UNAZIFAHAMU HIZI SANAMU?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 243

  • @denisekatungukarambika2431
    @denisekatungukarambika2431 2 года назад

    Nashukuru Mungu sana ajili Yako Apostle, Mungu akupatie maisha marefu. Ahsante kwa neno hili, linanibariki👏👃🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @suzanfusi3877
    @suzanfusi3877 4 года назад +5

    Amen Chief Apostle kwa mafundisho yako mazuri,Ashukuluwe Mungu kwa ajili yako Mtumishi

  • @doreenkudondo1086
    @doreenkudondo1086 3 года назад

    Thank you pastor kwa huu ufunuo, watu wengi walikuwa pia wamepotoka kuabudu janga la corona kuliko Mungu... Namuomba Mungu anisamehe kwa muda niliopoteza kwa kumwabudu mtu ama kitu chochote.

  • @harriethkinjoli7545
    @harriethkinjoli7545 4 года назад +3

    Nimekuelewa Apostle,kweli itatuweka huru,ubarikiwe sana tena sana,Mungu akutunze kwa ajili ya utukufu wake,nimefurahi kwa ujumbe huu kuna mambo yalipita kwenye maisha yangu na leo nimepata majibu.

  • @immatheo9370
    @immatheo9370 4 года назад +3

    Apostle somo zuri sana. Tuwe watu wa kushukuru tumrudishie Mungu shukrani na utukufu wake

    • @jeconiajosia1999
      @jeconiajosia1999 4 года назад

      Kwa kweli wewe unafaa kwa wakati huu maana kuna watu wamewafanya viongozi wao kuwa mungu wao yaani kila akiongea namshukuru xxx, na wewe unaesifiwa na kupokea hzo shukrani angalia usije ukaabudiwa

  • @alfredkimanthi8120
    @alfredkimanthi8120 4 года назад +1

    Mtumishi wa Mungu Leo umenibariki sana.moyo wangu umefundishika.Barikiwa sana na MUNGU akuongezee nguvu uwafikie wengi.Namshukuru MUNGU aliyekuinua mpaka nikapata ujumbe wenye uhai.

  • @mwingaluhoyo4812
    @mwingaluhoyo4812 4 года назад +3

    Amen Chief Apostole nimeelewa sasa jinsi ya kuabudu sanamu,asante Mungu kwa ajili ya kutuletea mafunuo hayo.

    • @siangowi5954
      @siangowi5954 4 года назад

      We thank Jesus for this life changing message 🙏 God bless you man of God🙏🙏🙏

  • @davidosiemo8633
    @davidosiemo8633 2 года назад

    Powerful massage man of God Iam watching from Dubai

  • @irenesimon9107
    @irenesimon9107 3 года назад

    Mungu Atukuzwe Sana kwakutupa mtu wa kutufudisha maswala ya Mungu ,Mungu akubaliki dana

  • @niyonizigiyekarithas4710
    @niyonizigiyekarithas4710 4 года назад +2

    Thank you Apostle. Hapo niimepata kitu kikubwa Ooh MUNGU ni samehe ni jambo ngumu kwangu ni piganie kwa rehema zako. Asante. 💝🏩💝

  • @lauraingosi1428
    @lauraingosi1428 4 года назад +6

    Namshukuru mungu kwa kweli hivi mbona like ninaruhusiwa moja tu jamani

  • @johnnashauri6156
    @johnnashauri6156 4 года назад +3

    Asante Yesu kwa mafanuo haya, Mungu muinue zaidi mtumishi wako.

    • @delvinmaleko5812
      @delvinmaleko5812 4 года назад

      Ahimidiwe Mungu kwa kumtumia mtumishi wake kufikisha ujumbe wa Neno lake

  • @ngwanafabian7532
    @ngwanafabian7532 4 года назад +2

    Mtalemwa anachohubiri na mwonekano wa waumini wake walio wengi ni tofauti. Mungu atusaidie.

    • @kefaasukile7261
      @kefaasukile7261 4 года назад

      Mmmmh kweli ndugu yangu, hapo aanze kutengeneza ndani kabra ya kuwaambia walio nje.

    • @hawalufingo9983
      @hawalufingo9983 3 года назад

      Yeye amewafundisha kweli sasa kama hawasikilizi shauri yao,,, hapo kwenye mahubiri hajamtaja bushiri hata Mara moja

  • @ignacedaniel4204
    @ignacedaniel4204 4 года назад

    Amen! Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako Apostle kwa kutufungulia hili!

  • @apostlezizi
    @apostlezizi 3 года назад

    This was a wakeup call for TANZANIA 🇹🇿,it has happened. God have mercy on us,let us understand when you are talking to us through your servants..God bless you APOSTLE MTALEMWA

  • @furahabeatrice2057
    @furahabeatrice2057 4 года назад

    Asante sana. Kweli ni MUNGU kawawezesha. Neno hili limenibariki sana. Tuzidi kuomba uwezo wake 👏👏

  • @tushia643
    @tushia643 4 года назад +3

    Powerfully Teaching. God bless you Apostle Mtalemwa.

  • @niyonizigiyekarithas4710
    @niyonizigiyekarithas4710 4 года назад +2

    Asante MUNGU. Kwa kutupa watumishi wako kutuelemisha kwa neno lako. 💖💙💜

  • @adrophntabalizo8634
    @adrophntabalizo8634 2 года назад

    Hapo Mungu ameonekana akiwa ndani ya mtu! Ee Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa zawadi ya Uhai wa Neno lako.

  • @luganomwaisaka8219
    @luganomwaisaka8219 4 года назад +1

    Huu ni moja ya jumbe muhimu sana, inapaswa kuusikiliza mara kwa mara ili uzame katika moyo na kuwa sehemu ya maisha yako. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.

    • @joycemaige8683
      @joycemaige8683 3 года назад

      Yani mimi nime I download kabisa kila saa na isikiliza

  • @neemahamisi4302
    @neemahamisi4302 4 года назад

    Amen sifa na utukufu na heshima na enzi na adhama na mamlaka ni kwake yeye aketiye juu sana katika kiti cha enzi kilicho juu sana yeye aliyewaita manabii na kuwatia mafuta ili kuwaongoza watu wake wasipotee bali waifikilie Toba iletayo uzima ameen.

  • @esthercharles2210
    @esthercharles2210 4 года назад

    Asante sana Chief kwa mafundisho mazuri haya dah!!!!! Ubarikiwe sana.

  • @halimanangati.iconnect1846
    @halimanangati.iconnect1846 4 года назад +1

    Tunakushukuru Mungu wetu kwa kutukomboa na hili na utatushindia na mengine kwa kuwa wewe ndio kimbilio letu Baba ,,Amen

    • @philomenamallembo8335
      @philomenamallembo8335 4 года назад

      Asante MUNGU kwa uweza na nguvu zako kutuponya dhidi ya virusi vya corona sisi Watanzania. Ninakusifu MUNGU wangu kwa kutupa Rais mwenye kukujua wewe na nguvu na uweza wako katika kukabiliana na CVID 19.

  • @thomasmwaruka8247
    @thomasmwaruka8247 4 года назад +1

    How thankful I am for this great message of reconciliation of men to God Almighty..!
    Congratulation Chief Apostle 10G

  • @tumainimwanyonga6601
    @tumainimwanyonga6601 3 года назад

    Mungu Mwema sana Ana wivu Yehova ubarikiwe

  • @tigerchristmas5491
    @tigerchristmas5491 4 года назад +2

    Asante roho mtakatifu kwa ujumbe huu

  • @rosemarymsangi3960
    @rosemarymsangi3960 4 года назад

    Nimebarikiwa sana na somo,asante Mungu kwaajili ya mtumishi wako, sifa, shukrani na utukufu ni wako BWANA.

  • @mremzakibanga4467
    @mremzakibanga4467 4 года назад +1

    Ukweli Makonda Alikosea
    Mungu wetu Anajibu yeye anatupeleka Disco ukweli Mimi mwenyewe niliumia
    Ubarikiwe Mtumishi WA Mungu

  • @eunicehezron3481
    @eunicehezron3481 4 года назад +2

    Asante Sana kutufungua zaidi kuhusu MUNGU aliye hai ni MUNGU mwenye wivu.

  • @gracembise906
    @gracembise906 4 года назад

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana...
    Mungu nisaidie nikupende kwa moyo wangu wote.

  • @saraphinandale7373
    @saraphinandale7373 4 года назад

    Mungu akubariki sana mtumishi nimepona

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 4 года назад

    BABA APOSTLE MUTALEMWA NINAOMBA MUNGU MUWEZA AKUINUE ZAIDI NA KTK YEYE AKUSHUSHIE MADINI MENGI DUNIANI YA UFALME WA MBINGUNI TUUJUE NA KUMTUKUZA YEYE NA TUACHE SANAMU SANAMU ZISIZO NA UTUKUFU WA MUNGU. AMEN MTUMISHI.

  • @abrahammnzava841
    @abrahammnzava841 4 года назад +2

    Amen, ni Mungu ametenda sifa na heshima zimrudie yeye peke yake

  • @erickelisa1066
    @erickelisa1066 4 года назад +2

    I always thank God for u,,uwe mkuu zaidi na Zaid ,,nabarikiwa na mafundisho yako God bless u following u from Kagera Karagwe

  • @marymuthoni1551
    @marymuthoni1551 4 года назад

    Amina na asante sana, umehubiri kweli kabisa, Mungu akubariki sana, nimebarikiwa sana

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 4 года назад +2

    AMEN so powerful....may God bless you pastor

  • @glorymbazi8083
    @glorymbazi8083 4 года назад

    Mungu abaliki kaziyako njema nabalikiwa Sana namafundisho haya yannanikuza kiloho

  • @venancetarimo2140
    @venancetarimo2140 4 года назад

    Mungu ambariki mtumishi wake kwa ufunuo mkubwa aliompatia kwa kupitia neno lake hakika amesema kweli isiyotakiwa na wengi.

  • @deborahdelly4532
    @deborahdelly4532 4 года назад

    Napenda kufundishiwa nawe mchungaji nikiwa Shinyanga Hallelujah hallelujah Amen

  • @noelpaul640
    @noelpaul640 2 года назад

    Namshukuru Roho Mtakatifu kwa kunipa Kibali Cha kusikia Neno hili. Roho Mtakatifu nisaidie kudumu ndani yako na Utukufu daima ukurudie wewe kwani ndani yako ninaishi, ninakwenda na kuwa na Uhai wangu

  • @godianmande4920
    @godianmande4920 4 года назад +4

    Tunarudisha Sifa na Utukufu kwake Mungu, tumeuona mkono wa Bwana na fadhili zake juu ya Tanzania. Tunakusihi Mungu uendelee kuambatana nasi Daima, Ameeen!

  • @vickyalphonce4813
    @vickyalphonce4813 4 года назад +2

    Asante Apostle Mtalemwa kwa mafundisho mazuri!

  • @maymsigala8355
    @maymsigala8355 4 года назад

    Amen. Asante kwa somo zuri. Hakika namshukuru MUNGU kwa matendo Makuu.

  • @ellymwakapyanila7063
    @ellymwakapyanila7063 4 года назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.

  • @hoglawawuda8145
    @hoglawawuda8145 4 года назад +1

    Nko Kenya ..Asante kwa Mafundisho Hayo

  • @augustinetarimo6081
    @augustinetarimo6081 3 года назад

    Asante apostle, hizi sanamu tumeabudu sana.

  • @jamesdioniz3243
    @jamesdioniz3243 4 года назад +1

    Asante sana Apostle kwa mafundisho mazuri, ubarikiwe sana

  • @eliakimmartin1808
    @eliakimmartin1808 4 года назад +3

    Amen.........
    MUNGU NA ATUEPUSHE NA IBADA ZA SANAMU. .........

  • @joannembaja6053
    @joannembaja6053 3 года назад

    Nasema ndiyo Bwana Yesu..njoo Dani yangu nitembee nawe

  • @EndTimeCrusander
    @EndTimeCrusander 4 года назад

    Great word! Great wisdom especially on these last days when the Lord is showing us the roar of the Lion of Judah.

  • @nurumasunga6079
    @nurumasunga6079 4 года назад +5

    This is my Massage
    Thank you man of God

    • @mwinjilistisinwaobadia2736
      @mwinjilistisinwaobadia2736 4 года назад

      Ujumbe mzuri nakufatilia mtumishi naomba uniombee na Mimi ni kijana natamani kuifanya kazi kwa viwango vya kumtam ulisha Kristo link 👉👉
      ruclips.net/video/MvEZT6JUlXE/видео.html

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 4 года назад

    Hongera mtumishi wa Mungu, wewe ni zaidi ya mwalimu.

  • @merymrema420
    @merymrema420 4 года назад

    Ameni mtumishi ubarikiwe kwa jili ya ujumbe Niko Arusha

  • @paulpambe9091
    @paulpambe9091 3 года назад

    Mungu wa Majeshi akutie nguvu.

  • @lindaaduma7930
    @lindaaduma7930 3 года назад

    your teaching is on point. woow

  • @rahelpilos4452
    @rahelpilos4452 4 года назад

    Asante sana kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu

  • @inaotieno9224
    @inaotieno9224 2 года назад

    Good work Apostle.but zingatia mavazi kanisani

  • @kaboberdo227
    @kaboberdo227 3 года назад

    Nimebarikiwa sana na mahubiri haya, Bwana Yesu asifiwe.

  • @prophetjaymzungu4175
    @prophetjaymzungu4175 4 года назад

    Mungu akubariki sana Baba oiiii mmmhhhh umepiga sememu ya kweli katika kweli

  • @kelvinmarsh2249
    @kelvinmarsh2249 4 года назад

    Wa nimependa huyu mchungaji sana mungu baba niondolee sanamu zote ambazo zimenizunguka,,,,,

  • @emmanyaluke5321
    @emmanyaluke5321 4 года назад

    Ameen amen mtumishi ubarikiwe sana kwa ujumbe.

  • @highnesseverest3619
    @highnesseverest3619 4 года назад

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu umenifungua

  • @noelpaul640
    @noelpaul640 2 года назад

    Yan light hili somo tungelisikilza vizuri na kumrudishia Mungu sifa na Utukufu, Hakika leo tusingepoteza viongozi wetu na watu wa karibu ambao wangeendelea kufanyika Baraka tele kwenye Maisha yetu na Taifa.

  • @indecheamutala829
    @indecheamutala829 4 года назад

    May the name of the Lord be blessed, God bless u apostle for the revelation,welcome in Kenya

  • @_.sheisherself._
    @_.sheisherself._ 4 года назад

    Watu kupoteza vyeo vyao!’ Ooh yes (idhatimia)🤦‍♀️tunashukuru disco kupona corona🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 4 года назад +2

    Nyie wamama hapo kanisani vaeni vizuri mnavaa vibaya halafu mnakaa kihasara sijui mnachukuliaje lile Neno la ninyi ni hekalu la Mungu jirekebisheni mkiendelea hivyo mnapoteza muda na pia Mungu hafurahishwi na mawig na mirangi hio na kuchoma nywele badilikeni kanisa linakosa heshima kwa ajili ya wanawake wafuasi wa yezebel

    • @kuhaninuru2977
      @kuhaninuru2977 4 года назад +1

      Paricy kiko hahowamama hawanashida wanajifunza kuvaa kwa mama kiongozi wahoo wauziwalaumu

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 4 года назад +1

      @@kuhaninuru2977 shauri yao maana ni bora kusoma Maandiko yakakuongoza maana Yesu hatachukua wanaomfuata Yezebeli maana wameshaharibu uhalisia wa kanisani hata anaetaka kumrudia Mungu anashindwa aende wapi na hakuna anaewaambia ukweli wamekaa kushangilia mafanikio tu wasijue tunaelekea majira gani wengine ukiwaambia wanasema unahukumi nyie wamama nyie na suruali zenu kanisani na miwigi na mi makeup wala hampendezi mnaonekana vituko labda km mna Mbingu yenu

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 3 года назад +2

      @@pericykiko6198 Mungu akubariki sana Madam

  • @kaaleaubrey9900
    @kaaleaubrey9900 4 года назад

    ASANTE MTUMISHI WA MUNGU,NAMSHURU MUNGU SANA KWA AJILI YA MAFUNUO HAYA,MINGU ANISAIDIE NIYAWEKE MAFUNUO HAYA KTK MATENDO,Naomba maombi yako mno Pastor.

  • @lindsay6415
    @lindsay6415 3 года назад

    Thank you HolySpirit of God you’re my everything! Search me oh Lord and see if there’s any wicked ways in me ,any idol.
    I repent of all the idols in my life in Jesus name . Amen!

  • @noeliamwakalunde8089
    @noeliamwakalunde8089 4 года назад

    Amina,Mungu akubariki sana,urukufu kwa Mungu.

  • @zawadijoel7516
    @zawadijoel7516 4 года назад +1

    Asante sana Chief Apostle, somo zuri sana sana.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 года назад +2

    Kusema kweli Mimi siyo mshirika wako lakini Kwa fundisho hili nimekukubali.

  • @lusiananchimbi6130
    @lusiananchimbi6130 4 года назад

    Hallelujah asante Mungu kwa mafunuo haya.

  • @oscanyakunga9674
    @oscanyakunga9674 4 года назад

    Goooooooooood goooooooooood goooooooooood goooooooooood ooooooh hallelujah_ chef Apostle

  • @moseswainaina1918
    @moseswainaina1918 4 года назад

    This is a blessing summon. From Kenya, my eyes have been opened. Glory to God.

  • @vickymahanga7734
    @vickymahanga7734 3 года назад

    Ashkuriwe MUNGU atendae Mambo makuu🙏

  • @sarahmsangi7243
    @sarahmsangi7243 3 года назад +1

    Nilikuwa sijuhi kuwa Kama sanamu zipo za namna hiii

  • @immwillswilliams8656
    @immwillswilliams8656 4 года назад +1

    This is powerful apostle

  • @neemakijangwa6322
    @neemakijangwa6322 3 года назад

    Powerful message to remind us, glory to God.

  • @graciasmasila5838
    @graciasmasila5838 3 года назад

    Wooi uliwaonya watazania hawakusikia sasa ona wapempoteza kiongozi mwema 😪😪asante nimejifuza kikumbwa sana na nita badilika 🙏🙏

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 года назад

    Kweli,wachungaji wengi wanapenda kusifiwa cku hz.

  • @thobiasndichaye4861
    @thobiasndichaye4861 4 года назад +3

    TANZANIA TUMEBARIKIWA KWA KUPEWA WATUMISHI WAZURI

  • @mayungahima1987
    @mayungahima1987 4 года назад +1

    aiseee nimekuelewa mtumishi mwaminifu ubarikiwe Sana

  • @hurumangole727
    @hurumangole727 3 года назад

    Mafundisho yako yaniinua baba,Mungu azd kukuinua

  • @anaaanick4187
    @anaaanick4187 3 года назад

    Iko kweli Apostle Mutalewa.

  • @marykageha4305
    @marykageha4305 4 года назад

    Power full .Chief umenigusa ,haifai kusujudu mwanadamu koliko MUNGU.

  • @makoyerichard5937
    @makoyerichard5937 2 года назад

    LEO NDO NI MEJUA NINI MAANA YA SANAMU ASANTE SANA MTALEMA🙏🏻 🇹🇿

  • @mariekabuo2340
    @mariekabuo2340 4 года назад

    God bless you man of God 🙏🙏🙏👍✌✌✌✌

  • @alfredkimanthi8120
    @alfredkimanthi8120 4 года назад

    Blessing message servant of God

  • @gladysgladys7393
    @gladysgladys7393 3 года назад

    Amen let be done in Jesus name 🙏

  • @goodsrshao5696
    @goodsrshao5696 3 года назад

    He speaks wisdom👍👍👍🙏🙏🙏

  • @priscajackson7085
    @priscajackson7085 4 года назад

    Umenena chief, Asante kwa somo zuri

  • @henrymushi806
    @henrymushi806 4 года назад +1

    ameen

  • @lilianberthesa8070
    @lilianberthesa8070 4 года назад

    Nakuelewaga sana mtumishibwa Mungu

  • @hubman6780
    @hubman6780 4 года назад +2

    Hekima kama hii hulikomboa taifa.Kwa sasa hivi wengi tunamtukuza Rais kwa nafasi ya Mungu badala ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Rais.Ila Baba umesaidia maana sisi watanzania baadhi yetu tunapenda kusifia kwa unafiki ili tupewe nafasi au kitu.Kwa somo hili nimepona

  • @brigitamakoha9941
    @brigitamakoha9941 4 года назад +3

    Naomba namba yakukufikia ulipo nataka nitume family yangu kutoka kenya PLZ.🤣

  • @juliethgiteta6276
    @juliethgiteta6276 4 года назад

    AMEEN

  • @josephmallya5525
    @josephmallya5525 3 года назад +1

    hii ndo maana mungu amemuondo hakika ww ni mungu mwenye wivu

  • @lovenessfelix5841
    @lovenessfelix5841 4 года назад +3

    Amen! Amen!Nimelewa somo mpaka naogopa"""Mungu tuhurumie!

    • @janetfrancis7180
      @janetfrancis7180 4 года назад +1

      Amina

    • @mremaregnold1545
      @mremaregnold1545 4 года назад

      Barikiwa Sana Mtumishi Vile Mungu amekutumia kutufikishia ujumbe mzuri hakika Mungu ni Mwema

  • @stellamkude4563
    @stellamkude4563 4 года назад

    Ameeen hakika nabarikiwa na mafundisho

  • @johnmdem5947
    @johnmdem5947 3 года назад

    Sahihi kabisaa watu wanaheshim wanaemuonaa