Very smart huyu jamaa, Short but Point Ila kunajitu lipo ofisini linakula kula rushwa tu km DUDU hivi hata halina aibu likiulizwa utasikia nimesoma. Msomi anatambuliw kwa usmart wake ktk kufanya maamuzi, Kenge maji nyinyi😮
Nchi hii wananchi tunaumizwa kwenye kila kitu,biashara,kilimo,elimu,afya,maji,bado wako mbioni wanafanya upembuzi yakinifu mradi hazina isipungue lakini fedha za maendeleo ya watu robo 1 ya budget kiila mwaka! Za matumizi robo 3!!? Umaskini kitu kibaya tungekua na namna tungegoma miezi wakose kodi na mikopo,za kufuja ziishe watende haki au wakimbie wenyewe...
Ipo siku mtanikumbuka mzee alisema
Hii ni Sawa ni nqombe kumkamuwa maziwa Hadi anatokwa damu maziwa yameisha wakubwa wamenyonya Hadi damu sasa imefikia nqombe wake anaumia wallah
Halmashauri wanalipwa kodi za leseni ya biashara.
Hizi ni Sheria za KIDIKTETA kusumbua wafanyabiashara.
Very smart huyu jamaa, Short but Point
Ila kunajitu lipo ofisini linakula kula rushwa tu km DUDU hivi hata halina aibu likiulizwa utasikia nimesoma.
Msomi anatambuliw kwa usmart wake ktk kufanya maamuzi, Kenge maji nyinyi😮
Chadema ndio iliyo halibu demokrasiya dr.silaa mungu anamuona mwisho wake mungu
😂😂😂😂
.mtanzania mvumilivu sana lakin Kuna siku atachoka
Tujipange tuwatoe hawa ccm madarakani wameshinda
Kalia koo tena ndio nini mkuu
Leo mnamhoji muuza madafu juu ya biashara za kkoo?
Safichalamila Wakame hauwezikuishitazani mtok
Jamani mbona kwetu kumeharibika kwa sasa
Magu tunateseka kwa sasa
Rudi magu😢😢
Watanzania amke Iacheni kuvumlia WA fate I WA kenya
Huyu nimefika yupi kwenda kariakoo
Dawa Yao lazima chadema ichukue enchi Hawa cc wamechoka
Mbowe?!! Sioni Mbadala,labda chama kipya.
Łaziła Halmashauri ipigwe marufuku wanasumbua wafanyabiashara wanataka RUSHWA. Nchi. Gani hii ambayo inasumbua wananchi.
Oi
MKUU WA MKOA ALIPE PESA YOTE ILIYOPOTEA SERIKALINI LEO K.KOO
Wamechoka jamani, wana kamuliwa kila kona.
Wafanyabiashara hawana UHURU katika nchi yao, wanaandamwa na wala RUSHWA.
Aibu kubwa sana kwani kodi di zinalipwa ki ofisi sasa kwanini wanasumbua sana😮
Hana kikao waende kufanya ujinga nchi hii itabebwa na machinga
Ushuru ni wa bandari na VAT, sasa hawa halmashauri inawahusu nini? Kodi yao ya leseni ya biashara waniliowa.
Nchi hii wananchi tunaumizwa kwenye kila kitu,biashara,kilimo,elimu,afya,maji,bado wako mbioni wanafanya upembuzi yakinifu mradi hazina isipungue lakini fedha za maendeleo ya watu robo 1 ya budget kiila mwaka! Za matumizi robo 3!!? Umaskini kitu kibaya tungekua na namna tungegoma miezi wakose kodi na mikopo,za kufuja ziishe watende haki au wakimbie wenyewe...
ISAYA 10 MSTARI WA KWANZA. YACMA OLE WENU MNAOTUNGA SHERIA ZISIZO NA HAKI.
Siku inakuja nayo yaja ambayo watajutia unyanyasaji wanao fanya
Tatizo serikali hainaga Ubunifu kutafuta vyanzo vya mapato wao wanategemea kodi tuu na biashara zenyewe saizi zinegoma
Kenya wasomi nyie sijui machawa hoeeee
Nchi gani hii ambayo TRĄ Hawajki kazi zao, mizigo yote inalipiwa USHURU TRA bandarini. Inskuwaje mnaifuata mizigo. Ikiteremshwa?
Bila chadema mtanyonyolewa tu hakuna namna na biashara wanaua kabisa kwa tamaa zao hizo
Chadema siochama wapiga dilitu Kama luto
Yapo mengi ambayo waliopo madarakani wanayafanya kwa kuona watanzania ni wajinga .Tuamke KATIBA.
KKOO KUMEPENDEZA KUNA UTULIVU MKUBWA NI BORA SERIKALI IFUNGUE MADUKA YA UJAMAA AU WATUAMBIE YALIKOPOTELEA HAYO MADUKA.