- Видео 31
- Просмотров 146 433
KKKT MABIBO EXTERNAL KWAYA KUU
Танзания
Добавлен 6 ноя 2021
Channel ya Kwaya Kuu KKKT mabibo external, hapa tutapata huduma za kutizama video zinazohusiana na uimbaji sanifu wa Kwaya na matukio mbalimbali ya Usharika wetu katika Kumtukuza Mungu, karibuni usisahau ku subscribe hapo
2024 KANTATE DOMINO KKKT KWAYA KUU (wimbo wa siku)
Kwaya kuu Mabibo external wakiimba wimbo wa siku kwenye tamasha la uimbaji REFORMATION lililofanyika usharika wa mabibo external 2024
Просмотров: 427
Видео
2024 KANTATE DOMINO KKKT KWAYA KUU. May5 External
Просмотров 6004 месяца назад
Kwaya kuu Mabibo external wakiingia jukwaani kwenye tamasha la uimbaji Wa KANTATE lililofanyika usharika wa mabibo external 2024
MUNGU NI MWEMA (Official video) KKKT Mabibo External kwaya kuu
Просмотров 2,5 тыс.9 месяцев назад
Karibu kutizana na kusikiliza video ya wimbo wetu unaojulikana kwa jina la MUNGU NI MWEMA. ni wimbo mzuri wa kuleta matumaini na kumrudishia Mungu utukufu na sifa. Mungu akubariki usisahau ku SUBSCRIBE na ku share #mungunimwema #kkktmabiboexternal #kwayakuu #sanifu
SEHEMU YA PILI SAFARI YA KWAYA - USHARIKA WA MOWO KILIMANJARO
Просмотров 21210 месяцев назад
Karibu utazame sehemu ya pili ziara ya kiuduma kutoka dar es salaam kwenda Old moshi kilimanjaro usharika wa Mowo. hapa tutaona eneo la kitalii la maporomo,o ya mambori, kituo cha dini cha kitimbiriu sehemu ukristo ulipoanzia pia ibada ya harambee usharika wa mowo
HABARI NJEMA (Official video) KKKT Mabibo External kwaya kuu
Просмотров 1,9 тыс.10 месяцев назад
Karibu kutizana na kusikiliza video ya wimbo wetu unaojulikana kwa jina la Habari njema. ni wimbo mzuri wa kuleta matumaini na kutukumbusha kujitathmini katika swala zima la kuujenga mwili wa kristo. Mungu akubariki usisahau ku subscribe na ku share #habarinjema #kkktmabiboexternal #kwayakuu #sanifu
SAFARI YA KWAYA - USHARIKA WA MOWO KILIMANJARO(part1.)
Просмотров 613Год назад
Karibu utazame ziara ya kiuduma kutoka dar es salaam kwenda Old moshi kilimanjaro usharika wa Mowo. usikose kutizama sehemu ya pili itakayoendelea
MUDA WAPITA- (Official video) KKKT Mabibo External kwaya kuu
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
Karibu kutizana na kusikiliza video ya wimbo unaojulikana kwa jina la Muda wapita ni wimbo mzuri wa asili KINGONI Kabila kutoka Tanzania Mkoani Songea #Wangoni #kingoni #kkktmabiboexternal #kwayakuu #sanifu
YESU NI RAFIKI (Official video) KKKT Mabibo External kwaya kuu
Просмотров 19 тыс.Год назад
Karibu kutizana na kusikiliza video ya wimbo wetu unaojulikana kwa jina la Yesu ni rafiki. ni wimbo mzuri wa kuleta matumaini hasa unapopitia changamoto yoyote katika maisha. Mungu akubariki usisahau ku subscribe na ku share #yesunirafiki #kkktmabiboexternal #kwayakuu #sanifu
BABA NAINUA MIKONO(official) ~ Kwaya Kuu KKKT Mabibo External.
Просмотров 10 тыс.Год назад
Song: BABA NAINUA MIKONO YANGU KUKUSHUKURU. Artist : Kwaya Kuu KKKT Mabibo External Album : Baba nainua mikono.
YESU NI RAFIKI. (lyrics play) - Kwaya kuu KKKT MABIBO EXTERNAL
Просмотров 847Год назад
@ElionaKimaro @kkkt-dmpusharikawakimara @ChakulaTVOfficial @Tesla-New-24
NIKUFICHE JAMBO GANI? ~ Kwaya Kuu KKKT Mabibo External
Просмотров 32 тыс.Год назад
Karibu utazame wimbo mzuri utakaokufanya umtafakari Mungu na uweza wake, Tunatamani huu wimbo ukawe sala kwako na Mungu akubariki. NIKUFUCHE JAMBO GANI?
HALLELUYAH (official video) ~ Kwaya Kuu KKKT Mabibo External.
Просмотров 8 тыс.Год назад
Song :HALLELUYAH Artist : Kwaya kuu KKKT mabibo External Album : Baba nainua Mikono
BABA NAOMBA HURUMA ZAKO (official video) ~ Kwaya Kuu KKKT Mabibo External.
Просмотров 12 тыс.Год назад
Song :BABA NAOMBA HURUMA ZAKO Artist : Kwaya kuu KKKT mabibo External Album : Baba nainua Mikono
BABA NAOMBA HURUMA ZAKO, KKKT MABIBO EXTERNAL
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
BABA NAOMBA HURUMA ZAKO, KKKT MABIBO EXTERNAL
BABA NAINUA MIKONO YANGU - KWAYA KUU KKKT MABIBO EXTERNAL
Просмотров 11 тыс.Год назад
BABA NAINUA MIKONO YANGU - KWAYA KUU KKKT MABIBO EXTERNAL
YESU NI RAFIKI (lyrics) KKKT Mabibo External kwaya kuu
Просмотров 10 тыс.2 года назад
YESU NI RAFIKI (lyrics) KKKT Mabibo External kwaya kuu
MUNGU NI MWEMA - IBADANI LIVE RECORD
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
MUNGU NI MWEMA - IBADANI LIVE RECORD
WIMBO WA UTAMADUNI - KANTATE 2022. EXTERNAL
Просмотров 1,6 тыс.2 года назад
WIMBO WA UTAMADUNI - KANTATE 2022. EXTERNAL
KKKT MABIBO EXTERNAL. WIMBO WA SIKU (UIMBAJI WA KANTATE 2022)
Просмотров 3,7 тыс.2 года назад
KKKT MABIBO EXTERNAL. WIMBO WA SIKU (UIMBAJI WA KANTATE 2022)
KKKT MABIBO EXTERNAL WAKIINGIA JUKWAANI (UIMBAJI WA KANTANTE)
Просмотров 2,2 тыс.2 года назад
KKKT MABIBO EXTERNAL WAKIINGIA JUKWAANI (UIMBAJI WA KANTANTE)
WANA KWAYA WA KWAYA KUU. (SUBSCRIBE CHALLENGE)
Просмотров 7423 года назад
WANA KWAYA WA KWAYA KUU. (SUBSCRIBE CHALLENGE)
KWAYA KUU MABIBO EXTERNAL -YERUSALEM VIDEO SHOOTING
Просмотров 2,7 тыс.3 года назад
KWAYA KUU MABIBO EXTERNAL -YERUSALEM VIDEO SHOOTING
Kwaya Kuuu KKKT Mabibo External - EEH BWANA FADHILI ZAKO
Просмотров 3,5 тыс.3 года назад
Kwaya Kuuu KKKT Mabibo External - EEH BWANA FADHILI ZAKO
Sina sina sina cha kukuficha Mungu wangu nipo naishi Kwa Neema yako naomba unikumbuke na mm Baba malaika wananipigania adui asinipate kumbuka rehema Kati kati yagadhabu. IPO sikumoja nikuone naomba Bwana unikumbe.
BWANA unikumbuke, BWANA YESU unikumbuke mimi; Parapanda itakapolia BWANA nikuone. Najua mimi ni dhaifu lakini wewe BWANA ni mwingi wa rehema, fadhili na kweli, eeh BWANA unikumbuke. Amen. Mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa kututia nguvu kwenye safari hii ya wakovu.
❤❤❤❤ nimetoka kusikiliza upendo TV Leo mwaka mpya now nadownload uwe ni wimbo wa kutembea nao mwaka mzima Siwezi kukuficha kitu Jehova
nabarikiwa sana watu wa Mungu
Nakumbuka enzi zile ,KKKT wanabadilisha na majirani MAKUBURI ,Hawa wanaenda RC ,Makuburi wanakuja KKKT ilikuwa raha sana
Safi sana, uimbaji wa kipekee kabisa....sio lazima kwaya kuu ziimbe melody ys kufanana!
Bonge la wimboo
Mungu akubariki tudaidie kushare na wengine wabarikiwe
❤❤Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu Huu wimbo huwa unanibariki Sana
Amen saidia kushare na wengine wabarikiwe
Hongereni sana kwayakuu maribor external huu wimbo hakika umekuwa wa baraka sana namuona na Uncle wangu Merciful Tasia hongera sana kwa utumishi
Congratulations this is purely Lutheran melody
Safii sana wana Wana Mabibo. Mungu awabariki sana.
toa huyo aatangulia inatosha sana kwaya bila huyo
Kweli Ngalinzeele yahumile mumbele! Yotekwayote utukufu umrudie Mungu kwa kipaji hiki! Ubarikiwe kila uendako Lanes
Wimbo huu umeimbwa kwa ustadi mkubwa sana unabariki kila mtu
Hongera kwa wimbo wenye viwango mbarikiwe sana Wana wamungu
Binafsi nimewapata upendo TV asee nimechelewa kuwafahamu nimebarikiwa mno mno hata siwezi elezea huu wimbo unanibariki mimi oooooh❤❤❤❤❤
Karibu sana @nicho Mungu akubariki endelea kusambaza nyimbo hizi kwa wengine nao waweze kubarikiwa.
WIMBO UMENIBARIKI SANA. MUNGU AWABARIKI SANA.
Karibu sana endelea ku share na wenzako wabarikiwe pia
Ameeen !!!
Mungu atukuzwe kwa utumishi wenu wapendwa.
Amen
Mungu wa mbinguni awenanyi mzidi kutuhubiria kwa njia ya uimbaji mzuri
Mungu awabariki mwimbo umetiki
BWANA unikumbuke, BWANA YESU unikumbuke mimi; Parapanda itakapolia BWANA nikuone. Najua mimi ni dhaifu lakini wewe BWANA ni mwingi wa rehema, fadhili na kweli, eeh BWANA unikumbuke. Amen. Mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa kututia nguvu kwenye safari hii ya wakovu.
Mrudisheni Mwl wenu Lanes Mkemwa mjifunze kusamehe Mwl wenu ni Mzuri Kwa u walimu wake
Kipekee umenibariki sana chakusema ni Mungu azidi kuinua huduma yenu. Yaani mpo vizuri 🫂🫂🫂
Hongereni sana Kweli Amani ya kweli inatunzwa na kila mtu. Tanzania upendo wa kweli ndio Ngao yetu. Mungu ibariki Tanzania
Bakiweni kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya.
Amen, asante tunapokea utusaidie ku-share na wengine baraka hizi
Nimeonja Pendo lako mimi...nimehamua kumsifu Yeyeee
Bwana Yesu nakupenda, pendo lako ni tamu
Amina Amina 👏🏻
Aisee wimbo mzur mnooo
Mnanibariki sanaa
Mungu awabariki sana
Huku ni mowo ya wapi?
Old moshi
❤❤❤
Natafuta hizi nyimbo nazipataje
tafadhali tuandikie DM page yetu ya insta @kwayakuukkktexternal ukitaja namba yako ya simu na sehemu ulipo
❤
Download audio Yesu ni rafiki yetu tumwabudu Mungu 1:15
Amen 🙏 🙏 🙏
❤❤❤❤❤❤
Nikumbuke Bwanayesu
Please share huu ujumbe wa Mungu 🙌🙌😭😭nashangaa hauna millions viewers watu wanapitwaa 🎧
Hii nyimbo Nzuri nime ona UPENDO TV ila Fanya Promo ya nyimbo huko TikTok Facebook usiache haswa TikTok itaenda sanaaa 🏃🏃
Wimbo mzuri mno. Hawa masololists hasa huyu kaka kafanya vizuri, dada kuna mahali kama katunyima utamu wa wimbo.
Wimbo mzuri sana barikiweni
Mungu wangu wa Mbinguni awabariki sana hakika mnaimba kwa viwango vya hali ya juu na Mungu azidi kuwainua na kuwaheshimisha.
Nitakusifu wakati wote asante Yesu Mungu awabariki sana
ruclips.net/video/1jZwqOi9bvw/видео.html Kupata Nyimbo Nzuri za KKKT zilizoimbwa kwa Ustadi Mkubwa
Amen barikiweni sana
Mwamba huyu hapooo
Mungu mwema kweli
Mungu awabariki sana