USIDHARAU MASHARIFU ASILI YAO SIO KAMA YAKO, SHEIKH ABDALLAH SEIF MUHADA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 76

  • @SakinaHassan-xc2in
    @SakinaHassan-xc2in 2 месяца назад +5

    Shekh kishk ma Shaa Allah ndio uone watu wa Tanzania ndio maana hatuendelei Kwa kuwa hatuna umakini wa kusikiliza na kuelewa ulichokizungumza ni kingine kinachochambuliwa ni kingine nampenda kishik hapa duniani na kesho kiyama Allah akulinde na hasad shekh wetu kipenzi Cha Allah

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 месяца назад +2

    SHEIKH KISHKI SHIKILIA HAPO HAPO UMEFUMUE KABISA MISHONO YAO

  • @EmanuelelisaGidion
    @EmanuelelisaGidion 2 месяца назад +1

    Kishki hongera umewatia mshawasha

  • @abdallahkassim7602
    @abdallahkassim7602 2 месяца назад

    Ma Sha Allah habib

  • @SakinaHassan-xc2in
    @SakinaHassan-xc2in 2 месяца назад +1

    Mngezea kuwakisoa wale wanaowacheza watoto wa kike uchi na Ngoma wanakunuwa mapombe na kimuasi Allah kabla hamjamuendea kiongozi wetu nurdin kishki rrehma za Allah ziwe juu yake kiongozi wetu

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 месяца назад +2

    Shekhe kishki ujumbe ulifika vizuri. Hakika kisu imekata mfupa.

  • @Zaitunimagawa-fz9cy
    @Zaitunimagawa-fz9cy 2 месяца назад +2

    Huyuuu sheikh nilimkuta bombani!!!! porojooo tuuuu!!!!

  • @KibwanaSimba
    @KibwanaSimba 2 месяца назад

    Waaambie mwalim waambie wakuelewe blall fakin umenifurahisha sana shekhwangu

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 2 месяца назад +1

    Masharifu WA qadiria nao je

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 месяца назад

    Yaani we mzee sura yako tu unaonekana muongo mmekutana wapumbavu wapumbavu

  • @yusufulukamata7152
    @yusufulukamata7152 2 месяца назад +2

    Kishik umewashika pabaya kandamizia apo apo

  • @ahmadifakimjaka1433
    @ahmadifakimjaka1433 2 месяца назад +4

    Sharifu ni Kizazi Cha Mtume swallallahu alayhi wasallam.
    Mtu yupo Zake bushi huko Eti mtu jina lake la mwisho ni kanambwi alafu anadai yeye sharifu acheni uzwa zwa masufi.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 месяца назад

      Kumbe wewe ndiyo zwazwaa kabisa, kwa taarifa yako walioasisi usufi ndiyo hao masharifu ambao ni kizazi cha Mtume Muhammad (S.A.W) na athari yake wakapatikana mawalii ndani yake na wanazuoni wakubwa ktk Uislam, masharifu hapa Tanzania wapo maeneo mbalimbali wakinasibishwa na makabila tofauti kulingana na namna wazee wao walivyolowea ktk maeneo hayo, vizazi vyao baadae wengine wakaamua kujitambulisha kwa majina ya makabila ya wenyeji waliowakuta ktk maeneo hayo waliolowea, tena kusini ndiyo wapo wengi hasa Kilwa na hata Mafia na maeneo tofauti ya Rufiji, kadhalika hata ukienda Tanga, Unguja na Pemba, Mombasa, Malindi, Lamu, Mogadishu, na visiwa vya Komoro wapo wengi tu tena wana karama, wale walioshikamana kisawasawa ktk kumpwekesha Mwenyezi Mungu dua zao huwa hazirudi nyuma. Kwenye hili Kishki kateleza na wala hana lolote analolijua, na hata yeye mwenyewe Kishki wazee wao kina sharif Juneid walikuwa masharifu tena masufi, yeye ndiye kajitia ujuaji kaingia kwenye usalafi bubu akiwapinga mababu zake, hata kaka yake sheikh Abdulqadir jina la mwanzo anajiita sharifu, huyu ni sharifu kweli na wala siyo sharifu jina hata Kishki mwenyewe huwa anathibitisha hili, sijui kimempata nini mpaka amejisahaulisha akidai hakuna masharifu ilhali yeye mwenyewe ni sharifu na ukimuuliza kabila lake anajinasbisha na uzaramo. Siyo yeye tu hata mimi ni sharifu, babu zangu wametokana na Sayyidina Hassan na Hussein ambao ni damu ya Mtume Muhammad (S.A.W) hawa ni wajukuu wake, babu zangu walitoka Makkah wakaingia Baghdad kufundisha dini wakaongozana na misafara ya waajemi kuja Afrika Mashariki wakawa wanafanya biashara huku wanafundisha dini na wakaamua kulowea huku na ndiyo leo tumezaliwa sisi ktk ardhi hii. Msijitoe fahamu masharifu hatukupigwa bomu bado tupo. Ila asilimia kubwa wenye chuki na masharifu ndiyo nyie ambao babu zenu asilimia kubwa zamani walikuwa wanywa tembo, wacheza ngoma na wengine walikuwa wapagani wala hawakuwa na asili yoyote ya Uislam wala kumjua Mungu zaidi ya kuabudu ktk mizimu. Kwa kuwa mna silsila mbaya mmekuwa na chuki iliyopitiliza na masharifu ambao ni uzao wa Mtume Muhammad (S.A.W).

    • @seiframadhan1254
      @seiframadhan1254 2 месяца назад

      Hahahaha wanapenda kutukuzwa na wanapata kweli kweli maana analosema sharifu ni sam-an watwaa hakuna kupinga,ndio maana liwatw nyingi Kwa hao jamaa,Allah atuhifadhi.

    • @nelson-cd7fr
      @nelson-cd7fr 2 месяца назад

      Hata hawa wanaudhi Sana hawajielewi

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 2 месяца назад

      Wanachezeana akili hao

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 месяца назад

      ​@@seiframadhan1254masharifu wanaruhusu liwatwi?

  • @mariammohamed6762
    @mariammohamed6762 2 месяца назад

    Shekh Bado Ngoma za kina mama wa kizigua wanaocheza uchi wakati wa harusi wenyewe wanaita utwasi jitahidini mashekh hili life inshaallah bi idhinillah

  • @UmmyKhamis-v7d
    @UmmyKhamis-v7d 2 месяца назад

    Masharifuuu kila kona.😂😂😂😂

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 2 месяца назад

    Bahati mbaya sana baadhi ya watu hawana ufahamu wa mambo ya dini zaidi wamejawa na ushabiki usiokuwa na maana yoyote,hata kuchanganua pumba na mchele hawawezi,sheikh kishki alichokisema kinakwenda sambamba na maelezo ya huyu sheikh,usharifu upo nani ukoo wa mtume Muhammad saw,

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 2 месяца назад

    Maaharifu WA qadiria

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 месяца назад

      Qadiria maana yake nini. Pia twariqa maana yake nini kama unajuwa naomba nielimishe. In shaa Allah

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf 2 месяца назад +1

    Shk kishki wape ukwelihao hawana usharifu chukitu zimewajenga wacha waseme uwongowao lkn wwe fanya wajibiwako washazoea matusihao ukiwapa ukweli wanapumbaa ndiohao wapumbaa

  • @Naah-o2c
    @Naah-o2c 2 месяца назад +2

    Sisi tupo na kishki mpaka mwisho nyie endeleeni kuneng'eneka apo

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 2 месяца назад +1

    Masharifu wako wapi sikuhizi. Masharifu nyinyi ndevu hamuna. Nyinyi sio masharifu nyinyi masharubu

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 2 месяца назад

      Kha ndevu dah acee mpunga ah mpuuzi ah mpumbv sana ndevu ndio dini ama

    • @9119-r4t
      @9119-r4t 2 месяца назад

      زوزو لك وهم

  • @BoariIsmail
    @BoariIsmail 2 месяца назад

    Washirikina hawa

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 2 месяца назад

    Sharifu anauza mafuta miskitini siyo kweli na siyo Sharifu asituletee uchawi wake sisi

  • @DRHaroonShaarawy
    @DRHaroonShaarawy 2 месяца назад

    Shareef hujahifadhi Qur'aan, Shareef Hujahifadhi Hafithi, Shareef unamajini a Uganga aisee halafu tunatetea upumbavu

    • @fundimagari5825
      @fundimagari5825 Месяц назад

      Leteni aya au hadithi kama sharifu anatakiwa awe msomi wa quran...alafu na sisi tuwaulize kama usharifu ni ukoo wa mtume ni ukoo gani huo mtueleze,,,watoto wote wa mtume walikufa wakiwa bado wadogo,,,,wale Husseni na Ally wapi walikuwa masharifu...

  • @isihakamshare3396
    @isihakamshare3396 2 месяца назад

    HAWA WAPUMBAVU WAKUBWA, KILICHO ONGEWA NA KUKATAZWA NI KUIGA MAMBO YA KINASWARA YA UPAKO NA KUYAINGIZA KWENYE UISLAMU. SASA HAWA MASHEHE WA VIPORO WANAONA BORA WATETEE VYEO VYAO KULIKO DINI.

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 месяца назад +1

    Mmmmm tusisumbuane vichwa mtu unafuga vijini vyako unajiita sharif😂😂😂😂 masharifu ni mawali wa mwenyezimungu ambao Kwa macho ya kawaida HUWEZI kuwajua Kwa sababu wao hawajitangazi kama hawa wafuga majini😂😂😂

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 2 месяца назад

    Wengi wanao eti ni ma sharifu ninwajomba ya watoto wa Sayidina Husseini RA walio kuja afrika na nchi zingine duniani, kizazi cha mtu wako na sifa sita , hawa wakwetu afrika tuseme wakishia walio fwatilia Al asharia hakuna yuko na sifa hizo

  • @isihakamshare3396
    @isihakamshare3396 2 месяца назад

    KUWA KATIKA UKOO WA KISHARIFU HAKUKUPI RUHUSA YA KUFANYA UTAKALO KATIKA DINI.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 2 месяца назад

    Hamna usharifu kipande matapeli

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 2 месяца назад

    Masharfu wa kujipachika hakuna Sharfu hapa ni wauongo msituchanganye hapa

  • @sultanbakary4292
    @sultanbakary4292 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂

  • @AbuThuraiyah
    @AbuThuraiyah 2 месяца назад

    Muogope Allah acha kuongea uwongo ww mwenyew ni mshirikina

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 2 месяца назад

    Watu wabidaa awa ipo siku wataibuka nakujiita Swahaba, ukiona wanaweweseka ukweli wameupata

  • @MustakimseifSalum
    @MustakimseifSalum 2 месяца назад

    Acheni utapeli kupitia dini mnamshilikisha allah shehe kishki kawagusa ndipo haswa😂😂😂 bado hamjasema

  • @JandaalHaqeem
    @JandaalHaqeem 2 месяца назад

    Hawa,wakuuliwa tu

  • @richardkayanda2317
    @richardkayanda2317 2 месяца назад

    Jamani naomba kuuliza ivi usharifu ni jina au cheo?

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 2 месяца назад

    Sheikh hapo kateleza hakuna m,Bora wa watu mbele ya mwenye ezi mungu isipokuwa amchae na hakuna ubora wa makabila katika Dunia hii kwa sababu mtume Muhammad s.a.w. amesema nyote munatokana na Adam na Adam ametokana na udongo

  • @abbasabubaker5152
    @abbasabubaker5152 Месяц назад

    اتق الله

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 2 месяца назад

    Huyu ansemaje atamuelewi

  • @princematumbo
    @princematumbo 2 месяца назад

    Huyu dera mngemvisha tu,ana vijembe vya kike na fikra za kitumwa, unaweza kuwa Sharif kiukoo lakini ukawa mchafu

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 2 месяца назад

    Babu utukufu sinasabu

  • @RUKIARUKIA-b9r
    @RUKIARUKIA-b9r 2 месяца назад

    faalam anaashraful muuminuna kiyamul layli
    mtume asema ukitaka utukufu (usharifu)uwamke tahajud sio ukoo hata abujahal n sharifu😅

  • @abdinoornyanga2117
    @abdinoornyanga2117 2 месяца назад

    Kwani masharifu asli yao ni malaika au binadamu Kama Sisi?

    • @wamiujizacholo7413
      @wamiujizacholo7413 2 месяца назад

      Sharifu ni kizazi Cha mtume. Ambao watu hao ukiwatajia nasabu ya babu Yako wa 5. Wanakuelezea ukoo wako wote . Allah amewajaliia elmu ya Hali ya juuu

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 месяца назад

    HUYU BABU LA KICHAWI LINASEMAJE??😂

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 месяца назад

    ACHENI UZUSHI NYIE MASUFI HOJA HAMNA ZA QUR-AN au SUNNA ZA MTUME S.A.W MMEKALIA UZUSHI TU, SISI TULITARAJI MJE NA HOJA kwamba Allah,Mtume au kupitia Maswahaba badala yake mnakuja na uzushi wenu eti Masharifu !!! wametjwa wapi kwa mujibu wa Qur ani au Sunnah!!!?

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 2 месяца назад

      Sasa ndo umeandka nn

  • @daudkindy5807
    @daudkindy5807 2 месяца назад

    Acheni kutumia ushirikina kutumia din

  • @abdulswamdenyambuka1902
    @abdulswamdenyambuka1902 2 месяца назад

    Mimi nawadharau... haya niueni kenge nyie

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 2 месяца назад

    Dawa imewaingia, shekhe Kishki umeshambulia pentagon acha waje juu

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 2 месяца назад

      Daah ukhty umeongea kiswagger na ukanikosha 😅 tuma M-pesa yako 😊 ...atii pentagon 😅😅

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 2 месяца назад

      ​@@ShamsudeenOmary😅😅😅😅😅 ahsante mdogo wangu, wamepatikana ao waache povu liwatoke

  • @shabir0
    @shabir0 2 месяца назад

    😂 kuwa mchamungu meenyewe inatosha.mambo ya masharifu hayatokusaidia.nasaba.

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 2 месяца назад

    Sasa wanashangilia nini hawa, mtu anaongea anatukana, wanajisifiana uchawi,, uzushi

  • @MaulidFakiKhamis
    @MaulidFakiKhamis 2 месяца назад

    Kwenu nyie hadi sharifu awe mweupe nywele singa sio kumbukeni Allah hapendi watu wanajisifu na nasaba zao

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 месяца назад

    Dini ya kishilikina mty anaachaje kuw mshilikina

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 2 месяца назад +1

      Mapadri na maaskofu wakubwa wakubwa wanausoma uisilam na kuuamini. Ww ulojazwa chuki na vipasta vyako njaa endelea kupiga kelele na uvivu wko wa kutokusoma mwenyewe

  • @faridfrefre35
    @faridfrefre35 2 месяца назад

    Hakuna sufi mwente akili

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 2 месяца назад

      Wafikishiwe

    • @mpalawamnongani2053
      @mpalawamnongani2053 2 месяца назад

      Ashukuriwe mungu aliyekupa ww akili na kuwanyima masufi...lakn sheikh wenye akili huchunga ndimi zao mana ni miongoni mwa vingi vitakavyowaingiza watu motoni, kabla hujaanza kuwatusi masufi basi ishi kama mtume s.a.w alivyoishi...hyo kauli yako isingetoka kwenye kinywa cha mtukufu wa daraja unaejinasibu unamfuata ipasavyo...

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 месяца назад

      ​@@mpalawamnongani2053masufi mmegongwa penyewe acha mapovu ua watoke muache Kutapeli waislaam

    • @azizisulay6005
      @azizisulay6005 2 месяца назад

      ​@@mpalawamnongani2053ndugu usiumie hiyo ni kauli ya imam Shafi katika manaqib shafi ya bayhaq kuwa "huwez kuingia kwenye usufi mwanzo wa mchana, ikafika dhuhur hujawa mwendawazim"