Niko Saudi Arabia 🇸🇦 watu wengi nyumbani wanasubiri sana kusikia habari mbaya kwangu ila Mungu ako pamoja nami watasubiri sana wapi likes za 🇰🇪 na wote tuko Saudi Arabia 🇸🇦 Valieth Mwaisumo unaenda mbali mamaa ❤❤🎉
Wimbo mzuri sana mama. Ndio wanadamu walivyo, unafanya vizuri ni kama hawaoni lakini ukilia ndio wanajitokeza. Ukipatikana na jambo mbaya wanafurika weuuh🤔 Mungu tusaidie, watasubiri sana.
Thank you for the timely video. and the sweet voices praising and cautioning us to preserve🥰 onto the way to victory. God bless you Mama🥰🥰🥰 much love from UG
Right on time wa kwanza kuwatch nipewe like zangu much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mama
Hongera sana 🙏🏼
Nimefika pia
Niko Saudi Arabia 🇸🇦 watu wengi nyumbani wanasubiri sana kusikia habari mbaya kwangu ila Mungu ako pamoja nami watasubiri sana wapi likes za 🇰🇪 na wote tuko Saudi Arabia 🇸🇦 Valieth Mwaisumo unaenda mbali mamaa ❤❤🎉
Shukrani sana
Yes.... they'll wait n wait 🫷
Amen
ALL GLORY BE TO GOD ALMIGHTY MORE GREAT GRACE SISTER 🇩🇪🇩🇪🇩🇪
Amen
Watasubiri sana Mwaka huu wimbo mzuri sanaa mama angu ubarikiwe Zaid na zaidiiii
Amen
I am here, and may God bless vaileth so much I'm blessed this morning 🙏
Amen
Nimebarikiwa na huu wimbo, blessings maa from Kenya
Thanks much
Mungu akusaindie mummy ,na asidishe kipaji chako
Amen
Thanks mummy nyimbo zako huwa zanifunza kitu ,na nitazindi kukufuatilia mum bye
Hii ni Kali mtumishi Mungu akuzidishe kwa viwango vya juu barikiwa 🔥🔥
Amen
Ni zamu yangu ya kubarikiwa ,,watasubiri sana❤❤what a wonderful piece
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amina
Kazi nzuri watasubiri sana
Amina
U always bless me valieth mwaisumo may God be with you in ur days of ur life....neema ikufuate
Amen
👌🏻indeed!
Ameeen wasubiri sana kwa kweli
Amen
Well said pongezi 🥰🥰🥰
Amen
Mungu amwonekanie mama yangu apone arudie katika hali yake ya kawaida 🙏🙏
Na iwe kwa JINA LA YESU
Mungu akubariki sana wimbo una ujumbe mzuri hongera sana❤
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
My mentor my role model superwoman
Amina🙏🏼
Na watasibiri sana hadi mutachoka nasi tunasidi kusonga mbele Amen mamy❤❤❤❤
Amen
Bila shaka watasubiri sana. Thanks for the good massage my Sister Vaileth. God's blessings upon you.
Amen
Ameeeeen mtumishi barikiwa sana
Amen
Wanaitwa subira. The song I can't get enough of this 😍😍
Wanaitwa😄🙏🏼
Halleluya mum nyimbo zako uwa zinanibariki sana🎉❤❤
Shukrani
I like this lady soo much....she derivers message with correct facial expressions.Muda bando,endelea kupanda mama💪🛐🇰🇪
Amina🙏🏼🙏🏼
Msatasubiri sana🎉❤
Amen
Waooooooo watasubiri sana, 🙏💪💪☑️ Good song💯☑️
Thanks much
Amen 🙏🙏🙏🙏 madui zngu mtasubiri sana
Hakika
Huyu dada huwa ananibariki sana ubarikiwe sana uinuliwe na mungu sana
Amen
Waooh great song my sister vaileth mwasumo,,,...nasikiriza nikiwa NYERI KENYA
Thanks
Madui zangu mtasubiri sana mimi naendelea kusonga mbele kwa nguvu za Mungu wangu ❤❤❤❤❤
Amen
Much Blessed mamaa 🥰🥰🥰🥰
Amen
Wow very true mtasubiri sana aibu yangu
Amen
Wewe mwenye unagoja nifunge kazi yangu utagoja sana ❤❤ Kazi yako nwenye unaangalia uu wimbo itapanuka sana maadui washangae
Jaman dada una nyimbo nzuri zinanibariki Niko huku uarabun napenda sana kusikiliza nyimbo zako
Amen
Wacha wabaki wakisubiri ni Zamu yangu ya yakubarikiwa Amen 🙏🙏🙏
Amen
Great song my sister in Christ----
Barikiwa sana kwa injili yauimbaji nipo kenya
Kenyans 🇰🇪 let's gather here and celebrate this great tune 🔥🔥🔥🔥
Thanks much
Woow nyimbo nzuri sana enyewe watasubiri sana,,, bytha way napenda hiyo smile yko sana feel loved Mom ❤️
Thanks much
Ukweli watasubiri sana ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amina
Munao suburi ni akunge maisha ebu skia ii wimbo
Indeed mtasubiri sana
Finally the video is her🎉🎉❤
Mtasubiri sana 🙏🏼
Amen 🎉🎉my 2024 favorite song.
🙏🏼🙏🏼
Wimbo mzuri sana mama.
Ndio wanadamu walivyo, unafanya vizuri ni kama hawaoni lakini ukilia ndio wanajitokeza. Ukipatikana na jambo mbaya wanafurika weuuh🤔
Mungu tusaidie, watasubiri sana.
Amina
Mtasuburi Sana madui 🙏🙏
Amen
❤❤❤❤❤❤ nauwa adui zangu bado wanasubiri😂😂😂😂😂😂 watangoja sana
Watasubiri sana
Vile my family ilisubiri niende home kwa jeneza mungu amewaaibisha nimeamka
Amina🙏🏼
Amen watasubiri sana
Amen
Amina sana hakika watasubiri sana tulio na yesu ndo kwanzaa tunasonga mbele
Amen
Mama 🎉 🎉 watasubiri sana kuaguka kwetu , , to the coming generation wimbo huu unanyamazisha adui wote,
Amen
Watasubiri sana 🙏 mungu nijalie
Amen
Amen amen mtumishi wa MUNGU unanibariki Sana MUNGU azidi kukutunza Sana shambani mwake mpenzi uzidi kufanikiwa katika mambo yako yote
Amina
Hongera kwa kazi nzuri mummy , walai watasubiri sana
Hakika
Sauti nzuri Sana ...nyimbo safi
i love your songs mummy just keep on going. yes they will wait GOD of Abraham , Issac and Jacob is upon us thanks alot
Amina
Wacha waendelee Kusubiria wakiona nikilia,Nitengwe,Nikose kazi na nihangaike kimaisha Mungu wa jibu kwa vitendo
Watasubiri sana
Best jam❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪
Watching from west pokot❤
Umenibariki mnoo vai ninavoona watasubiri sana hawa
Waaaooo.God bless you mum. This is very powerful
Thanks much
From kitui, Kenya .... I'm blessed.....watasubiri sana.
Amen
Watasubiri sana aseeee🎉🙌🙌,,,, Barikiwa to the maximum 😁😁
Amen
This is My song Mom... thanks for always blessing me. Kenya tuned❤
Amen
Hakika watasubiri sana
Amen
Wonderful minister of the gospel. Barikiwa dada❤
Amen
Wow from Facebook the song is powerful 🙏🙏🙏🙏watasubiri Sana
Thanks much
Amina🙏🙏🙏🙏
Powerful message it's speaking to my heart glory to God
Mum may God continue using to preach the gospel to the brokenhearted ones
Amen
Hongera Sana mtumishi 🎉🎉🎉 zidi kuinuliwa ❤
Amen
@@vailethmwaisumo🎉🎉🎉🎉🎉ubarikiwe
Waiting from kibra raila langata
Anxiously waiting
❤❤Amazing work Mtumishi. Nmekuwa naiskiza sana🙏🏿
Shukrani sana Mtumishi wa MUNGU
Mungu akuinue zaidi mtumishi🙌 nyimbo zako zaendanisha na majira kabisa
Amen
Very powerful, nipitie pia
Barikiwa sana vaileth love all your songs
Thanks
Wow... you have done it again ... Minister Vaileth ...I love you Sana and everything in you.💞💞🥰🥰
Amina
Kabisa watasubiri sana ubarikiwe sana
umetisha sana gwakumyitu🫡🫡
Amen mamy penda sana wewe kabisa
Shukrani sana
Barikiwa sana tena sana
Amen
Hongera sana dada wimbo mzuri
Amina
Toka nisikilize wimbo wako Vailet na Martha wa "NAOMBA USINYAMAZE" nilikupenda Hadi leo
Shukrani
Waiting from Nakuru Kenya 🎉🎉🎉🎉
Hallelujah mtasubiri sana❤❤
Amen
Mtasubili sana
Wonders my Valentine amen
Twakupenda sana mama🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shukrani
Endeleeni kusubiri
🔥🔥🔥moto sanaaaa 🙏
Amina
Akh you never disappoint ❤❤❤...much love mamaa
Thanks
Never dissapointed by your songs❤❤❤
Thanks
Mtasubiri sana ❤❤❤
Amen
Watasubiri Sana
Thank you for the timely video. and the sweet voices praising and cautioning us to preserve🥰 onto the way to victory. God bless you Mama🥰🥰🥰 much love from UG
Thanks much
@@vailethmwaisumo welcome Mama
Waiting ❤ from Kericho kenya
Wooow 🔥💪
Barikiwa dada❤
Amazing grace mum ....keep going ❤
Amen
Ni zamu yangu ya kubarikiwa.
Amina