MIMI HELA NATOA WAPI JAMANI, SINA HELA !! 🙌 - MALKIA KAREN | HIVI NI KWELIAC
HTML-код
- Опубликовано: 15 сен 2024
- MIMI HELA NATOA WAPI JAMANI, SINA HELA !! 🙌 - MALKIA KAREN | HIVI NI KWELIAC
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Malkia careen mstaarabu sana nmempenda bureee
Kumbe umeliona hilo ni mastaarab mno
Show kali sana wanangu,love from 254💪
😂😂😂😂😂😂😂😂mbona mitihani😂😂😂😂eti msaidieni huyu mtu,kaabiwa eti milioni 2😂😂😂
Naombeni likes jamooni wa kwanza leo mimi all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Za kazi gani
Kasauti kake ka upole mashaAllaah😊
Mstarabu sana mashalla
🔥🔥🔥 motown sanya ❤lakini malkia caren ni mpole Jamani
Nimekapenda haka kadada kana busara sana
Nimekupenta bure❤
Jomn wasanii wote wangekuwa wastaarabu kama karen ingekuwa unyama😂😂😂
Such a humble girl, omg namfollow sasa hv
Sa hyo itamsaidia nn n who are yu
Ita msapot tu kweny mbanga zake
@@geofreybahema5118 am no body, but itamsaidia kwa one way or another.... your reply is so harsh mate, soma my comment vizuri. L.O.L
@@bigdawstz7258 i think amesoma *unfollow* hatuwezi blame huyu mtu
Bado Giggy money😂😂😂😂 mwenda pigwa kweli huko na viatu
😂😂😂 wallah laadhimu imengiaje kweny deni
Kwahiyo sisi watu w iringa washamba! Sijapenda
😂😂😂😂😂
Achana nae sisi hatupo hvo bwana ushamba wetu nn
🤣🤣🤣🤣🤣Muonekanoo wa face anavyo act Sasaaaa😂
Jaman jaman ya masha minyonyo ilinibamba hatar zote kal lkn ile ilikuwa kal kama ya zuwena alonyata hahahaha
Nimpole huyu dada anabusar
Dada mpole sana ana haiba ya huruma❤❤❤
Huluma gan kashindwa kumsaidia nauli 😂😂😂
Madam pakome yuko humble sana
Careen mpole sana
Sanya umeweka camera kila sehemu🤣
Show hiko sawa
Utafika mbali una hekima sana
Ila nyiyee 😂😂😂😂
Inaonekana n kweli jamaa alipewa hela😆
Noma Sana mo town
Mo town asimfia Karen we n mzur sana🤨
Wow , Karen yupo vizuri😂
MUWE MNAOMBA RISIT
Hatari
Zamu ya diamond sasa mkamwambia ile ndege yetu imepatikana😂😂
Malkia Karen anamchapa picha kimya kimyaa jamaa kastuka😅😅😅
Usiombe ukutane nahii situation
🎉🎉🎉❤❤❤❤nakukubali mwamba 🎉🎉🎉😂😂
Huyu mdada mpole
Nembo ya mtaaa unatisha sn😅😅😅
Nampenda uyu kaka wajameni kama kaniroga vile
Tunataka zuchu au diamond😂😂😂
Zuchu tayariiii
Uyo bro pembeni kaniua eti show za vijijini wanaambizana😂😂
Hii lazima uumwe na kichwa
Nampenda sana malikia Karen sijui kwa nini Kazaa mapema
Kwan dhambi kuzaa mapema
Sio mtoto uyo mwakan ana 30 ...sasa ulitaka azae Lin na umri una sogea
😅😅😅😅😅😅masha love na Gigy money hapo kingewaka😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣😆😆😆👍
Sema nn iringa sio washamba kiivo
Caren mtu poa sana
Naomba mumfanyie dada yangu Gigy Money jamani kama hii
Unataka mtu apigwe
😂😂😂😂🙌🙌🙌
Hahahahahahaha yakobo bwana yuko serious 😂😂😂😂
Hahahaha lakin malkia careen mstarab san jmn
Uyu binti anaupole ambao sio waku pretend...karen uko wife material
Huyu dada mpole sana jmn😂
Sany ibiza tena mwatuonea iringa
Nembo ya mtaa umetisha sana sasa ni wakati wa kuprank dimond the boss😂
Uhakikaaaa😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Mambo mrembo
Haya ma drama yenu yashakuwa yakawaida wala haya vutii tena kutazama,,tafuteni ubunifu mwingine
Wivu
Mo town asimfia Karen we n mzur sana🤨