BWANA unikumbuke, BWANA YESU unikumbuke mimi; Parapanda itakapolia BWANA nikuone. Najua mimi ni dhaifu lakini wewe BWANA ni mwingi wa rehema, fadhili na kweli, eeh BWANA unikumbuke. Amen. Mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa kututia nguvu kwenye safari hii ya wakovu.

Mungu Awakumbuke mmenigusa sana. Namwona Baba Mzee Ishusha inapendeza sana. Mpangilio wa sauti nk mko vizuri. Big up kwa mwalimu Lanes na wengine, good
Sina sina sina cha kukuficha Mungu wangu nipo naishi Kwa Neema yako naomba unikumbuke na mm Baba malaika wananipigania adui asinipate kumbuka rehema Kati kati yagadhabu. IPO sikumoja nikuone naomba Bwana unikumbe.
BWANA unikumbuke, BWANA YESU unikumbuke mimi; Parapanda itakapolia BWANA nikuone. Najua mimi ni dhaifu lakini wewe BWANA ni mwingi wa rehema, fadhili na kweli, eeh BWANA unikumbuke. Amen.
Mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa kututia nguvu kwenye safari hii ya wakovu.
Safi sana, uimbaji wa kipekee kabisa....sio lazima kwaya kuu ziimbe melody ys kufanana!
❤❤❤❤ nimetoka kusikiliza upendo TV Leo mwaka mpya now nadownload uwe ni wimbo wa kutembea nao mwaka mzima
Siwezi kukuficha kitu Jehova
BWANA unikumbuke, BWANA YESU unikumbuke mimi; Parapanda itakapolia BWANA nikuone. Najua mimi ni dhaifu lakini wewe BWANA ni mwingi wa rehema, fadhili na kweli, eeh BWANA unikumbuke. Amen.
Mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa kututia nguvu kwenye safari hii ya wakovu.
Congratulations this is purely Lutheran melody
Hakika nimebarikiwa Sana, Mungu awainuee kwa viwango vya juu waimbaji wote
Mungu wangu ninakuhitaji...kwa kinywa changu ninatamka.....Barikiwa waimbaji wote kwaya kuu
Mungu awabariki mzidi kumtumikia kwa njia hii ya uimbaji👏👏👏👏👏👏
❤❤Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu Huu wimbo huwa unanibariki Sana
Amen saidia kushare na wengine wabarikiwe
Mungu Awakumbuke mmenigusa sana. Namwona Baba Mzee Ishusha inapendeza sana. Mpangilio wa sauti nk mko vizuri. Big up kwa mwalimu Lanes na wengine, good
Karibu sana @emmanuelidafa tafadhali usisahau ku Subscribe na ku share channel yetu hii, Mungu akubariki.
Hongereni watumishi
Flora kachema best vocalist
Ana kitu na atafika mbali
My favorite song❣️ I see my dad there🥰..Mbarikiwe waimba kwaya woote🙏
Glory to God....mbarikiwe sana kwa huduma njema
Safii sana wana Wana Mabibo. Mungu awabariki sana.
Nimebariwa sana na huu wimbo, Mungu azidi kuwainua viwango vya juu zaidi
WIMBO UMENIBARIKI SANA. MUNGU AWABARIKI SANA.
Karibu sana endelea ku share na wenzako wabarikiwe pia
Ameeen !!!
Mungu awabariki mwimbo umetiki
Thank God for this song Mungu awabariki sana
Hatimae Mungu ni mwema nimeupata wimbo wa moyo wangu🙏🙏
Ameeeeeen
Barikiwaaa mpendwa wangu
Mim pia nimeutafuta sana😢
Huyo dada namuona tangu sunday school mabibo anamtumikia mungu kuimba ana sauti sanaaaa
Sina sina sina cha kukuficha Mungu wangu nipo naishi Kwa Neema yako naomba unikumbuke na mm Baba malaika wananipigania adui asinipate kumbuka rehema Kati kati yagadhabu. IPO sikumoja nikuone naomba Bwana unikumbe.
Mbarikiwe sana na MUNGU aliye hai
Mungu wa mbinguni awenanyi mzidi kutuhubiria kwa njia ya uimbaji mzuri
Barikiwa sana waimbaji...
Mko vzuri sana mbarikiwe
Nimebarikiwa sanaa 🙏
Nimewapenda bule hongereni kwa ujumbe mzr
Asante sana Vaileth tusaidie ku share na ku subricribe
Wimbo unanibariki sana Mungu azidi kuwainua
Karibu sana tafadhali usisahau ku Subscribe na ku share channel yetu hii, Mungu akubariki.
Melody 100%
Ujumbe. 100%
Sololist. 100%
Clean video 100%
Nimebarikiwa sana..hongereni sana external
Ameeeeeeeeeeeeeen!!!
Wako vizuri sana ni ulbum bora mimi nasikiliza kila siku. Mungu awabariki.
Mungu akubariki endelea kuwashirikisha wenzako
Huu wimbo kwangu Mimi ni sala yangu MBELE za Mungu.
Please share huu ujumbe wa Mungu 🙌🙌😭😭nashangaa hauna millions viewers watu wanapitwaa 🎧
Mbarikiwe sana wimbo wa toba huu
Mungu hafichwi kitu.
Nikufiche Jambo Bwana Siri zangu zote wewe wazijua......daah!!, MUNGU awabariki Sana...🙏🙏
Amen
Naipenda sana
Najua ni kwa rehemaa zako ndiyo sababu bado naishi..siku moja nikuonee Bwana unikumbuke sanaaaaaa
Mungu awabariki sana
👍👍🔥🔥
Aisee wimbo mzur mnooo
Bonge la wimboo
Mungu akubariki tudaidie kushare na wengine wabarikiwe
Nikumbuke Bwanayesu
Je t'aime
nous t'aimons aussi
❤
Wimbo mzuri sana
asante @genrose tusaidie ku share Mungu atakubariki.
100%
Naupata huu wimbo pls cwez kuudownload😥
Karibu Rebeka. Wewe unapatikana wapi?
Natafuta hizi nyimbo nazipataje
tafadhali tuandikie DM page yetu ya insta @kwayakuukkktexternal ukitaja namba yako ya simu na sehemu ulipo
Kudownload audio nawezaje
ingia kwenye browser(goggle) andika jina la wimbo ikifuatiliwa na neno mp3 download
toa huyo aatangulia inatosha sana kwaya bila huyo
Huyo dada namuona tangu sunday school mabibo anamtumikia mungu kuimba ana sauti sanaaaa
Karibu sana @elizabeth tafadhali usisahau ku Subscribe na ku share channel yetu hii, Mungu akubariki.
Walioitwa jina lake acha amtukiie MUNGU wake