc_Costa
    @Mc_Costa 2 года назад

    Ooh Yes

  • @josephkhaulebaraka1305
    @josephkhaulebaraka1305 2 года назад

    Amen.I am being blessed.

  • @elishaakongwa6790
    @elishaakongwa6790 2 года назад

    Amen

  • @fgkl8200
    @fgkl8200 2 года назад +1

    Nimechocheka kweli balikiweni mtumishi nimejielewa sasa nitazonga

  • @joycemaige6838
    @joycemaige6838 2 года назад +1

    Tena hiyo roho sazingine mpaka unasikia kuhara yani kabisa unaona huyu mtu anashida mahara ila ukitaka kumshauli tu unasikia kwenda chooni kuhara mpaka nikawa nashindwa nini shida leo nimepata uhakika wa jambo

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад +1

    Mungu niletee mtu Wa Faraja niondolee mtu anaeniletea tabu

  • @careenallyally3668
    @careenallyally3668 2 года назад

    Kweli baba hata Mimi ninakipawa kikubwa ila ninawoga hadi natetemeka

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад

    Simuogopi mtu Mimi ni mshindii

  • @jamesmuriithi9254
    @jamesmuriithi9254 2 года назад

    Mafundisho yanachochea karama tuzifanyize kazi.

  • @happymlay4696
    @happymlay4696 2 года назад

    JESUS,JESUS,JESUS THAT IS MY BOSSSSS

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 года назад

    Migodi iliyo tembea isio fanya kazi unatupa vitu hatupati popote

  • @paulinemuhonja9105
    @paulinemuhonja9105 2 года назад

    AMEN AMEN 🙌🙌🙌