Am so blessed kujifunza hizi siri zote, chief ni kama alikuwa anazungumzia maisha yangu asante sana Mungu akubariki kwa haya Ningeomba chief utufundishe kuhusu ndoto pia, maana toka masomo haya nimekuwa nikiota ndoto sana pale nikijisahau tu kidogo kujikabidhi kwa Mungu kabla ya kulala na ndoto nyingi either nitaona Chief au pastor wangu wa home cell
Kila neno lililofanyika kwangu Bwana hajaliagiza kwanininlifanyike...kila neno baya tengukaaaaa Isaya 7:7 neno hili halitakuwa wala halita simama Natengua kila maneno mabaya yaliyonenwa kwangu juu ya maisha yangu katika jina la Yesu HALITASIMAMA WALA HALITAKUWA
HUKUMU YA WACHAWI NA MCHAWI LEO NAWAFUNGA NA KUWAHAMISHA MBALI NA MAISHA YANGU💪MUME WANGU💪WATOTO WANGU💪NDG ZANGU💪BIASHARA ZANGU MUNGU WA MAJESHI NI ZAIDI YA WACHAWI NA MCHAWI WA AINA YYTE🔥🔥🔥🔥🔥
Nimefunguliwa katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai
Amen 🙏
Mtumishi, munguakutunze,hakika we ni mwalim,nakuelewa sana una neema kubwa
Amen nimebarikiwa sana na kufunguka sana tens Leo tens Niko mbali
Wow, Sina la kusema!
Very tue uchawi utakwisha ,manuizo ushirikana vitaisha lkn Neno litasimama,🙏🙏🙏🙏
Asante kwa somo nzuri sana. Ubarikiwe.
Ubarikiwe Sana chief umenifungua sana ❤❤❤
🙌 endereya mutumishi mana tumejuwa mengi kupitiya mafundisho yako mazuri
More powerful chief am heading somewhere in lyfe
Tutasamehe watu wote lakini sio wachawi! Amen.
Ubariiwe sana Mtumishi wa Mungu.
I connect in Jesus Mighty Name
Asante mtumishi wa Mungu kwa kutufunulia haya ili tufunguliwe na tupate ushindi dhidi ya mishale ya adui
Je baba Mutalemwa utatoa KITABU ANGALAU WATU WENGI WAWEZE KUSOMA. TUNAOMBA
TUNAWAFUNGA WACHAWI NA MCHAWI WOTE LEO KTK JINA LA YESU💪💪🔥🔥🙌🙌🙌💃💃💃💃💃
Leo Tarehe 10/05/2023 naangalia naona kama ni live hii ibada .... MUNGU akubariki sana Chief ❤❤❤
Amen Amen Lazarus lazima afufuke kwa jina la yesu cristo Amen Amen Amen
Ufunuo wa hali ya juu kwakwel mtumishi Mungu akupe maisha marefu,uchawi ushindwe kwa jina la Yesu
Amen
Ni kweli kabisa Mtumishi neno zuri mno
Am so blessed kujifunza hizi siri zote, chief ni kama alikuwa anazungumzia maisha yangu asante sana Mungu akubariki kwa haya
Ningeomba chief utufundishe kuhusu ndoto pia, maana toka masomo haya nimekuwa nikiota ndoto sana pale nikijisahau tu kidogo kujikabidhi kwa Mungu kabla ya kulala na ndoto nyingi either nitaona Chief au pastor wangu wa home cell
Baada ya maombi haya naamini nimeondoa kila uchawi uliowekwa au kunuizwa ndani yangu, kizazi changu na familia yangu kwa ujumla in Jesus name, amen
Barikiwa Apostle
Imekuwa kwa Jina la Yesu.
Haleluya,nmepata changu kweli
Amen Mtumishi wa Yehova, Zidi kutufunulia hizo Siri Baba , ubarikiwe sana.
Ubarikiwe man of God kwa mafundisho
AMEN!!! AMEN!!! Nimefunguliwa kwa jina la YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai.
Ameeeeeen nashukuru Sana nabarikiwa
Asante Apostle Moshi inapona...nyumba yangu inapooona sasa.mume wangu anakuja upyaaa amen
Asante chifu kwa mafundisho haya
Apostle naomba hili somo likawekwa kwenye kitabu litasaidia watu wengi sana.Mimi nimejifunza mengi.
Chief Mungu amekuamini Sana
Jehovah aendelee kutumia kutufunulia mafunuo makali Kama haya hakika tumepona.
Ubarikiwe Sana baba.
Amen mtumishi yaani umegusa familia yangu kabisa
Asante nimefunguliwa Baba
Haleluhya am blessed prophet God bless
Hapana uchawi juu ya Anne saria na nyumba yake..kwa jina la yesu kristuuu.AMEN
ameen chief 1 major
Thank you Apostle
God bless you man of God
Haleluyaa utukufu kwa mungu
Amen wataaibika mwaka huu
Kila neno lililofanyika kwangu Bwana hajaliagiza kwanininlifanyike...kila neno baya tengukaaaaa
Isaya 7:7 neno hili halitakuwa wala halita simama
Natengua kila maneno mabaya yaliyonenwa kwangu juu ya maisha yangu katika jina la Yesu
HALITASIMAMA WALA HALITAKUWA
Amen
Amin🙏👏
Tumwombe Mungu .amen 🙏
Eh MUNGU ni epushe na manuizo
Ahsante Mtume kwa mafundisho mazuri sana. Hakika wachawi wanalo.
Napokea Aposto
Aleluuuuuuuuyaaaaaaaaaa
Endelea mtumishi
Ameen.aposto ubarikiwe baba.
Mungu anisamehe jamani#kenya
Mungu akubariki sana Chief Apostle uzidi kutufunulia hizo siri za hawa wachawi
Amen Mungu akubaliki
Amina in Jesus Christ mighty name.
Power devil is in trouble eyeeee
Amen, mungu akupe maisha marefu apostle
Nimepata ufunuo
Amen mtumishi wa Mungu.
God bless u Apostle
Thanks you apostle
Powerful.Am blessed
Pumbavu shetani
Hakuna uchawi juu ya monika richi seba na patriki
Aminaa baba
I received naomba namba ya sadaka niweke agano na Mungu
Amen baba
Nimefunguliwa kwa jina Jesu hakuna uchawi juu ya janet na familia yake kwa jina la jesu
Iwould like tovisite the church its my prayer doors tobe open that ican come iam infrankurt germany
Hapana uchawi juu ya Grace
Kila siku lazima nipitie hii pg kusikiliza mafundisho, Bwana akutunze Mtumishi 🙏🏾
In
Amen
AMEN nimebarikiwa sana na somo hili
Aminaa
God 🙏🙏🙏🙏 bless you mtumishi
Amen
Power full
Amen, am free in Jesus name 🙏
Amn sitarogwa kwa jina la yesu
hata mimi
Wauwawe wachawi
Hallelujah
Ameen
Wahamiswo wachawi wote
Ninarudia haya mafundisho mara kwa mara,na kushare na familia yangu na hakika tumefunguliwa...
Aleluyaaaaaa
Ameen Baba
Nauliza makes majuu ya kanisa ni wapi naomba ili nije
HALLELUJAH 👏
HUKUMU YA WACHAWI NA MCHAWI LEO NAWAFUNGA NA KUWAHAMISHA MBALI NA MAISHA YANGU💪MUME WANGU💪WATOTO WANGU💪NDG ZANGU💪BIASHARA ZANGU MUNGU WA MAJESHI NI ZAIDI YA WACHAWI NA MCHAWI WA AINA YYTE🔥🔥🔥🔥🔥
AMEN AMEN 🙏🙏🙌🙌
Powerful
Kwahapa umeele weka kaka
Uko sawa Mungu akuzidishe
AMEN.
❤️🇧🇮
MAFUNDO YOTE YAMEFUNGULIWA LEO
MAUZO NI MANENO YA KICHAWI YANAYOLEKEZWA KWA MTU KUTOA UCHAWINWA ATHARI AU MIBARAKA YA KICHAWI. MBAYA BAYA
Neno litasimama
Yamkute, balaaa
Kipawa ulicho pewa kizidi Nina madui wengi nimezungukwa
AMEEEEN
SIRI SITA (62,,,,,
University of ECG MAKONGO JUU
Mungu azidi kukufunulia siri zake umlete mkombozi kupia kinywa chako kufuta manuizo yakichawi tupate kupona
Ameeen
Ukumbi wa WACHAWI! Siri..
Amen
Hallelujah
Hapana uchawi juu ya monika richad seba na patrick amin
Amen.
Ameen
Ameen
Amen
Amen