Nimekuelewa mtumishi na unanitoa mahalo kwenda mahali Ukikosa amani mtafute Roho mtakatifu sawa Na biblia inaposema tafuta kwa bidii kuwa na amani na watu wote nisaidie hapa mtumishi 🙏
wewe ni baba yangu kweli hakika najivuniya kuwa na baba kama ww ubariwe sna juwa kwamba mimi ni mwanawo wakiroho nazidi kujifuza mengi kupitiya ww baba yagu mungu azidi kukuinuwa zaidi ijuwa kwamba unawatoto wanakufyatiriy nayare unayotufuza tunayaishi Mimi naitwa Aline na ishi Burudi Ira na imani iposiku nitakuon baba
Nimebarikiwa sana na maneno Yako pastor may God bless you na azidi kukwongesea nguvu Amen
Safi sana kwa mahubiri mazuri sana,ubarikiwe sana
Ujumbe mzuli sana mtumishi
Amen sana
Ameeni Baba Nabarikiwa Sana Na Neno Hilii
Amen, ubarikiwe mchungaji🙏
Amen Glory to God
Hallelujah Asante sana pastor kwa mafunzo mazuri 🙌🙌
Ubarikiwe pasita kwa somo
Amen pastor
I'm blessed with ur prayer. Live longer
umenipa majibu yangu yalokua yananitesa nlijihisi nimesahaulika,,,😢 ahsante
Be blessed man of God,,, nmeinuliwa kutoka kiwango kingine hadi kiwango cha juu 🙏🙏🙏🙏
Aminaaaaaaa
Nimekuelewa mtumishi na unanitoa mahalo kwenda mahali
Ukikosa amani mtafute Roho mtakatifu sawa
Na biblia inaposema tafuta kwa bidii kuwa na amani na watu wote nisaidie hapa mtumishi 🙏
Natamani sana kujazwa roho mtakatifu . Nmeona faida za kujazwa roho mtakatifu.
Ubarikiwe Baba.
Ujumbe huu ni mpyaa, atah leo pia unainua
Amen glory to God
Amina 🙏
Amen amen
Amen 🙏 be blessed pastor
Nmepokea hiyo mafunzo sana pastor nmepokea kitu
Be blessed man of God 🙏🙏
wewe ni baba yangu kweli hakika najivuniya kuwa na baba kama ww ubariwe sna juwa kwamba mimi ni mwanawo wakiroho nazidi kujifuza mengi kupitiya ww baba yagu mungu azidi kukuinuwa zaidi ijuwa kwamba unawatoto wanakufyatiriy nayare unayotufuza tunayaishi Mimi naitwa Aline na ishi Burudi Ira na imani iposiku nitakuon baba
Amen
Njoo huku kwenye sms mtumishi.
Soma YOHANA mtakatifu 14. Mtajua Roho mtakatifu Nini .mawigi .ripstiki ,wengine mmesuka nywele mnanyoosha mikono mnsema mne roho heri ambae hajanyoosha mkono
Hata wewe ambae auna wigi au aujasuka kuna mengine unayo ambayo MUNGU apendwezi nayo kwaiyo usijione kama wewe ni mkamilifu
@@jescalaurent6242 MUngu ndo anajua Nani mkamilifu usihukumu
Ww ni pastor mzur nakupenda toka enzi za marehemu kanumba nashukur Sasa nimekuwa mkubwa nakufatlia mwenyewe
Nakupenda Sana pastor myamba
Umenena vyema bint wa Yesu. Haijalishi wamekuelewa au la, ila damu Yao haiko juu ya kichwa chako.
Ipo cku nitafka kanisan kwako
😄😄😄😄😄😄 😄😄😄😄 Roho azaliwe ndani yetu😄😄😄Mwizi ameokoka Ila Tunda la Roho bado😄😄
Amen
Amina pastor
Amen nimebarikiwa sana
Amina
Amen 🙏