KUFUTA MANENO MABAYA YALIYOTAMKWA JUU YAKO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 413

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 Год назад +2

    Amen, nafuta maneno yote yaliyotamkwa juuu yangu kwa jina la Yesu kristo wanazareth ninafuta Giza walikoliweka mbele yangu ikawe Nuru, nafungua biashara yangu ndoa yangu kizazi changu ninafuta kila maneyo yote yaliyotamkwa kwa maisha yangu kwa jina la yesu na Mungu anisamehe pia kwa kumtakia mtu yeyote maneno mabaya ikiwa n kwa hasira Mungu anisamehe pia.

  • @gracekwila5674
    @gracekwila5674 3 года назад +16

    Ninafuta kila maneno mabaya yaliyo tamkwa kwangu kwa damu ya Yesu
    Ninabadilisha baya kuwa jema katika jina la Yesu
    Natamka uzima kwenye maisha yangu na familia yangu
    Natamka ushindi
    Natamka baraka
    Itakuwa kwa jina la Yesu...
    Asante sana apostle kwa ufunuo huu kwenye somo hili nilijifunza Neno lina uhai... Nilijifunza kunena maneno mazuri kwenye maisha yangu... Mungu akuweke mtumishi🙏🙏 powerful

  • @annamwandemele5190
    @annamwandemele5190 2 месяца назад

    Amen. Nafuta maneno yote niliyo tamkiwa juu yangu kwa jina la Yesu kristo, nina futa Giza lililowekwa mbele ya uso wangu ikawe nuru, nafungua ndoa, kizazi changu kazi yangu, nafungua biashara yangu uzao wangu na kipato changu. Katika jina la Yesu kristo

  • @happpyfuraha
    @happpyfuraha 2 года назад +1

    Amen mungu aniapushe na maneno mabaya na afute mauti maishani mwangu najitamukia uzima

  • @lukasjuma4240
    @lukasjuma4240 Год назад

    You are a blessing to me servant of God. Mabadilisha maneno yaliyonenwa na wachawi kinyume na ndoo yangu, kinyume na Mali yangu, kazi yangu,watoto wangu. Ninakataa Kwa jina kuu la Bwana YESU Kristo.

  • @AtungaGeoffrey-qd1wm
    @AtungaGeoffrey-qd1wm Год назад

    Amen nimebarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi....mungu akuongezee zaidi unapomtukia Kila wakati....baraka zote ninasipokea katika jina kuu LA yesu kristo.....walionena giza katika maisha yangu,,,nimetamka Nuru katika maisha yangu...Amina na amina.

  • @VictorBambo-ir7wp
    @VictorBambo-ir7wp 8 месяцев назад +1

    Ahsante MUNGU akubariki sana Pastor kwatufundisha vyema

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 Год назад

    Wow I thank God for you I have stepped one step ahead in understanding the power of God which is in spell kutamka in Jesus name Apostle Mtalemwa Mungu azidi kukutunza wewe Ni nguvu ya Mungu ambayo imetumwa kwangu asubuhi ya leo katika Roho Mtakatifu ❤️

  • @graceasagwile8362
    @graceasagwile8362 2 года назад

    Amina ubarikiwe oils maneno niliyo nenewa vibaya mimi na familia na ukoo wa na uzao wangu nabatilisha kwa jina la Yesu

  • @stanleynyeguza5785
    @stanleynyeguza5785 2 года назад

    Mtumishi Barikiwa sana napenda Mafundisho yako Mungu Aendeleee kukutumi ili utufundishe maneno ya Mungu Barikiwa sana

  • @halolasemmy8560
    @halolasemmy8560 2 года назад +1

    Powerful message watching from Qatar...God bless you servant of God

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 2 месяца назад

    Nafuta maneno nliyojitamkia yakazuia Baraka zangu nafuta kwa Jina la Yesu,na nliyotamkiwa na Wachawi na watu nisiyoyajua na watumishi wabaya,Ameen

  • @apostlesammymutachicfc.3744
    @apostlesammymutachicfc.3744 3 года назад +1

    Apostle Mutalemwa, Naomba kukutana nawe ikiwa utaniruhusu. Shalom

  • @fgkl8200
    @fgkl8200 3 года назад +6

    Powerful teachings blessed man of the most high God

  • @rehemalewa4221
    @rehemalewa4221 3 года назад +1

    Mmmmmhhhhhuhhhhhhhh! Paster mungu akuzidishie ujasiri,amen neno lako limenibariki na kunipandisha kiwango Hadi kiwango ,amen

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 2 года назад

    👏👏👏,safi sana maombi haya ndo najifungaga kibwebwe,nachukua fimbo ya uhakika nababadua mpaka kinaeleweka. Kwa jina la Yesu nayabadilisha nageuza hata naukiri mbaya nilio jitamkia ukawe ukiri mzuri,ktk kila eneo la maisha yangu,kny uchumi,kny Ndoa kwa Watoto,kny huduma ,kny ukoo kwa jina la Yesu.

  • @risperntwiki6879
    @risperntwiki6879 3 года назад +11

    My first day listening to your teachings and prayers and i feel so blessed. Thanks apostle, God bless you

    • @Papaachina
      @Papaachina Год назад +1

      Asante mchungaji myalemwa

  • @raychlucky2050
    @raychlucky2050 3 года назад +1

    This is so powerful nina badilisha maneno waliyo nena kinyume na maisha yangu in Jesus name

  • @youngcheryl2549
    @youngcheryl2549 3 года назад +2

    Am blessed so much the preaching has touched me hizi ni vitu am passing through now nimejua kudeal nazo

  • @victoriousblessedmom4343
    @victoriousblessedmom4343 3 года назад +2

    Amen and I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree and Believe and receive this Powerful Prayers upon my life and my Son and my family because our help comes from Jehovah God the maker of the Heaven and earth and no weapon formed against us will be able to prosper Because God is with us and no body can against us and all things are possible with God in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God

  • @sephmanjoseph8855
    @sephmanjoseph8855 2 года назад +1

    Nikiwa nasikiliza mahubiri kama haya huwa nabarikiwa sana,Mungu atutie nguvu katika jina la yesu, ila mtumishi huwa sijiskii vizuri nikiona wanawake wanavyovaa mavazi Yao hapo kanisani na sipendi mara kaweka brichi kichwani mara kavaa suluali kanisani hivi ndivyo Mungu alivyosema kweli mtumishi

  • @samuelbahati6252
    @samuelbahati6252 3 года назад +4

    Be blessed man of God!
    You are really bessing my heart so much! I am Samuel from Goma RDC. Since i am following your preaching, i am living in my heart

  • @marymbathamusyokimusyoki4082
    @marymbathamusyokimusyoki4082 3 года назад

    Nafuta na kubadilisha kila neno lote lililonenwa kinyume na maisha yangu na familia yangu wao walinena lakini nami nanena nimeyabadilisha yote kuwa baraka kwa jina la yesu,am so blessed

  • @hendricakitingaty8007
    @hendricakitingaty8007 3 года назад

    Amen,,,nayabadilisha MANENO mabaya yote yaliyo tamkwa juu yangu,,,,yatKuwa mema tu kwa jina la yesu.,,Nitafanikiwa,,,kiuchumi ,,kiafya,,nitakuwa kichwa na siyo mkia,,,malengo yote niliyojiwekew MWANA huu yatatimia kwa jina la yesu,,,,sitapungukiwa na KITU chochote,,,,

  • @geordawood5696
    @geordawood5696 3 года назад +2

    Really divine preaching Be blessed The Annointed prophet of The LORD in JESUS'NAME. AMEN+

  • @LevinaLupenza
    @LevinaLupenza Год назад

    Ameeen mtumishi ubarikiwe nafutaa maneno niliyoneewaa mabaya ktk maisha yangu

  • @mercykimani9741
    @mercykimani9741 3 года назад

    Apostle am blsd by the word. Nakataa kila Negative word spoken against my destiny,by the blood of Jesus Amen. Nakuru City Kenya

  • @lucymbugua9112
    @lucymbugua9112 3 года назад +3

    Lucy thank you man of God for teaching be blessed

  • @b.barakakajigili9297
    @b.barakakajigili9297 Год назад

    Mungu akutunze sana nanema ikutawale na hekima ya selemani iwe nawe Apostle Mtalemwa

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 3 года назад

    Asante Yesu kwa mtumishi huyu. Ubariki kazi yake na sisi tunaosikia neno hili utuondoe krkmaangamizo yote ya shetani. Ikuze huduma hii

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 года назад +2

    Hallelujah hallelujah nabarikiwa nikiwa Kenya, 🇰🇪

  • @katewinniewandoe2863
    @katewinniewandoe2863 3 года назад +4

    Ilove how the wrd is really explained

  • @benardwanjia3406
    @benardwanjia3406 3 года назад +1

    Powerful teachings,you have really blessed me,Naamini yote yaliyotamkwa kinyume yamefutwa na maisha mapya sasa kwa jina la Yesu.barikiwa pastor.

  • @Caroline-ry4bn
    @Caroline-ry4bn 7 месяцев назад

    Be blessed apostle nimependa mafundisho Yako sana🇰🇪🇰🇪

  • @linakibibijuma5272
    @linakibibijuma5272 2 года назад

    maneno yote nliyo tamkiwa sitaishi na mume wala sitafanikiwa katika maisha yangu yote nami nayabadilishi maneno hayo kwa Jina la yesu kristor alie hai

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 11 месяцев назад

    Amen nabadlisha manano mabaya niliyo tamkiwa na maadui zangu yagiza nabadilisha kuwa ya nuru yaumaut nabadlisha kuwa uzima nabadlisha maneno mabaya niliyo jitamkia mwenyewe nayabadlisha kwa jina la yesu chirsto wanazaret amen 🙏🙏🙏

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 3 года назад +13

    Tanzania is raising warriors in the kingdom of God. I look forward to relocate from Kenya to Tanzania. God bless Tanzania.

    • @jeanm.2973
      @jeanm.2973 3 года назад +2

      Na wewe ubarikiwe kabisa .Husemi utahama kutafuta pesa lakini kumtafuta mungu. Mungu amekujalia kujua ukweli ya kwamba kumtafuta mungu ndio kitu cha maana kwanza alafu mengine yatafuata. Seek yee the kingdom of God and everything else shall be given to you. Be blessed.

    • @hakitv4717
      @hakitv4717 3 года назад

      Karibu Nyumbani Ndg yetu! Mipaka iliwekwa na wazungu kipindi hicho ili watutawale " divide &rule"...karibu tujijengee katika Ufalme usio na Mwisho

    • @jeanm.2973
      @jeanm.2973 3 года назад

      Usihame bali uwashe moto kwenu.

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 2 месяца назад

    nafuta maneno nlitojitamkia kwa kinywa changu,nliyotamkiaa na watesi wangu nayafu kwa damu ya Yesu kristo hayana nafasi tena kwa jina la Yesu 🙏🙏

  • @kisiwanibumbuli3308
    @kisiwanibumbuli3308 3 года назад +2

    Blessed message, thank you Lord

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 10 месяцев назад

    Amina nabadilisha maneno mabaya, kua mazuri la Giza Lowe la nuru. Nayafuta yote ktk jina la yesu

  • @akaratta9704
    @akaratta9704 2 года назад

    Nabarkiwa Sana na mafundisho yako mungu akubariki

  • @jacquelinenyange5549
    @jacquelinenyange5549 3 года назад +5

    Amen...Thank you Apostle kwa mafundisho mazuri sana 🙏🏿

  • @metrinekipchumba3500
    @metrinekipchumba3500 3 года назад

    Maneno yaliyo tamukwa juu ya maisha yangu na watoto wangu nakataaaaaaaa katika jina la Yesu Amen. Ubarikiwe Apostle

    • @dorothyezzie2136
      @dorothyezzie2136 3 года назад +1

      Ni mkenya aliyekutana na hio channel mara ya kwanza naomba apostle niombee waschana wangu waolewe mwaka huu na vijana wangu wabalike awache pombe na miraa nao wapate kazi warned ngambo walivyotabiriwa

  • @kelvintaura1900
    @kelvintaura1900 3 года назад +4

    I'm really blessed down here in Malindi KENYA. Man of God may you be blessed in Jesus might Name. AMEN and AMEN.

  • @lucykariuki9990
    @lucykariuki9990 3 года назад +1

    Wow hallelujah. God bless you.

  • @jemimahowiti
    @jemimahowiti 3 года назад +2

    This is powerfull have really prayed n felt that my life n everything has changed instantly. May God increase you

  • @vickylupemba6055
    @vickylupemba6055 3 года назад +1

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu, ni maombi muhimu sana🙏🏾

  • @faithnzioka1396
    @faithnzioka1396 3 года назад +2

    Very powerful be blessed man of God.frm Kenya.

    • @swaumuabadalah5354
      @swaumuabadalah5354 3 года назад

      Aposto nimepokea nilikuwa halimbaya nasikia nafuuu Asante

  • @Irenesimon-v3m
    @Irenesimon-v3m 6 месяцев назад

    Napokea Barak zangu kwa jina LA yesu nafuta mabaya

  • @magrethgeorge6749
    @magrethgeorge6749 3 года назад

    Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri ,Mungu anisaidie niyaishi

  • @lincyluseno5964
    @lincyluseno5964 3 года назад +1

    This is so blessed, God bless you 🙏🙏🙏 amen

  • @tumainisanga8184
    @tumainisanga8184 3 года назад

    Apostle Mtalemwa nabarikiwa sana na mafundisho yako washindwe wanao kupinga kwa jina la Yesu alie hai Amen 🙏🙏🙏✝️✝️⛪

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 3 года назад +1

    Hallelujah !!!! .Im blessed

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 года назад

    Asante nte mungu kwa maombi hayo barikiwe sana mchungaji mungu aedelee kukuinua wanibaliki usiku waleo

  • @nkunzimana4214
    @nkunzimana4214 3 года назад

    Mungu akubariki Mutumishi wa Mungu unanijenga sana

  • @neemayona235
    @neemayona235 3 года назад +1

    Mahubiri mazuri sana nimebarikiwa sna god bless you

  • @juliawanjiku2322
    @juliawanjiku2322 3 года назад

    Nafuta maneno yote mabaya yalio nenwa dhidi yangu na watoto wangu na walio hai na walio kufa hata nlio Nena mwenyewe nayafuta kwa damu ya Yesu kristo..katika jina la Yesu kristo

  • @doreennyongesa7785
    @doreennyongesa7785 3 года назад

    Nisaidie kuombea hayo manano aliyoyatamuta ndugu ya babangu bila kumukoezea kwamba nitatoka kazini bila kitu au maendeleo! Ninakataa hayo maneno nikitamuka kua na mali na nitafanya maendeleo kwa jina la Yesu leo hata milele kwa maisha yangu amen

  • @augustinomwanantala3989
    @augustinomwanantala3989 3 года назад +1

    Amina Apostle..
    Nimebarikiwa na ujumbe🙏

  • @mathewmartin4413
    @mathewmartin4413 3 года назад

    Ameen Kila maneno yao walio tamka na Kila walicho kusudia juu ya huduma ya mtumishi wa mungu haita fanikiwa kwa jina la yesu🔥🔥🔥

  • @faithmogitu6252
    @faithmogitu6252 3 года назад +1

    God bless you apostle

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 3 года назад

    Amina, Mungu akubariki ni kweli ipo nguvu ya Mungu ktk kinywa,Mithali 18:20-22

  • @alicekasambala1050
    @alicekasambala1050 3 года назад +1

    Am blessed Amen mtumichi wa Mungu

  • @monicabh1668
    @monicabh1668 3 года назад

    Kila neno baya la kunishusha kimaisha lililotamkwa na wachawi juu ya maisha yangu juu ya ndugu zangu mikosi balaa ninailaani katika jina la yesu 🙏🙏🇧🇭🇰🇪 .
    Be blessed apostle mtalemwa mungu aongeeze hii huduma

  • @sarahkinigo8460
    @sarahkinigo8460 3 года назад +6

    This is a true churich with an anointed servant of God, true teachings , deep scripture revelation and prayerful. God empower you the more Apostle. I have problem with kiswahili, but can tell from the little I can understand. (From Kenya)

    • @lissajeruto5373
      @lissajeruto5373 3 года назад +1

      Hi people of God, it's true I had married bfo I got separated, bt my mother in law used to tell that my kids will be beggars in town, bt have never get disspointed, my 4born called Walter run away from home, isuched him I found him,, since up to date he as that spirit of running away from home, since he was ten years up to now,, need your prayers, to bring him back home

  • @ElizabethLaizer-h5i
    @ElizabethLaizer-h5i Год назад

    Najiyngamanisha na madhahu hii.
    Kuanzia sasa nifuta maneno yote niliotamkiwa Toka nilipokua tumboni, nikiwepo kwenye maisha yetu ya Kila siku, ninayafuta maneno, matamshi yoote katika jina la Yesu.

  • @tantinebrijitte2254
    @tantinebrijitte2254 3 года назад +1

    Wao walisema lakini nami nasema katika jina la yesu christu, mambo walio tamuka kwa jili yangu na family yangu yatashindwa giza ingeuke nuru katika jina la yesu christu, Amen.

  • @sharleensasha534
    @sharleensasha534 3 года назад

    God blessed you nimesikiza mafundisho nimejifunza mengi na nimefunguka macho

  • @robinaobiko9451
    @robinaobiko9451 Год назад

    NafutA maneno yote yalinenwa kinyume nami nayabDilisha maneno yote kwa jina la yesu

  • @tabumasumbuko2909
    @tabumasumbuko2909 3 года назад

    Hongera mtumishi nabarikiwa sana na mahubiri yako nami naomba mafanikio zaidi

    • @soniasonie4408
      @soniasonie4408 3 года назад

      Waaooh!! What a good lesson, thank you God's shepherd, u have really polished me and strengthen my faith in my words

  • @dorismukirit2738
    @dorismukirit2738 3 года назад

    am really blessed . may Almighty God give u more grace

  • @alicejuma1919
    @alicejuma1919 3 года назад +2

    Mimi nayafuta maneno yote maovu yaliyonenwa juu yangu katika JINA KUU la YESU hayataniandama tena🇰🇪

  • @gracekiarie4259
    @gracekiarie4259 3 года назад

    Nabadilisha maneno machafu maishani mwangu kwa damu ya yesu

  • @jacklinefelix7156
    @jacklinefelix7156 3 года назад +1

    Nafuta maneno mabaya yaliyo tamkwa juu yangu nakataa kwa damu ya yesu nayabadrisha Kwa jina la yesu ubrkiwe mtumishi

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 Год назад

    In name of Jesus nabadilisha kina neno ovu nililo tamkwa kwenye maisha yangu

  • @lovestasambala7138
    @lovestasambala7138 Год назад

    Barikiwa mno Mtumish kwa kunijenga

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 2 года назад

    Ameen katika jina la yesu. leo nafuta maneno mabaya yaliotamkwa juu yang leo nayafuta . mungu niponye, yote yalioshindikana kwangu na yawezekane kupitia maombi haya Ameen

  • @anneetanjeriwashuka6693
    @anneetanjeriwashuka6693 3 года назад +1

    Amen Good bless you Apostle

  • @alicekhamayo1991
    @alicekhamayo1991 3 года назад +1

    Hallelujah 🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭💪💪💪oooh Yesu na badilisha katika jina la Yesu

  • @misssharonerasmus
    @misssharonerasmus 3 года назад

    Asante sana Chief Apostle kwa ufunuo huu. Kweli maneno Yana uhai. Nimefuta kila neno baya lilotamkwa juu yangu na Kutamka neno jema

  • @fridahkarimi5510
    @fridahkarimi5510 3 года назад +1

    🇰🇪Kenya Mombasa,Nafuta maneno yote yaliyo tamkwa kinyume nami, I decree and and iam blessed

  • @Usxznt
    @Usxznt 3 года назад +3

    Oooh! Thank you Jesus, very Powerful.

  • @lilianlubanga4010
    @lilianlubanga4010 3 года назад +3

    Powerful message !!!! Halleluyah .

  • @mercyamutalla6667
    @mercyamutalla6667 3 года назад

    Natamka uzima katika maisha yangu.natamka kinyume nao walionena katika maisha yangu kuwa sitafanikiwa na tamka kuwa mimi ni mshindi na yote yaliyo nenwa hayana mamlaka katika jina la yesu Kristu...amina

  • @nuruteddykinawiro3138
    @nuruteddykinawiro3138 2 года назад

    A very powerful massage

  • @annkalash0000
    @annkalash0000 3 года назад +2

    Watching from Nanyuki (Amen pastor)👋

  • @ruthgitau1285
    @ruthgitau1285 3 года назад

    Nabarikiwa nikibadilisha maneno kenya

  • @lilianmogotu137
    @lilianmogotu137 3 года назад

    Umeka blessings kwangu wacha mungu akutendee mema juu ya maisha yako

  • @abrahamfondo9479
    @abrahamfondo9479 2 года назад

    Be blessed man of God

  • @hermanfrank6727
    @hermanfrank6727 3 года назад

    Kila laana na maneno yote mabaya yaliotamkwa juu yangu Ninayakataa na kutafuta kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai natangaza kibali Cha Mungu juu yangu

  • @mrsaloycedorcus4095
    @mrsaloycedorcus4095 3 года назад +1

    Blessing always

  • @monicawanza9911
    @monicawanza9911 3 года назад +1

    Kwa Jina la YESU, walitamka sitafanikiwa, lakini mimi natamka mafanikio tele in JESUS name i RECEIVE AMEN

    • @asumabantanuka1942
      @asumabantanuka1942 3 года назад

      Kila neno baya niliyotamkiwa nalikataa kwajina la yesu kristo Najnenea mazuri na mafanikio kwa Jina la yesu.

  • @eunicefalex4403
    @eunicefalex4403 3 года назад

    Nimekukubali Sana nilichokigundua una karama kubwa ndani ya huduma yako naomba Mungu akuinuwe ktk viwango vingine vya juu

  • @angeloelia6445
    @angeloelia6445 2 года назад

    Aminaa ubarikiwe 🙏🙏🙏

  • @angelnanyaro9928
    @angelnanyaro9928 3 года назад

    Shalom,am blessed here in India

  • @veronicahakondo3432
    @veronicahakondo3432 3 года назад

    Mungu akubariki ,,

  • @gladysgladys7393
    @gladysgladys7393 3 года назад +1

    Am ready servant of God 🙏 to change my civil in Jesus name

  • @joycenaserian956
    @joycenaserian956 3 года назад +3

    Walio tamka sitaolewa,sitazaa,sitafanikiwa natamka Kuolewa,kuzaa na kufanikiwa kwa jina la Yesu

    • @eagleevah3984
      @eagleevah3984 3 года назад

      Amen amen and amen

    • @TeresiaShirima
      @TeresiaShirima Год назад

      Waliotamka mwanangukuwa mlevi hela yake kuto kukaa ikafanya kaxi ya maana kuto fanikiwa Leo hii namtamkia kuacha pombe, akipata hela itakaa nakufanya kaxi ya maana, atapata mafanikio.kwa jina la Yesu amina

  • @amedeusproches6346
    @amedeusproches6346 3 года назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @hellenkendi7078
    @hellenkendi7078 3 года назад +2

    Powerful words ,be blessed Man of God.