Kama wangu moyo umeumizwa kwa namna hii mimi ambaye sikuwa wa karibu naye,je ni kiasi gani umeumiya kwa aliyekuwa naye kwa mda wowote?? Poleni sana jameni na hasa kwa mkeo mpenzi, Mungu Akutiye nguvu dada yangu
Oh so sorry for bro Marcos. May his soul rest in eternal peace. Amen. Please kwa Zabron singers, marafiki na Familia. Bro Marcos will be missed very much especially his singing.
Hakuna ugonjwa MUNGU WA MBINGUNI hatibi,watu wa Mungu msiwemnakimbilia upasuaji bali maombo ndo uponya. IMANI ya mtu nfo inamponya, mm nimeshuhudia mwenyewe.
Polesana wanduguzangu. Hatasisi tunaumiyazana. Mungundi yemufariji wasisiwote
Kama wangu moyo umeumizwa kwa namna hii mimi ambaye sikuwa wa karibu naye,je ni kiasi gani umeumiya kwa aliyekuwa naye kwa mda wowote?? Poleni sana jameni na hasa kwa mkeo mpenzi, Mungu Akutiye nguvu dada yangu
Mungu amlinde 🎉🎉🎉
Pole sana kwa familia , marafiki na wanazabrons singers wote!
Daah inakuaje anaondoka kirahisi lakini kazi ya Mungu Haina makosa Mungu atuepushe na majanga poleni Zabron singers RIP marco
Poleni saaaana ZABRON SINGERS
Njia yetu moja mbele yetu nyuma yako Amen MUNGU awatunze sengers
Mungu akufariji mama Kila jambo utendeka kuleta uzuri kwa wanaomcha Mungu jitie nguvu katika Bwana
So heart breaking rest in peace brother,wishes from zambia
Mungu afariji familia ya maco nililia😢😢😭😭😭 sana mbaka sasa nimepaki namshagao wa ili tukio
I am Janet from Kenya poleni sana haki naumiaa sana 😢😢😢😢
Njia yetu moja ,yesu atusaidie🙏🙏🙏🖖
Am sorry for tz, zabron singers ...R.I.P Marko nyimbo nzako nzinabariki ,ata kama umeenda ,sisi tuko nyuma yako na Mungu atubariki
Mungu akujalie pumziko la milele Amina mpendwa wetu
Mungu akupe nguvu mama utawalea watoto wako vizuri
Poleni sana hayo ndio Mungu aliwawekea viumbe na akafahamu kwamba ni magumu Kwa mwanadamu,ndio maana akaweka kitu kiitwacho faraja
Mungu awafariji familia hii
Nimeumia sanaaa ,
Oh so sorry for bro Marcos. May his soul rest in eternal peace. Amen. Please kwa Zabron singers, marafiki na Familia. Bro Marcos will be missed very much especially his singing.
Hakuna ugonjwa MUNGU WA MBINGUNI hatibi,watu wa Mungu msiwemnakimbilia upasuaji bali maombo ndo uponya. IMANI ya mtu nfo inamponya, mm nimeshuhudia mwenyewe.
mungu awatulize rohoni.wa congomani tunalia asie sn.
Poleni kazi mungu haina makosa
Pole sana
Pole sana ndugu zangu
Poleni sana zebron singers
Mungu amtangulia
pole sana😭😭🇰🇪
So sad pole sana Jamii ya Zabron
Mungu wakumbuke. Pia kwa wema
Nimelia sana mimi
Mipango ya mungu, we cant fight his will, but accept though ni uchungu mno
Even after burial it's still so painful 😭😭😭😭
I feel the pain..such a young widow...God take control 😢
Pole mwenzangu bi zablon kiatu umeingia ndio nami niko nacho for last two yrs imepita when i lost my husband. Mungu yupo nasi
Poleni jaman
Let's mourn together zabron singers
poleno
Jamila Dotto
Ni bora angekufa bila kupasuliwa angebaki na maombi ya nguvu uck na mchana Hakuna kimshindacho Mungu.
May his soul rest in eternal peace 🙏🏻
Its. More than sad, its unexpressed sadness
Polen Sana zabron single mungu awatiye nguvu jamni😭😭😭 inauma Sana
This is so sad and painful buh our Lord Jesus Christ knows all😭😭😭😭😭
Hadi Leo hoi bado nashangaa
Poreni wanadungu mwote wa MAIKO mungu hawatie nguvu na wepesi
ni uchungu sana bt God is in control
Pole xna zabron
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi😂😂
Plz make good use of emoji😮
Apumzike kwa amani
Jmn mung awatie nguv familia ya maricko
Kwakweli inasikitisha sana
Mungu ndie muamuz wayote ss niwanadam tu
Ni moja wa mashabiki wenu nimehuzunika sana maana alikuwa anatubariki familia nzima.
Tulivunjika myoyo wapendwa maana kipaji chake Cha uimbaji kilikuwa Cha kipekee.hakuna aliyemfikia Kabisa
😢😢😢😢
I Feel for the young family 😢
Painful but as we Know God says that he has good plan for our life
Inauma😢
Inauma jamani
Pole
Amen RIP ❤❤❤❤
Kwa iyo alikuwa na tatizo la mshipa siyo la moyo
Yupo mme wa wajane na baba wa yatma usiope mama marco
May his soul rest in eternal peace
Bwana aliyetoa ndiye ametwaa atuna budo kuwa wapolè japo yaumiza mioyo na n ngumu kuamini
😭😭😭😭
Ni kweli amekufa au Mambo ya mitandao sikuwa na simu
Rest in peace marco
Kwani kafaliki lini jamani mpaka watu washazika
Pole san mama mungu akupe nguvu
Pengine operation wa haraka angefanyiwa angekuwa hai
Yote ni ya mwenyezi mungu
Niuchungu saaana😂😂😂😂
Ziedit hizo imoj zako umeweka za kucheka siyo za kulia 😭
Kweli walitakiwa wasikubali kufanyiwa upasuaji amini angekuwa bado hai japo anaumwa
Kweli kabisa
🙏😭😥😢🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷💔🖤🙏🇧🇷😢
Nihuzuni kwakweli 😢😢😭😭😭
𝕡𝕠𝕝𝕖 𝕤𝕒𝕟𝕒 𝕕𝕒𝕕𝕒𝕟𝕘𝕦 𝕞𝕚𝕞𝕚 𝕟𝕚𝕤𝕙𝕒𝕓𝕚𝕜𝕚 𝕨𝕒 𝕫𝕒𝕞𝕓𝕣𝕠 𝕤𝕚𝕟𝕘𝕖𝕣𝕤 𝕟𝕚𝕝𝕚𝕦𝕞𝕚𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒
Painfull
Very painful 😂😂😂
Painfull god help❤❤❤
This so disheartening 😢
Pengine wasingekimbila kukubali kufanyiwa operesheni had sahv labda angekua hai...
Wangejua wangejaribu Kenya before asafiri inauma aki😢😢
muhubiri 8.8
Acha zako kifo kilichoandikwa imeandikwa tu.... pumzika kwa amani
Hupaswi kuongea ivo
U
So painful
Poleni sana zabron singers
Pole sana
😭😭😭😭
So painful
Pengine wasingekimbila kukubali kufanyiwa operesheni had sahv labda angekua hai...
No body knows my friend only our Mighty God hata na hiyo ilikuwa ni njia ya kuponya
Hata mimi naomba Mungu aniponye,nimeumia 3dys appetite ikapotea ndugu zetu watanzania.wakilia😢😢😢
Pole sana
So painful