Sio Bure by Zabron Singers (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 831

  • @JanethMalema-p2v
    @JanethMalema-p2v 2 дня назад

    Amen watu watu wa
    Mungu

  • @RenathaJackobo
    @RenathaJackobo 5 месяцев назад +12

    ukweli wanaimba vzrii mung awa tie nguvu❤

  • @ZabronSingers
    @ZabronSingers  6 лет назад +340

    mbarikiwe wote mnaoendelea kutupa suport kwa kuangalia na kukoment.pia tunashukuru kwa maoni na kututia moyo.Mungu awabariki

  • @johnanthony7948
    @johnanthony7948 4 года назад +4

    Mbarikiwe na hudum yenu watumishi

  • @happinessjohn6586
    @happinessjohn6586 6 лет назад +349

    Nyimbo nzuri nawakubali sana kama kuna mtu anawakubali kama mimi like twende sawa

  • @damamwa4288
    @damamwa4288 3 года назад +5

    Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 twawapenda wana-Zabron singers

  • @shamsaabdalah7038
    @shamsaabdalah7038 6 лет назад +94

    Nawakubali sana nyie waimbaji mungu awabariki kwa kazi yenu gonga like hapa tujuane 🔥🔥🔥🔥kama na wew unawapata freshi na nyimbo imekukumbusha kumrudia mugu🏥🏥

  • @DennisFelixTz
    @DennisFelixTz 5 месяцев назад +2

    Huu wimbo nimeutafuta sikuwa najua jina lake

  • @herryphillip8529
    @herryphillip8529 6 лет назад +83

    Mna aina ya uimbaji wa kipekee na wenye mguso sana katika mioyo ya wasikilizaji nikiwemo. Mungu awabariki mfikie mamilioni zaidi.

  • @judykaimuri2161
    @judykaimuri2161 2 дня назад

    Kusali kwangu najua sio bure,I love the song,may God bless you my ppie

  • @JumaSatarajr
    @JumaSatarajr 11 месяцев назад +2

    Yani muko vizuri kiwuimbaji kimavazi sautinzuri Naomba mupokee zawadi🙏☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️☘️

  • @FaithYego-v4z
    @FaithYego-v4z 2 месяца назад +3

    God bless you my people 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Glory to God

  • @aronmollel5275
    @aronmollel5275 5 лет назад +4

    Mungu awabariki Sana, nabarikiwa sana na nyimbo zenu, Mungu awainue zaidi

  • @thegoldendeer4736
    @thegoldendeer4736 4 года назад +1

    Sikuwahi Kupenda Kwaya kabisa...Maana wengi zaidi ya kucheza nyimbo hazina ujumbe,hazina Ubunifu wala Manukato...ZABLON mmenifanya Nipende kwaya sana
    Ushauri Msijisahau...Ongezeni Ubunifu..Roho Mtakatifu anavitu vipya kila siku...msiende kwa mazoea

  • @jessicaesthermakungu1693
    @jessicaesthermakungu1693 3 месяца назад +1

    Hii ni taamu tena

  • @IsmaelKiprotich-fy6de
    @IsmaelKiprotich-fy6de 11 месяцев назад +2

    Utukufu kwake Mungu! kila mkieneza injili yake kupitia wimbo wengi waokoke, mbarikiwe zabron singers

  • @ekadelialice3204
    @ekadelialice3204 3 месяца назад +1

    Dearly the voice blesses me. It the almighty GOD who gave you that voice be praised 4ever more.🙏

  • @Manrono1
    @Manrono1 2 года назад +7

    Great songs that are touching Zablon singers!..... May God continue blessing you with many other songs!.....

  • @maureenmasoni1276
    @maureenmasoni1276 2 года назад +20

    No makeup no earrings or chains true natural.God bless you guys

  • @pwaguzipapa7328
    @pwaguzipapa7328 3 года назад +24

    Zabron singers, you guys i cry every day and night thanking you for giving me my life back, cause if it was not the zabron singers i would not be praising God today. Thanks again and hope to meet you guys in dinning table in heaven, the smiles😊😄😁🙂😅🎊🎊 in this song are so expensive i wish i could afford, very expensive smiles

  • @ianmian2744
    @ianmian2744 2 года назад +2

    Hakika kuwa na Mungu kuna faida mingi sana .. sibanduke dada ndugu jikazeni 🙌🔥🙏😒🏃‍♂️🏃‍♂️💞💞

  • @daudijackson9318
    @daudijackson9318 4 года назад +5

    Kuimba nyimbo za kumtukuza Mungu kwa heshima, kunawaanda kuimba wimbo wa Musa na Mwana Kondoo kwenye kwaya Takatitifu ya Mbinguni. Heko Zabron Singers. Mbarikiwe sana.

  • @simonjrmathiasmalole4385
    @simonjrmathiasmalole4385 6 лет назад +42

    umengusa huu wimbo coz wimbo wenye ushawishi sana kumpenda MUNGU

  • @shikongohelena2788
    @shikongohelena2788 2 года назад +6

    Even if I lost my phone and buy new one i and my children will search first for zabron singers and subscribe first!This is a blessing to our souls!

  • @rahandile7654
    @rahandile7654 6 лет назад +13

    Wimbo mzuri sana, mbarikiwe na Mungu alie hai siku zote za maisha yenu na Mungu azidi kuinua huduma yenu ya uimbaji

  • @meckytridagabinza3568
    @meckytridagabinza3568 4 года назад +4

    Mbarikiwe sana ZABRON singers ma wore mliofanikisha kukamilisha kazi yao njema

  • @hekimachengula1958
    @hekimachengula1958 4 года назад +3

    Mungu aendelee kuwatia nguvu nawakubali mno kama nawe unawakubali gonga like tumsifu Mungu

  • @vicrumtz2875
    @vicrumtz2875 4 года назад +1

    Katika kuishi kwetu hapa dunian tunachaguzi moja tu kat ya mbili uzima wa milele au kupotea milele
    Niwashukuru sana ZABRON SINGERS kwa kaz nzuri mlioichagua kuifanya ya kuwahubiri mataifa kwa njia ya uimbaji
    ,songeni mbele BWANA MUNGU you pamoja nanyi
    Nabarikiwa sana.

  • @rebeccampeta6650
    @rebeccampeta6650 6 лет назад +46

    mnavaa kiheshima endeleeni hivyo na muonekano mzuri natural

  • @irenembise1618
    @irenembise1618 6 лет назад +16

    Mnàvya vizuri mnaimba vizuri Mungu awabariki sana mmenibarki saaaana Toka Nairobi

  • @peninancugune5489
    @peninancugune5489 3 года назад

    Mnasifu Mungu kwa njia ya kipekee.Nawapenda sana

  • @bbaaa1073
    @bbaaa1073 3 года назад +12

    Very beautiful song, very sweet voices, very beautiful scenery and video, smart choir everything is cute for the Glory of the King of Kings 👑

  • @ndindamwonga9530
    @ndindamwonga9530 6 лет назад +36

    Mungu azidi kuwapa hekima na maarifa kumtumikia,,,,am in love with the little girl since beginning.😍😍😍😍😍

  • @denismusembi3479
    @denismusembi3479 8 месяцев назад +10

    Who is with me still watching this one after 5 years.....it's not in vain friends

  • @franklugome7047
    @franklugome7047 5 лет назад +3

    watu wa Mungu mbarikiwe hakika kaz yenu si bure.Nimebarikiwa na nyimbo zenu Mungu awabariki...

  • @nelibaba
    @nelibaba 4 года назад +3

    Likes nyingi kama umemuona pacha wa Paul Mwai wa Kenya akiimba...

  • @salomebonifasi4936
    @salomebonifasi4936 4 года назад +3

    Hakika zabron singers mnanitia moyo hakika katika maisha yanguu.

  • @charlesogino2115
    @charlesogino2115 4 года назад +3

    Nabalikiwa na nyimbo zenyu nikiwa Mombasa Kenya

  • @jenifakivavala312
    @jenifakivavala312 5 лет назад +1

    Nyie huyu mama 😥😥 hio sauti 😍 huwa napenda nikitak kulala naweka mziki nasikiliza usingizi unakuja but huyu mama kanifanya niwe naweka zabron songs ili nipate usingizi sauti yake inavutia jamni erriplaceable voice 😍😍😍

  • @patricklokeyo5386
    @patricklokeyo5386 6 лет назад +28

    Zablon Singers You Sing So Nice With Inspirational Songs Richly Composed About The Word of God. You're a Very Nice Singing Group. May God Bless You Richly for The Wonderful Service You're Doing.

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 7 месяцев назад +1

    Nabarikiwa na huu wimbo nikiwa Tarime Mara Tanzania! 2024

  • @jeimmymakokha32
    @jeimmymakokha32 5 лет назад +1

    Nyimbo nzuri za kubariki kweli ,zabrone women ebu niambieni siri ya kulea nywele natural n ipendeze jinsi zenu zilivyo bila kutumia braids ama weaves

  • @heriethsamwel9031
    @heriethsamwel9031 6 лет назад +4

    Hakika sichoki kusikiliza huu wimbo,,ni kweli kwa Yesu kuna faida kubwa sana mmbrikiwe sana kazi yenu njema sana kwa viwango vinginr Mungu awainue nawapenda sana😘😘😘😘

  • @petrowilliam112
    @petrowilliam112 3 года назад +1

    Hakika MUNGU amewajalia vipawa vya pekee hongereni Sana MUNGU awaongezee vipawa zaidi.

  • @enockmvuyekure1331
    @enockmvuyekure1331 6 лет назад +3

    Mimi Niko America napenda nyimbo zeno sana mungu awaits nguvu ameeeeeeeennnnn

    • @japhetzabron1881
      @japhetzabron1881 6 лет назад

      Tunafurahi kuskia ivo Enock
      Mungu akubariki ktk kazi zako pia

    • @tanashadona7671
      @tanashadona7671 4 года назад +1

      Amerika uliko ukolayiki galuka iwachu halabaye heza

  • @josephmrisho2527
    @josephmrisho2527 6 лет назад +1

    Yan staili ya majibizano inanifanya nabarikiwa sana zabloni mungu awatie nguvu maana sio bure amen na mm naomba mniunganishe niimbe na ninyi

  • @tigamanywatv470
    @tigamanywatv470 6 лет назад +59

    Mwende mbali mpaka mbinguni{AMEN}

    • @ZabronSingers
      @ZabronSingers  6 лет назад +2

      amina mtumishi.ubarikiwe sana kwa kutuombea mema

    • @joyelly1209
      @joyelly1209 6 лет назад

      Mungu awainue mahali pa huu zaidi

    • @linahshirima8512
      @linahshirima8512 5 лет назад +1

      Yaan nawakubali Sana mungu aendelee. Kuwatia nguvu

  • @japhetaniseth603
    @japhetaniseth603 4 года назад

    Hongera Sana wajina nimesikiliza nyimbo zako nyingi upo vizuri mungu akubariki

  • @ARNOLDMAKORA
    @ARNOLDMAKORA 7 месяцев назад +2

    ❤❤toka goma drcongo🎉🎉🎉

  • @KemiCare-c9w
    @KemiCare-c9w 3 месяца назад

    Ukweli nabarikiwa sana hawa naona wanahubiri mungu ainue zaidi hivi vipawa

  • @lovenessjohn2651
    @lovenessjohn2651 6 лет назад +4

    Nawapenda sana,, nyimbo zenu zinanigusa pia zinanitia moyo sana,,,barikiwen san bhana bha ng'wa mulungu,, tole hamo!

  • @hildahjohn635
    @hildahjohn635 6 лет назад +2

    Hakika Mungu atukuzwe daima,wimbo mzuri huu jamani,mmenibariki,kwa Yesu si bureeeee waooooh,kumtumikia Mungu ni faida si bure

  • @gracealex8712
    @gracealex8712 6 лет назад +3

    Nawapenda na ninapenda sana nyimbo zenu mnanibariki kwa namna ya pekee kabisa huwa sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zenu.Mungu aendelee kuwainua kwa viwango vya juu kabisa

  • @AlmasJoseph-x5u
    @AlmasJoseph-x5u Месяц назад

    Kiukwe nawapenda sana mungu awape uzima wa milele

  • @linetmaobe1204
    @linetmaobe1204 3 года назад +7

    From kenya with love
    You are doing a good job,my best choir of all time

  • @kennedyodhiamboonyango-u3e
    @kennedyodhiamboonyango-u3e 2 месяца назад

    I really love your songs. They build me spiritually. Keep up the good work.
    Kenya is well represented.

  • @Estherm309
    @Estherm309 2 года назад +2

    Sweet 🥰🥰🥰🥰🥰🥰💐💐💐💐💞 song love it has a good encouragement may Almighty father give you dominion over praise

  • @neemasanka2609
    @neemasanka2609 6 лет назад +2

    nafarijika sana nikisikia nyimbo zenu nawapenda sana mungu awatie nguvu

  • @agnetamwaighuri736
    @agnetamwaighuri736 3 года назад

    Wow zabron singers nabarikiwa sana n nyimbo zenu hata nimetamani siku moja nijipata ndani y hii choir yenu..haki Mungu awabariki na kuwatenda mema siku zote

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 6 лет назад +48

    Sio bure kwa YESU ni faida like yako gonga pamoja nami

  • @NabutuwaBeat
    @NabutuwaBeat Год назад +1

    I can't get tiered by watching and ejoing your gospel,you preach through your song's, indeed,God pls don't forget Zebrons singers 🙏🙏🙏🇺🇬

  • @albertwilbroad7604
    @albertwilbroad7604 6 лет назад +4

    nawakubari sana mnapandisha kiwango kila kukicha. Mungu azidi kuwainua nyimbo zenu na zikawe chachu ya wokovu wetu

  • @alexmmari1403
    @alexmmari1403 6 лет назад +4

    Mungu awabariki xana mzidi kufanya uduma ii ya winjilisti

  • @alberthoza1795
    @alberthoza1795 4 года назад +1

    Hongereni Zabron singers nyimbo zenu zinanikosha!

  • @rudiahmagangi4840
    @rudiahmagangi4840 5 лет назад +12

    Im very much blessed with your songs....watching from kenya

  • @gitanokambarage8789
    @gitanokambarage8789 6 лет назад +2

    hivi kale katoto ndo kamekuwa kadada kakubwa hivyooo, duuuu .....Mungu aendelee kuwabariki watumishi wa bwana

    • @benedictmahona2626
      @benedictmahona2626 6 лет назад

      God bless all zabron singers! Sure u re singing so good& behavior God be with U

  • @anaelilazary6470
    @anaelilazary6470 2 года назад +1

    Hakika kazi yenu ni njema tazama ni Kiu kuu moyoni hasa huku mashariki mwa Tanzania

  • @danielmagori6584
    @danielmagori6584 6 лет назад +16

    Nazipenda nyimbo zenu nzuri za kumsifu Mungu jamani. Mko na vipaji vya kipekee

  • @lennoxmajor334
    @lennoxmajor334 6 лет назад +3

    Mungu awabariki sana sana kwa kazi nzuri eneza injili ya kiadventista

  • @kelvinmalima7526
    @kelvinmalima7526 6 лет назад +1

    Hakika sio bure MUNGU awabariki sana msonge mbele

  • @christineauma6853
    @christineauma6853 3 года назад

    I LOVE YOU PEOPLE OF GOD,BE BLESSED.MIMI HURUDIA HIZI WIMBO SANAAAA

  • @kiprotichelias9617
    @kiprotichelias9617 6 лет назад +6

    injili bora,kazi nzuri rembesha kipaji

  • @robinermsigalla9341
    @robinermsigalla9341 4 года назад

    Be blessed ,wadada mpo kiasili bila mapambo mmependeza sana

  • @irenenelson9072
    @irenenelson9072 5 лет назад +1

    Haki wanaimba poa xana jina la mungu itukuzwe na venye wako natural

  • @devothabishagazi2311
    @devothabishagazi2311 5 лет назад +1

    Sauti zimechongwa,ujumbe wenye kubariki,am blessed

  • @precioussalome820
    @precioussalome820 6 лет назад +5

    Mnanibariki sana wapendwa...Mungu azidi kuwatumia kama apendavyo Yeye....

  • @tjazapizao7692
    @tjazapizao7692 3 года назад +17

    Guys I really really love the way you sing,may God bless you,and remember that there are people in Namibia 🇳🇦 that listen to your songs

  • @biyogoaugustin931
    @biyogoaugustin931 4 года назад +5

    The likes and views says it all,,A blessing choir indeed which presents the messege in the present truths,,

  • @farajampenzwa7939
    @farajampenzwa7939 5 лет назад

    kwa Yesu ni faida ya milele, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @chrisoketch2313
    @chrisoketch2313 3 года назад

    Tumtafute Mungu wakati anapopatikana,ujumbe muhimu sana kwa maisha yetu kiroho

  • @hellenamon9238
    @hellenamon9238 6 лет назад +2

    Nyimbo nzuri sana Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki

  • @bennynduki9737
    @bennynduki9737 5 лет назад

    Mungu awe pamoja nanyi,nabarikiwa sana kusikiliza wimbo huu ,Mungu awainue zaidi mpaka juu

  • @lucyhangaya5759
    @lucyhangaya5759 6 лет назад +1

    Mna uimbaji wa kipekee fulani unanikosha saaan unavutiaa nikisikiliza hizi nyimbo zenu yaaan nabarikiwa kabisaa mungu awape ujasiri na nguvu kujituma kwenu kukazae matunda na mkalete wengi kwa bwana mbarikiwe nawatakien nyoote happy sabbatho day amina

  • @moneya7029
    @moneya7029 6 лет назад +35

    Kazi yenu si bure hakika,taji limewekwa tayari kwaajili yenu

  • @ireneamina1433
    @ireneamina1433 2 года назад

    My favorite choir,,,may the lord bless you as you continue serving him,,nawapenda Sanaa,,zabron singers,, Victoria zabron salimika sana

  • @MagretWanjera-ph1wb
    @MagretWanjera-ph1wb 9 месяцев назад

    Kila siku lazima ni sikie huu wimbo umenibariki sana mungu awabariki zabron nawaombea mwendele hivyo na uimbaji

  • @irenembezi6537
    @irenembezi6537 5 лет назад

    Kwa Yesu kuna faida ukimtukia anakuheshimisha barikiwa sana

  • @mercymuthini503
    @mercymuthini503 Год назад +1

    Your songs teachers alot,, God add more blessing upon them

  • @financialmathematics237
    @financialmathematics237 5 лет назад +19

    I'm greatly blessed and touched by your songs! May the Lord expand your territory.

  • @norinenaliaka2042
    @norinenaliaka2042 2 года назад

    Napendezwa na nyimbo zenu sana wacha neema ya mungu iwe ju ya maisha yenu

  • @radiomaisha1312
    @radiomaisha1312 6 лет назад +3

    SI BURE KWA YESU NI FAIDA,NASHUKURU SANA KWA WIMBO MTAMU SANA

  • @jaclinemsuya6988
    @jaclinemsuya6988 4 года назад +5

    Its not a joke we are moving ahead,,, Glory to God

  • @hellenoira227
    @hellenoira227 4 года назад +1

    twashukuru kwa nyimbo zenu. tunabarikiwa sana, barikiwa pia

  • @annmabuto3182
    @annmabuto3182 2 года назад

    This songs of zabron singers Hua xinanikumbuz mbali xana waati nilikua pathfinder Mungu ni mkuu sauti nxuri za kumtukuza Mugu asante xana Mungu awape nguvu Na roho zizizo pondeka

  • @neemabarnaba6041
    @neemabarnaba6041 2 года назад

    Mungu wa mbinguni awazidishie hekima na maarfa mengi mzidi kumpendeza mungu🙏🙏🙏

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 5 лет назад +4

    Makeup free modestly dressed natural hair this ladies are so beautiful praise God

  • @joankemboi2261
    @joankemboi2261 4 года назад +6

    Can't stop watching your videos and listening to your audio songs ,,,may God give you more strength as you continue serving him through songs ,,be blessed

  • @dominicopastory2105
    @dominicopastory2105 5 лет назад

    Wimbo mzuri sana mbarikiwe nimeurudia zaid ya Mara mbili nimeuelewa sana

  • @legrandrenson2063
    @legrandrenson2063 5 лет назад +2

    Straight outer 254 ..me like dem since mkono wa bwana... Inspirational

  • @naysahope5399
    @naysahope5399 4 года назад +2

    Hakika wema nazo fadhiri zake Mungu