- Видео 461
- Просмотров 497 778
Jua la Elimu
Танзания
Добавлен 5 апр 2023
This is special channel for only Islamic content
RAHMA ZA MTUME MPAKA KWA HAYAWANI, SHEIKH ALHATIMI, KUTOKA KENYA 🇰🇪 254
#zbctvznz #sheikhahmadtijjaniyusufguruntum #ktnnews
Просмотров: 148
Видео
VIONGOZI WA SEREKALI MAWAZIRI WATAMBIANA KWENYE USOMAJI WA QASWIDA NA MILANGO YA MAULIDI MKURANGA
Просмотров 225День назад
VIONGOZI WA SEREKALI MAWAZIRI WATAMBIANA KWENYE USOMAJI WA QASWIDA NA MILANGO YA MAULIDI MKURANGA
NANI ZAIDI KWENYE KUGHANI? NA HII NDIO MADRASA ALIYOSOMA MBUNGE WA MKURANGA MH ABDALLAH ULEGA
Просмотров 74914 дней назад
NANI ZAIDI KWENYE KUGHANI? NA HII NDIO MADRASA ALIYOSOMA MBUNGE WA MKURANGA MH ABDALLAH ULEGA
UTAMBULISHO WA MASHEIKH MBALI MBALI WALIOHUDHURIA MAULIDI YA BAKWATA MKOA WA MKURANGA PWANI
Просмотров 1,9 тыс.14 дней назад
UTAMBULISHO WA MASHEIKH MBALI MBALI WALIOHUDHURIA MAULIDI YA BAKWATA MKOA WA MKURANGA PWANI
SHEIKH SHABANI, SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA, ASISITIZA AMANI, MKURANGA PWANI
Просмотров 58614 дней назад
SHEIKH SHABANI, SHEIKH WA MKOA WA ARUSHA, ASISITIZA AMANI, MKURANGA PWANI
RIDHIWANI KIKWETE NI MIONGONI MWA WALIOTAMBULISHWA NA MKUU WA MKOA WA PWANI ABDALLAH KUNENGE
Просмотров 77914 дней назад
RIDHIWANI KIKWETE NI MIONGONI MWA WALIOTAMBULISHWA NA MKUU WA MKOA WA PWANI ABDALLAH KUNENGE
MAPACHA WA MTUME HASSAN NASORO NA HUSSEIN NASORO, WAKISOMA MLANGO WA PILI, MKURANGA PWANI 2024
Просмотров 36914 дней назад
MAPACHA WA MTUME HASSAN NASORO NA HUSSEIN NASORO, WAKISOMA MLANGO WA PILI, MKURANGA PWANI 2024
MNAOMBA KURA KWA MATUSI NA KUWAFEDHEHESHA WENGINE, SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA, AWAPA MAKAVU WANASIASA
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
MNAOMBA KURA KWA MATUSI NA KUWAFEDHEHESHA WENGINE, SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA, AWAPA MAKAVU WANASIASA
WAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKISOMA MLANGO WA KWANZA
Просмотров 53314 дней назад
WAZIRI WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKISOMA MLANGO WA KWANZA
WAZIRI MPYA WA UJENZI MH ULEGA AMFUNDISHA BABU TALE KUTINGA QASWIDA YA AL,AZHARI, MKURANGA PWANI
Просмотров 1,5 тыс.14 дней назад
WAZIRI MPYA WA UJENZI MH ULEGA AMFUNDISHA BABU TALE KUTINGA QASWIDA YA AL,AZHARI, MKURANGA PWANI
SIO LAZIMA KUFATA DINI YENU, SAYYID SALEHE AL, AHDARI. KUTOKA KENYA 254 🇰🇪
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
SIO LAZIMA KUFATA DINI YENU, SAYYID SALEHE AL, AHDARI. KUTOKA KENYA 254 🇰🇪
QARY HASSAN MTULILA, AKISOMA QUR'AN TUKUFU MAULIDI YA MKOA MKURANGA PWANI
Просмотров 39914 дней назад
QARY HASSAN MTULILA, AKISOMA QUR'AN TUKUFU MAULIDI YA MKOA MKURANGA PWANI
SHEIKH TWALIB AHMAD ABDALLAH, AFUNGA HADHARA YA MKURANGA PWANI KWA DUA NZITO
Просмотров 23214 дней назад
SHEIKH TWALIB AHMAD ABDALLAH, AFUNGA HADHARA YA MKURANGA PWANI KWA DUA NZITO
SHEIKH YUSUF HUSSEIN SUBKY, AFUNGUA HADHARA KWA DUA MKURANGA PWANI
Просмотров 57614 дней назад
#zbctvznz #sheikhahmadtijjaniyusufguruntum #africanamerican #bakwatamwanza #azamtv
MAMA MZAZI WA SHEIKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SHEIKH WALIDI BI MWALIMU AKISOMA DUWA YA MWISHO
Просмотров 9 тыс.28 дней назад
MAMA MZAZI WA SHEIKH WA MKOA WA DAR ES SALAAM, SHEIKH WALIDI BI MWALIMU AKISOMA DUWA YA MWISHO
CHIRIKU WA BUGURUNI, BI KHADIJA BINT OMARI AKIWANYANYUA KINAMAMA WA MASJIDI AKRAM
Просмотров 1,4 тыс.28 дней назад
CHIRIKU WA BUGURUNI, BI KHADIJA BINT OMARI AKIWANYANYUA KINAMAMA WA MASJIDI AKRAM
MUONEKANO WA MATUKIO MBALIMBALI SHEREHE ZA MAULIDI YA KINAMAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI DAR ES SALAAM
Просмотров 12628 дней назад
MUONEKANO WA MATUKIO MBALIMBALI SHEREHE ZA MAULIDI YA KINAMAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI DAR ES SALAAM
DHIKRI KINAMAMA. SHEREHE ZA MAULIDI MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
Просмотров 32528 дней назад
DHIKRI KINAMAMA. SHEREHE ZA MAULIDI MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
MAMA WA KIKOMORO AKISOMA MLANGO WA MAULIDI BARAZANJE, MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
Просмотров 8128 дней назад
MAMA WA KIKOMORO AKISOMA MLANGO WA MAULIDI BARAZANJE, MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
WAFUNGWA MAGEREZANI WANAHITAJI HURUMA YETU, WANAHITAJI DHAMANA NDOGO SANA CHUKUA HATUA KUWASAIDIA
Просмотров 5428 дней назад
WAFUNGWA MAGEREZANI WANAHITAJI HURUMA YETU, WANAHITAJI DHAMANA NDOGO SANA CHUKUA HATUA KUWASAIDIA
SHAIRI MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH DAR ES SALAAM, MAULIDI YA KINAMAMA
Просмотров 27828 дней назад
SHAIRI MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH DAR ES SALAAM, MAULIDI YA KINAMAMA
WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO ZANZIBAR - RIZIKI PEMBE JUMA AKRAM MBEZI BEACH
Просмотров 112Месяц назад
WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO ZANZIBAR - RIZIKI PEMBE JUMA AKRAM MBEZI BEACH
UKHTI SALAMA AHIMIZA MALEZI YA WATOTO MWENYEKITI WA AKRAM, ASOMA RISALA KWA MGENI RASMI
Просмотров 45Месяц назад
UKHTI SALAMA AHIMIZA MALEZI YA WATOTO MWENYEKITI WA AKRAM, ASOMA RISALA KWA MGENI RASMI
BI, FATMA BAY AKISOMA MLANGO WA TATU MAULIDI YA KINAMAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
Просмотров 174Месяц назад
BI, FATMA BAY AKISOMA MLANGO WA TATU MAULIDI YA KINAMAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
UKIMTENDA MTOTO WA MWENZAKO TARAJIA MALIPO HAPA HAPA DUNIANI, MAULIDI YA KINAMAMA WA AKRAM 2024
Просмотров 99Месяц назад
UKIMTENDA MTOTO WA MWENZAKO TARAJIA MALIPO HAPA HAPA DUNIANI, MAULIDI YA KINAMAMA WA AKRAM 2024
UKHTI ZAHARA ABBAS, AKISOMA MLANGO WA PILI MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
Просмотров 80Месяц назад
UKHTI ZAHARA ABBAS, AKISOMA MLANGO WA PILI MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
HAJJAT BI MWANA, AKISOMA MLANGO WA KWANZA MAULIDI YA KINAMAMA AKRAM MBEZI BEACH DAR ES SALAAM
Просмотров 97Месяц назад
HAJJAT BI MWANA, AKISOMA MLANGO WA KWANZA MAULIDI YA KINAMAMA AKRAM MBEZI BEACH DAR ES SALAAM
NJIWA WAMADINA YACHEZWA KWA MADAHA WAMAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
Просмотров 1,4 тыс.Месяц назад
NJIWA WAMADINA YACHEZWA KWA MADAHA WAMAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH
WAKINA MAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH DAR ES SALAAM, WAKISIKILIZA QUR'AN TUKUFU.
Просмотров 433Месяц назад
WAKINA MAMA WA MASJIDI AKRAM MBEZI BEACH DAR ES SALAAM, WAKISIKILIZA QUR'AN TUKUFU.
TUWALINDE WATOTO WETU UKHTI MARIAM MTAMBO MWENYEKITI WA JUWAKITA TAIFA AKIZUNGUMZA AKRAM MBEZI BEACH
Просмотров 81Месяц назад
TUWALINDE WATOTO WETU UKHTI MARIAM MTAMBO MWENYEKITI WA JUWAKITA TAIFA AKIZUNGUMZA AKRAM MBEZI BEACH
Shekhe aslawiallaah akupe pepo kaka Angu
هو سماكم مسلمين حقا ان الضمير يعود لابراهيم
Najivunia kuzaliwa muislam
Mawahabi la twaliinin
Unachuki na ndugu zako katk iman uko tayar umsifu kafir kuliko muislam mwenzako,mtume kasema mnusuru yaan kua nae muislam anapodhulumu au kudhulumiwa,sasa vp ww chuki waz wazi,uislam n Aman vp ww useme hakuna chamaana ?fikir kbl yakusema akh wangu
Jaman raha kwel maulid
Shekh mtupu ufahamu democracy haina siasa nzuri daima siasa nzuri yapatikanwa kwenye uwislam
Hakuna chaman hapo ni siasa tu
Kumamako
Mbn ck hz jukwaa la maulid linapoteza maudhui linakuwa ni politics platform
Ww unaelewa yaliyop au unasem tuuu
Unataka atangaze chadema Kwa Nia ya kanisani
Ndio maana ya bidaa inaweza kuingiziwa chochote saa yoyote lkn Sunnah ubaki vile vile mpk kiyama
Sasa chuki za nn . Achen chuki punguzen
January makamba katengenezewa skendo kwa uhasidi mkubwa!!! ulikuwa uiikatika umeme matusi chumgu nzima kwenye mitandao ya kijamii!! mbona bado umeme unakatika siku nzima lakini matusi hatuyaoni?
Umeme c muhm muhm n ww kuhakikisha dini haikatik
MASHALLAH MASHALLAH
Waislamu wote wanamsalia mtume,labda iwe sio muislamu huyo,Na hiyo Allah kaiweka katika kila sala za siku,za faradhi na sunna,huo ni utukufu mkubwa kumsalia mtume katika kila tashahud,Allah kaliweka hili kwa kujua,la umuhimu zaidi kufuata sunna zake za kweli,na kufuata alokuja nayo mtume Muhammad Sallalahu alayh wasalam,na kuacha mambo ya kuzua katika dini hii tukufu .
Maulidi yenywe yapo kisiasa tu
Ukfatilia upatikanaji wako n siasa
Someni
tabia zunu ni tofauti namtume pia hamfanani na mtume kabisaa nyinyi mwajua hilo
Kweli hatufanan mtume n muarabu
@AdamChogo nikwel siku laumu ndo ufahamu wakisufi huo hd uwe mwarabu ndo kufanana sio hulka na tabia sasa sijui mtume wa masufi ni mwafria 🤣🤣 ndo mfanane 💊
@@jumanneissa8226 we ulmaansha hatufanan na mtume kwa tunayoyafanya ukiwa unaitakid nyie ndiyo mnafanana na mtume kumbe nyie n dhulkhuweisira ndye mnafanana nae nmkujb mtume n muarabu kwa akili yako ndogo ya kufkir ukaingia kibalbala
@@AdamChogo jifunze kuandika bc maana hueleweki au hujamaliza shuleya msingi au unaandika ki bidaa 😂😂
@jumanneissa8226 we ndio huelew hukuelewa mafhum utaelewa hk kiswahili ndio maana unadandia dini toka Najd
hahahaha😂 wewe aliekulazimasha kufata dini za wengine ninani? au ndo ujingawenutu masuf 😂
Kwan umcklza ukaelewa au umeuwahab mada
@AdamChogo kunakuelewa na kuifahamu maana kwa haq pia kuna ushabikq hata kwenye ujinga ndo wewe 💊
Mashaaaaaalahhhhh
Allah akupe afya njema shekhe
Aamiin yaa rabbi tukubalie sote inshaa-allaah 🎉🎉🎉
Allaah awahfadh mashekh zetu
ALLAAH AKUPE KHERI
Mashaallah
mashallah
Mashallah❤❤❤❤❤❤❤
MashaAllah tabarakallah
MashaAllah tabarakallah
Jaman tuwacheni matusi mbn hatuna adabu je mtume alitukana?
Ostadh zungu ww unajuwa kiish nawatu san allah akuhifadh
Kama haya kuhusu fanya yanayoo
Kama haya kuhusu fanya yanayoo
Mashaallah Allah amruzuku afya njema na umri mrefu wenye manufaa insha Allah ❤
Mm ni comment nn jmn kila kitu mumeniwahi, Alhamdulillah, mashaallah, vyakurithi vinazidi kumbe kitu kipo sawa kila sector
Mashaallah mashaallah Alhamdulillah,❤❤❤❤
Mashallah hadi chozi la furaha limenitoka
MashaAllah
USIONE KINAELEA UJUE PIA KIMEUNDWA❤”.
Maashaaa allaah 🎉🎉🎉
Alhamdulilah Mashaallah Twashkuru Allah Subhana Wataala Akuhifadhi na Shari na Akupe Afya Nzuri Inshallah Ameen Yaarabil Alamin.
ma shaa Allah jmn raha sana wazazi na watot wao Allah kawaongoa, ya Allah tuongoe kw sote waislamu wakike na kiume, amiin
Maashaa Allah
Mashallah
Mashaa Allah
MashaAllah Allah aqabarik wote Amin.
Mashaallahu ❤❤❤
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallahh❤
Mashallah
Kiboko hapo, shekh walid ukinikirofisha naenda kwa mama, ndio kiboko yako, salaam aleikum
😂😂😂😂umenifanya nicheke
Mama wa walid? Nimefurahi sana